Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”

  Рет қаралды 719,702

Millard Ayo

Millard Ayo

6 жыл бұрын

Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara maarufu Mbunge BWEGE amelieleza Bunge kuwa atahamasisha Wabunge wote wa kusini kuandamana endapo Serikali itashindwa kuwalipa pesa zao za korosho wanazodaiwa na wakulima.

Пікірлер: 423
@josephlyatuu3520
@josephlyatuu3520 2 жыл бұрын
Aliyesikia
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 4 жыл бұрын
Mbunge apendwae na watz wote🇹🇿👍
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 6 жыл бұрын
Umetishaaaaa sanaaaaaa Mh. Bwegeeeeee🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 can’t deal yank nairudiaaa kuangalia kila dk jamaniiiiii unaniuaaa Hakiiii yananiiii. Kama hatuna shida Tz tunavyochekaaaa haki yananii
@abdulseif4093
@abdulseif4093 5 жыл бұрын
Me ktk wabunge ambao nawaelewa huyu ni the best 😂😂😂
@bennitezcharles5369
@bennitezcharles5369 6 жыл бұрын
bwegee 2, hongera mzee wng. uzee ni dawa bwege.
@huldamichael4445
@huldamichael4445
Daah,nakuombea Mungu akuponye mheshimiwa,nakupenda sana
@ramadhanihassani256
@ramadhanihassani256 5 жыл бұрын
huyumzeeee anaongea alichotumwa jimboniiiii kunahaja ya wabunge kuigaaa kwahuyuuu mzee bundalaa
@ambrosdavid3239
@ambrosdavid3239 5 жыл бұрын
noma sana , yaani mpaka raha. bonge la mbunge
@victorguardian3377
@victorguardian3377 3 жыл бұрын
This guy is a hero... Naona kwa mbaaaaaaaaaaaaali🇰🇪
@majumbatv1116
@majumbatv1116 4 жыл бұрын
Huyu akili zake za kawaida anaakili sana halafu kasoma mambo saikologia
@abasiachimika541
@abasiachimika541 5 жыл бұрын
Nahuyu ndio mbunge alioingia bila rushwa natman angekua mbunge wngu mtafnya kosa sana bila kumrudisha ten bwege
@viorasaimon8934
@viorasaimon8934 4 жыл бұрын
Aaa,bwanaweee,bwegeeeee,jimbo lako wanabahati kukupata,mwenyez mungu akupe nafasi nyingine tena yakuwa mbunge Mala kwa mala uwe unaingia bungeni kila mda,nipate kucheka niongeze siku zakuishi.
@abdillahichicha8035
@abdillahichicha8035 6 жыл бұрын
Big up Spika kwa kwenda na move pia big up kwako Bwege kwa kuonyesha njia nimekubali
@mrishompulu7302
@mrishompulu7302 6 жыл бұрын
"Kwa sababu serkali ya ccm inaonekana kama patasi aifanyi kazi mpakkka igongwe"
@husseinyusuph6838
@husseinyusuph6838 6 жыл бұрын
Yani huyuuu bwege namuelewa sana hanaga woga
@thomasnaibala6171
@thomasnaibala6171 Жыл бұрын
Waaah mbunge bwege wewe umetisha sana big up sana
@hawaaally1639
@hawaaally1639 6 жыл бұрын
tunashukur wa kwetu hakika atujakosea kukuchagua
@colombo_2
@colombo_2 3 жыл бұрын
Pole Sana bwege watakukumbuka Sana
@peterndossy3008
@peterndossy3008 5 жыл бұрын
Bwege yupo kiutan ila anafikisha ujumbe vilivyo
@omarmahundu8545
@omarmahundu8545 6 жыл бұрын
mbunge bungala uko vizuri sana pambana mpaka damu ya mwisho wewe mbunge uko sawa tetea wananchi wako woga mwiko! Sasa kilwa tumepata mbunge mtetea Wana kusini Kwa maslahi mapana ya wakulima.......jamani wabunge wa kusini unganeni mutetee wakulima ilitupate maendeleo tumeonewa saaana hongela mbunge bungala........👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 👍👍👍👍👍👍👍
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Millard Ayo
Рет қаралды 733 М.
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
Cheka kidogo na huyu Mbunge anayejiita 'Bwege' na hivi vituko vyake
10:27
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
VITUKO vya MBUNGE BWEGE,  AMEANZA UPYAAAA, SPIKA Hoi, Awalipua CCM..
13:52
Global TV Online
Рет қаралды 486 М.
Ni kuri na njira njeru cia kweheria Rigathi Gachagua wabici-ini.
27:06
KAMEME OFFICIAL PAGE
Рет қаралды 1,1 М.
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Global TV Online
Рет қаралды 554 М.
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН