MNAKWAMA WAPI MPAKA MTUENDEE KWA WAGANGA | MKE ANAHITAJI MUME RAFIKI | MWL:-DIMOSO

  Рет қаралды 42,329

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

2 жыл бұрын

Пікірлер: 42
@AmiryMbagwi
@AmiryMbagwi 7 ай бұрын
Daah aysey Sheikh Wang nakukubalii sana or namkubali sana Allah akuzidishiee maarifa zaid Ameen
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 3 ай бұрын
Mtaalam Dimosso mwana wa ukae, Bo🎉nge la Mwl. Anahamasisha kuelewa hata kama hutaki
@daudiniyonsaba1113
@daudiniyonsaba1113 2 жыл бұрын
Manshallah sheikh Dimoso unatupa vitus, alhamdulilah. Naipenda staili yako na kitaalamu ujumbe unaotolewa kwa staili ya ucheshi ucheshi inafika kivepesi kwa walengwa, asante.
@shamillahhussein2878
@shamillahhussein2878 Жыл бұрын
Kwelii kabsa
@RashidHamis-we3gt
@RashidHamis-we3gt 3 ай бұрын
A llah akulipe shekh kubwa n mazingatio
@almasjafari4218
@almasjafari4218 Жыл бұрын
Huyu mwenye TV Atoe hiyo picha ya mwanamke mawaidha yanatukumbusha mema
@zarikhamiss1006
@zarikhamiss1006 Жыл бұрын
Nampend saana shekh huyuu anaongea ukwel
@Is-hakaRocky-ce1zq
@Is-hakaRocky-ce1zq Жыл бұрын
Takbiiir sema sheikh wetu
@a.856
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@nsimbandumwekhamisi157
@nsimbandumwekhamisi157 Жыл бұрын
Mungu ampe umri wenye afya
@AyubuOmary-vt5uc
@AyubuOmary-vt5uc 11 ай бұрын
Shehe dimosoo hongera
@nuruyetu8344
@nuruyetu8344 Жыл бұрын
Kosa lililo fanyika hapa kwenye hii video ni kuwekwa mwanamke ambae hana stara kisha video hii kuna watu tofaut tofaut wanao angalia
@AyubuOmary-vt5uc
@AyubuOmary-vt5uc 11 ай бұрын
Hongera shehe
@abdulragmababdulsalam5107
@abdulragmababdulsalam5107 Жыл бұрын
Mashaallah shukran
@ggohf7004
@ggohf7004 2 жыл бұрын
Mashaa Allah 😍😘
@fatmahmusa7502
@fatmahmusa7502 2 жыл бұрын
Nyie Uwiiii😊🤣
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 жыл бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah 👌 ♥ 🤣🤣🤣😁😁
@nsimbandumwekhamisi157
@nsimbandumwekhamisi157 Жыл бұрын
Uyu mwalimu alikuwaga wapi uyu
@jersonmpeka4984
@jersonmpeka4984 7 ай бұрын
Shekhe wangu unatisha Elimu tosha kabisa
@komorasalim-sw6bk
@komorasalim-sw6bk Жыл бұрын
Nikweli maisha ya ndoa yamekua pasua kichwa
@animamichael3968
@animamichael3968 Жыл бұрын
kweli shekh
@nsimbandumwekhamisi157
@nsimbandumwekhamisi157 Жыл бұрын
Anagusia yanaojiri kwenye nyumba nyingi
@maryam-xh7em
@maryam-xh7em Жыл бұрын
Naam
@khadijamahinda-vt2un
@khadijamahinda-vt2un Жыл бұрын
Mimi naspoti mnafeli TV shekhe na I yo picha ni kitu tofauti na akiiyona mwenyewe lzm akopleni msifeli wasambazaji mnavuka mipaka yy anatusisitiza wan awake tujistiri nyinyi MNAmkashifu kwa Kumuekea pic ha ya mwanamke yupo uchi je mnamjengea au mnambolea?
@abedikapangasabiti5551
@abedikapangasabiti5551 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/fKd6qNFz3bu9oI0.html njoo tujifunze sasa
@ayoubpapiy6692
@ayoubpapiy6692 10 ай бұрын
Shekh anacheka then ananuna hapohapo🤣🤣🤣
@Wastara001
@Wastara001 Жыл бұрын
Huyu hana mawaidha mengine ni ndoa tu. Tawheed hajaizungumzia. Aya azitafsiri kwa akili yake. Masufi balaa
@abdulhassan8282
@abdulhassan8282 Жыл бұрын
Ndio amebezi kwenye ndoa tu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Hatusomi tawheed tatu kama wakiristo. Tawheed yetu ya mola mmoja tu imetutosha
@Wastara001
@Wastara001 Жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Sorry you are not informed. Soma kwanza
@tantinebettynduwimana380
@tantinebettynduwimana380 Жыл бұрын
kwani kuna shida gani?
@omarymeinchande7511
@omarymeinchande7511 Жыл бұрын
Mengine watazungumza wengine kwa uwezo wake,kwa nafasi yake kafikisha ujumbe kajitahidi palipo Baki eleza wewe
@HassanHassan-sn5cj
@HassanHassan-sn5cj Жыл бұрын
Kwanini mawaidha mnayawekea picha za kishenzi!?
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
halafu utasikia mashekhe wanasema wanawake picha zao zinatumika kwenye mabango ya biashara sasa wao mbona wameweka
@aishamohamed7655
@aishamohamed7655 Жыл бұрын
Et jamani
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Kosa la mwenye tv
SH. HILAL KIPOZEO | MACHAFUKO NA MADHAMBI YA DUNIAN
38:32
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 15 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 34 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 8 МЛН
Wake Punguzeni kuwawekea madawa waume zenu - Mwalimu Dimoso
48:52
MKE KITULIZO MUME ACHEKELEA
16:20
MWALIMU DIMOSO ONLINETV
Рет қаралды 40 М.
Khalifa Sheikh Swaleh Makarama Amsimulia mtoto wa Muniiba
21:20
ZVP ONLINE TV
Рет қаралды 8 М.
OGOPA SIKU YA KURUDISHWA AKHERA//SHEIKH OTHMAN MAALIM
50:55
arkas online tv
Рет қаралды 14 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 34 МЛН