Mke wa MBARIKIWA ameonana na MAKONDA LEO?

  Рет қаралды 63,217

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

5 ай бұрын

Пікірлер: 147
@JustinaMambo-bs4fh
@JustinaMambo-bs4fh 5 ай бұрын
God be with you mubarikiwa love from Zambia
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 5 ай бұрын
Yani inabidi wajirekebishe kauli zao maana hata Mungu ni Mungu wa utaratibu
@wilisonmikate1652
@wilisonmikate1652 5 ай бұрын
Mlikosea sana kuwatus watumishi wa MUNGU Akiwemo mwakasege ombeni msamaha
@sayuni123-kl6xk
@sayuni123-kl6xk 5 ай бұрын
Yaani kama unataka ugomvi na MUNGU mguse Mwl CHRISTOPHER Mwakasege utaona rangi zote
@samwelombeni6850
@samwelombeni6850 5 ай бұрын
Mnaongea msichokijua😢😢😢
@neemamwakasape1630
@neemamwakasape1630 2 ай бұрын
Yule ni kama last born wa Mungu. Nampenda sana​@@sayuni123-kl6xk
@fidonifidel
@fidonifidel 5 ай бұрын
Ujumbe wenu mmeuwasilisha vibaya. Mngesaidiwa shida mnalalamika sana mkijihesabiwa haki chakufanya jishusheni na muombe kusaidiwa. Kwahiyo mnataka mtoto aliyeuliwa afufuliwe. Kama vile hamna imani, Tafuta namna ya jinsi ya kuwasilisha shida yenu ili msaidiwe ila siyo kwa hii staili mnayotumia.
@user-ch2qb3mm2x
@user-ch2qb3mm2x 5 ай бұрын
Mfuateni iringa
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 ай бұрын
Yaani kumbukeni Ni wapi mlianguka mkatubu msijihesabie Haki tu Hiro ndio tatizo et mmtukane raisi wawaangalie tu
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 5 ай бұрын
Aaaaaaah Kumbe shida ni kujifanya wenye haki?? Sasa ngoja tu....,maana tunajua Mungu hatanyamaza milele
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 5 ай бұрын
@fidonifidel9929 Sema sana ila omba yasikukute, uzuri wote sisi ni binadamu
@PastorsTz
@PastorsTz 5 ай бұрын
Omba yasikukute,,,ila yakikukuta 😢😢😢utafuta comment,,,
@geitagewoma7112
@geitagewoma7112 5 ай бұрын
Mungu akulinde makonda
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 5 ай бұрын
Tatizo ni kwamba ccm ni ileile wala sijawahi amin
@petermuganda7322
@petermuganda7322 5 ай бұрын
Inauma sana jaman.... Makonda ona hili
@estherjonas8466
@estherjonas8466 5 ай бұрын
Mungu atandea neno na kitu kwa Bb Mbarikiwa.
@martinikalunga
@martinikalunga 5 ай бұрын
Amen amen free Mbarikiwa
@emilyKassiano-oo5iy
@emilyKassiano-oo5iy 5 ай бұрын
Ujumbe umefika. Kumbe ccm wanabagua changamoto za kushughulikia
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v 5 ай бұрын
Hakuna inayoshughulikiwa ni stories bubble tu .. watu wenye matatizo wapo 20,000 unamsikiliza mmoja unasema ccm hoyeee.. mama Samia juuu... ..na mtandao unasumbua ...mmmmmh
@hechechacha4032
@hechechacha4032 5 ай бұрын
Hao hao ndio walioyafanya hayo mnayowapelekea na wimbo unasema ccm ni ile ile kanisa mlilieni Mungu
@user-bv5ym1ov7m
@user-bv5ym1ov7m 5 ай бұрын
Mjinga kabisa ww! Kwan ccm ndyo imemfunga au sheria Imemfunga? Acha ujinga
@user-bv5ym1ov7m
@user-bv5ym1ov7m 5 ай бұрын
Sasa aliyemuua Mtoto wake ni nn? Sasa nan akwambie?
@user-rx1bf3en8d
@user-rx1bf3en8d 5 ай бұрын
Yani hapa nishida
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 5 ай бұрын
Umeonae Hawa wanahitaji maarifa ktk neno la Mungu.
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 5 ай бұрын
Munahoji vingine mbona Ra mbarikiwa kama nae kakwepa au anazunguka mikoani kutimiza wajibu WA chama chake
@Sebatv-zb9ol
@Sebatv-zb9ol 5 ай бұрын
Na wimbo wanaimbiwa kuwa ccm ni ile ile,kichwa suzuki injini ya isuzu vip nitafuzu.
@danielmwampeta3338
@danielmwampeta3338 5 ай бұрын
Aaahhhhhh SERIKALI TUNAENDA WAPI?😢, Dah hadi wimbo wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wotee...,Unagoma
@hoseasteven6241
@hoseasteven6241 5 ай бұрын
ndugu yangu umenichekesha, unaona viongozi wetu hawajibiki ipasavyo kwa wananchi, inauma sana
@user-vy8tb2hq9w
@user-vy8tb2hq9w 5 ай бұрын
Hatari sana ivi
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 5 ай бұрын
Nilikuwa nafatilia sana video za Mbarikiwa. Tatizo lililompeleka jela hakuna asiye lijua. Kama alikuwa anaikosoa serikali kiujumla na ndio sababu yayote kumkuta, iweje mnaenda tena kuomba msaada kwa kiongozi wa chini kabisa aliyewekwa kwa malengo maalumu!?. Kikosi kazi kama mlikubali hakuna kurudi nyuma hata mkamatwe au mzuwiwe vipi ndivyo hivyo mnatakiwa kuvumilia mpaka kifungo kiishe akitoka muendelee tena kama mwanzo. Lakini kama mtakuwa mmeona nguvu ya serikali ndio hapo mkae kimya muongelee mambo mengine muachane na serikali. TAZAMENI wapinzani wanayoyapitia wakati wapo ktk hak kikatiba. Sembuse nyie mnaotambulika kiimani tu siyo kisiasa!?
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 5 ай бұрын
Umeongea point tupu
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 5 ай бұрын
@@eliashibundabalinze2754 jambo la msingi wanalotakiwa kufanya wakamuombe msamaha Raisi waseme hawatarudia kujiingiza kwenye mambo ya siasa huenda akapunguziwa kifungo au akaachiwa. Na akiachiwa wakiacha kuzungumzia siasa mbona watapewa kibali haraka sana na maisha yatakuwa mazuri kwao. Huko kumfata Makonda ni kujidhalilisha kwao na kuonesha jinsi gani wamekoma hawatarudia tena. Naimani miaka hiyo ikiisha hawata thubutu kuongea mambo ya serikali....
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 5 ай бұрын
Elimu ni kitu muhimu
@samwelilulandala2384
@samwelilulandala2384 5 ай бұрын
Safi ndugu tuwachane live
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 5 ай бұрын
@@samwelilulandala2384 hapo wanawafanya wapinzani wao waliowakataza kujiingiza kwenye kuwasema serikali kuwacheka. Na isitoshe wameshaonesha udhaifu wao kwakulia lia kumuomba Raisi ambaye walikuwa wanamkashfu, kulia lia mbele ya Tulia Akson ambaye walijywa wanamsema sana. Kulia mbele ya Makando ambaye amewekwa na CCM kusafisha macho ya watu dhidi ya CCM.... Wakati mwanzo walikuwa ngangali kusema hawaogopi jela wala nini. Ilitakiwa waendelee kusema kuhusu haki waachane na jambo la Mbalikiwa mpaka atakapoachiwa na yeye akija aendelee hapo wangekuwa wanaonesha ushupavu. Lakini kwa hali hii huyu mke wa Mbarikiwa akikamatwa na yeye hao watoto wataweza kuvumilia maumivu kweli!?
@davidmazengo626
@davidmazengo626 5 ай бұрын
Iooooo IMANII NIMEIPENDAAAA❤
@luganomwasongwe1158
@luganomwasongwe1158 5 ай бұрын
Mungu ametenda
@checknorisalex5187
@checknorisalex5187 5 ай бұрын
Acheni upuuzi amna msahada apo
@hoseamgema9107
@hoseamgema9107 5 ай бұрын
Majuto mjukuu. . Sheria msumeno. . Kuendesha kanisa bila vibali ni kosa tu kama kuiba au kufanya biashara bila leseni. . Fateni sheria wanyakyusa..
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 5 ай бұрын
Halafu kushauri wakati hujajua mchakato unakuwa kama huna akili, sio kila kitu uonekane una akili
@FmYiu-vx2cs
@FmYiu-vx2cs 5 ай бұрын
Kiongozi wetu mengi tunayo kwetu wilaya rugwe tumepokonywa mashamba na serikal tunalia mbunge anakwepa mkuu wa wilaya haeleweki tunalia
@benardmassawa3599
@benardmassawa3599 5 ай бұрын
Kazi ipo
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 5 ай бұрын
Mm sielewi mbona hajamwita mke wa mbarikiwa
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l 5 ай бұрын
Niripoona mabango nimejikuta naria Baazi ya viongozi hawatutendei haki wananchi mwenyezi mungu kamuinua makonda kusikiriza kero za wanchi bakonda mungu akubariki sana
@eliajimmy95
@eliajimmy95 5 ай бұрын
MUNGU hajamuinua Makonda CCM ndio waliomuinua Makonda ili awadanganye kwa ajili ya uchaguzi
@thaddeojude7511
@thaddeojude7511 5 ай бұрын
Yaaan lugha mnayootumia yaan sio ya kidini ni kisiasa zsid..na kwann muingize siasa na dini?
@Sebatv-zb9ol
@Sebatv-zb9ol 5 ай бұрын
Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo,namuelewa sana mwamba na hili naliona likitokea,amkeni watanzania hakuna uongozi hapo,
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Katiba ya ccm inasema kiongozi asiyekubali kukosolewa hastahili kuwa kiongozi ndiyo maana Makonda amechaguliwa kwa kutekeleza ilani za Chama cha Mapinduzi na kukitetea Chama hicho kwa kuwakosoa Viongozi wanaonyanyasa maskini wanyonge wakati wanapodai haki zao
@YavuziiKarassu
@YavuziiKarassu 5 ай бұрын
Ee mungu mpenguvu mbarikiwa atoke jelaa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Mkoa wa Mbeya ni Nigeria namba 2 fini iko humo na uchawi humohumo
@upendomahimbi584
@upendomahimbi584 5 ай бұрын
😢
@nizwaoman8378
@nizwaoman8378 5 ай бұрын
Wajishushe ccm wamekuwa mungu ccm awasaidii watu wa ndio wanaisaidia ccm kwa kodi zao ila ccm wanawakandamiza watanzania
@LucySanga-jb9wb
@LucySanga-jb9wb 5 ай бұрын
Kiswahili kigumu huyu mwanamke aliye shika nyalaka sijui anaongea lugha Gani sijui nikiswahili alafu apunguze sifa pia hizo nyimbo zakukejeli inchi yenu huyo mbalikiwa atasota huko
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 5 ай бұрын
Ccm ni ireire makonda mtoe mbarikiwa
@user-uk9vm5jn9d
@user-uk9vm5jn9d 5 ай бұрын
Tumeumizwa wana nchi kibamba kashangaki katuibia na kutubomorea nyumba zetu
@sayuni123-kl6xk
@sayuni123-kl6xk 5 ай бұрын
Kaombeni msamaha kwanza kwa Mwl Mwakasege maana mlivyomsema Mungu hatawanyamazia kabisa
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 5 ай бұрын
Hata mi huwa sielewi ni Mungu yupi wanaemwabudu na watumishi wengine wote kwao ni wabaya Mwakasege mbaya,Mwamposa mbaya joedave mbaya sasa kila mtu mbaya serikali mnaisema vibaya jamani nanyie jitafakarini
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq 5 ай бұрын
Ilakiukweli tanzania uonezi nimkubwa mabangoyote haya inamaa wanaonewatu
@erastomapunda1444
@erastomapunda1444 5 ай бұрын
Ukiangalia bango la mbalikiwa na matatizo wanayoonesha wanayatatuwa utagunduwa ni maigizo tuu
@checknorisalex5187
@checknorisalex5187 5 ай бұрын
Sasa makonda atakuambia nn
@astrinomgesi-np5xv
@astrinomgesi-np5xv 5 ай бұрын
Nendeni ofisi ya ccm mkoa wa mbeya
@jessemathew4696
@jessemathew4696 5 ай бұрын
Mbarikiwa ni mtu mjinga... Alikuwa anakosoa Serikali au anatukana? Na sio Serikali tu mpk Watumishi wote wakubwa wa Mungu... Mwakasege, Kakobe, TAG, eagt Geodav nk...sasa yeye nani kila mtu mbaya... Mwacheni apigwe na Mungu
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 5 ай бұрын
Sijui huwa anamaana gani kuna muda nilikuwa nafuatilia sana nikaishia njiani afya ya akili pia haipo sawa haiwezekani kila mtu adui
@mohamedmatewele9185
@mohamedmatewele9185 5 ай бұрын
Jambo la mahakamani na mtu kafungwa makonda afanye nini
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 5 ай бұрын
Nashangaa wanapigana navita vya kimwili badala wapambane navita vyakiroho wafunge nakuomba zimebaki lawama tu
@AnastaziaAsmas
@AnastaziaAsmas 5 ай бұрын
​@@gracemahugi4380we mwanamke wewe
@AnastaziaAsmas
@AnastaziaAsmas 5 ай бұрын
Kwani wewe umeona kafanya nini????
@rithaurassa
@rithaurassa 5 ай бұрын
MAKONDA RAIS WETU MTARAJIWA,HOYEEEEEEE
@user-uk9vm5jn9d
@user-uk9vm5jn9d 5 ай бұрын
Makonda tusaidie kibamba mloganzira kashangaki katuonea tunaomba ufatirie hati yake
@johnbundala7596
@johnbundala7596 5 ай бұрын
Aisseee nyie mi viumbe wa ajabu sana Yan n Zaid ya makomandooo
@checknorisalex5187
@checknorisalex5187 5 ай бұрын
Nchi hiiiiii pimbavuui watanzania mtateseka milele pumbavu kabisa
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 5 ай бұрын
Kweli ni Ile Ile na mambo yenu ni yale yale
@usatv269
@usatv269 5 ай бұрын
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 5 ай бұрын
Mngekuwa mnahubili tu haya yasingewakuta mlimtukana mpaka mama rais wanchi hamuoni nimakosa makubwa nyie ludini nyuma muangalie wapi mlikosea
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 5 ай бұрын
Tusi gani tilomtukana Rais???
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 5 ай бұрын
Sasa kama hamuelewi mlichokifanya amehukumiwa kwa nini maana unataka uniulize maswali ambao mweshimiwa hakimu alishayamaliza
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 5 ай бұрын
@@gracemahugi4380 Aaaaaaah!!!@ Kumbe wewe ni......,sawa mama endelea na yako na sisi pia tuendelee na yetu mda utaamua
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 5 ай бұрын
Toba inahitajika sijawahi ona hawa watu wanashuka wao kujihesabia haki,wao wanajiona hawana kasoro,wao ndo bora kuliko watumishi wooote Tanzania,dah kiburi cha uzima🤔
@AnastaziaAsmas
@AnastaziaAsmas 5 ай бұрын
​@@jescarwegoshola1754Hayo ni yako mtu wa Mungu.
@user-wf2yg7sl4v
@user-wf2yg7sl4v 5 ай бұрын
Wezi ni walewale
@MnyamaTolu-kd5ct
@MnyamaTolu-kd5ct Ай бұрын
UBAGUZ
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 5 ай бұрын
Hakuna haki mbele ya manyang'au CCM niamini mimi
@PPsstor
@PPsstor 5 ай бұрын
Mbarikiwa free
@Shedrackwilfred
@Shedrackwilfred 5 ай бұрын
Mungu yupo upande wetu
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 5 ай бұрын
Serikali mliyoitukana ni hiyo hiyo moja halafu mnataka makonda afanyeje? Aende mahakamani akabadilishe hukumu?
@mdqweqwe251
@mdqweqwe251 5 ай бұрын
4:17 kumamae zako mbwa ww na ccm yako ndomana laana kapata ajali
@checknorisalex5187
@checknorisalex5187 5 ай бұрын
Jamani kesi iko mahakamani ata rahisi hana ayo mamlaka watanzania shida watanzania tunajisahau kuwa mahakama na serikali ni mihimili tofauti kwasabu watawala wenu wanavunja katiba kiongozi wa muhimili huuu hana msimamo ndo maana na watanzania wamelemazwa nakuaminishwa kuwa viongozi au wanawwza tatua kila kitu wananchibembu elimikeni ccm inawafanya muwe wajinga mno
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 5 ай бұрын
Mhhhhhhhhh Kama mtu anaweza kufungwa kwa maagizo Maalum kutoka....,pia aweza kutoka kwa maagizo hayo hayo kutoka....,wewe hujui tuuu
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 5 ай бұрын
Mungu wa Mbarikiwa Mwakipesile simama na utende Baba tunakungoja hima.
@meshackmtewele718
@meshackmtewele718 5 ай бұрын
Hilo makonda limemzidi uwezo naamini anajua hilo
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 5 ай бұрын
Nyie vp aliuwwa na nan wakat aliumwa jaman mbona mn zambi
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 5 ай бұрын
Acha ubwege wenye mtoto wanajua kuliko wewe!
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 5 ай бұрын
Siku akiuwawa na wako ndipo nitaona kama utaweza kuropoka pumba kama hizi,lakini bado najua uchungu wa mwana aujuae ni mzazi na ndugu waliokuwa na faida kwa mtoto huyo
@AnastaziaAsmas
@AnastaziaAsmas 5 ай бұрын
KWA HII COMMENT YAKO NADHANI WEWE NDO KIBARAKA CHAO KWAIO WAMEKUTUMA UJE KUTEGA UONE TUTAKUJIBU NINI ILI UWAPELEKEE HABARI HAO WALIO KUTUMA SASA ENDELEA KUTEGA.
@user-rx1bf3en8d
@user-rx1bf3en8d 5 ай бұрын
Najua maimivu mnayopitia ila kwanini mnasema mtoto aliuwawa na wakati aliumwa
@user-gy3dv3tq8d
@user-gy3dv3tq8d 5 ай бұрын
Tena walipata ajari kumbe kaumia ndani kwandani wakaa kidogo mtoto akaanza kuumwa kupelekwa hospital mtoto akafa
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 5 ай бұрын
@user-gy3dv3tq8d Umedhalilika sana tuna vyeti vya hospitali alivyopimwa siku ile ya ajali hakuwa na madhara yoyote, je ulihusika mbona unaeleza jambo usilolijua?
@user-rx1bf3en8d
@user-rx1bf3en8d 5 ай бұрын
Mtumishi kudhalilika vipi unakoongelea hapa tunajenga Sasa tukisema mtoto aliuwawa tukisimama mahakaman Kuna maswali aliuwawa vipi kwasiraha Gani tunajibu vipi apo
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 5 ай бұрын
Subiria kwanza waue wako au ndugu wa karibu sana ndipo utaelewa maana simba akikosa nyama hula nyasi
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 5 ай бұрын
​@@user-gy3dv3tq8dNani alikudanganya hivyo na kujifanya unajua kila kitu weweeee??? Baada ya ajali hiyo mtoto alipelekwa hospitali na kupimwa kisha kuambiwa hana shida yoyote. Au unamtetea......,muuuaji kama nani kwake???
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 5 ай бұрын
Sasa hao waandishi ndio watafanya nini
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 5 ай бұрын
@zakiamseka9698 Sasa wewe comment yako inasaidia nini?
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 5 ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile bango lenu na comment yangu havisaidii chochote
@AnastaziaAsmas
@AnastaziaAsmas 5 ай бұрын
Kwani wewe ndo unafanya nini?????
@VeredianaKalembi-gs4vs
@VeredianaKalembi-gs4vs 5 ай бұрын
Mbona hajamuita mke wa mbarikiwa jamani
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 5 ай бұрын
Angalia kiulizo hapo ndugu
@user-xg9ix9ex9h
@user-xg9ix9ex9h 5 ай бұрын
Makonda ana mamlaka gani kwenye ishu kama hiyo kuweni makini na mihemko yenu hiyo msije mkaharibu zaidi nawaambia
@FridayMwassa
@FridayMwassa 5 ай бұрын
Makonda ananguvu kubwa ndani ya CCM ndani ya serikali ya ccm​@@user-xg9ix9ex9h
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 5 ай бұрын
Mimi pia sijuiiiiiii???????
@AnastaziaAsmas
@AnastaziaAsmas 5 ай бұрын
Unamuuliza nani sasa?????
@user-ji2pg2vq1i
@user-ji2pg2vq1i 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂nafurahi mm kwer wanangu waangamia kwakukosa...maarifa
@samwelilulandala2384
@samwelilulandala2384 5 ай бұрын
Hivi nyie kikosi kazi mnajitambua kweli
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 5 ай бұрын
Wewe ndio unajitambuwa!!?
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 5 ай бұрын
@samwelilulandala Unawezaje kuwafuatilia watu wasiojitambua?
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 5 ай бұрын
Na Mimi nilitaka kuhoji Hilo. Kwani hawajui mbarikiwa ameitwa na Mungu kuhubiri aliko huko?
@AnastaziaAsmas
@AnastaziaAsmas 5 ай бұрын
Unajua wewe,nadhani hata bila kukujibu jibu tayari unalo.
@samwelilulandala2384
@samwelilulandala2384 5 ай бұрын
@@makejamaduhu7618 ameitwa wapi hatujaona wito wa Mungu kwake wala kwa mitume na manabii mnaigiza tu
@karloladislaus45
@karloladislaus45 5 ай бұрын
CCM ni Ile Ile... Uozo ni ule ule
@SurprisedAtom-vp5qe
@SurprisedAtom-vp5qe 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 5 ай бұрын
CCM ni kama msitu wa zamani wanaobadilika ni kima tu hawana jipya
@monicamwita7865
@monicamwita7865 5 ай бұрын
Umeona eeh! Ni ile ile
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 ай бұрын
Hivi kujua kosa la mbarikiwa utafanya Nini Si Kila vita Ni lazima ushinde wakati mwingine kibari Kushindwa Ili Uwe salaama
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 5 ай бұрын
Jamani nyie mlifungua kanisa kuikosoa serikali au kuhubili watu kwanini msihubili watu neno lamungu mnaingilia mambo yasiasa muwe nahekima namjue kosa leno jamani
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 ай бұрын
Kumbe serikali wa ya a sio watu hembu lete andiko lisemalo inatakiwa kuwahubiria watu na sio serikali
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 5 ай бұрын
Kumbe kosa ni kuwaambia watawala wasiishie kujineemesha wenyewe tu bila kuona shida za watu wa chini?? Aaaaaaah!!
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 5 ай бұрын
@@sifawayesu7079 mungu awasaidie na awape hekima sulemani aliomba hekima zaidi endelea kumwomba mungu atamtoa tu kuliko kuendelea kuweka mabango zaidi
@samwelilulandala2384
@samwelilulandala2384 5 ай бұрын
Watanzania asilimia 90 tunawaona washirika wa mbarikiwa hawana mwelekeo na mwisho watajuta tu coz hawana adabu hata mbele za Mungu
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 5 ай бұрын
@@samwelilulandala2384 Hahahaaaaaaa Kwani nani amekuomba utusikilize??? Si achana na sisi tusio na adabu
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 26 Julai 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,9 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 81 МЛН
Wimbo mzito uliokusanya vilio vya watu mbalimbali. Mbarikiwa
9:44
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 366
WE ROSE SHABOKA KUMBE NDIVYO ULIVYO ?🙏🙏🙏
2:26
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 2,1 М.
RAISI kupeleka waganga IKULU Mwana mapinduzi akiwasha Mbele ya Mbarikiwa
13:13
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 10 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН