Ngoja niamke sasa nikaanze kazi saivi nina miaka 22 mpaka nikiwa na 30 tutajua
@eliasilwimba187Ай бұрын
Hongera bwana kaka,mawasiliano tafadhari.
@marikimartha9932Ай бұрын
Dr.chao your the best
@margarethmlimwa6627Ай бұрын
Nitaanza Ila naomba namba ya cm
@margarethmlimwa6627Ай бұрын
Nimeipenda Sana nitaendelea hadi
@SeveraShaoАй бұрын
Ni bei gani Vifaranga?
@SeveraShaoАй бұрын
Kaka mbegu hii ya zamani bado ipo?
@MwamtetaBaniАй бұрын
Tuoneshe banda ndani
@shantiMickelАй бұрын
👏👏👏👏 congrats 😅
@JeniphaAnthony-cw9dmАй бұрын
Nice kaka, hongera sana
@joshuakusena707Ай бұрын
Video hii niliiangalia muda sana nimeiludia mwaka huu
@SaidiBakari-ms5fp2 ай бұрын
Hongera sana
@jimimpembelea64882 ай бұрын
Namba ya simu hamna .tunaomba namba
@user-rc1dp6ux3k2 ай бұрын
Hongera mzee
@JenifferMoses2 ай бұрын
Hongera sana
@imaadseif37323 ай бұрын
Naomba namba ya simu nataka kununua mmoja
@user-gb5vz6wm2q3 ай бұрын
RIP Professor Ngowi
@edithamboya501620 күн бұрын
Weee!! Amefarii?
@alibinjuma7933 ай бұрын
👍
@AdamMohamedi3 ай бұрын
Napenda sana kazi ya ufugaji wa kuku ahsante kaka kwa ushauri na elimu nzuri mola akubarik
@paskaliSijaona3 ай бұрын
🤝🏿...pumzika kwa Amani prof.NGOWI + MCHUMI
@gastonbiyagwa90614 ай бұрын
Safi sana
@nsajimwasege684 ай бұрын
Kama kila mfugaji wa kimasai angekuwa na mawazo kama ya huyu mzee chuki za wakulima na wafugaji zingekuwa historia Tanzania,hongera sana Mzee wa Longido👏👏👏
@marychuwa81594 ай бұрын
Kwa kweli urithi si Elimu tu ngo'mbe 16 na fikra chanya zimebadili maisha
@AsheriAthumani5 ай бұрын
Nahitaji vifaranga kaka
@ngowitv21694 ай бұрын
Unahitaji kiasi gani na aina gani?
@GILGALI5 ай бұрын
what God bless you for this knowledge for Us.
@ahmedyunus54725 ай бұрын
Aseee wiki hiii naanza maana vyumba viwili ninavyo kama Banda
@ngowitv21694 ай бұрын
Jitahidi Uanze ni rahisi sana.
@GodfreyMwambwalo-ev9nh5 ай бұрын
Hongera sana
@user-zq2dj5sm3m5 ай бұрын
Mbona hamujaweka namba yake mimi nimekuja mpaka kimara suka sijampata
@nakundwamkubwe78236 ай бұрын
Mash Allah.
@noelngowitechnicalsolution6 ай бұрын
Noted
@user-ss4lx5en7z6 ай бұрын
Vifaranga wako unawapa aina gan ya chakula kaka
@user-ss4lx5en7z6 ай бұрын
Jamani kaka mi vifarang wangu nawapa stata ya vifaranga wadogo na wana wk mbili sasa wanalemaa na wanakufa sana sana jaman niwape nini nisaidieni.
@ngowitv21698 ай бұрын
Nzuri sana
@VictoriaEmmanuel-fy9kr8 ай бұрын
Nimependa.somo.nzuri.sana
@ismailjohn61089 ай бұрын
Aisee h vdeo naiangalia sahvi Sio chini YA Mara 2 mpka 3 kila mwezi
@user-wf7oh9jr7v9 ай бұрын
Elimu tamu.
@StephenKalenzi-fg3km9 ай бұрын
Mungu akwinue zaidi kakaamgu
@paulgaspermrema32910 ай бұрын
Hongera sana Mzee,ninalo ombi kwako,ninaweza kuja kujifunza kwako?mimi naishi Arusha Ninaitwa Paul Msafiri Mrema
@ngowitv21694 ай бұрын
Karibu sana
@user-xi4ei4tz6u10 ай бұрын
Hadi nywele zina sisimkwa kwa uzito wa ujumbe, hongera saana mzazi, ujumbe umefika.