Uki weka earphones while listening to his voice uta gunduwa uyu jamaa ni genius
@ericksagara17192 жыл бұрын
Mimi licha story kuwa nzuri, napenda saaana namna msimuliaji anavyosimulia. Mungu akupe maisha malefu. Mimi naitwa Justin Shed, twende kazi,,,,,,
@falconn55753 жыл бұрын
Tunakupenda sanaa Justin, sauti yako yenyewe inaonesha wewe ni nani. Tunakusikiriza sanaa huku USA, Keep going Bro.💪💪💪
@garanjomba91233 жыл бұрын
Simulizi nzuri sana tena niyakufana huyo Doo mwanaume halisi.sisi wengine hatuweki Siri.
@onidasnicola23353 жыл бұрын
Nakukubali yani hadithi zako zinasisimua ukianza kusikiliza lazima usikilize mpaka mwisho
@victorochieng4217 Жыл бұрын
Kazi mzuri sana Shedi zidini kuwaelimisha watu Kama bado kuna muda,barikiwa.
@stormspark62593 жыл бұрын
Keep it up bro
@fudasiakishe153 жыл бұрын
Hofu ilimtesa, mashaka yaligubika familia yake. Kusingizia kulimharibia maisha. Wamesamehewa bure.
@Meme-sr1gl3 жыл бұрын
Daaaaah ndoa ni siri kubwa sn
@salhamrisho81383 жыл бұрын
💞story nzuri mashallah maboork
@abuubakari89653 жыл бұрын
Waaooh nzury
@alleoo2733 жыл бұрын
Simulizi nzuri
@alexjollu97293 жыл бұрын
Iko vizuri sana
@swahilibrotherhood3 жыл бұрын
Justin nataman kujua deep kuhusu mpaka wa South na North Korea naskia ni very dangerous place me nakufatilia sn nipo cape Town south africa, please tupe details ukiwa na nafasi, thank buddy
@marywanyika69243 жыл бұрын
Following
@vickykileo62513 жыл бұрын
Mmh hii Kali
@stevenlema74453 жыл бұрын
Nakubali kaka
@esteremanuel24523 жыл бұрын
Nzuri sana
@paulinacherement25343 жыл бұрын
SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR
@komboabdallah44513 жыл бұрын
Mm ninao ushaid ,mama mmoja kaolewa Tena kabint lkn chaajabu aliishi na mumewe na kuzaa nae lkn mume hakujua kuwa mkewe anawatoto ,mwez uliopita alifarik Yule Dada ,watoto wake walikuja kumzka ,watoto wa 4m4
@mohamedhaji22003 жыл бұрын
Duhhhh
@user-rd7jt1vi5x3 жыл бұрын
Hatar yupo msiri hyo dada hatar
@CarosKitchen3 жыл бұрын
Hatari sana
@himselftz41203 жыл бұрын
Twende kazi
@nasryathanas80303 жыл бұрын
We unajua kaka✌️
@pascaljacob98453 жыл бұрын
Keep it up..!!
@MachembaMedia3 жыл бұрын
Umeitafsiri vizuri
@anandepallangyo41773 жыл бұрын
Story nzuri
@rojatv1673 жыл бұрын
Noma
@preciousmohmed73723 жыл бұрын
Huyu koupa Kuna station moja ya tv uliwahi eleza kisa hiki na story ziko tofauti ........huyu so ndo van koupa alieteka ndege ama mm ndo nachanganya🥴🙄
@mariamyoyote81723 жыл бұрын
Kasema Alex Copa na devid Copa sio van nami nishaisikiaga hiyo ya van copa
@preciousmohmed73723 жыл бұрын
@@mariamyoyote8172 story Zinafanana kwa kiasi flani ndomaana nikauliza 🥴
@NeemaMasawe-ox5tp3 ай бұрын
Daaaha😂😂😂 nice story
@mariamubakari5993 жыл бұрын
Jaman story nzuri ila naona kama ni fupi sana
@aminashekimweri49943 жыл бұрын
Nzuri
@Veronika-tg6yz Жыл бұрын
Simuliz nzur sanaaaaa jmn
@jenifajackson40953 жыл бұрын
Kwani hao wanandoa wenyewe wanasemaje 🤣
@lilymatoli71173 жыл бұрын
Hhhha
@alicehellenbongi83163 жыл бұрын
vc
@xhampoza_253 жыл бұрын
Mimi naitwa justin shed sasa twende kazi
@wemaroy15353 жыл бұрын
Kwan yang yenyewe inasemajee😂😂
@xhampoza_253 жыл бұрын
@@wemaroy1535 haikuhusu dada 🤗🤗
@neemakasebele63313 жыл бұрын
Kwan yanga na Azam wanasemaje
@makulaikuku69093 жыл бұрын
@@wemaroy1535 achana na yanga yetu
@makulaikuku69093 жыл бұрын
@@xhampoza_25 kweli haimhusu
@bagotozakanwa68553 жыл бұрын
Aaaaaaa huo ukweli
@alexsalum78243 жыл бұрын
Iko vzr
@thekingcr73653 жыл бұрын
Kama ushawahi sikia kauli inayosema ""Moyo ni msitu"" basi hii ndio mana yake
@BONGOFASTA3 жыл бұрын
kweli kabisa
@mustafaxhaka73103 жыл бұрын
Story mzur bro
@lausimchopa49483 жыл бұрын
Yuuui
@omarymio40983 жыл бұрын
nakubari xna mkali
@catherinekaingu68763 жыл бұрын
Nyc story
@samsonhaule36473 жыл бұрын
Upo Vizuri sana, Mtangazaji.
@hehegirl1163 жыл бұрын
Nice story
@nzumbimussa95113 жыл бұрын
Daaaa kweli ni hadith nzur
@jospinesinyinza69213 жыл бұрын
Nimekupata mkuu, ila naomba utume spelling za jina la huyo mume ili nimsome maana katika kutamka nimeshindwa kudaka spelling zake
@amosgerald77633 жыл бұрын
Aiseee
@tannylunya10693 жыл бұрын
Kwani mke wake anasemaje sas twende kaziiii
@levaniawilliam71093 жыл бұрын
duuuh htr
@sandewillymusic56153 жыл бұрын
TWENDE KAZI,,Kasonge mbele,_
@lilianjoseph52903 жыл бұрын
Hakika sili ni ya moja 👏👌
@Brighton5283 жыл бұрын
👍👍
@eliudmaster21753 жыл бұрын
Iko powa sana
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Moyo wa mtu kichaka kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@achouraachoura57633 жыл бұрын
Yaani duh ii Kali kuliko😂😂😂
@lizzybahati98333 жыл бұрын
@@achouraachoura5763 🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@shukranlyimo87563 жыл бұрын
kumbe wajuba walisha kamatwa
@wilesimon11583 жыл бұрын
Nice
@coletashirima21933 жыл бұрын
Hahah hadi inanchekesha jaman
@gladsonbaltazary74493 жыл бұрын
Duuuuh... family family
@happinesskaali47503 жыл бұрын
Duh...
@peterkivuli5243 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@marympemba18293 жыл бұрын
👌
@adrianandrew53593 жыл бұрын
Tishaaa
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Siri kweli
@lavenalol59443 жыл бұрын
Duu kwel sir ni ya mmoja
@juliusisusumajuliusi4242 жыл бұрын
Jamaaa alishiii na time travel
@jordasashaibu77593 жыл бұрын
Daaah
@ibrahimaziz71583 жыл бұрын
Bila shaka huyu ni cooper yuleyule alietoroka na ndege shenz
@elifurahamoshi88063 жыл бұрын
Hahaahah
@jonathanmao923 жыл бұрын
Hahahaha
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌.
@guccij62363 жыл бұрын
Kuoa ni Kama kununua parachichi sokoni unabonyeza 9 unanunua 1 Sasa wewe jifanye mjuaji utanunua bichi
@paskantymr13683 жыл бұрын
Bichi ndo lenyewe kk na cc tunabofya ma nne tunanunua hayohayo vpi upande wapi
@mirajhrs3 жыл бұрын
😂😂😂
@paskantymr13683 жыл бұрын
@@mirajhrs yeah huku upande huu raha sana ukiona bovu hakatazwi kunitumia na ukajalibu kuliseti kama limeoza luksa kuliacha au unanunua manne kuondoa utata mawili matamu mawili machachu ila upo wakati utayamic machachu hahahahaha
@amandasaloon16523 жыл бұрын
Duniya inamengi
@mustakimukarimu51653 жыл бұрын
Sasa twende kazii
@leahmgunda50553 жыл бұрын
Haya mambo ya kubambikana kesi ni laana ya dunia.
@azizawadh59733 жыл бұрын
Walevi
@KhelsaOxford3 жыл бұрын
Nimekupata kaka
@sulaymanwaziri44553 жыл бұрын
Duh
@kelvinfungo1193 жыл бұрын
Sasa twende kaz
@wincatemuryithi8763 жыл бұрын
Thanks for the story
@leahjohnsimba16283 жыл бұрын
Du inashangaza
@jenifajuma53953 жыл бұрын
Good 👍
@atuganilendomba6701 Жыл бұрын
Tunaomba n za kifilipino
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Eeeh 🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@rachelkeneth86873 жыл бұрын
Dah aisee sisi binadamu tuna siri kubwa sana
@sarahzuberi75303 жыл бұрын
Ww ndo huyo unakunywa chai au
@mohamedhaji22003 жыл бұрын
Ndie umempenda?
@sarahzuberi75303 жыл бұрын
@@mohamedhaji2200 kiasi
@aminatanzanya74752 жыл бұрын
Iko poa
@estheronyoro14523 жыл бұрын
Duh hataree
@michaeljeremiah53642 жыл бұрын
Najuta kuchelewa kuja uku!!..
@godyfreywilla5595 Жыл бұрын
kwann
@tindokamuti81423 жыл бұрын
Nakusikiliza nikiwa cape town
@fanuelsulle81443 жыл бұрын
Kwani mke wake anasemaje!?
@janemulishi92653 жыл бұрын
😅😅😅
@dorcyjohnson54313 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@salhaayubu87203 жыл бұрын
Dah jaman mungu atulinde kwa matatizo ya dunia
@johnngulat9273 жыл бұрын
Bongo fasta no Tamu sana napenda hadithi Sana ni nzuri
@saudaali33843 жыл бұрын
Uongo ii story inausu wizi ila uyu jamaa kasimulia tofaut acha uongo jamaa nauyo kupa hajaonekana mpaka leo
@joycenshala13103 жыл бұрын
Kwani umelazimishwa kuamini
@user-rd7jt1vi5x3 жыл бұрын
Leta yako ya kweli ili tuamini sasa watu wengine bwana wanaudhi kweli mtu Anasimulia kitu yy yupo anasema ni uongo bas leta yako kama hii
@fatmazullu49333 жыл бұрын
Aisee haya ngoja ni subscribe sasa!
@BONGOFASTA3 жыл бұрын
asante sana Fatma,karibu
@dorothmariwa78053 жыл бұрын
Tena haraka
@ishoboylecture3 жыл бұрын
Sheee unamafua?
@seiflimbe75343 жыл бұрын
Ok
@josephemmanuel31753 жыл бұрын
Duuuu kwahyo wenye ndoa wanasemaje
@janethtupa63613 жыл бұрын
Joseph Emmanuel tuseme nn tushaanza kuwa na waswas na wanaume
@user-rd7jt1vi5x3 жыл бұрын
Cyo wanaume hata wanawake pia wana siri kubwa sana hivyo hakuna kulaumiana hapa kila mtu na siri yake wanawake wanavyo wasingizia kapewa mimba na mwingine mtoto analelewa na mwingine hiyo haki kweli