No video

MCHEKESHAJI TABU AFUNGUKA ALIMUACHIA MUME NYUMBA NA MALI WALIPOACHANA, ASEMA CHANZO UGOMVI NA RIYAMA

  Рет қаралды 37,785

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 148
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Ай бұрын
Me sikawaida yangu kuchukua viponsongo tabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Ай бұрын
Hongera dada tabu m/mungu akuepushe na kila husda❤
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Ай бұрын
Watoto wamekulia mboga saba mjuane hapa😂😂😂😂
@esterMahenge
@esterMahenge Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ila tabu khaa nimechekaaa mweeee
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Mtoto wa Kiislam unaacha kutubu umri umeenda bd unazitafuta dhambi umri huo yaani bado unatafuta eneo la ufungue bar Astaghafilullah
@user-hh7df4mq1j
@user-hh7df4mq1j Ай бұрын
Ila nanyie watu washindwe kutafuta hela ndo nyie mnakufa umasikini kila kitu dhambi
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
@@user-hh7df4mq1j Pombe haramu acha nife masikini lkn siwezi fanya hiyo biashara
@user-hh7df4mq1j
@user-hh7df4mq1j Ай бұрын
@@Official83640 Sawa malaika wa mbinguni
@charlestobby6031
@charlestobby6031 Ай бұрын
​@@Official83640pombe dhambi kuzini aaah😂😂😂
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Ай бұрын
​@@Official83640Achana nalo Kafili hilo halijui lisemalo
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 13 сағат бұрын
Nimesikiliza interview zote Tabu na Riyama Sijui nani muongo kati yao
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Ай бұрын
Mbona uongeaji umebadilika 😹😹😹 uyu kweli tabu badilisha kwanza jina shoga angu uwenda ukawa sawa. Maana naona kama dishi limeyumba😹
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg Ай бұрын
Huyu c comedia ndio maan anabadilika badilika 😂😂😂
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Ай бұрын
KUMBE ANAONGEAGA KIPEMBA AFU MMAKONDE😊...BONGO MI SIHAMI....NA AJENGEWE SANAMU LAKE❤
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Mndengereko huyo Mtwara wazazi wake wamehamia tu sawa na Muha kuhamia Dar na kuzaliana ndy alivyo Tabu
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b Ай бұрын
Sio mmakonde uyu
@WinWilly4162
@WinWilly4162 Ай бұрын
Sura yake imekaa kitoto toto sana hadi raha❤
@user-og4wh1xr2c
@user-og4wh1xr2c Ай бұрын
Mbona kachakaa
@aishatest4451
@aishatest4451 Ай бұрын
dada hongera sana, 😂😂😂😂
@khadija2113
@khadija2113 Ай бұрын
😂PENDA SANA DADA TABU❤❤❤
@HappynessJose
@HappynessJose Ай бұрын
Taabu umeaza kujiharibu sura me weusi wako nakupenda acha kujibandirisha dear
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Mpaka kashaunguwa mashavu
@daylight1707
@daylight1707 Ай бұрын
😂😂😂 sasa tabu wewe miaka 50 wewe si mshangazi n bibi 😂😂
@user-jb7gw8vv5s
@user-jb7gw8vv5s Ай бұрын
Nakupenda dadaangu
@Tatu-rr9ms
@Tatu-rr9ms Ай бұрын
Ila tabu minampendaga 😂mzee waviposongo
@elishaluhwago6940
@elishaluhwago6940 Ай бұрын
bro vidox, kazi nzuri sana...... nashauri kutumia mic mbili, huo mkono, kuuhamisha hamisha.. kuna namna... mic zingekua mbili kwenye interview, ingekua vzr sana..... hii iApply na kwenye interview zingine pia
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Yes....
@jacksonbarnaba9088
@jacksonbarnaba9088 Ай бұрын
🤝
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n Ай бұрын
Kabisa
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Ай бұрын
😂😂😂😂😂mbona viposongo😮😮😮ila jamani. Mara medium imepoa😂😂 Wenye kuhudumia naomba kujua nini huwapelekea uko😮ni uhaba?ni mapenzi?ni kutokujiamini kama unaweza pendwa bila kumtunza mwanaume ama ni nini? Nauliza kwa wema nijifunze kitu hapa,
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Ай бұрын
Ila Rihama itakuwa ana shida waru wengi wamemuunga mkono Tabu!!!
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg Ай бұрын
Tabu umeongea ukweli kabisa,,watu wsnaosema sana bismillah nyingi au ambao wanasali sana huwa wanaroho mbya choyo, na mambo mengi Sana yule dada anaonekana ni mtu asiependa mwingine afanikiwe au hapendi uwe juu yake ,,, na lingine hapendi uwe ba urafiki nae wawez mchukulia bwana maan yeye anakokwenda anaenda na bwana wake so mambo hayo yote yanasababisha asiwe karibu na watu akiamni mwawez mchukulia kiposongo wake so tabu achana nae fanya mambo yako kama ujumbe kashaupata ukiitwa kwenye interview nyingn kataa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Ай бұрын
Hahaha eti kumchapa kizungu 😅😅😅😅
@mamakeyoungcadry
@mamakeyoungcadry Ай бұрын
Siyo ulisi mndengereko mwenzangu jaje? Ni (Urithi)
@RisasiRisasi-uj8fk
@RisasiRisasi-uj8fk 27 күн бұрын
Tabu upo vizuri,mfano wa kuigwa
@helinahenry2363
@helinahenry2363 Ай бұрын
Kutoka vibenteni Hadi viposongo😂😂😂😂😂😂😂
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Ай бұрын
Tabu acha pombe sauti inakuwa mbaya
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Ай бұрын
😂😂😂
@happynkya9770
@happynkya9770 Ай бұрын
😂😂😂sinywaagi lkn sauti yangu ipo ivyo ivyo inakwaruza
@saimarmuhsin9578
@saimarmuhsin9578 Ай бұрын
Naona li li zimetaradadi😂😂😂😂 yaani ni mwenndo wa li li liiii
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Duu mtihani anajisifiakabisa anafanya biashalaya baa naanatakakufunguaingine Baa dr. Mtihani
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 Ай бұрын
Tunduru ni Ruvuma sio Mtwara😅
@greenberry254
@greenberry254 Ай бұрын
Kumbe ni mweusi 😂😂😂😂😂
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 Ай бұрын
Kuongea sana2 ila kuoga, aaahh!!😂
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 Ай бұрын
Kumbe aogi duuuh,kwahiyo mchafu kuoga aaaaah
@thamani5842
@thamani5842 Ай бұрын
Riyama usmjibu huyu. Please
@annkim2690
@annkim2690 Ай бұрын
Wewe ni mjanja na watu wamtwara unawajua vizuri ungemfanyia madharau ungelogwa hata hio Dar hawangekujua
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 Ай бұрын
Hongera Sana tafuta pesa
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 Ай бұрын
Kumbe huyu ana roho mbaya sikutegemea kumsema mwenziwe vibaya kwenye interview. Yeye alipoongea hakukutaja jina. Wamakondo bwana roho zao ....
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s Ай бұрын
Kwaiy kosa la mmoj unatukan kabila za wat vip ww ukitukaniw utapend me sio mmakonde ila aipendez kosa la mmoj uweke kabila zim
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 Ай бұрын
@@user-df6ui9ro8s sorry for that
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 Ай бұрын
Walio sikia yule Demu tujuane 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-jh5px2xl8u
@user-jh5px2xl8u Ай бұрын
Kwel kabisa tabu anaga kawiada ya kuongea ongea ukiona mtu wa namna iyo ad leo anaongea bas ameamua
@FatimBalushi
@FatimBalushi Ай бұрын
Ni kweli mmakonde mwenzangu hii dunia ukiwa mkweli unaonekana muongo ila wamakonde kusamehe ndo kawaida yetu mm pia nimesamehe mbona sasa npo oman natafuta life aman ndo kila kitu pesa inatafutwa nikirudi nitakutafuta my dear kwenye wema na wabaya wapo
@Nick16697
@Nick16697 Ай бұрын
Kapinda nne nayeye 😅😅
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 Ай бұрын
Mamaa kundambanda❤❤❤❤
@gracebuhatwa6359
@gracebuhatwa6359 4 күн бұрын
Viposongo kumbe vijana wadogo
@DarKopo
@DarKopo Ай бұрын
Mkubwa fulan nimepoq😅😅😅😅
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 Ай бұрын
Kumbe wamakonde bc ni tabia zao cz ata hermonize alimuachia kajala na akampa range 1 & 2.😂.
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 Ай бұрын
Utu bora kuliko vitu kwetu
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b Ай бұрын
Tabu sio mmakonde nimndengereko
@esterMahenge
@esterMahenge Ай бұрын
😅😅😅😅😅
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Ай бұрын
Yuko very high 😂
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Ай бұрын
😂😂 au amekunywa ?
@user-jb7gw8vv5s
@user-jb7gw8vv5s Ай бұрын
Tabu unachosema upon sahihi hakuna mtu anapenda mafanikio
@faridaissa2588
@faridaissa2588 Ай бұрын
Uko live sana nakubal
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
Tabu unamatatizo unataka umaarufu kupitia mwenzio,sasa wewe ndo waonekana taahira,mwenzio katulia,toka riyama amepata kazi crown umemuandama sana! Mpumzishe basi mwenzio please
@user-pi6lb6nx3m
@user-pi6lb6nx3m Ай бұрын
Sema Tabu hanaga habari na mtu kama Riyama alianza yanini amkalie kimya sio kwer kila mtu aishi maisha yake Riyama aache choyo.
@ManuniEunice
@ManuniEunice Ай бұрын
Ukweli tabu ni mzuri rihama waja roho chafu
@Niget-us1np
@Niget-us1np Ай бұрын
Tufanye riham anaroho mbaya ushawhi sikia anasem sehemu Maan tabu ajaza jana wala juzi kumsema Riama lkn Riyam ajawahi kujibu chochote sas ubaya wariym upi km yeye Ni mwema angemfwata yeye wakayaongea kwnn kweny mitandao
@nujakaluhende9428
@nujakaluhende9428 Ай бұрын
Hapo ndio mjifunze Mwanamke akiwa na pesa…….mhhhhhh
@daimajohn747
@daimajohn747 17 күн бұрын
Ila wakusini mmmmmh
@user-bx6rf6nv4x
@user-bx6rf6nv4x Ай бұрын
Huyu apelekwe hospital
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
Naona hivyo anazo dalili, hospital inamuhusu huyu😂😂😂
@joharimloge4088
@joharimloge4088 29 күн бұрын
Viposongo oyeeee😅😅
@rosemsafiri7568
@rosemsafiri7568 Ай бұрын
Huyu hana nidhamu sijawahi muelewa ansongea ongea tu domo la ugwaku
@zainabuathumani283
@zainabuathumani283 Ай бұрын
Huyu alikuwa amelewa au?
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Ай бұрын
Vido unapasuka chalii angu! Nakupenda sana ila punguza mwili kdg😊
@ARABIMAARUFU
@ARABIMAARUFU Ай бұрын
❤❤❤❤
@annkim2690
@annkim2690 Ай бұрын
Tabu umekaa mdogo leo mbona
@user-be8lm2bo7g
@user-be8lm2bo7g Ай бұрын
Basi muache kama anaroho mbaya ya nini kumzungumzia kila siku
@lettysalala2504
@lettysalala2504 Ай бұрын
😂😂 ila bongo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Ай бұрын
AlexGitaa😂😂😂😂
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
Hiyo ni kikiiii ya pikipikiiiiii
@tatuathmani883
@tatuathmani883 28 күн бұрын
Tatu unatabu
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
Kikiiiiiiiiii hiyoooooo
@marymanoni5536
@marymanoni5536 Ай бұрын
Kumbe mtt wa kishua see tabu
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
Kikiiii hiyooo
@OmaryHabibu-gs7ld
@OmaryHabibu-gs7ld Ай бұрын
Sio mkande huyu mndengeleko sema baba yake amenda mtwara kikazi
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Au upo bwiii
@RoseDaudy
@RoseDaudy Ай бұрын
Acha nicheke et kawaida yangu kuwa na viposongo😂
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Ай бұрын
😂😂
@zuhrazuhra637
@zuhrazuhra637 Ай бұрын
Vipisongo 😂😂😂
@mariamisack_hardcore2010
@mariamisack_hardcore2010 Ай бұрын
Vido piga tizi..kakitambi kamekubali😜😜
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Mbona leo unazungumza kimjini mjini tabu😅😅😅
@Nashoora8
@Nashoora8 Ай бұрын
amekua mau zinde
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Ай бұрын
Yasn reoooo reboot sio.leoo😅😅😅
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
Aongea kama Mose iyobo jamani tabu inakuwa tabu kweli 😂😂
@zenasalum2231
@zenasalum2231 Ай бұрын
Sauti imekuparama Kwa mipombe
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie Ай бұрын
Mmmh
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 Ай бұрын
Amuachie nyumba ? Ya uwongo mtupu
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 Ай бұрын
Kwanini umuache jmn mnnn
@ameenaameena422
@ameenaameena422 Ай бұрын
Miaka 50 ushike mimba😂 hiyo hua nibaht ty mayai yamenyauka😅😅
@MustyNgongo
@MustyNgongo 4 күн бұрын
😂😂😂😂
@NeemaMartin-om1cz
@NeemaMartin-om1cz Ай бұрын
Vido fanya mazoez upunguze mwili
@MonicaKaskaz
@MonicaKaskaz Ай бұрын
Muongo huyo
@OmAn-we8ly
@OmAn-we8ly Ай бұрын
Uwiiiii😂😂😂
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
Anatafuta kikiiii ya pikipikiiii
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 Ай бұрын
comment yako tu ni ya peke yako wivu umekujaa
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Ай бұрын
Rangi ya inst na huku tofauti
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Cm hizo mtazame na Dida😂😂😂
@annakapolondo7771
@annakapolondo7771 Ай бұрын
@@Official83640😅
@user-ui2br5di3d
@user-ui2br5di3d Ай бұрын
Ila weee vido mpaka utaje nachingwea umesikia kijijini?uwewahi kufika?acha hizo pls nachi sio kijijini 😅😅
@Zaitoon72
@Zaitoon72 Ай бұрын
Vido kanona shavu 😊
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
Tabu usijipunguze thamani na heshima yako uluoijenga kwa washabiki zako'kwa kumsema vibaya mwenzio, muachie Mungu inatosha sasa, kama kusema tumeshasikia, usipunguze ridhki zako, mbona yeye hakusemi wewe kwa ubaya mitandaoni?
@sephoniahittu3542
@sephoniahittu3542 Ай бұрын
Mhhhhh
@happymaimu4330
@happymaimu4330 Ай бұрын
😂😂😂
@hamisihussein9851
@hamisihussein9851 Ай бұрын
Viposongo
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ramamasenda6637
@ramamasenda6637 Ай бұрын
Tabu wewe Malaya tu ucimtafute rihama bure wewe ni Malaya unauzuri gani mweu wewe
@spreadlove5300
@spreadlove5300 Ай бұрын
Umalaya wake nini? 😮
@ummuissa5883
@ummuissa5883 Ай бұрын
Riyama ni dada mstaarabu na ustaarabu ni adabu na kunyamaza ni fimbo ya wajinga
@nasraswakala
@nasraswakala Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
Anatafuta kikii
@rikekikonyo2265
@rikekikonyo2265 Ай бұрын
Tafuta na wew!
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
@@rikekikonyo2265 nautafuta mkundu wako niufire
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 Ай бұрын
Nakupenda shogaangu ❤❤❤
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Ай бұрын
50 tabu hujafika yani wewe 40 ndo unakaribia.
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b Ай бұрын
Tabu alisemaga amizaliwa 82
@Sharifa_Fashion_21
@Sharifa_Fashion_21 Ай бұрын
😂😂
@rutashobyanovath1116
@rutashobyanovath1116 Ай бұрын
😂😂😂😂
@aminachoga9266
@aminachoga9266 Ай бұрын
😂😂😂
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi Ай бұрын
😂😂😂😂😂
CHEKESHA : MTANGA YAMEMKUTA NA WATOTO WA MJINI
14:17
CHEKESHA TV
Рет қаралды 157 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 30 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 83 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН