MKUTANO WA NJIRU DAY 1

  Рет қаралды 7,762

BIBLIA NURU YA DUNIA

Жыл бұрын

Пікірлер: 110
@Abdifataxow
@Abdifataxow Жыл бұрын
MashAllah Anwar mungu akuzidishe
@MteleShadia-lc6gi
@MteleShadia-lc6gi Жыл бұрын
Mashallah mashallah shekh anuar umemubana Sana dacha Allah akulpe shekh anuar
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
Anward tayari uyo ni farao, Wakati Musa anamwambia Farao waachae watu huru alikuwa na😂maswali mengi sana kwa Musa kwa kujionyesha kuwa anajuwa sana, ila baadae alikufa tu
@ibrahimetale9999
@ibrahimetale9999 Жыл бұрын
MashAllah SHEIKH ANWAR. ALLAH AKUJALIE Uzidi kufunua wakristo macho wasidanganywe
@user-lq1wt3hh9s
@user-lq1wt3hh9s 11 ай бұрын
Kati Biblia iliyo tangulia na Korani iliyokuja nyuma utaamini gani😂😅
@jaredngari3624
@jaredngari3624 Жыл бұрын
Somo ngumu kulishika hili bila Roho wa Mungu akufunulie. Mungu Baba, alituma Neno lake ambaye ndiye Yesu. Hauwezi tofautishwa wewe na neno lako mwenyewe. Hapa ndipo uungu wa Yesu unaingilia. Mungu na Neno lake ni mmoja. Yohana 1.1 na Yohana 1.14
@abdimalikmalik4175
@abdimalikmalik4175 Жыл бұрын
Jasho imetirika kweli kweli kwake ndacha 😂Imani badili Haina misimamo anzal 🥰 tafathali umfundisha
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
Lazima jasho la haki limtoke kwa kutetea ukweli wa maandiko, kazi ya Anward nikuabadilisha ukweli tu
@user-bk6lm7rk4r
@user-bk6lm7rk4r Жыл бұрын
Wanaelewa ila ni roho ya ubishi tu sio Roho ya kuelewa mambo ya Roho ni ngumu kuelewa kama huna kristo Yesu Aminaaa! Wasomeshe hao
@mbaraksaid9744
@mbaraksaid9744 Жыл бұрын
Hapo ndipo mwakimbilia, mukiona inakuwa ngumu kueleza ifahamike kwa uwazi. Na ikiingiliwa mada ya roho itawashinda
@pierretembele8129
@pierretembele8129 Жыл бұрын
Nakubali waislam amjuagi chochote ila ubishi lakini amjui chochote
@issackabdi7001
@issackabdi7001 Жыл бұрын
Sheikh anwar Mashaalah
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 11 ай бұрын
Yesu kapewa mamlaka kutoka kwa Mungu ata kuitwa Mungu, Isaya 9:6-7.Yesu anasema ambaye amemwona Yeye amemwona Mungu Babaye Yohana 14:6-9;12:44-45
@budumahmud1008
@budumahmud1008 Жыл бұрын
Mashallah anwar mungu akuzidishie hikma
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
Mungu yupi? Mungu jiwe wa maka au?😢
@budumahmud1008
@budumahmud1008 Жыл бұрын
@@louisejeanne8306 mungu alie tahiriwa
@wayneranks003
@wayneranks003 Жыл бұрын
Ndacha good job pia mm ni mwalimu naeza taka kukujoin
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 11 ай бұрын
Ata mimi
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Tafadhali msikilize kwa makini huyu ndacha mtamuelewa tu😂😂😂😂
@swalehsalim5576
@swalehsalim5576 Ай бұрын
Waislamu mbumbumbu kweli 😀
@babawaimanitv7284
@babawaimanitv7284 Жыл бұрын
Dacha twanga injili
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Masha allahy Kheik Answari . Ndachaalizoeya Kujifita Kwenye Shina la njugu lakn Ajuikama mgongoke Watu wanauona Achasarakasi ndacha Utadanganya wasio jua mandiko lakn Muislam Uwezimchezea namandiko
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe unadanganywa na waalimu kama akina Anward wanaotea uongo
@barakafondo8090
@barakafondo8090 Жыл бұрын
Ukristo Ni ya kipekee hakuna dini yoyote ya kweli isipokuwa ukristo
@mohamedhulbale-dg5zj
@mohamedhulbale-dg5zj Жыл бұрын
Kama ni ivyo prove your word that ukiristo ni dini ya haki like Muslim the way are proven to that uislamu ni diini ya haki mbele ya mungu mashallah leta kama hiyo
@ashrafbunu2371
@ashrafbunu2371 Жыл бұрын
Haha maskin pole sana
@imranmohamed8627
@imranmohamed8627 Жыл бұрын
Neno ukristo ni dini hakuna ata kwa bibilia yenyewe alafu unaleta hoja ya kipuzi kama iyo someni nyinyi basi mbona hawa mapasta wanawatia shimoni
@onasisthegreat1946
@onasisthegreat1946 Жыл бұрын
Mbona mnaweka nusu nusu na ndio mambo imechemka
@rashidwalwanda1991
@rashidwalwanda1991 Жыл бұрын
Ndacha wasiwasi miiingi
@miroyojackline9134
@miroyojackline9134 Жыл бұрын
Kipindi kizuri sana 👍
@aliyyuhibu3561
@aliyyuhibu3561 Жыл бұрын
Safi anuari
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Msikilize vile anajigongagonga mwenyewe waaa 😢😢😢😢😢 huzuni kubwa
@princepaul2416
@princepaul2416 Жыл бұрын
Hongera sana Mwl Ndacha kwa kujaribu kuwafundisha ndg zetu Waislam kuhusu Yesu kuwa mwana ...umejaribu kukubali kuwa kuna baadhi ya tafsir za kiswahili hasa sio sahihi,... Pia ujue pia hata kea kiingereza kuna tafsiri zina kasoro... Sasa kuna maneno Mawili yaliyotafsiriwa kwenye origin language kutokea ili kutofautisha kuhusu MWANA katika Injili ya Yohana....... NEPIOS na HUIOS...mfano aliposena "" mwanamfalme /Prince/mrithi akingali mdogo (nepios) hana tofauti na mtumwa ingwa vyote ni vyake..... (Wagalatia 4: 1-3) anamaa mwana (biological) lakini mdogo kwa umri..ila katika Yohana anaposema "mwana" neno lililotumika ni lingine.... "Wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika wana wa Mungu( huios of God) ambapo Yesu na waliompokea ni wana wakubwa (matured)na wanakuwa uwezo wa kimungu (Spiritual) kufanya kazi za kimungu kama miujiza /uponyaji/ unabii nk...wakiwa katika mwili na Katika Ulimwengu huu... Sasa tafsiri nyingi katika kiingereza na kiswahili hazina tofauti ya maneno haya Bali zinatumia mwana wa Mungu/son of God ambapo kwa watu kama waislam /wanafunzi wapya wanashindwa kuona tofauti ya mwana mdogo ..nepios.. wa kuzaliwa kimwili na wale waliofanywa wana ..huios.. Walioridhi pamoja na Kristo na kuwa na uwezo wa kimbingu....... Maneno haya mawili ni tafsiri ya Kiyunani waliyoitohoa kutoka kwa ki Kiebrenia na kiaramu cha kale ... Kwa ufahamu zaidi ingia KZfaq mtafuta Pastor Chris na mafundisho yake ya SONS OF GOD...utapata utapata ufafanuzi mkubwa zaidi..
@micahlilumbi1419
@micahlilumbi1419 Жыл бұрын
Anwar kama ungekua mskivu ungelipeana nafasi kwetu sisi tunao sikiliza ili tusonge mbele na mafundisho, hoja imejengwa kupitia maandiko (vitabu) pia nawe jibu joja kupitia maandiko (vtabu) ilinielewe niamue niukristo au uislamu.
@stephenkimani1428
@stephenkimani1428 Жыл бұрын
Lkn mimi naweza itika jina ya babagu ata si Mara moja nimewahi itika
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Жыл бұрын
atamaliza maandiko ukweli yesu sio mungu
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 ай бұрын
Kwa mujibu wa Muhammad ambae hakumuona sio MUNGU waliomuona wanasema YESU ni MUNGU sasa wewe tuletee huyo aliemuona YESU? Je ? Na weza kumtolea Muhammad ushahidi au Aisha? Kati yangu mimi na Aisha nani mkweli nani muongo juu ya ushahidi wa Muhammad
@Matalatala267.
@Matalatala267. Жыл бұрын
@ndacha nakukubali tu kwa sababu hauna paniki ila naona huyo shekh ata kama hako sawa ila ana jazba sana
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@aliemdogo
@aliemdogo Жыл бұрын
Huyu muislam hafai nimbish had anakera
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Жыл бұрын
wewe una muamini vp yesu
@aliemdogo
@aliemdogo Жыл бұрын
@@hajinkulunge8493 namuamini kuliko marehemu Mohammed nauongo wake
@sivan6740
@sivan6740 Жыл бұрын
Anwar anaelewa ukweli ubishii dioo imemjaa
@nephatkahinga6577
@nephatkahinga6577 Жыл бұрын
Ubishi waupenda
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
@@nephatkahinga6577Anward anatetea uongo sana tena mbishi
@ashrafbunu2371
@ashrafbunu2371 Жыл бұрын
Hakuna ukweli wa ukisristo ndacha ajaribu kujikaranga maskin kweli dini yahaki ni uislam
@tabbygocho4127
@tabbygocho4127 Жыл бұрын
Wabishii Hawa🙆🙆🙆
@khamishaji9508
@khamishaji9508 Жыл бұрын
kuna taarifa nigeria mchungaji mkubwa teari ameona ukuristo ni blaa blaa tuu we ndacha kaa ubabaishe watu tuh
@stevekiach8178
@stevekiach8178 Жыл бұрын
Ndacha hukana venye utawaifunza ueleweke ukitumia maandiko ya Paulo unajichanganya tu, mbona unakataa maandiko wacha kupotelea swali
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 Жыл бұрын
Hawa wote wakuristo ndpo wakEnda shaka hola hawana akili
@khamishaji9508
@khamishaji9508 Жыл бұрын
imani ya usheitwani eti karithi uungu
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 ай бұрын
Tatizo waislam mnataka tuamini ushahidi wa mtu ambae hakumuona YESU wala hamjui sasa atamtoleaje ushahidi??
@edwardmugendi1190
@edwardmugendi1190 Жыл бұрын
Haya majamaa utayalekebisha hadi lini?
@abdimalikmalik4175
@abdimalikmalik4175 Жыл бұрын
University graduates mwalimu Anwar vs calss 3 drop out ndacha Francis 😂....
@joelakello8335
@joelakello8335 Жыл бұрын
Univercity graduate bila elim muongo Class 3dropout aliye jazwa na roho mtakatifu anayemfunulia andiko
@issackabdi7001
@issackabdi7001 Жыл бұрын
Ndacha ni pesa tu anajua ukweli ...lakini atajuta siku ya siku ..kuficha ukweli
@faridbashuu
@faridbashuu Жыл бұрын
😳 Hizo Zote ni Ma Biblia ziko juu ya Meza ??
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Huyu ndacha muongo sana hana elimu mambo kupendua maandiko
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
Anward ndie anayesimamia uongo kabisa, maana mwalimu NDACHA anamjibu vizuri na kumwelekeza vizuri, ila atushangai kwasababu uwislam unatafutwaga kwa nguvu siku zote tena kwa kwa kutetea uongo
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 11 ай бұрын
Ndacha anaelewa biblia na quran zaidi
@JohanaWaweru-vh1qc
@JohanaWaweru-vh1qc Жыл бұрын
Huyo Anwal ni ubishi tu anataka
@Abdifataxow
@Abdifataxow Жыл бұрын
Nadacha wewe Mbona Hii video halijawekwa yote ama unaficha ukweli
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 Жыл бұрын
Ndacha ateleweka na wale walio kua vipofu kama yeye. Kazi ya ndacha kubabaisha tu...mara yesu ni mwana mara yesu ni mungu bure kabisa,,,yesu alisema wapi maneno hayo?
@beyondsavanna6028
@beyondsavanna6028 Жыл бұрын
Anwari aliongeza majini mbishi sana
@ronaldmatimbo9691
@ronaldmatimbo9691 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@bentajay8973
@bentajay8973 Жыл бұрын
Waislam kill wamekosa ni robot wa kuelewa maandiko cos Allah hana roho ya mafundisho ya mungu ambaye hata Yemen mungu ni roho
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Wachaurongo Ndacha Etikuna watto wangu Ata mtto mdogo Anakupinga kwakupoteza watu badalaufundishe Wendio Unapotesha watu Kuekaushabiki
@stephensena7195
@stephensena7195 Жыл бұрын
Ndacha sio muongo wewe ndio mgumu wa kuelewa
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
Kuja na hoja ili tukuone kama wewe ndo mkweli
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Ubaya wandacha Wakeniusindani na kelejingi Nakubadilisha mandiko Wachaujanja
@truth7796
@truth7796 Жыл бұрын
Uwongo wa majini wanaomchukia Yesu
@MariaWambugha-nh1wh
@MariaWambugha-nh1wh Жыл бұрын
Hawa majamaa ni wabishi hawana elimu ya kimbinguni wao wako na elimu yakimwili tu 😮😮😮😮😮😮😮
@khamishaji9508
@khamishaji9508 Жыл бұрын
nani aamini yesu ni mwana wa mungu ,,
@abdullahimohamudosman3695
@abdullahimohamudosman3695 Жыл бұрын
Ndacha ni mbishi sana na anataka kuongea yeye tu, hajibu hoja, hajibu swali na hataki kukubali ukweli.
@uwesusaid5334
@uwesusaid5334 Жыл бұрын
Ndacha amechemka 😂😂😂😂 Wakristo wabishi saba
@truth7796
@truth7796 Жыл бұрын
Bishi ni wewe
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
Lazima achemke kwa kutetea ukweli, wewe ulipenda akae kimya ili uongo utawale?
@truth7796
@truth7796 Жыл бұрын
@@louisejeanne8306 yeye ndiye mwongo
@ibrahimetale9999
@ibrahimetale9999 Жыл бұрын
Bibilia milioni versions niamini gani? Quran ni1
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Yaani hapa ukiwa na akili timamu utaelewa ukweli uko wapi
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi Жыл бұрын
Nieleweshe akili zangu kidogo hazijatimia aslimia mia
@mwoso
@mwoso Жыл бұрын
Huyo Anwar ni kafiri tu. Uisilamu ni kiburi. Hao walinyimwa roho mtakatifu kwa kumpinga yesu Kristo. Hakuna siku wataelewa andiko la bibilia mpaka siku ya kiyama watakapo hukumiwa pamoja na mtume wao Muhamed.
@aliyyuhibu3561
@aliyyuhibu3561 Жыл бұрын
Babaako jina lake la mitishamba lazima uitike wewe hakuna mtu mwingine mwenye jina kama hilo
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 Жыл бұрын
Ndacha nakwambia kila siku usi debate na Anwari Ramadan kuria hao watu huwawezi
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
Hawawezi kwasababu wanasimamia majini wakubwa au?? Lakini hata wawe na nguvu za ziada za kuwasaidia, ila walinzi na wasaidizi walio upande wa NDACHA ni wakubwa zaidi
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Hakuna bibilia original hizo zote tafsiri tu wakristo fungueni macho mnapotea bure
@hassanabdi9993
@hassanabdi9993 Жыл бұрын
Mashaallah sheik Anwar huyu mkafiri anajua kwli lkn anatka kupoteza kondoo
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 Жыл бұрын
Kafiri ni Mohammed na babako shenzi type
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Ati wakristo wana roho😂😂😂
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
Unakataa au unakubali?
@luluamin1388
@luluamin1388 Жыл бұрын
​@@louisejeanne8306 hata panya ana roho
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 11 ай бұрын
​@@luluamin1388Panya ana nafsi wala si roho .Mwanadamu pekee anayo roho.Mwanadamu ana nafsi(soul) na roho (spirit)Wanyama wana tu nafsi Bali hawana roho
@luluamin1388
@luluamin1388 11 ай бұрын
@@davidochiengbuoga7165Panya, Mende, Nzi, nyoka wote wako na roho.
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 11 ай бұрын
@@luluamin1388 Thibitisha hayo, roho ni sehemu ya Mungu ambayo hupewa kwa mwadamu tu wala si viumbe vinginevyo.Mwadamu anapokufa roho hurudi kwa Mola nafsi hubaki duniani kusubiri siku ya hukumu
@user-ru4cy1ob8k
@user-ru4cy1ob8k Жыл бұрын
Anwar tushakuzowea wewe ushajua ukwl kitaambo wala sio mwanzo unafanya mjadala na mwl ndacha.... Unawazuga waislam ila ulikubali Yesu kitaambo ni vile hutaki kutangaza utauliwa kwa mujibu wa Muhammad marehemu
@issackabdi7001
@issackabdi7001 Жыл бұрын
Ndacha kila viraka ..hana elimu tena
@truth7796
@truth7796 Жыл бұрын
Wewe uko na nini, Muslim trying to misinterpret the word of God 😅😅😅
@aliemdogo
@aliemdogo Жыл бұрын
Mwalim wangu ndacha kuna watu waliochanganywa na maisha muongo
@sirajiatibu3232
@sirajiatibu3232 Жыл бұрын
Huyu ndacha wapoteza watu dunian wala kusikiya maneno a Mungu misunderstood misleading people's to astray God has no son John 17:3
@nephatkahinga6577
@nephatkahinga6577 Жыл бұрын
Soma maandiko uelewe
@sirajiatibu3232
@sirajiatibu3232 Жыл бұрын
@@nephatkahinga6577 Mandiko gani? wewe utowe handiko Bibilia yasema yesu uyu watumwa John 17 :3 kwa watu wa Israel Mathew 10 :5&6
@otienonicholas2048
@otienonicholas2048 Жыл бұрын
Jesus is God because God said so, why then denay if trinitians say so
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 11 ай бұрын
Yes God said thru prophet Isaiah that Jesus would come to earth in flesh and will be called Mighty God Isaiah 9:6-7.This authority He received from God His Father.When the word of God spoken through the prophet came to pass , Jesus was born by earthly mother virgin Mary and was given the name Jesus meaning GOD WITH US (Matthew 1:21-23.Jesus Himself said anyone who has seen Him (whoever believes in Him) has seen His Father who is God(John 14-6-9)So Jesus is God to the glory of His Father(Philippinians2:5-11)
@otienonicholas2048
@otienonicholas2048 Жыл бұрын
Yes, Ndacha, Jesus is God but not that he is taking the position of God the father.if that is the case then non problem referring Jesus as God please
@sirajiatibu3232
@sirajiatibu3232 Жыл бұрын
Jesus is not God Luke 1 :29:30&31
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 11 ай бұрын
​@@sirajiatibu3232Jesus is God Isaiah 9:6-7
@mohamedhulbale-dg5zj
@mohamedhulbale-dg5zj Жыл бұрын
Class 3 hawezi jibu suali ya university please why because he didn't understand what it means about it get off topic maana mushafua jina la mungu
@joelakello8335
@joelakello8335 Жыл бұрын
Class 3 aliyejazwa na roho mtakatifu Univercity graduate bila elim Degree na vyeti fake kutoka river road
@bentajay8973
@bentajay8973 Жыл бұрын
This sheik is a lier Even in school most children are called by their father's name
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 32 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 14 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 10 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 32 МЛН