"MIMI SIKUWA NA MTAJI WAKATI NAANZISHA GLOBAL EDUCATION LINK LTD" Abdulmalik Mollel

  Рет қаралды 21,942

Ngowi TV

Ngowi TV

6 жыл бұрын

Leo katika Clinic ya ujasiriamali, Prof. Ngowi anatembelea kampuni ya GLOBAL EDUCATION LINK LTD, na kufanya mahojiano na Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Bwana Abdulmalik Mollel, ambaye anamweleza Prof. Ngowi kwamba wakati anaanzisha kampuni hiyo hakuwa hata na shilingi moja mfukoni mwake, lakini leo kampuni ya GLOBAL EDUCATION LINK LTD, ni kampuni kubwa na yenye mafanikio si tu Tanzania lakini katika ukanda huu wa Afrika ya mashariki. Nini siri ya mafanikio hayo, Ungana na Prof. Ngowi kwenye kipindi hiki ili nawe ujifunze Kutoka kwa mjasiriamali huyu jinsi ya kukua katika biashara.

Пікірлер: 17
@m8.x
@m8.x 2 жыл бұрын
Who came here after the death of prof?..r.I.p big brain
@user-qs9rn2je4c
@user-qs9rn2je4c 5 жыл бұрын
kwa dunia hii ni wa chaeche sana mungu atskulipa nimetaman mwanangu aje pata nafasi hii
@mussagreyson4769
@mussagreyson4769 6 жыл бұрын
Shukran sana Global Education link, kampuni inafanya vizuri na nafurahi mdogo wangu kupata fursa ya masomo, 🤝🇹🇿
@godfreyngowi6434
@godfreyngowi6434 6 жыл бұрын
Hongera sana Mollel kwa kazi nzuri. I really appreciate kaka for inspiration ....cheers
@henrymaro3638
@henrymaro3638 6 жыл бұрын
keep up the spirit.11 years in business is not a joke.some business hardly three months are history.i second your vision and am glad u had been visited by ngowi tv coz i know many entrepreneurs may wish for that opportunity.bravo prof Ngowi for taking a leap ahead.
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 4 жыл бұрын
Hongera saaana,kaka your creative you,think big
@mpawenimanasalvator8866
@mpawenimanasalvator8866 3 жыл бұрын
Hello Mimi Niko Bujumbura Burundi nilipendezwa n'a bipindi vyenu
@daudiaidani3860
@daudiaidani3860 2 жыл бұрын
Asante Mpawenimana karibu
@huldamichael4445
@huldamichael4445 2 жыл бұрын
Hallow ndugu Mollel,pls naomba appointment na wewe,nahitaji kukuona.Very serious!
@nawezasasa8946
@nawezasasa8946 5 жыл бұрын
Prof Keep it up. Nita-sub.
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 жыл бұрын
Hii ni ya kizazi sana
@ahmedstza2900
@ahmedstza2900 5 жыл бұрын
Tunawapataje
@carlosn_tz
@carlosn_tz 6 жыл бұрын
Mimi pia nawapongeza lakini natoa angalizo la confidentiality kati ya yeye na wateja wake.Abdul Malick anaongelea matatizo ya kijana aliyetoka kumuattend hapahapa kwenye media kisa tu anamfafanulia Prof Ngowi jinsi ambavyo hajaweka pesa mbele.No way
@kokudo8389
@kokudo8389 5 жыл бұрын
KKKK
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 4 жыл бұрын
Ametoa mfano mkuu
@mpawenimanasalvator8866
@mpawenimanasalvator8866 3 жыл бұрын
Munaweza kunisaidia nikiwa hapa .? Muniambie .namalipo
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 5 жыл бұрын
Swali je mkopo atalipa baada ya kumaliza chuo au
Stephen Kasolo Singing the last song for Mercy 💔😭 During candle lighting
6:58
Mercy Mawia's Eulogy.. RIP 💔 😭 Mercy
5:41
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 6 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 25 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 60 МЛН
How to BUILD a High-Performing Team in 2024 l 4 Types of Team Members
14:14
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 379 М.
Tofauti ya kampuni (Company) na Biashara ya Ubia (Partnership)
7:07
EDWIN SIFUNA || I  AM SORRY
21:49
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 17 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 25 МЛН