MTU ALIYEGEUKA NYOKA MTWARA “ANALINDA KIJIJI, UKIMUONA HAULALI NI NYOKA WA AJABU”

  Рет қаралды 157,598

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Mwaka 1907 inasemekana palionekana tundu kubwa na kipande cha sanda kwenye kaburi alilozikwa Mzee aliyefahamika kwa jina la Mzee Limbende kwenye kijiji cha Nanguruwe kata ya Nanguruwe mkoani Mtwara ambaye alikuwa mmoja wa wazee wa kijiji hicho.
Siku chache baadae Ndugu wa karibu wa Marehemu Mzee Limbende aitwae Salum Binali Walivenga alioteshwa ndoto kwamba Marehem Limbende amefufuka na kuwa nyoka ambae atalinda kijiji hicho na hii ni kimila na desturi.
Tumefika kwenye kijiji hicho na kutembelea kwenye eneo la bwawa kubwa lililopo kijijini hapo ambapo inasemekana kwamba ndio anapoishi nyoka huyo tangu miaka hiyo ambapo anaonekana na Mtu mmoja tu ambaye anatakiwa kupokea maono ya yanayoweza kutokea siku za mbeleni kwa kuoteshwa.

Пікірлер: 272
@mrpopsuit
@mrpopsuit 2 жыл бұрын
Amini usiamini lkn kila kabila lina mila na destuli lkn tukifika mjini tunaita ushirikina
@kellymwegelingoha.3306
@kellymwegelingoha.3306 2 жыл бұрын
Afrika wengi wanaponda wamezoea kutangaziwa ushoga wa nchi za magharibi, wabongo hbana Wacha waendelee kujipaka vinyesi kutoka ulaya
@msumimhando6601
@msumimhando6601 2 жыл бұрын
Walimushirikiina finnari JAHANNAM khalidiina fiiha abadaa
@BeatricephilipKaishe
@BeatricephilipKaishe 2 жыл бұрын
Dini nitamaduni za watu weupe hiyo ni asili yetu weusi acheni ubwege MTU kwao
@adammwita3150
@adammwita3150 2 жыл бұрын
Mnao tukana mnakosea, mzee na yeye Ana Imani take. Wewe mwenye dini Shika dini. Na ukumbuke kuwa hiyo dini ni ustarabu wa watu tu. Na ukiulza waganga wateja wao wengi ni wenye dini.
@mohammedalishamis9405
@mohammedalishamis9405 2 жыл бұрын
Njozi za kishetani hizo someni dini ili muepukane na shirki
@jerryjuma1339
@jerryjuma1339 2 жыл бұрын
binadamu Hana uwezo wakujibadilisha kutoka katika hali aliyoumbwa na Mungu ila hayo nimashetani yanatumia vitu vilivyoumbwa na Mungu, halafu nyie mnasema eti mtu kabadilika kuwa nyoka, haiwezekani hata kidogo, ila nawapa ushauri tu kwamba acheni kuyapamba hayo mapepo na mashetani Bali tubuni sasa leo namkubali kumpokea YESU KRISTO ili awe BWANA na Mwokozi wa MAISHA yenu
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Subhan Alla
@ismailnassor785
@ismailnassor785 2 жыл бұрын
Muogopeni Mungu acheni shirki
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Mzee acha shirk babu, kofia kama ganda la chungwa
@shamumaabdala6341
@shamumaabdala6341 2 жыл бұрын
Uo mbona kama uchawi
@lore4837
@lore4837 2 жыл бұрын
HII NDIO ASILI YA WAAFRICA. Lets go back to our roots
@salummwanga8181
@salummwanga8181 2 жыл бұрын
Kuamim iman hiyo ni kumshirikisha ALLAH, mamb yetu yajayo anaeyajua ni ALLAH pekee
@msanifgdf615
@msanifgdf615 2 жыл бұрын
Acha ushirikina ww babu unaona sifa
@shabanimwema7334
@shabanimwema7334 2 жыл бұрын
daaa barakashee yote iyo ila hauna iman na mungu wako Walimushirikiina finnari JAHANNAM
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Shiriki hiyo 😏😏😏
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 2 жыл бұрын
Nyoka haonekani, huonwa na mtu mmoja, haya bwana... Kila la heri Nanguruwe, Napanya, Nasamaki nchanga... !
@nasrimchopa678
@nasrimchopa678 2 жыл бұрын
Huku mtwara kuna nn juzi nimeona sehemu mtu kageuka Simba Leo nyoka duhhh.
@amourmunga8356
@amourmunga8356 2 жыл бұрын
shirki
@nth3512
@nth3512 2 жыл бұрын
Hayo ni masheitwan yanawachezea watu
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 41 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
RC MTWARA AENDA KIWANDA CHA DANGOTE/ MWANASHERIA AELEZA SUALA LA SARUJI
5:18
MCHUNGAJI AFUNGUKA MAZITO YA FREEMASON
52:57
TALIKISIO Tv
Рет қаралды 694 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН