Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1

  Рет қаралды 199,352

YahStoneTown

YahStoneTown

4 жыл бұрын

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcasts Link apple.co/2Ou1bru‬
‪KZfaq Link bit.ly/KZfaqSalamaNa
Weekend mbili zilitopita rafiki yangu Mwinyi aka Mpwa aka Cousin aka Hamis alikua akiadhimisha siku ya kuzaliwa kwake na alikua amefiksha umri wa kustahili kusherehekea kwa kweli na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa maisha, mke wake kipenzi alinipigia simu siku nne kabla ya birthday ya mumewe na kutaka tujumuike nae kum suprise, pia akaniambia ana kazi sana ya kuweza kukamilisha hilo tukio maana jamaa (Mwana FA) kashasema yeye hana mango wa kutaka shughuli, angependa maisha yaendelee tu kama kawaida. Pengine alikua akitarajia dinner nyumbani na mkewe na wanawe basi. So kukawa na zoezi hapo la kuhakikisha jamaa hasomi mchongo na kwamba zoezi ni lazima lifanikiwe. Malika binti yeke kwa kwanza ndo alikua amiri jeshi mkuu wa kuhakikisha Baba anarudi nyumbani by saa mbili usiku ili ale na familia chakula cha usiku. Suala hili lilizidi kuwa tamu pale Malika alipofanikiwa kutimiza ombi lake kwa Baba na sisi wengine ikawa rahisi kuibuka nyumbani na kumaliza mchongo mzima. Ulikua usiku mzuri ambao umeandaliwa kwa mapenzi mengi, na kila kitu kilipangwa kwa uangalifu by saa nne unusu tunaimba kata keki tule 😃. Ila kitu unique kabisa kwenye sherehe hiyo ilikua ni vipande vya karatasi ambayo tuligaiwa, vilikua na namba na namba yako ikitajwa basi kuna swali ilikua unatakiwa kulijibu, ili kuonyesha ukaribu wetu, unataka kujua mimi nilipata swali gani? Ok, swali lilikua ni kama nakumbuka siku yangu ya kwanza kukutana na Mwana FA!
Hiyo story itaendelea siku nyengine ila kwa sasa nikuambie tu mahusiano yangu na yeye Mwinyi. Tumekua pamoja naweza sema baada ya kukutana hapa mini Dar es Salaam mwanzoni mwa miaka ya 2000, sote tukiwa wembamba na watoto tu, ila bila ya shaka kila mmoja akiwa na nia na madhumuni ya kufika hapa tulipo na zaidi panapo majaaliwa, kuna smile flani ivi ambalo mpaka leo halijawahi kubadilika ndo ID yake pamoja na mwanya flani unaokamilisha muonekano wake, style za misuko ya nywele tofauti pia ilikua ikimtenganisha yeye na wanamuziki wengine, ila kikubwa zaidi ambacho kinamfanya yeye awe kasimama mbali na wenzake ni jinsi anavyoandika, anavyowasilisha na anavyowakuna pia washabiki wake ambao kila siku zinavyozidi kwenda wamekua wakiongezeka, nadhani ni baada ya kampa sikio la moja kwa moja ambako kumewafanya wamsikilize kwa umakini zaidi.
Siku za hivi karibuni rafiki yangu aliibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii zaidi Twitter baada ya kuamua kujiita yeye Shaaban Robert wa enzi zetu, kama ulikua hufahamu Shaaban Bin Robert alikua mi mshairi, muandishi wa vitabu na essay na pia inaaminika alikua moja kati ya wafikiri wazuri wa lugha ya Kiswahili kutoka Afrika ya Mashariki. Mwana FA ni mmoja kati wa washairi wazuri na mwenye style tamu pia ya kuwakilisha uandishi wake kwa miaka mingi sasa ya muziki huu wa kizazi kipya. Kama unadhani anastahili kujiweka ligi moja au hata nyumba moja na Shaaban Robert au pengine hana nafasi hiyo mimi sina cha kusema juu ya hilo, ila ninaloweza kusema ni kwamba rafiki yangu huyu ameonekana kukua mbele ya macho yangu kwa zaidi ya miaka kumi na tano sana, alianza kufanya kazi zake mapema tu kama solo artist na ngoma sake ya kwana tu ilikua HIT, Unaikumbuka INGEKUA VIPI? Kisha ikaja ECT, baadae kama Duo yeye na AY huku akiwa anaendelea kufanya solo projects na baada ya hapo ameendelea kusimama mwenyewe na kujiimarisha kila mara anapotupa nyimbo mpya, na kwa hilo basi niko hapa kwaajili ya kutoa heshima zangu kwake na kumtakia kila lenye kheri naye.
P.S
Mwana FA pia ni rafiki mzuri na Baba kipenzi kwa mabinti zake.
Enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Пікірлер: 274
@esterdanford5563
@esterdanford5563 4 жыл бұрын
Nilisoma comment kwenye intavyuu ya Gigi kuwa intavyuu ingine nzuri ni ya Mwana FA na sasa naitizama...nimejifunza kwel usione mtu anafurahi kuna siri kubwa nyuma yake.Big Up kwa kaka Binamu na dada Salama.😍
@jeremiahanthony5700
@jeremiahanthony5700 4 жыл бұрын
Ester Danford namimi pia nimetoka kwa gig
@fadhilalukindo1659
@fadhilalukindo1659 4 жыл бұрын
@@jeremiahanthony5700 hahaaaaaaaa na mm piaaa
@winniethobias1287
@winniethobias1287 4 жыл бұрын
even me
@evegideon6982
@evegideon6982 4 жыл бұрын
Hatamimi nimekuja kwa sababu hiyo
@theblessedone7526
@theblessedone7526 4 жыл бұрын
Interview ya gigy pia ndoimenifanya nije hapa
@husseinmussa5691
@husseinmussa5691 4 жыл бұрын
Iko hiv kama salama ni moja ya wanawak wabunifu,wasiokata tamaa,ni mpambanaj pia kwa kuongeza ladh kweny vipnd kam mkasi na mpka hiki yah ston town lov u so much,may god be with u salama**mwana fa secret super star pia ni bidhaa adim iliomuhim kweny mafunzo ya maisha
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
Mwana FA napenda unavyojua kuongea na media be blessed na keep it up Ww kama Ronaldo unajua kucheza na kamera
@mwandegeplaza6504
@mwandegeplaza6504 4 жыл бұрын
Duh, FA amepitia maisha magumu, acha tu apumzike kwa kula raha now
@Umande83
@Umande83 4 жыл бұрын
Hii ndio maana kaitwa Philosopher kweli hekima na busara ndio imefanya amekuwa kabisa. Hongera Mwana F.A.L.S.A.F.A
@calisteladislaus8319
@calisteladislaus8319 4 жыл бұрын
Hassan Umande haswaaa yaani
@christopherlusiga2112
@christopherlusiga2112 4 жыл бұрын
Subtitle 1:24 Hali yangu si hayati si mamati , kati kwa kati si mzima wa kutembea sana wala mgonjwa waa kulala kitandani.......ahahahahhah
@maryflorenceinvestment7532
@maryflorenceinvestment7532 4 жыл бұрын
Asante kW kuikakiri mm nimpatakwiki
@oumshoaib8714
@oumshoaib8714 4 жыл бұрын
😅😅😅😅
@hellenmawere9284
@hellenmawere9284 4 жыл бұрын
Kiswahili kitaamuuu hakika.. FA amekua nguli katika kukinasibu kiswahili kupitia misemo yake maridhawa.. nampendaaaa
@Amani715
@Amani715 4 жыл бұрын
I like how Salama asks her questions...she exactly knows what we the audiences would want to know next from the person being interviewed. Big up Sally.
@christopherjames3684
@christopherjames3684 4 жыл бұрын
Jamaa namuelewa sana et anajua vingi ila ajionyeshi
@adcafrica
@adcafrica 4 жыл бұрын
Nikiulizwa tofaut yako na watagazaji wengine (Hosts) nitasema wewe wewe sio host lakini unaweza kuwa zaidi yake. Kilichozidi kwako kuliko wengine ni uhalisia sana. Upo live sana wakat mwingine unaweza kumbadilisha mgeni wako katika mood tofaut tofaut na kupata ambacho watazamaji wako huwa tunayo shauku kwao Mtu akitazama show yako kwa dakika 2 tu tayari anaingia live na anajihisi km sehemu ya mazungumzo yenu hata asitamani kuacha kutazama na kusikiliza show yako Salama you're so live na Hongera
@bigboyben6932
@bigboyben6932 4 жыл бұрын
Nani mwingine anatizama huku anasoma comments?😂
@user-bp6br5yo1l
@user-bp6br5yo1l 3 ай бұрын
Mm mpendwaaa ❤❤❤❤❤ nasoma comment kwa umakinii
@jamilaathumani9004
@jamilaathumani9004 4 жыл бұрын
Salama akikuhoji inakufanya ufunguke zaidi,, anakufanya utoe exclusive,, wanaokubaliana namimi wapo ?
@mussamsella5801
@mussamsella5801 4 жыл бұрын
Haya ni zaidi ya mazungumzo,yaani Salama ni mzuri sana ktk kuongea(anautajiri wa maneno)hali kadhalika Binadamu ndio kabisa.
@kapistolojalo2831
@kapistolojalo2831 4 жыл бұрын
Huwa sichoki kuangalia hawa wa jamaa, F a,Feed,Roma, moe,Niki mbishi,one,Stereo,Jay,Afande,Stamina,Killer,wakazi.
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
Ay
@ShawalAbdi
@ShawalAbdi 4 жыл бұрын
Am a big fan of mwana fa since back then
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
jamaa ana jielewa sana huyu pia like salama
@twahaally1969
@twahaally1969 3 жыл бұрын
oohhh! leo ndio naisikiliza hii videos, now a day ndio mbunge MASHAALLAH
@rohityalsina5972
@rohityalsina5972 4 жыл бұрын
Dah jamani acheni utani salama mzur nyie leo ndo nimeliona hili
@user-eu2zc1nr4f
@user-eu2zc1nr4f 4 жыл бұрын
Hata mie
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 жыл бұрын
@@user-eu2zc1nr4f hahahhahaaha....
@ramadhankibaja8892
@ramadhankibaja8892 3 жыл бұрын
Duu had namtaman hahaah
@rachelernest6874
@rachelernest6874 4 жыл бұрын
Aisee usione mtu anatembea au kula bhata... Achaaa tuu.. watu wanapitia magumuuuu sana. 🙌
@gracechalagwa9745
@gracechalagwa9745 4 жыл бұрын
Pole sana Mwana F A limeniuma sana kutokuambiwa mama kufariki na kutokujua kaburi la mama mapaka leo
@ashumohd2192
@ashumohd2192 Жыл бұрын
😪😪😪
@abuuanwar0076
@abuuanwar0076 4 жыл бұрын
Bigup to Salama, the interview is very inspirational. In our late 30+, I remember Mwanafa in his carrier and I can see what he has achieved in life. God bless.
@tsumaingodie4680
@tsumaingodie4680 4 жыл бұрын
Big up
@khadijakumanzi3010
@khadijakumanzi3010 4 жыл бұрын
Now i know where u get that wisdom,kuishi na babu ndio unapata busara.
@abduljvo5549
@abduljvo5549 4 жыл бұрын
Khadija Kumanzi inategemea na babu mwenyewe lakin.
@mugadimon3563
@mugadimon3563 4 жыл бұрын
Inategemea na wazee wenyewe unayewaachia wanao . Wengine dada angu ukiwaachia ni msiba kwa wanao na utajuta na kuchukia ndugu zako.
@hellenmawere9284
@hellenmawere9284 4 жыл бұрын
Kellele moja kwa Babu akeeee👌
@dicksonfondo3078
@dicksonfondo3078 Жыл бұрын
Duh imenigusa sana hii interview wallah cz yanafanana na maisha yangu japo yake yamezidi Mungu azidi kukupa ngivu ya kupambana na kuwapenda wanaokuzunguka 🙏
@UgandanAllstarTales
@UgandanAllstarTales 4 жыл бұрын
Been waiting on this joint for a minute
@harunayussuf6866
@harunayussuf6866 4 жыл бұрын
Tafuta helazakutosha lakini usipigenazo picha 💪💪💪💪
@emmanuelsanga7811
@emmanuelsanga7811 4 жыл бұрын
Tulia ntakufundisha
@raphaelkimaro1753
@raphaelkimaro1753 4 жыл бұрын
mwanangu upo poa jamaa. safi sana swali umejibu kwa hekima ya ajabu
@drkimmy8026
@drkimmy8026 4 жыл бұрын
@ece jay .. This is podcast and the SalamaNa show in general, are life transforming, inspirational and educative ... Keep going 💪🏾
@irenekui2457
@irenekui2457 4 жыл бұрын
Watching the show from Kenya & loving Salama.Also Mwana FA is my favorite.
@seyra93
@seyra93 4 жыл бұрын
I have been waiting for this interview ..genius of mine 😍
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 жыл бұрын
Not only you better say we havi been waiting
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
Unafaa kuwa mbunge kabisaa nenda kinondoni....
@wedream7506
@wedream7506 4 жыл бұрын
So sad don't just judge pple and when you think you here seen a lot same pple walk in hell fire NEVER GIVE UP keep getting better MEHN I feel you FA thanks for the lesson
@jullyrichy5938
@jullyrichy5938 4 жыл бұрын
Mwana FA genious of a Man
@Wachuoni
@Wachuoni 4 жыл бұрын
Big up kwako Salama, napenda sana umakini wako wa kuisoma story na uwezo wa kuibua masuala stahiki
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 жыл бұрын
Daaah pole sana kka
@amirijosiah7897
@amirijosiah7897 4 жыл бұрын
Congratulations Salama for Good job your doing
@stay_onit360
@stay_onit360 4 жыл бұрын
Wow my favourite sta 🤝🤝🤝
@tafawasaid4740
@tafawasaid4740 4 жыл бұрын
Fid 🆚 FA kwenye ma interview wanauwaga sana hawa majamaaa Always
@suleimanikhamisi65
@suleimanikhamisi65 4 жыл бұрын
Kna mwamba wa kuitwa Nikki mbishi ni hatari sn
@hagobbeshsayyd3217
@hagobbeshsayyd3217 3 жыл бұрын
FA anafana na JK kwa kiasi MashaAllah genius snaa
@mrminase
@mrminase 6 ай бұрын
13:08 mpaka 13:30 🙌🏼
@babaajnaty8629
@babaajnaty8629 4 жыл бұрын
#MwanFa mtu mkubwa Tz hyooo big up👍👍👍
@freshtiff1265
@freshtiff1265 4 жыл бұрын
I’m waiting 😊
@chunanachu2529
@chunanachu2529 4 жыл бұрын
Wallah nampenda sana salama
@kaskaziniansgang1288
@kaskaziniansgang1288 4 жыл бұрын
The definition of the hustler
@godlovenassary9658
@godlovenassary9658 2 жыл бұрын
Daaah hiii story Kama vile anaelezea maisha yang maana aliko pitaaa nimekumbana nayo Ila namshukuru mungu kwa akili na hekima alonipaa Ila nashukuru mungu wazazi wote bado wako hai.
@samiamutran8455
@samiamutran8455 4 жыл бұрын
I love you Salama na Binamu the choirmaster.
@mangib52
@mangib52 4 жыл бұрын
Too sad but nimemwelea sana mwana fa...✌
@OnlyRuky
@OnlyRuky 4 жыл бұрын
Daaah story tamu kweli
@legrandmsangi8405
@legrandmsangi8405 Жыл бұрын
Appreciate this prime minister.. yn mpk kuongea kunaenda kw nakshi nakshi afu madini matupu
@nicksonhelman3436
@nicksonhelman3436 3 жыл бұрын
Du, nimeamini mutu ukipitia maisha kama haya tunajifunza mengi namimi pia kwamamayangu kila mutu anababayake nawote walifaliki lakini nashukulu mungu kanijalia mafanikio
@mackdonardbaharia5699
@mackdonardbaharia5699 4 жыл бұрын
Huyu jamaa hauchoki kumsikiliza yan he is very smart kichwani
@amirijosiah7897
@amirijosiah7897 4 жыл бұрын
Personally you inspire me so much Salama +254 live
@adamumuki1242
@adamumuki1242 3 жыл бұрын
Uyu jamaaa nampenda kwa ukweli msema kweli sana Allah atakuongoza kwa kheri bro
@kelvinhenry5896
@kelvinhenry5896 4 жыл бұрын
umeni inspire saana mwana fa nakubali💪
@naynavitalis262
@naynavitalis262 4 жыл бұрын
I am waiting
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Duuuuh billion 2 na milion 185 na watu hawatambi wala nini wanaishi kawaida but wanafanya wanavyopenda bila kuonyesha majigambo..... I like that 🙌🏽
@mariammlangwa6104
@mariammlangwa6104 4 жыл бұрын
Yaaani ni nadra sanaaa aiseee
@happynesselisha2048
@happynesselisha2048 4 жыл бұрын
Yaan mm hiyo tu milion 185 tanzania nzima itanijua 😆😆
@hajigidozz5919
@hajigidozz5919 4 жыл бұрын
Mm jaman naona km Salam anagonga mojito nipen like zangu
@user-eu2zc1nr4f
@user-eu2zc1nr4f 4 жыл бұрын
Sijakuona kitambo salama,umesuka na umebana mchicha
@evancpeter8149
@evancpeter8149 3 жыл бұрын
Fa kalengwa na machozi.... @mwana fm nimekupenda zaidi
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 4 жыл бұрын
Nimekupenda pole
@nashbeka9992
@nashbeka9992 4 жыл бұрын
Show nzuri napenda anavyojielezea
@pheninhojr5875
@pheninhojr5875 4 жыл бұрын
Nlkuwa namsubilia BINAMU FOR REAL tujuane tuliocommen ata kabl ya kusikiliz vzurii interview.. 👣👣👣
@hellenmawere9284
@hellenmawere9284 4 жыл бұрын
Binamu Kama binamu... Unaachaje kujisalimisha kwa mfano? Big up kwake
@ibel4lf
@ibel4lf 4 жыл бұрын
Interview 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻
@nasibunziku8862
@nasibunziku8862 4 жыл бұрын
Hongera Sana kwake mwana fa
@rehemashaban6858
@rehemashaban6858 4 жыл бұрын
Pole sana my brother
@sofiajumbe8307
@sofiajumbe8307 3 жыл бұрын
Safi sana mwana fA
@kigwisimulindwaclemo8541
@kigwisimulindwaclemo8541 4 жыл бұрын
Watching from Dubai
@salumjumah5648
@salumjumah5648 2 жыл бұрын
Mwanafalsafa,Binamu,James Bond Bonge la interview 👏👏
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Nimecheka kwenye hari yako🤣🤣🤣
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 4 жыл бұрын
Salama.uko vizuri mwana.
@hadijamajid1054
@hadijamajid1054 4 жыл бұрын
Binaaaaam
@barakajengela6340
@barakajengela6340 4 жыл бұрын
Genius kabisa Fa
@agriparose3942
@agriparose3942 4 жыл бұрын
Me mpaka Leo sijui kwetu ni wapi nimeruka ruka tu mpaka hapa nilipo
@calisteladislaus8319
@calisteladislaus8319 4 жыл бұрын
Agripa Rose 😅😅🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️
@theblessedone7526
@theblessedone7526 4 жыл бұрын
😥😥😥
@rachelfrank235
@rachelfrank235 4 жыл бұрын
aki nimecheka alafu nimekuhurumia...pole dear.
@otreymaiko7703
@otreymaiko7703 7 ай бұрын
My idol @mwana FA
@edwinmbugua7738
@edwinmbugua7738 4 жыл бұрын
first to watch.. form +254
@rohityalsina5972
@rohityalsina5972 4 жыл бұрын
😂😂 baba wa kambo tulishamalizana nae mazima
@calisteladislaus8319
@calisteladislaus8319 4 жыл бұрын
ROHITY ALSINA hatuna shida naye huyo
@rohityalsina5972
@rohityalsina5972 4 жыл бұрын
@@calisteladislaus8319 ah ah ah ah ah ah ah 😂 noooo yan nimexhangaa kuona kama vile ni jambo dogo
@iddseph436
@iddseph436 4 жыл бұрын
Wa kwanza wa view
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 жыл бұрын
Idd Seph Mapishi matamu kzfaq.info/get/bejne/r56IbN1omLS-gZ8.html naomba subscribe tafadhali
@starruben384
@starruben384 4 жыл бұрын
we endelea tu...
@twamanjatwasini4200
@twamanjatwasini4200 2 жыл бұрын
Kuna mdogo na mchanga 💪yes
@ramadhankibaja8892
@ramadhankibaja8892 3 жыл бұрын
Jamaa ana smile kila mda ila moyon anaumia sana kwa vitu viliv pita daahsh
@dullykiftu6382
@dullykiftu6382 3 жыл бұрын
Pole kaka namiyalinikuta kama yako tupo wengi uwanawaza sana ama kweli mti kubwa ukianguka matawi utawanyika.🙆🙆
@sportsbezi6690
@sportsbezi6690 4 жыл бұрын
mwana FA ana ongea vitu vikubwa ka vyakawaida
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 4 жыл бұрын
brainy comment
@fatmahassan6497
@fatmahassan6497 4 жыл бұрын
Yah
@twamanjatwasini4200
@twamanjatwasini4200 2 жыл бұрын
Ana mawazo yanayoishi nandio maana sichoki kumskiliza mwana fA 2021
@naomiprincess4169
@naomiprincess4169 4 жыл бұрын
Bonge ya interview
@juliusmatalo2211
@juliusmatalo2211 4 жыл бұрын
Ila salama wee mzuuriii😂😂
@saidabdallah3193
@saidabdallah3193 4 жыл бұрын
Nafikiri ukifanikiwa kuwafanya waelewe kwanini unawapa au unawanyima inaweza kuwasaidia wote
@ismailkatala4792
@ismailkatala4792 4 жыл бұрын
Huyo atakuwa ridhiwani kikwete 😂😂
@robinsonjohn3173
@robinsonjohn3173 Жыл бұрын
salama ongera kwa kupenda tshet nyeusi.
@hamispeter9043
@hamispeter9043 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@sabihajuma3307
@sabihajuma3307 2 жыл бұрын
You make me realize that it's better to rise child for may ways you're so mean to me love ❤ 😍 you fa
@kanaanrajab1102
@kanaanrajab1102 Жыл бұрын
Dah pole sannaaaa Fa to situation iliyo kua face when children 😢
@abdulbakari4122
@abdulbakari4122 4 жыл бұрын
Tundi fa,jamaa anajua mpk anakera yaani
@simonmachibya4904
@simonmachibya4904 4 жыл бұрын
Pole sana mwana fa
@ZeinMedia2022
@ZeinMedia2022 Жыл бұрын
Huna plan na huna kwenu 😭 dah! amenigusa mm ktk hii point lakini alhamdulillah now
@lilianmsilu5495
@lilianmsilu5495 Ай бұрын
Akili nyingi sana uyu jamaa
@geofreyfelix86
@geofreyfelix86 3 жыл бұрын
Dah FA mungu azidi kukupigania
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 6 ай бұрын
Huyu jamaa jina lake na akili yake zinaendana MWANAFALSAFA
@muddyboy8435
@muddyboy8435 4 жыл бұрын
Mi binafs cjawah kupita interview za Anko FA
@Mzayanine
@Mzayanine 4 жыл бұрын
Pole men
@zuhurahussein5132
@zuhurahussein5132 3 жыл бұрын
Salama mrudishe tena uyu jamaa maana sa iv kashakuwa mwanasiasa na ni M' bunge kwa sasa
@shikikitabunda1177
@shikikitabunda1177 4 жыл бұрын
Ridwani huyo 20:50
@adelardhabonimana6388
@adelardhabonimana6388 4 жыл бұрын
Nice
Salama Na Ben Pol Ep 11 | WA MNYANG’ANGA Part 1
33:07
YahStoneTown
Рет қаралды 55 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 175 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 2
31:03
YahStoneTown
Рет қаралды 303 М.
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Wasafi Media
Рет қаралды 25 М.
Unakumbuka haya maneno matatu ya Mzee Mengi kwenye msiba wa Ruge
4:57
Mkasi | S13E10 with Ruge Extended Version
40:28
MkasiTV
Рет қаралды 532 М.
Salama Na Jokate Ep 3 | KAMISHNA Part 1
26:24
YahStoneTown
Рет қаралды 319 М.
Stay on your way 🛤️✨
0:34
A4
Рет қаралды 20 МЛН
Gymrat CAT is a CHEATER?! 🙀 #kitten #cat #cute #aicat
0:45
Stunning Cat Stories
Рет қаралды 30 МЛН
Крокодил получил по-заслугам! 😱
0:32
КиноСклад
Рет қаралды 19 МЛН
Difference of girls and boys when eating sweets 😂😬
0:35
VovaLika Family
Рет қаралды 10 МЛН
Matt Kills Dexter's Deer | Dexter: New Blood S1E1 | #Shorts
0:51
Clashed PR
Рет қаралды 10 МЛН