No video

MCHUNGAJI AFUNGUKA MAZITO YA FREEMASON

  Рет қаралды 695,833

TALIKISIO Tv

TALIKISIO Tv

7 ай бұрын

Пікірлер: 591
@KelvinAmos-ow7pf
@KelvinAmos-ow7pf 2 ай бұрын
Blother utalaniwa na mwenyez mungu we ichezetu dunia
@LauSeven-vj1tf
@LauSeven-vj1tf 3 ай бұрын
Ndug yang wewe umli huo unajiunga na mali za kichawi bora umemludia mungu wako ubarikiwe pia utafte maisha kwanguvu zako god bless u
@user-xe3wp3hd3u
@user-xe3wp3hd3u 5 ай бұрын
Hongera Kaka mungu akupe uelewa zaidi na nguvu
@lamoslameckekitambala8863
@lamoslameckekitambala8863 5 ай бұрын
Mungu azidi kukupa maarifa na kutadharisha watu wengine maana wengi wanaendelea kujiunga.
@tinnabernard3538
@tinnabernard3538 5 ай бұрын
Mungu akupe nguvu zaidi na zaidi amen
@Dominant97
@Dominant97 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@niolaussdavid
@niolaussdavid 3 ай бұрын
kwa upumbavu wake
@EstherMgala
@EstherMgala 5 ай бұрын
ubarikiwe kaka mungu yupo pamoja nawewe
@GuzuraGuzura
@GuzuraGuzura 6 ай бұрын
Jitahidi uwe unafupisha hbr, lkn ueleweke, mb huku n changamoto sana
@Victorinjames
@Victorinjames 4 ай бұрын
Anasema ukweli uyukijana nimekanae namfaham
@mussarizzyofficial7898
@mussarizzyofficial7898 2 ай бұрын
Ulisema utawataja watu waliojiunga na freemason wasanii, wachungaj,wachezaj viongozi wa umma,lakn nimekuckiliza mapaka mwisho hujawataja hata mmoja but thanks for ur advice broo
@user-te7mc8gw8o
@user-te7mc8gw8o 5 ай бұрын
Mungu akuinuwe sana
@AmbonisyeMwanda
@AmbonisyeMwanda 5 ай бұрын
Ndugu kutoa siri ya watu cndiko kuokoka 'we kama umeokoka shukur Mungu 'batrimao alisema yote cjui ninachojua nilikua kipof sasa naona ndo ushuhuda siri hazitoweza kusaidia anajua Mungu
@CatherineKimoso
@CatherineKimoso 4 ай бұрын
Imani ni matishio au nikumjua mungu?mungu hachunguzwi.wachunguzi wa kwanza walimchunguza yesu wakasema ana pepo la bezibebuli. ndugu simama
@Pilausbwinyo
@Pilausbwinyo 4 ай бұрын
Omben Mungu awafunulie macho ya rohoni ,msipende kuwa watu wakusikia tu ndomaana Kuna nulu na Giza Yesu alisema watu wangu wanaangamia kwakukosa maalifa,ukiwa thabiti katka maombi Mungu lazima akufumulie, je hyo yakwel ama la
@jetuwalugano6976
@jetuwalugano6976 6 ай бұрын
Sio kwamba ulitii amri zao acha kuwapigia debe mungu ataongoza watu wake
@ElinaNyangachi
@ElinaNyangachi 4 ай бұрын
Fatilia kosa cha tajiri na lazaro wenye hekima ndio hutambua yasemwayo
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 ай бұрын
Ww acha hzo ww
@user-yp2sf7yx4k
@user-yp2sf7yx4k 4 ай бұрын
Mungu akupe nguvu zaidi n'a uendeleee kuwaaibisha wasikutishe
@soniaramadhani668
@soniaramadhani668 4 ай бұрын
Barikiwa kaka na Mungu azidi kukulinda
@user-jy5di4hh8l
@user-jy5di4hh8l 4 ай бұрын
Brothey uxichok kwa ukubwa na uzito unao pitia kunasehem ume tutoa nakutuweka tunashukuru sana mungu akuongozesa kwakirahatua unayotu weka tunapata kuelewa atatusiyo yajuwa
@lightnessassery9876
@lightnessassery9876 4 ай бұрын
We ongea habari za Yesu achana na watu Mungu Mungu anawajua mwenyewe
@user-xx1wp2re5t
@user-xx1wp2re5t 5 ай бұрын
Brother Mungu akupe nguvu endelea. usiache kuwaaibisha hao watu imenifunza kwa kiasi fulani
@CatherineShipimilu
@CatherineShipimilu 5 ай бұрын
Yes
@PillBimbiga-kv4bn
@PillBimbiga-kv4bn 4 ай бұрын
Samwel mungu anakuona
@user-de3hn6nk5h
@user-de3hn6nk5h 4 ай бұрын
Ongea point
@user-uy3gy5gx4o
@user-uy3gy5gx4o 6 ай бұрын
Mungu yu mwema❤❤
@user-vt4vd5rh8u
@user-vt4vd5rh8u 5 ай бұрын
Kuna ushuhuda mwingine nmesikilza imefafanua zaidi mwamposa me cna Imani nae Wala mahybiri yake cyahitaji Tena,
@PhennyBunde
@PhennyBunde Ай бұрын
nakuunga mkono
@alphonceamon5419
@alphonceamon5419 6 ай бұрын
Daaaaaah uyu nimdanganyifu ametumwa kupoteza watu kabisa watu wa Mungu kuweni makini jamn asee daaah uyu kijan jmn namuurumia jaman niwakala wa ibirisi kabisa yan jmn kuweni makini watu wa Mungu😂😂😂
@leilakira
@leilakira 4 ай бұрын
Unajua aje anadanganya mungu aliwapa macho lakini hamwoni😭😭ambia mungu akupe macho ya kiroho
@JenipherMourice
@JenipherMourice 4 ай бұрын
Mmmmh yote ni mauongo tupu kwenda huko hunalolote
@AvuraKashindy
@AvuraKashindy 3 ай бұрын
Acha kutukan nyie muombee tu kam ni huongo Mungu atambadilisha na kutukana sio njia sahih ata Mungu hapendi kuwa makin na muwe na kiasi cha maneno yote mtamkayo msitukane jmn
@jafarimsigwa277
@jafarimsigwa277 3 ай бұрын
Naona kama naibiwa Mb vile:
@samjohn7230
@samjohn7230 3 ай бұрын
Huyu kijna anatafuta kiki tuu
@user-et7km8uz8g
@user-et7km8uz8g 4 ай бұрын
Honger kak mungu akupe nguvu na uelew
@gershombwana
@gershombwana 3 ай бұрын
Shida ni kwamba watu wanapenda Sana kuamini miujiza ndio waamini kitu Fulani,binafsi Mungu wangu wa mbinguni awe anatoa ishara,au miujiza au asitoe ishara au miujiza nitaendelea kumwamini sababu Imani yangu haikujengwa kwenye misingi ya ishara Wala au miujiza,pili watu wengi naamini hawasomi maandiko wao wanapenda maneno ya kuambiwa ambiwa pasipo kusoma ,tatu baadhi ya watu wengi hawamwabudu Mungu wa mbinguni bali huwaabudu watu kwa maana ya baadhi ya wachungaji utasikia MTU anakwambia mi nasali kwa mchungaji fulani............fikiria andiko hili ....watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Mungu awabariki nyote
@niolaussdavid
@niolaussdavid 3 ай бұрын
mpumbavu mmoja anasimama kupotosha na watanzania mnavyopenda kupotoshwa mnaingia kichwa kichwa
@user-dj4de6kt4p
@user-dj4de6kt4p 3 ай бұрын
Mungu azidi kukutianguvu yupo pamoja nawe
@user-ox6hg1wm1h
@user-ox6hg1wm1h 4 ай бұрын
Asante kwakuni nipa fuzo na ufaham zaaidi
@JulesKalombe
@JulesKalombe 3 ай бұрын
Mimi Niko kongo 🇨🇩 Kaka mungu akubari kweli njia mbaya ya freemason 😭😭
@user-cr9op3bz1u
@user-cr9op3bz1u 3 ай бұрын
The way the son of God came world, the is people who loved him and others no, live that man Alo be looking at fmy . from ug❤❤❤❤
@user-bj9fp7vt7g
@user-bj9fp7vt7g 5 ай бұрын
barikiwa kijana ayo major nikweli Walton amacho yakiroho waelewa na wanna usiongope matisho yao ata Bambang yao akuwezi maana yesu wake alimshida
@RehemaJuma-bb6py
@RehemaJuma-bb6py 4 ай бұрын
Eeeee. Hiyo ni kaz, ya mungu kununuwa mtumishi was kwel na wa kweli , yy atabaguwa kondoo, na mbuzi, Asante.
@user-ki4ps2yg3x
@user-ki4ps2yg3x 6 ай бұрын
Mungu akubark lakn kama umetumwa kuokoa watu wa Mungu kua sirious acha mzaha, cku ya mwisho utaulizwa weka u sirious kwenye testimony
@gracesidi1174
@gracesidi1174 5 ай бұрын
Tuombee Mchungaji,twaumia na jamii yangu
@samjohn7230
@samjohn7230 3 ай бұрын
Dg anatunga, mambo yke
@user-zl4bk5bn4t
@user-zl4bk5bn4t 4 ай бұрын
Mungu akubariki
@beatricejohn7569
@beatricejohn7569 5 ай бұрын
Mungu akubariki,usjali maagent wanaotumika kukuvunja moyo,piga kazi dogo
@CatherineShipimilu
@CatherineShipimilu 5 ай бұрын
Yes
@NUSURA
@NUSURA 4 ай бұрын
Umelipwa shingapi na mwaposa😅😅
@niolaussdavid
@niolaussdavid 3 ай бұрын
ambariki kwa upuinbavu wake
@tinnabernard3538
@tinnabernard3538 5 ай бұрын
Mtumishi Samwel asante sana umenifungua asante Mimi na watoto wangu tumepigwa nakitu kizito asante mtumishi
@niolaussdavid
@niolaussdavid 3 ай бұрын
mjinga huyo
@user-mt8mj9qw8z
@user-mt8mj9qw8z 4 ай бұрын
Acha stori naenda kwenye pont
@user-wd5uh7dh8i
@user-wd5uh7dh8i 4 ай бұрын
Mungu akuinie zaidi maana unayo sema nanimazito
@dorcaslundumen4370
@dorcaslundumen4370 2 ай бұрын
Asante kuttia moyo Mungu akubariki
@EdouardJohnson-pw6lt
@EdouardJohnson-pw6lt 2 ай бұрын
Watu wa Mungu kuweni makini si mtumishi wa Mungu huyu ni mtumishi wa ibirisi
@WarthaNungu
@WarthaNungu 4 ай бұрын
mungu azid kukulindaa kwakweli
@MichaelMoye-gw1yr
@MichaelMoye-gw1yr 3 ай бұрын
Mungu akuongoze
@GraceMakoye-zu1ux
@GraceMakoye-zu1ux 3 ай бұрын
Mungu akulinde❤
@BenardSimon-me5ky
@BenardSimon-me5ky 3 ай бұрын
Kama wajua mafuta ya kawe yanasidia sana kwanin ww usichukue upelekeeee kwa rusifaaa ili akose nguvu ya kuua wanadam. Kwan ww rusifa wamjua na Mungu amekutuma, ww umekimaa au furaha yako ni kuona watu wanateseka na magonjwa au waendeee kawe kila siku. C utusaidiee kuzuia kazi ya rusifaaa
@user-hj5mv9bc9p
@user-hj5mv9bc9p 6 ай бұрын
🎉❤ nimekukubali sana nisingeyajia haya 20:04
@bethnjeri1697
@bethnjeri1697 6 ай бұрын
Na Kwa sababu umeokoka na kutoka freemanson wacha kuongea mambo ya kule Sana muda mwingi hubiri neno la mungu ili watu wapate kukobolewa,shetani Hana nguvu juu ya yesu
@bethnjeri1697
@bethnjeri1697 6 ай бұрын
Preach the gospel hiyo muda mwingine umebakisha
@user-bk8pe4qe6j
@user-bk8pe4qe6j 4 ай бұрын
Mungu akupe nguvu
@cadsonesmo
@cadsonesmo 5 ай бұрын
Mwenyez mung akuongezee na akutie nguvu cads@
@ReaganENZI-ww4vu
@ReaganENZI-ww4vu 2 ай бұрын
Hi my best family, mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili, nawaomba supports zenu plz, follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰 Asante sana barikiwa
@MariaMzava
@MariaMzava 4 ай бұрын
Mungu atusaidie wapemdwa tuwe tunsoma neno la mungu ili tusidanganyike
@mussapaul3295
@mussapaul3295 3 ай бұрын
God bless you
@user-qf3co7ge9i
@user-qf3co7ge9i 4 ай бұрын
waaybishe hao mungu na akutie nguvu
@zipporahkathure5828
@zipporahkathure5828 5 ай бұрын
Acha ufala bro,tafuta pesa kwa njia nyingine
@janewanjiku3716
@janewanjiku3716 5 ай бұрын
True
@leilakira
@leilakira 4 ай бұрын
Don't be quick to judge one day guys you will know the truth
@user-ob6qy8py6l
@user-ob6qy8py6l 4 ай бұрын
Huna nguvu za mungu usiwadanganye watu wa mungu,hakuna jina liwezalo kutuokoa Kwa loho Bali jina la YESU mafuta yanini maji yanini
@miriamkaaya3618
@miriamkaaya3618 3 ай бұрын
Tumia mamlaka na damu ya YESU,uondoe huo mlango wao YESU atawale mwenyew,wameshashindwa mwache MUNGU aitwe MUNGU.
@user-ht4lq4is1f
@user-ht4lq4is1f 5 ай бұрын
Mh !!! Nimeishia apa kukusikiliza maana shetan tayar kashakutawanyisha ata hujui nn unaongea
@AvuraKashindy
@AvuraKashindy 3 ай бұрын
Watumishi tusipende kuhukumu kbla hatujahukumiwa mbn tunatukan ivo jmn tusiruhusu. Vinywa vyetu kutenda zambi zisizo za lazim kumbuk ata Bwana yesu alitukanwa na kupigwa mawe na alipingwa na kukataliwa ko msiwe wepesi kuhukum kuwen na busara watu wa Mungu. Watumishi wa Mungu na manabii walitukanwa sembuse uyu Acha kutukn kbsa na Mung atusaidie
@user-fr4lw2wd3q
@user-fr4lw2wd3q 4 ай бұрын
Ndugu yangu samweli sasa unawambiaje waende sehemu pabaya wakati unajua kabisa sio wachungaji sahibi,ebu naomba tunyoshee maelezo
@furahazero6559
@furahazero6559 4 ай бұрын
Kama hujatumwa Na lusifa Basi wewee Kwa Nini usiamini Kia Mungu ndiye king wa makingi Muamini bwana Mungu wako tuu
@user-to1mq2qr1q
@user-to1mq2qr1q 4 ай бұрын
Ww umetisha
@miriamkaaya3618
@miriamkaaya3618 3 ай бұрын
😭E MUNGU naomba utuzidshie macho ya rohon kwan ktk wewe tunayaweza mambo yote 🙏 GOD
@elishampoki8751
@elishampoki8751 2 ай бұрын
Yesu kristo Anakuja kila mtu ajipime mwenyewe kama kateuliwa au kakataliwa , kumuona mwenzio kapotea hiyo sio kweli unatakiwa ujione we we kuwa umekubalika au. Umekataliwa
@mamu-fl9dj
@mamu-fl9dj 2 ай бұрын
Amina, Mungu azidi kukulinda na kukuinua
@athumanimwaimu3460
@athumanimwaimu3460 4 ай бұрын
Umeona usagaji tu mashoga nao ataww muongo mungu akuoteshe kwautakatifu gani achabifu
@user-hr5qr1jv5x
@user-hr5qr1jv5x 5 ай бұрын
Safi ujasiri
@NeemaMayala-zt6bb
@NeemaMayala-zt6bb 3 ай бұрын
Mungu akutie nguvu jaman
@user-oq5cy9rc4s
@user-oq5cy9rc4s 4 ай бұрын
Muim sana naomba moyo wako ushirikiana na sauti ili kinacho toka moyoni Baci kisikike kupitia sauti kwasababu inafasi kubwa sana kwa mwanandam kuzungumza lugha nyingine moyoni ila kwa mdomo awezi . Kwailo ndio ilivyo kwako wewe moyo unazungumza ili lakini mdomo lile kwaiyo tuwe makini sana 🙏
@CresenciaCastor-rk2ty
@CresenciaCastor-rk2ty 5 ай бұрын
Ni kweli
@HidayaMnindila
@HidayaMnindila 3 ай бұрын
Mbona husemi ww umeombewa wapi tukaona uponyaj wako ulikuaje buanaa😊😊😊
@user-yq4gj4xg9d
@user-yq4gj4xg9d 4 ай бұрын
😮Amin's mtumixhi xamwer🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋
@user-ut1ls8fi8f
@user-ut1ls8fi8f 5 ай бұрын
Aisee jamaa eleweka na useme ukweli usikute unawatetea hao watumishi watu wa Mungu wazidi kupotea hakika utaulizwa na MUNGU MWENYE ENZI YOTE we haya
@JeankissKalonda
@JeankissKalonda 3 ай бұрын
Mimi napenda kipande iki kya Freeman, mimi n'a taka niwe pamoja n'a jama cha Freemanson
@user-hj5mv9bc9p
@user-hj5mv9bc9p 6 ай бұрын
Mungu atutetee watu wajue upotofu wa lusifa waijuekweli
@MathiasNzungu
@MathiasNzungu 5 ай бұрын
Umetumwa na national toka hapa mungo walioitwa wanahekima
@yehoshafatisuhuzwa4399
@yehoshafatisuhuzwa4399 4 ай бұрын
Ongea point acha kuzunguka zunguka neno moja unaludia mala 2x2 unaboa
@user-sw8og7qr3m
@user-sw8og7qr3m 6 ай бұрын
Mmmh c utajee maelezo mengi
@MathiasNzungu
@MathiasNzungu 5 ай бұрын
Mimi sijui alijiungaje na alitokaje? Hivyo saivi kila muujiza feemansono tuliangalieni hili
@RehemaRehemaJosephbaraka
@RehemaRehemaJosephbaraka 3 ай бұрын
Mbona hao watu anao sema ndo sina imani nao kabisa jamn
@NgoyBanza-ec1kk
@NgoyBanza-ec1kk 3 ай бұрын
Mungu akutiye moyo
@AngelaWillison-yi3fm
@AngelaWillison-yi3fm 3 ай бұрын
Saaaaana kaka ata bibilia inasema tusiione haya injili kwakua ni uweza uletao wokovu sema kaka uokoe wengi na roho wa mungu akutumie
@miriamkaaya3618
@miriamkaaya3618 3 ай бұрын
Right
@user-dj4de6kt4p
@user-dj4de6kt4p 3 ай бұрын
Ila Kuna watu hawalisikii neno wabishi sanaa
@user-gh7jd3oc2n
@user-gh7jd3oc2n 6 ай бұрын
Nenda kweny point bhn
@williammichael9270
@williammichael9270 3 ай бұрын
Uhakika
@LovelyDrill-bx1rs
@LovelyDrill-bx1rs 6 ай бұрын
❤❤🎉
@mariamchannel9234
@mariamchannel9234 4 ай бұрын
Hahaha nimemuelewa sana , kaongea kinyume kawataja wachunguji kinyume
@user-do8ue3wy9v
@user-do8ue3wy9v 5 ай бұрын
Acha bas maana Ata maandiko tunayajua Ata wewe yawezekana mbigu usipate. Maana kumkana lusifa c kupata mbigu .unajua ukimbia dhambizako kwani ulivo jiunga nani alikutumaaa. Acha kumjalibu mungu..
@ZuDadi
@ZuDadi 4 ай бұрын
MUNGU anaishi umilele lakini manabii na mitume wanazaliwa, wanakufa Anachosema huyu ni kweli mtu wa kwanza kutumwa alikuwa kerubi alimjua Muumbaji kuliko wote akafeli, Adam alikuwa mkuu lakini alifeli Huyu mtumishi sio muongo kuna kitu anakieleza jaribuni kusoma kitabu Waliomwangusha Yesu hawkuwa wale akina Herode walikuwa watumishi au mafarisayo Walivamiwa kwa hiyo unaweza ukamuona mtumishi yuko vizuri baada ya muda ameanguka. Tuna maaskofu walisema hawawezi kugombea uongozi wa siasa ndani ya taifa hili leo ni wabunge Tunatakiwa tuwaombee. Yesu alitakiwa msamaha Bure.
@PatrickMutunga-lo9pb
@PatrickMutunga-lo9pb 3 ай бұрын
Unajua walimuita yesu mkuu wa mapepo,kwahivyo mwenye hekima adanganyiki...ndungu zangu watu wa Mungu,chagueni ukweli wacheni kupotezwa.
@EliaMvungi
@EliaMvungi 4 ай бұрын
Ingia kweny pont
@Elizabethngimba
@Elizabethngimba 4 ай бұрын
Amen mwamposa 🙏🙏
@PaulMurhabazimasumumu-lz3rx
@PaulMurhabazimasumumu-lz3rx 5 ай бұрын
Ndugu Sam we l wewe ni mwongo kweli kweli kabisa tangu sasa ujuwe hakuna wokovu unaopatikana kwa makuta kwa Majid ao vitu vingine vyovyote isipokuwa kufuata taratibu ya matendo 2:37-38 na kuendelea mu Imani mitume walio tuachia sema wewe ni mujumbe WA lusufer na unapenda watu wajiunge achat Yale mambo Yako mitandaoni amini yesu
@user-tf7hz6mw1o
@user-tf7hz6mw1o 5 ай бұрын
Kweli Sheitani mudaganyivu, Mungu akutie nguvu bro uzidi kutoboa siri
@PhilipoSimon-bz2st
@PhilipoSimon-bz2st 5 ай бұрын
We nae usha kosa kazi tu
@JennyChris-cs5xh
@JennyChris-cs5xh 2 ай бұрын
Daah sijui tumuamini nani jaman
@samuelwambua37
@samuelwambua37 4 ай бұрын
Baba soma bibilia thambi abayo aitawai samehewa kuongea vibaya kuhusu roho mtakatifu
@LilyCruise-fp7mj
@LilyCruise-fp7mj 5 ай бұрын
Huyu ametumwa apoteze watu,msufuate mambo za mtandaoni
@user-jy5di4hh8l
@user-jy5di4hh8l 4 ай бұрын
Kaka kwa maneno tuunayo sema inazipiti shakabisa ulishatoka uko ulipokuwa cc wenye of ya Mungu tunakuelewa San
@NephaelMoriasi
@NephaelMoriasi 2 ай бұрын
😢wee hata haujielewi wala haujitambui toka hapo nenda zako
@user-rd9zo7df3k
@user-rd9zo7df3k 4 ай бұрын
Kijana pole Sana ilausiwadaganye
@BenardSimon-me5ky
@BenardSimon-me5ky 3 ай бұрын
Before hao watu wawili wa Mungu kuja / kuzaliwa rusifa hakuwepo. Kwann usemi rusifa anapatikana wapi uko ulikoenda ili tuandamane kumfukuza maana dunia tumeumbiwa kutawala wanadamu sasa wajua shetan aliko sema wanadamu wamfukuze ili tuwe uru
@user-bp1ou4tv2m
@user-bp1ou4tv2m 4 ай бұрын
Mungu awe nawe broo
@MathiasJames-mr4vc
@MathiasJames-mr4vc 5 ай бұрын
Zungumzia manabii wengine lakini usimzungumzie mwamposa
@user-hn1ou2rc6x
@user-hn1ou2rc6x 4 ай бұрын
Kkkk mwamposa nn nani?? Hawezi yeye kwenda huko au umebeba loho yake semea yako usiamini mwezio jiamini mwenyewe
@user-hh1cx5xn8n
@user-hh1cx5xn8n 4 ай бұрын
Mungu akumpe nguvu utua
@ChantalMbuthia
@ChantalMbuthia 4 ай бұрын
Vitu zingine naonanga ni uwongo tuh mbona usipige magoti uwaombee
@user-ns9bn1mu1y
@user-ns9bn1mu1y 6 ай бұрын
Mbona uelezi Bwana alivyokuokoa,unatupa wasiwasi kama ushuhuda huu si wakubumba!!
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 25 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 61 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 136 МЛН
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
32:24
LUSEKELO MWALYAJE
Рет қаралды 36 М.
AFICHUA HAYA MTUMISHI EMMANUEL YAJUE SASA
1:02:48
TALIKISIO Tv
Рет қаралды 70 М.
Kamala Harris amtangaza mgombea wake mwenza
2:53
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 2,5 М.
DR SULLE ATOA ELIMU YA MAJINI YA UTAJIRI NA JINI MAHABA
23:19
SIMULIZI ZONE
Рет қаралды 17 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН