Mrembo ALIFARlKI SEBULENI kwake na hakuna aliejua kwa MIAKA MIWILI, Hiki ndicho kilichomtokea.

  Рет қаралды 123,817

BONGO FASTA

BONGO FASTA

Жыл бұрын

Пікірлер: 145
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz Жыл бұрын
Ndio maana Africa tunapendana sana ndio maana ukiwa na jirani mnaombana chumvi moto,chakula mna peana salamu kujulianq hali kutembeleana ndio maana watu wasipokuona siku 2 kama sio kawaida yako wanakufata kuuliza vip Tuendelee kupendana sisi Waafrica
@josephatjose7524
@josephatjose7524 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@sifasanga7866
@sifasanga7866 Жыл бұрын
True
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Na ndania ya upendo huo kuna murorongo mkubwa wa maneno naumbeana ushirikinaa nakusingiziwa vitu vingi Bora arivyokua anaishi kwani kufa sikufa kwani arozikwa kwamuda sahihi na joyisi arokaa mudamurefu was myaka2 bira kuzikwa wanatufautiana nini sikuoza na kuoza
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Hio ya kuombana moto chunvi irishazua Mambo mengi na naha mukayi siku nyingi bira kugombana mengi arsha tokea Ni umbea mtupu kwani mpaka watu waamuwe kukaa kivyawo wanakuwa warisha kutana na mengi kutoka kwamajirani zawo harafu muki sema upendo mkumbuke upendo huo una vipengere sisi wa afurka hasa watanzaia tuna upendo wa mudomoni tu Yani wa kauri sio msada wakwenye matatizo musada wakutarifu misiba na kukimbiza ujumbe na maneno tunao , arakini Mambo mengine hatuna rorote tumekuwa wachoyo makatiri tunauwana kinyama tunanyanyasa watoto na wazee wewe unakura unashiba unamwaga jiraniako ananjaa na watoto mahari yao unayifaham eti upendo akuna Cha upendo wara nini
@skudhaniali
@skudhaniali Жыл бұрын
@@khadjamhozya daah hivi wewe ni muafrica au mbona kama huelewi thamani ya mtu kuzikwa eee Pole sana kufa ni kufa ila maiti ina thamani sana ya kuhifadhiwa na kuzikwa
@flezzyroshan9380
@flezzyroshan9380 Жыл бұрын
Roho zakukataliwa ,n mbaya ,so tuweze kunyenyekea ,nakuvunja madhibau Kaa haya yasiyona umuhimu wake kwa jamii🙏,alafu tuwe pia waombezi sana ,kifupi Maombi n muhimu katika maisha yetu🙏🙄
@martinijolo8963
@martinijolo8963 Жыл бұрын
Sijui ni ugonjwa gani huu ....nami nimekutana na binti anaweza kaaa hata week yupo ndani na hata majirani na baadhi ya ndugu zake hawamwelewi Kuna muda anatuma msg kwani tusipokuwa marafiki mimi na yeye nini kinapungua ...au naona sitaki uwe karibu na mimi tafuta mtu mwingine niache niwe huru wala isinisaidie kwa lolote....sasa kwa sababu nilishamzoea naona kawaida tuuu baadae atakuwa sawa maisha yanaenda......sijui ni tatizo gani hili ....hata mama yake mzazi hajali
@neykweyamba2429
@neykweyamba2429 Жыл бұрын
Uyo sasa kazidi Kutaa ndani weeki Au mwezi sio tatizo tatizo niilo lakukataa Ukaribu na watu Au uUrafiki.. Mie naweza kaa ndani Ata mwaka mzima nabado niko na marafiki uwa ni Necha ya mtu Alivyo ubwa na Mungu Kupenda kuwa siemu tulivyu
@safinamakoto2747
@safinamakoto2747 Жыл бұрын
Nishida au maradhi ya kutokea ....najini famili majini (kauthurna)
@daisynyerere5730
@daisynyerere5730 Жыл бұрын
Anaumwa Sonona(dipression) mpelekeni kwa Dr wa tiba ya magojwa ya akili
@tunkuh661
@tunkuh661 Жыл бұрын
Huo ni ugonjwa wa mfadhaiko wa akili unatibiwa kisaikolojia na vidonge pia mpelekeni kwa wataalamu wa magonjwa ya akili. Pia ndugu wa karibu mnahitaji kumuonesha upendo na kuwa karibu nae coz anaweza fikia maamuzi mabaya bila nyie kujua ila ktk hili mnahitaji uvumilivu.
@upendojoseph7912
@upendojoseph7912 Жыл бұрын
Sonon
@mercymwasha3993
@mercymwasha3993 Жыл бұрын
Roho ya kukataliwa hiyo. Solution ni kuwa na Yesu katika maisha yako, unaepuka yote haya
@linfordkieya6512
@linfordkieya6512 Жыл бұрын
Asante sana Justin Shed kwa kusimulia ombi langu hatimaye😊. Nimefurahia sana simulizi hili na hongera kwa kazi nzuri unayoifanya ya kutuelimisha na vile vile kutuburudisha kuhusiana na maswala mbalimbali. Ni nadra sana nikose kutazama video zako zote. Hakika ubarikiwe sana kaka🙏
@luizerndayanse6214
@luizerndayanse6214 Жыл бұрын
Hhhhhhh aya bhn
@joycemetili3876
@joycemetili3876 Жыл бұрын
Mmhhh! Mbona inaonyesha alikuwa na marafiki!...Hao waliomletea zawadi au kama ni yeye alikuwa anafunga hizo zawadi. Inakuwaje hata marafiki wasimtafute hadi miaka miwili inaisha? Majirani hawakusikia harufu? Hebu Tupe full story maana ina sintofahamu nyingi.
@jacklinekagasha5099
@jacklinekagasha5099 16 күн бұрын
Bro unaweza
@omarysaid8725
@omarysaid8725 Жыл бұрын
Tunaomba story ya wana anga walio fariki 2008 kwenye chombo cha Colombia space shuttle disaster
@Victoria-cb4do
@Victoria-cb4do Жыл бұрын
Tupo wengi wenye hayo maisha ukiwa mstalabu unachukiwa bila tatizo
@samirajohn6938
@samirajohn6938 Жыл бұрын
She was very beautiful 🤩
@raymondmacha3164
@raymondmacha3164 Жыл бұрын
Sas twende kazi, Tunaomba utupee history ya Anguko la utawala wa kiroma.. Taifa liliso uangusha utawala huoo na sababu zilizopelekea sn utawala wa warumi kuangua. 🙏🙏
@deborahbutoto6375
@deborahbutoto6375 Жыл бұрын
jamani hata ndugu zake nao walikuwa kimya 😢😢😢
@evalenad6256
@evalenad6256 Жыл бұрын
Hii ni story yakweli kabisa yanatokea sana ulaya
@JayJay-is6qq
@JayJay-is6qq Жыл бұрын
Mimi ndo tabiya yang nimepata funzo kubwa san kutok kwa huyo binti
@henrylugendo280
@henrylugendo280 Жыл бұрын
Good story bro
@hamidajabu3324
@hamidajabu3324 Жыл бұрын
Basi namm ntakua km joice wallah 😢 mana sipend kujichanganya wala kukaa na watu mda wote nipo mwenyewe km ugonjwa huu jmn nisaidieni dawa mana hii😂story najiona mimi tuu daaah😢
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Usijiombee hivo, yasije kuwa
@nancysrath2184
@nancysrath2184 Жыл бұрын
@@imagepower3641 sio kujiombea hata mimi niko hivyo nawez kaa week nzima na jiran asijue kama nipo ad wanakujag kugobga wananiuliz kama niko salama mwish wamezoea tu
@husnaally7964
@husnaally7964 Жыл бұрын
Sio Hali ya kawaida lazma ujilazimishe kutoka uwe na marafik uwafate wataalam wakusaidie
@Sunshine-li6ef
@Sunshine-li6ef Жыл бұрын
Hata mimi pia nipo hivyo tena hakuna kitu siwezi kama kuwa kwenye sehemu za mikusanyiko ya watu kama misiba au sherehe huwa najilazimisha sana ili watu wasione sijali lakini nimepata jibu baada ya mwanangu wa 4 kugundulika na usonji na dr kunifanyia uchunguzi na mm kwa kuona hata nikiongea nyaye siwezi kumtazama machoni.
@aishahamisi5854
@aishahamisi5854 Жыл бұрын
😂😂
@user-cv1pj6ig4c
@user-cv1pj6ig4c 10 ай бұрын
Mimi naipenda tu sauti yako Sasa twendekazi
@verahwagaki4470
@verahwagaki4470 Жыл бұрын
Asante sana ,imenifunza sana,kwani nivyema Kua uhusiano na watu,hongela
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Kwani wenyewe wanakubarii😂😂😂😂😂
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Kwahyo hao waliokua wanampelekea Zawadi walikua hawamuoni Kua kafa hapo kwenye kiti?
@chachuboychachuboy971
@chachuboychachuboy971 Жыл бұрын
zawadi hakupelekewa na mtu ila alitokanazo mwenyewe alipo kuwa akirudi kusherehekea krismass
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Жыл бұрын
@@chachuboychachuboy971 Ooooohhhh hapo nimeelewa sasa Ahsante wangu 🙏🏼
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
​@@chachuboychachuboy971muongo nani kasemaa kwamba aritoka nazo mwenyewe umejifanya najuwa, au unaona hatuna maskio hutujasikia kisa chote au?🤔🤔😂
@josephinenzuve
@josephinenzuve Жыл бұрын
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi
@minisayounice9903
@minisayounice9903 Жыл бұрын
Check up on your friends 🥺 always
@lightnessmsangi3148
@lightnessmsangi3148 Жыл бұрын
Kuna kitu kilimfanya awe hivyo, Atakua na majeraha makubwa sana moyoni
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 Жыл бұрын
Iyo nakubali unavyo sema kunakipindi unaumizwa mpaka unaamuwa kujitenga
@jojo-ne3oy
@jojo-ne3oy Жыл бұрын
@@salumunsabimana6502 kbx😓
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Umenenaa
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
​@@salumunsabimana6502 nikweri kabisa binadamu Ni shida mpaka mutu amuwe hivo sio bure
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
KUMBUKA KUNANCHI WATU WANAISHI KILA MTU NA MAMBO YAKE. SIYO KAMA AFRICA
@celinmremi6434
@celinmremi6434 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁☝️first
@mussalameck2166
@mussalameck2166 Жыл бұрын
Kuna binti yupo namfahamu na yeye anamazingira ya kutopenda watu anapenda kuwa peke yake tuh nilijaribu kutengeneza urafik nae lakin atukufika mwez alinitumia sms eti ni vyema tusijuane sabab anais ayupo huru kiufupi mazingira yake kwa mtu wa kawaida uwez kumwelewa sabab anaweza kuishi ndan ata mwaka mzima bila kutoka nje sijui kitaramu hii ipoje jamani
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Mhmm uyo Anatatizo kwenye Mambo ya kiroho hayupo sawa
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 Жыл бұрын
Duuh
@tunkuh661
@tunkuh661 Жыл бұрын
Hiyo ni mojawapo ya dalili za aina ya ugonjwa wa akili unajulikana kwa jina la mfadhaiko wa akili/depression, uzuri unatibika but unahitaji uvumilivu sana kufikia uponyaji hasa kwa upande wa wauguzaji.
@mussalameck2166
@mussalameck2166 Жыл бұрын
@@tunkuh661 mmh kwakeli sizan sababu achelewi kukasirika bila sababu ata kama utajaribu kufanya atabasam ndipo utamkera zaid ubinafsi na kutojari ndo vimemjaa kwakweli me nazan labda ndo alivo manake unaweza ukafanya jema kwake lakin asioneshe kuguswa asah mtu kama uyu unawezaje kujaribu kumvumilia wakati ata aoneshi ushirikiano
@mussalameck2166
@mussalameck2166 Жыл бұрын
@@consolatamedard6593 uenda ni kweli sababu ni mkristo na ni msabato mzaliwa katika imani lakin kanisan asubutu nilipokua nae karibu nirijaribu kumsihi ndo akaja sabato 2 na iyo ya mwisho ndo siku aliponitumia sms kwamba nambana na ataki tena tuwe karibu ukweli kabla ya hapo nilijaribu kujari kuhusu yeye na nilikua tayar kufanya atabasam lakin nimenawa mikono sio kwa ubinafsi ule aiseeh
@salimucvales7495
@salimucvales7495 Жыл бұрын
Vizuri kaka
@praxedadominic2794
@praxedadominic2794 Жыл бұрын
Sasa twende kazi ❤❤
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 Жыл бұрын
Yan ww unamgeza😂😂
@ClintonMunene-fi4jt
@ClintonMunene-fi4jt Жыл бұрын
Waah😢😢
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Nyumba yakupanga myaka 2 nyumba Haina usafi wamazingira wahusika wasigunduwe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hamisimashaka4899
@hamisimashaka4899 Жыл бұрын
so sad 😥😥😥😥😥😥😥😥
@isaacmuli7512
@isaacmuli7512 Жыл бұрын
sasa, twende kazi
@sadockabely
@sadockabely Жыл бұрын
Good
@msafiridiary
@msafiridiary Жыл бұрын
Hadith ya kufikirika
@satwanthoogan6429
@satwanthoogan6429 Жыл бұрын
Masikini,dah!😥
@DesderyTv
@DesderyTv Жыл бұрын
Hiyo inatueleza wazi kuwa kwa hali ya kuto kuwa na uhusino mzuri na watu na kujitenga pia kukosa furaha ya maisha yake lakini pia kupatwa na ugonjwa wa pum. Ni tatizo la Afya ya Akili ambalo kutokana na historia yake wenda lime sabanishwa na kukosa mapenzi ya wazazi n.k @DesderyTv
@adamsalum2028
@adamsalum2028 Жыл бұрын
Mashallah story nzr
@Victoria-cb4do
@Victoria-cb4do Жыл бұрын
Yaweza kua hakua vzr kisaikoloji uyu alikua na afya ya akili ila hakujijua na ukimuangalia humjui
@mackysuphian
@mackysuphian Жыл бұрын
Na anapofanya kazi hawaku mtafuta mtu miaka miwili hawamuumizii
@glorytogod2806
@glorytogod2806 Жыл бұрын
Sasa twende kazi
@wanjamarwanja673
@wanjamarwanja673 Жыл бұрын
SI vizuri kujitenga na watu
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Hao watu wenyewe ndo shida n
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Utaawezaa watu🤔🤔
@idmmedia5234
@idmmedia5234 Жыл бұрын
Tumeshafika kazini😢
@jimmypaschal9291
@jimmypaschal9291 Жыл бұрын
Vyanzo kadhaa vinadai alikuwa amefariki kwa takriban miaka 3.
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz Жыл бұрын
Duuuu
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz Жыл бұрын
Duuuu
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz Жыл бұрын
Duuuu
@charlesmtesigwa2923
@charlesmtesigwa2923 Жыл бұрын
Hakuwa na mtu wa karibu alafu wamemkuta na zawadi za x mass
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Daaaaad Kuna watu Muna akirii😂😂😂😂😂❤❤❤😅😅 hivi umeteremushwa au umezariwa koment ya unyama mwingi ugengewe sanamuuuu wewe chrles waoooooo!!!!!!!
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Yanii wengine tunafuata mkumbo ira wewe uko makini na sitoriii hongeraaaa
@charlesmtesigwa2923
@charlesmtesigwa2923 Жыл бұрын
@@khadjamhozya story za kutunga you tube zimekuwa nyingi ukiwa hujipi muda kuwaza wanakuwekea akilini vitu havina maana
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz Жыл бұрын
Tupe history ya Magufuli
@urbankomba4527
@urbankomba4527 Жыл бұрын
Store nzulisana
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op 3 ай бұрын
Nyumba ya kupanga alifia ndan ya jokofu
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Жыл бұрын
Twende kaz
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 Жыл бұрын
Jamani huo niuongo, mwili usitoe harufu?.
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 Жыл бұрын
Hao waliokua wanapeleka Zawadi hawakuona Au
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Unyamaaaa waoooooo👍👍👍👍👍👍
@abullahkabaka8774
@abullahkabaka8774 Жыл бұрын
Kwa kweli binadamu anatakiwa daiman kuingiliana na watu sio kuwa na upweke,
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Binadamu wanamengi Sanaa mabaya
@Sppah697
@Sppah697 Жыл бұрын
Atakuwa alikuwa na depression
@emmymajula5164
@emmymajula5164 Жыл бұрын
Mhh jmn
@happinessmonyenye9890
@happinessmonyenye9890 Жыл бұрын
Tuko wengi hapo sio yeye tu
@khadhratkhan
@khadhratkhan Жыл бұрын
Sasa hawajackia hta hrufu??
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
@sharonenson
@sharonenson Жыл бұрын
Siwezi kushangaa hatamimi naweza kaandani mwezi mzima yaani mtu akitaka kuonana namimi natafta sababu kibao
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Nami pia👍
@rebeccah357
@rebeccah357 Жыл бұрын
Hii ni funzo kwa wengine
@zaitunially-od2qw
@zaitunially-od2qw Жыл бұрын
Mimi kabisa 😁 japo nasalimia watu ila Sina rafiki Nina watu ninao wapenda tuu
@rahmamollely5296
@rahmamollely5296 Жыл бұрын
Yaan we ndio mm nasalimiana na wt ila c jawah kua na rafiki ama watu kuingia kwangu bila utaratib Kwan tabia pia hujenga mazoea
@zaitunially-od2qw
@zaitunially-od2qw Жыл бұрын
@@rahmamollely5296 na ndo inavotakiwa kujuana Juana so poa
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
​@@zaitunially-od2qwsarimia watu arakin usiwe na mazowea nao maana warishatushinda mpaka tukatamani kwenda kuishi porini
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
​@@rahmamollely5296 arakin mbona yote shida ukumbuke ware haajazowea yare maisha ukisarimia tu bira kuongeongea nawo mbona nakwenyewe wanakuchukia wanasema unaringa na ukiwa huwaombi chunvi na Moto wanasema muchoyo na wewe hutaki kuja kuombwa ukikata chakura Chao wanasema unakata Kura kwao nawe wasije Kura kwako wanaanza chuki arakin Bora wakuone hivo kuriko mrorongo wa maneno maneno Mimi huo joyisi namupa bigapu
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 Жыл бұрын
@@khadjamhozya very true. Binadamu hawanaga jema. Bora tuendelee kujiweka mbali. Kufa kutabaki kuwa kufa. Uzikwe usizikwe umekufa umekufa. Majirani kuzoeana nao Sana ni BIG NO
@rabiaiddi2884
@rabiaiddi2884 Жыл бұрын
Na hizo picha ni kweli za Joyce 😂
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Unyamaa👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@manenombager3582
@manenombager3582 Жыл бұрын
Duuu nibalaa
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op 3 ай бұрын
Hakunuka?
@azharsalum3900
@azharsalum3900 Жыл бұрын
Mmh sio maisha mazuri maisha ni wa2
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Watu hatuwkatai wenyewe wanamambo mabaya
@alichuo
@alichuo Жыл бұрын
Hiyo sound nyuma ya sauti inaboa banaaaaaaa
@wemaselemani9140
@wemaselemani9140 Жыл бұрын
Yuko saw a inathihirika wazi ametengwa na ndugu zake he wengine atawaona wazuri lakini jamani hats baby hana
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 Жыл бұрын
Story tu lakini kiukweli haiwezkan kua ivyo ina maana hakunuka au mipango.
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 Жыл бұрын
Maisha ya Ulaya tofauti na Africa ni upweke sana
@nicedavid8536
@nicedavid8536 Жыл бұрын
Kama ni baridi hawezi kunuka, yani harufu hatoki nje. Na sisi jirani yetu alikutwa kafa zilikuwa zimepita wiki 2,hata hatukusikia harufu, mi ndio nilikua na wasiwasi maana nilikua simsikii, tukatoa tarifa
@stephensandiko6049
@stephensandiko6049 Жыл бұрын
Tujitahidi kuishi vizuri na majirani au marafiki au ndugu
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Hatuwkatai wenyewe wanatugeuka binadamni mrefu sanaa Wana wivu jiurize unapata mafanikio anakuchukia anambukiza na chuki kwawengine wanakutenga, sio hayo tu nimengi sana mimi siwtaki Ni Salam Salam Basi , ukiikata nayenyewe nachana nawe🚵🚵🚵🚵🚵🏃🏃🏃🏃🏃
@cclaudeshilling957
@cclaudeshilling957 Жыл бұрын
SASA TWENDE KAZI🤣🤣🤣🤣
@fatimeakida9142
@fatimeakida9142 Жыл бұрын
Woi,,ata boyfriend Hakua nae
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Kweli ata mchumba ana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Inamaan hat haruf hawkusikia majirn ndug pia kumulizia bas hii kali
@saeedalyahmadi1738
@saeedalyahmadi1738 Жыл бұрын
Nyie kuna nchi watu hawakutani kama ambavyo sisi tu nakaa vibarazani kutwa😒pia umeambiwa alikuwa akijitenga sana
@samwa9496
@samwa9496 Жыл бұрын
hawana muda kujuana bint au kijana huenda na kuishi kivyake
@saidaramadhan2099
@saidaramadhan2099 Жыл бұрын
Sio Kila anakufa anaoza wengine hawaozi nema yao huwastili
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Watanzania washamba eti hakunuka nawakati nyumba zawe nzetu zimejengw mbarimbari zingine zimejengwa kimfumooo
@fetykhamis9413
@fetykhamis9413 Жыл бұрын
Dah mim nina mdog wang anawez kkaa ndan bil at ktok nje xx celew huu ni ugonjw kwani?
@GaudeShayo-uo8rn
@GaudeShayo-uo8rn Жыл бұрын
Duu
@fifihabimana1351
@fifihabimana1351 Жыл бұрын
Iyi story ina fanana kama ya dada yangu aliefariki mwakajana.Ila yeye tulitambuwa kwamba amefariki baada ya mwezi umoja.
@jairusannalo
@jairusannalo Жыл бұрын
🤔🤔 how?
@barick
@barick Жыл бұрын
Hata njombe imewahi tokea
@ablashaffy2860
@ablashaffy2860 Жыл бұрын
Hebu tusimulie na hyo...mackn
@mwajabukaseke8710
@mwajabukaseke8710 Жыл бұрын
😏
@barakakings
@barakakings Жыл бұрын
Kuna mngeria ana tukio kama hilo kagundulika mwaka jana
@celinmremi6434
@celinmremi6434 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁☝️first
@manenombager3582
@manenombager3582 Жыл бұрын
Waooo
@swediabdul3112
@swediabdul3112 Жыл бұрын
Inasikitisha
@stephanomakoye3497
@stephanomakoye3497 Жыл бұрын
Sasa twende kazi
Maziko ya Bosi wa Freemason Yatikisa Dar
2:35
Global TV Online
Рет қаралды 1,5 МЛН
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 149 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 33 МЛН
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 188 МЛН
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 95 МЛН
Hivi ndivyo MICHAEL JACKSON ALIVY0UWAWA na DAKTARI wake wa KARIBU.
10:10
Watu Walinielewa Vibaya Kuhusu Mtume Mwamposa Richard Hananja
19:13
NAOMBA RADHI KAMA VIDEO HII ITAKUTOA MACHOZI.
8:12
BONGO FASTA
Рет қаралды 46 М.
KUZALIWA KWAKE YESU (Official video)- The Humbled Tz
1:33
The Humbled Tanzania
Рет қаралды 31 М.
MONALISA mwanamke alie kwenye mchoro wenye SIRI ZA KUTISHA
11:05
BONGO FASTA
Рет қаралды 290 М.
СЁМА БОЕЦ
1:00
LavrenSem
Рет қаралды 1,7 МЛН
Инженер #история #ссср #фильмы #кино
0:59
НАКОРМИЛ ГОСТЯ СЫРОМ С ПЛЕСЕНЬЮ
0:52
Tasty Series
Рет қаралды 3,6 МЛН