Huyu ndiye alikuwa mmiliki wa Ghetto Langu aliloliimba Ngwair, asimulia walivyoishi pamoja!

  Рет қаралды 11,164

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

25 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 43
@contempo_builders
@contempo_builders 24 күн бұрын
Huku Makole Hexagon wakina BUSHOKE halafu kule DLF wakina Voice Wonder. Dom ilikuwa yamoto sana pale NK Disco. Enzi hizo kina Chamber squad wameshapiga step kubwa. Daah enzi ingekuwa inajirudia aseeh.... Wakina Msabaha mtoto wa Shehee, Dom ilikuwa HOOOOOOT.
@brianbrayoo1590
@brianbrayoo1590 23 күн бұрын
Voice Wonder kumbe ni Dom product??? okay...
@topselaz6366
@topselaz6366 22 күн бұрын
Nomaaaaaa
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 22 күн бұрын
Memories , NK kama NK Club
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 24 күн бұрын
Asilimia kubwa wasanii wa zamani wengi walitokea shule au walianza harakati shuleni ndio wakaingia rasmi kwenye muziki. Big up sana kwa interview hii.
@ibni_H2TL6r
@ibni_H2TL6r 24 күн бұрын
ACCORDING TO THE STORY UKIMSIKILIZA VIZURI INTERVIEW UTAGUNDUA Ngwair Ni Kipaji Kikubwa Sana Ambacho Mwenyezi Mungu Ameamua Ampumzishe Na Husda Za Binadam
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 24 күн бұрын
Sky naona kila mtu anamuongelea Albert Mangwea.Nakushauri wote kushirikiana na kuandaa documentery yake na wote wakawepo ndani isije ikatoka ya Bongo records peke yake.
@davidhudson9194
@davidhudson9194 23 күн бұрын
Wakianda documentary ya ngwair kama ile ya BIG itakuwa kitu poa sana
@PeterJohnRukiko
@PeterJohnRukiko 23 күн бұрын
Huyo Gsan ndo rapper Mtanzania Pekee kuwepo kwenye BET Hiphop Cypher 2009 akiwa na marehem Nipsey hussle akiwa Rookie,wale wa MMG na KRS one 💯💯💯
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 18 күн бұрын
Ninafasi ambayo Mungu aliishaiandaa, Yani ilikuwa lazima itokeee alishapitisha.
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 24 күн бұрын
Zamani wasanii walitokea skuli...wengi walitokea Skuli aisee. Kitabu muhimu
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 24 күн бұрын
Hakuna kama ngwair ktk hiphop Tanzania nzima
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 24 күн бұрын
Jamaa mzuri sana kwenye kusimulia, ana kumbukumbu za vitu vidogovidogo kama bei za kupiga simu imenikumbusha mbali sana nikiwa sengerema sekondari. Nimefurahi sana kwa interview hii, imesimulia background ya vitu vingi sana adimu kuvijua Jamaa kampa maua yake ngwea ya kutosha na kamuelezea kwa uzuri sana. Aitwe tena muda ukiruhusu.
@user-gf9pb5jz9j
@user-gf9pb5jz9j 23 күн бұрын
Sanaaaa
@DurahRich
@DurahRich 16 күн бұрын
Sema kwa enzi zao gheto la jamaa lilikua kali mno sema Albert aliiongezea kinyamwezi zaidi. Jamaa kastory vizuri mno sijaskip hata sekunde, heshima kwake broh kwa kutuletea story za mziki wa enzi hizo.
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 24 күн бұрын
Nostalgia 😔. Damn it 😫😫
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 22 күн бұрын
This man anajua kusimulia vizuri. Much love and R.I.P the genius ngwair.
@ustrashidsalimtz9316
@ustrashidsalimtz9316 14 күн бұрын
Sisi tulikuwa watoto wa mtaa huo ila Bibi Dj kafariki nwaka huu, kitambo sana yani😊
@prosperkiria6383
@prosperkiria6383 24 күн бұрын
Hii nyimbo naikubali mpaka leo
@gambajunior138
@gambajunior138 23 күн бұрын
Asubuhi tunaibuka zetu mitaa ya chaga bite tunapata supu na chapati. Mchana tunaagiza ugali mkubwa na samaki/Baadae graveyard kupata nyasi.. "Hapo Ngwea kachana maisha ambayo kayaishi utagundua maisha halisi Yana make sense Sana kwenye uandishi kisanaa ✅✅✅
@silverman6930
@silverman6930 17 күн бұрын
Such an excellent story teller my guy big .: I’m so indulge in this convo .. very refreshing.: thanks all. Sns such a great channel 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿👊👊👊
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 18 күн бұрын
Mwaka 2000 nilikuwa ninasimu ya mkononi ilikuwa inaitwa Panasonic inamlio wa treni. Lakini nilikuwa form 1, lakini pia nilikuwa nina simu hiyo walimu na wanafunzi hawakuwanayo, lakini pia ilisababisha nichapwe sana viboko mpaka nikaamua kuachananayo.
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 24 күн бұрын
DaH! Makole Hexagon
@samnyambabe2529
@samnyambabe2529 14 күн бұрын
Sema wasanii wengi wa zamani walikuwa maginiaz sana, kuanzia darasani maana kiukwel kwa elimu ya kitambo hicho mtu kutusua kwenda Five ni sawa na sasa mtu kutusua kwenda chuo kikuu haikuwa kazi rahisi na jamaa wote walikuwa wanapg shule vzr
@DurahRich
@DurahRich 16 күн бұрын
High school ndio kuna uvumbuzi wa vipaji vingi. Enzi hizo hawa jamaa walizingatia kweli kweli coz inaonyesha walikua BRAINERS sana🫡🫡🫡👏🏾
@yusufushabani691
@yusufushabani691 15 күн бұрын
BYC aiseh Sangaya RIP, na wenzake pale N.K na TIGER kulikuwa hapatoshi
@geniusplus8586
@geniusplus8586 23 күн бұрын
Kimsingi hapo sudani haikuwa kimsitu per se. Ila lilikuwa bonde fulani hivi, wana walikuwa wanapatumia kurefresh na kuvuta wida.
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 18 күн бұрын
Good interview... RIP Mangwair
@elianyigu5500
@elianyigu5500 24 күн бұрын
Hatari saaana
@priscajube4239
@priscajube4239 23 күн бұрын
Festo ndalu wa dom Sec namjua.
@gabonwashington3032
@gabonwashington3032 20 күн бұрын
Story nzuri sana
@geniusplus8586
@geniusplus8586 23 күн бұрын
Lakini kuna kitu hapa hakiko sawa. Mo alisema huu wimbo wa geto langu ulikuwa wa huyu mwana mwanzo-mwisho, hata pesa ya kuurekodi majani aliwarudishia kesho yake.. Lakini huyu mwamba amekuja na stori tofauti kabisa.. Inabidi atafutwe majani aje kutuweka sawa.
@samwelmasssawe1767
@samwelmasssawe1767 23 күн бұрын
Inawezekana pesa ilirudi ila mwana akafanyia matumizi mengine, si unajua tena bata boy
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 18 күн бұрын
tafadhali tutafutie na Nourah nasikia anauza spare shinyanga
@josephkavindi3666
@josephkavindi3666 17 күн бұрын
Abdul amran badoga chadunga ❤
@snawtasnota6708
@snawtasnota6708 22 күн бұрын
Mbona mm nimeku dm na simu nakupigia haujawahi kupokea??????????
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 24 күн бұрын
Nomaaa sanaa
@cornellmallya4455
@cornellmallya4455 16 күн бұрын
Naomba ninyaze ila huyu jamaa ni cloud chesar. Sky don't fall for this rubbish. Umaarufu bongo ni bei ya gengeni
@josephkavindi3666
@josephkavindi3666 17 күн бұрын
Yeah home boy East zoo Dom ❤
@imogimasta9077
@imogimasta9077 22 күн бұрын
NGWEA KATIKA AHADI ZA BOSS ALIFANYA CHORUS NA VESI YA MWISHO
@user-wu9zh1hc3i
@user-wu9zh1hc3i 21 күн бұрын
Mangwair is the goat asey
@user-qt1yf4xy6k
@user-qt1yf4xy6k 24 күн бұрын
shule kubwa
@SalimSalim-ls9lg
@SalimSalim-ls9lg 22 күн бұрын
Dogs chata
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 15 МЛН
Weltgeschichte - grundlegende historische Fakten (Doku Hörbuch)
3:39:44
Andere Geschichten
Рет қаралды 5 МЛН
Rayvanny X Harmonize - SENSEMA (Official Dance Video)
4:18
Rayvanny
Рет қаралды 3 МЛН
The Open Forum Episode 60
3:59:34
EFDawah
Рет қаралды 4,2 М.
STORY ZA LINEX NA BABA LEVO, KUISHI GETO MOJA, KUUZA STILI WAYA
12:07
The Dawah Clinic Episode 32
3:53:40
EFDawah
Рет қаралды 32 М.
CAR HITS 5 BIKERS THEN RUNS 😳 | @MotoWodzu
1:01
R6Goon
Рет қаралды 17 МЛН
Ты что-то понял?  #automobile #shorts #ваз
1:00
Мышка Мэвис
Рет қаралды 2 МЛН
Мужик психанул и купил 200 Ленд Роверов
0:19
Сергей Милушкин
Рет қаралды 1,3 МЛН