Рет қаралды 71
Kama Kuna Jambazi Mkubwa wa Kukumbukwa US Basi ni Pamoja na John Dillinger.
Alipora Pesa Katika Benki 24 na Vituo vya Polisi, Kila Alipofungwa Gerezani Alitoroka.
Mwisho Alijibadilisha Sura, Hadi FingerPrints Zake za Vidoleni pia Akajibadilisha kwa Kunawa Acid.