Nakukubali sana bro jb umetisha sannaa mungu akutangulie katka swafar yako
@user-wl8fg8ne1f8 ай бұрын
Safi sana waigizaji hao ni hatari
@marysaituni45844 жыл бұрын
Huyo kaka nampenda bure..
@petermassawe86045 жыл бұрын
Uko vizuri bro
@anatorydesdery46545 жыл бұрын
Baruan Muhuza , Much appreciation to you
@blackpanther48254 жыл бұрын
Amejibu vema sana mwanzo. I liked it!
@jumakifua43475 жыл бұрын
uko vzur ww mi msanii khaswa,Tanzania one
@tezuramziray87005 жыл бұрын
Baruan Muhuza big up. Ila ushauri wangu naona kama utaweza kutupia vipande ( clips ) mbalimbali za muhusika ndani ya mahojiano ingependeza zaidi
@kasangamrisho34055 жыл бұрын
Kazi Nzuri Jb Namkubali Sana
@byamungushewe11785 жыл бұрын
Bwana mtangazaji, umwambie bwana JB kwamba raïa wengi tunapenda film zake kwahiyo asiondoke katika kucheza film tafadhali maana akiondoka ataumiza wengi roho zao
@seifshaaban92756 жыл бұрын
Nimekuelewa sna Bonge la Bwana
@blackpanther48254 жыл бұрын
Kajibu vema sana maswali!
@babenealoyce8895 жыл бұрын
Sio uzungu JB ila ni tabia ya middle class people popote duniani, iwe ulaya au Africa. Kuna wazungu ambao ni low income earners na wanatabia sawa na low income earners in afrika.
@blackpanther48254 жыл бұрын
Base ya hiyo middle class ni huo uzungu.
@sylviemutwale95275 жыл бұрын
Namkubali sana jb
@medardjustinian52235 жыл бұрын
Usimuache Nyuma Single Mtambalike
@ramadhanmbega68415 жыл бұрын
Jb unaongea ukweli waambie ukweri watanzania
@babenealoyce8895 жыл бұрын
Juu ya subtitles pelekeni idara ya lugha chuo kikuu.