MCHUNGAJI KIMARO ASAMEHEWA, ABUBUJIKWA MACHOZI KANISANI "UMESAMEHEWA ENDELEA KUTAFAKARI"

  Рет қаралды 202,143

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

‪@millardayoTZA‬

Пікірлер: 599
@lydiahbhoke2284
@lydiahbhoke2284 Жыл бұрын
Mchungaji Kimaro wewe ni wa juu wewe ni wa juu nasema wewe ni wa juu subiri Mungu atakupandisha viwango vingine vikubwa sana wewe ni dhahabu wewe ni Lulu you are of another level
@meshackshirima6047
@meshackshirima6047 Жыл бұрын
Mi binafsi ni mroma lakini nampeda bure huyu baba🙏
@Mapishinatibatv
@Mapishinatibatv Жыл бұрын
Watu wa Mungu kweli wanaongozwa na Roho wa Mungu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@janethjohnmrsjoseph2171
@janethjohnmrsjoseph2171 Жыл бұрын
Ahsante bwana yesu kwa kusikia sala na maombi yetu juu ya mchungaji wetu 🙏🙏😭😭😭😭
@eliashagai7920
@eliashagai7920 Жыл бұрын
Nakushukuru kwa mtumishi wako mchungaji Eliona kurudi kazini,Mungu umwema Sana.Wskati Askofu anaongea nimejikuta machozi yananibubujika.Asante Mungu wetu wa mbinguni
@jardinemwasi8123
@jardinemwasi8123 Жыл бұрын
From Kenya. Hakika wacheni Mungu aitwe Mungu. Mungu anasikia maombi ya watu wake. Asante kwa unyenyekevu wa mtumishi kimaro. Na pia asante kwa watumishi wote wa kkkt kwa kumsamehea mchungaji,kweli hii ni ishara ya upendo mbarikiwe nyote pamoja na kanisa lote.
@joycemollel7698
@joycemollel7698 Жыл бұрын
Kumcha bwana ni chanzo Cha maarifa,ubarikiwe sana mchungaji kimaro, Mungu yu nawe siku zote.
@margaretnamubi4565
@margaretnamubi4565 Жыл бұрын
Mchungaji komaro
@tumainikaluwa8133
@tumainikaluwa8133 Жыл бұрын
Namwona Mungu anamwandaa Mchungaji Kimaro, kutokea KKT kuwa mtumishi mkubwa Tanzania na kwa mataifa
@christamanyalla264
@christamanyalla264 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah mwanakondoo ameshinda Hallelujah! Tunamshukuru Mungu kwa ajili yako Mchungaji Kimaro, kwa mara nyingine tena kwa vitendo umetufundisha unyenyekevu, Mungu azidi kukuinua.
@euphrasiantawatawa1510
@euphrasiantawatawa1510 Жыл бұрын
Haleluyaa,shujaa umerudi karibu sasa ",Let be light",Glory to God.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Asante baba Malasusa kwa hekima zako. Pia Kimaro Mungu akujaze siku kwa ajili ya kondoo wa Mungu na hekima uliyonayo na unyenyekevu mkuu sana. We real miss you 😭😭😭. My heart hunger
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Haya sasa na sisi tuwasamehe wezutu, tuazie hapa, MUNGU ni mwema sana 🙏🏾🙏🏾
@maryr4033
@maryr4033 Жыл бұрын
Heri wapatanishi Kwa maana hao wataitwa waana wa Mungu! Pole sana baba Kimaro Jesus loves You. Roho mtakatifu akufundishe zaidi ktk njia zake. Nawapenda Baba na Mama Kimaro!
@nerryabel7512
@nerryabel7512 Жыл бұрын
Am happy for you Mch Kimaro,mahubiri yako ni mazuri na ya kisasa endelea mbele baba Mungu ni mwema sana🙏🙏
@christianlutego1288
@christianlutego1288 Жыл бұрын
Mchungaji Kimaro MUNGU amekuinua zaidiii, pito hilo lilikuwa la kukuinua, hata tusio walutheri sasa tumekujua sasa wewe ni mchungaji sahihi wa nyakati hizi
@chiwaligojoseph8529
@chiwaligojoseph8529 Жыл бұрын
Nimeshtuka nimetetemeka nimefurahi changanya hizo hali zote kwa pamoja, cjui hata ninajisikiaje nikiwa miongoni mwa watu wanaompenda sana mtumishi huyu wa bwana.
@sophiandumbaro1709
@sophiandumbaro1709 Жыл бұрын
Pastor Kimaro wewe ni bonge la mtumishi wa Mungu,umeonyesha unyenyekevu mkuu,huku jiinua na MUNGU akujalie neema.
@marthanyamburasamuel5706
@marthanyamburasamuel5706 Жыл бұрын
Am really grateful to God almighty 🙌 let your Holy name be uplift Lord for the humbleness that uve put upon your servant more blessings protection provision as you do the work of God,,I love you man of God am greatful to God almighty 🙏
@abeidsabuni5026
@abeidsabuni5026 Жыл бұрын
Mchungaji kimaro anaongea point sana..... Hakuna mkamilifu ila Mungu atazidi kukupigania na kutupigania sote Amen
Raila aelezea Rais Ruto alivyotaka msaada kwake
3:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 55 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 69 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
Mchungaji Kimaro aomba msamaha madhabahuni
5:36
Upendo Media
Рет қаралды 19 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO I
32:34
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 19 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 69 МЛН