NDOA ZA LEO ZIPO WODINI ZINAUMWA | IANGALIE NDOA YAKO IPO WODI GANI || MOCHWARI | ICU | MWL DIMOSO

  Рет қаралды 69,063

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

2 жыл бұрын

Пікірлер: 82
@OmariMagabula-jt6jj
@OmariMagabula-jt6jj Жыл бұрын
Sheikh DIMOSO kwenye maada ya ndoa upo vizuri mashaa Allah! Allah akuzidishie na akulipe!
@rutengeelias7482
@rutengeelias7482 Жыл бұрын
Sheikh uko vzr sana ktk Somo la ndoa!! Allah akufahamishe zaidi Ili uendelee kuielimisha jamiii!! inshallah!!
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
dereva anapewa gari aendeshe wakati hakwenda kusomea udereva lazima atapata ajali 🥰🥰🥰😍penda shekhe wangu
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@ismailowino2866
@ismailowino2866 2 жыл бұрын
Masha'allah,Shekhe darsa swadakt.Salamu kutoka huku kwetu Kenya.
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Kichwa cha habarituu nimecheka, ndoa nyingi ziko i c u
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 2 жыл бұрын
😂😂😂
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Hahaaaaa hatari
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 Жыл бұрын
Jazaaka LLAAHU khairaa. Vyeti feki vingi Sana😀
@aminaathumani6832
@aminaathumani6832 2 жыл бұрын
Kajaa shekhee nyundooo kafufukaa murithee😅😅😅😅😅🙏🤲🙏🤲😅😅😅😅😅🖐️🖐️🖐️
@user-mt4sd6cj5y
@user-mt4sd6cj5y 11 ай бұрын
😂😂ukiona nyani kazeeka juwa kakwepa...mishale mingi plz njoo n Mombasa pia ndoa nyingi ziko kaburini hasa.
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 2 жыл бұрын
Shekh wangu rafk angu mwenyew nampenda mpaka nampendelea 🤣🤣 mgosiiii
@user-ni8ci5gs1z
@user-ni8ci5gs1z 11 ай бұрын
Manshaallah shekh wetu Ila km nomewahi KUKUONA morogoro maeneo ya kingolwira shekh
@AbdiShabani-px6dh
@AbdiShabani-px6dh 8 ай бұрын
Mungu akubariki mwali
@husnapetar3617
@husnapetar3617 Жыл бұрын
Adi Raha mawaidha mazurii
@daudiniyonsaba1113
@daudiniyonsaba1113 2 жыл бұрын
Manshallah, mawaidha matamu sana. Asante sheikh.
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 2 жыл бұрын
Mashallah shekhe wetu mashallah kweli usemayo😀😀😀unapewaje cheti umesoma
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Shekhe yupo sahihi na hayo mafunzo niliwahi pitia kanisani ila niajua hayatuhusu muslim from Iraq
@ashuraabdallaah7428
@ashuraabdallaah7428 2 жыл бұрын
Mashaallah shukrani
@adblmajid109
@adblmajid109 2 жыл бұрын
Allah akuongoze
@idrisayaoneni8920
@idrisayaoneni8920 Жыл бұрын
Allhah akujaalie umri mrefu wa kutoa elimu
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Nitakutafuta shekhe ikikaribia ndowa yangu zay from Iraq
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Sheikh unasema sahihi kabisaa kuhusu ndoa
@EdithaKapinga-ms5jj
@EdithaKapinga-ms5jj Жыл бұрын
Nimekupenda mtumishi filipo wa mbinga songea,uje mbinga uokoe ndoa za watu
@HalimaKatotoally200-bw6xj
@HalimaKatotoally200-bw6xj 10 ай бұрын
Mashaallah
@godfreymanyengo7473
@godfreymanyengo7473 2 жыл бұрын
Nice nice
@iraakasubete8287
@iraakasubete8287 Жыл бұрын
MashaAllah Shekhe wangu
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Masha Allah
@hanifa9153
@hanifa9153 2 жыл бұрын
Mashallah mashallah barakallah.....
@swaumumohammed5710
@swaumumohammed5710 2 жыл бұрын
MashaAllah
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@magesasimoni4278
@magesasimoni4278 2 жыл бұрын
Nimeyapenda mawaidha yako shekhe
@yusrajuma6431
@yusrajuma6431 2 жыл бұрын
Assalaam aleykum Mwalim naomba namb zako
@abdoulkarenzo3138
@abdoulkarenzo3138 2 жыл бұрын
Thx
@Khadija-jm3bg
@Khadija-jm3bg 8 күн бұрын
Wazazi wako nafasi ya ngapi katika upendo ?
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
Subhanallah Allahu Akbar.
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Walillahil-hamdu
@user-sv9qe7yj8e
@user-sv9qe7yj8e Жыл бұрын
Mashallah
@mohamedrashidi6126
@mohamedrashidi6126 2 жыл бұрын
Aww , Towa dalili za kuwafunza watu ndoa zama Za Mtume Mohammad S.W.W .Kwani wasio kuwa sisi ndio ndoa hazina migogoro. Sivyo Sheikh maisha ya ndoa hata yake Mtume Mohammad S.W.W ILI KUWA NA CHANGAMOTO
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Wenye pepo na moto mshakuja sasa
@ismailowino2866
@ismailowino2866 2 жыл бұрын
@@zvpOnlineTv naam!Yaani wao wajuzi tu na wana kauli kwa kila jambo!
@maalimjobe7636
@maalimjobe7636 2 жыл бұрын
Haaifai kuandika aww wla sww.rejea fatawa za wanazuoni akiwepo allaama muhammad swaalih fawzaan
@leilahassan6157
@leilahassan6157 2 жыл бұрын
Mtihan
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Sannah
@magesasimoni4278
@magesasimoni4278 2 жыл бұрын
Wann
@bobaiddi9599
@bobaiddi9599 2 жыл бұрын
Shekhe nimekuelewa
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@husseinabdallahaman4413
@husseinabdallahaman4413 2 жыл бұрын
Dimoso lini ifakala kaka tutembelee
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
huyo shekhe anaitwa nani jaman
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Dimoso
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
mawaidha yake yapatikana kwa jina la dimoso
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 inauma sana yapo sana.
@mubinamwanyiro4675
@mubinamwanyiro4675 2 жыл бұрын
Dha unanikosha Sana ustdh🤣🤣🤣
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 жыл бұрын
Sauti yake inalingana na sheikh nyundo
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Mashaallah sahihi kabisaa
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@janethjackson9774
@janethjackson9774 Жыл бұрын
Shee mawaiza yako nimeyaelewa yamenigusa kiukwery samahani naomba nambayako
@alybashir4802
@alybashir4802 2 жыл бұрын
ALIY BASHIRU
@alirashid4887
@alirashid4887 2 жыл бұрын
Asalam alykum, jaman nilikua nataka kuuliza kwenye uislam inasihii kuvishana Pete siku ya ndoa?
@fadhilimagembe4083
@fadhilimagembe4083 Жыл бұрын
Ndio inasi
@bintkijangwa4305
@bintkijangwa4305 2 жыл бұрын
😆😆😆😗😆
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Hatari
@asmaajuma3328
@asmaajuma3328 Жыл бұрын
😂😂😂😂👏👏🇰🇪
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Binafsi ndoa yangu ya kwanza nimechangia kuivunja kwa kukosa uelewa wa sheria za ndoa na sijua kwa kipindi hicho hadi nimeanza kufatilia darsa mbali mbali ndio nimegundua kua nilikua na shida
@omanghomangh9098
@omanghomangh9098 2 жыл бұрын
Bora.umejitambua
@mwalimudimoso5205
@mwalimudimoso5205 2 жыл бұрын
Kaka jipange tuisome ndoa kabla yakuiendea usirudie kosa
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 2 жыл бұрын
Mohamed ali nimekupenda kwa ajili ya allah kwa kukiri kujuwa makosa yako namuomba allah akuptie mke mwema na wewe kwa sasa itakuwa ni maalim wake inshaallah
@mohamedrashidi6126
@mohamedrashidi6126 2 жыл бұрын
Semina si tija sheikh ila mke na Mume watikiwa wawe na subra maisha ama ndoa yafanana. Penzi upanda, ushuka , na upotea .Si Kweli hawako siwa wasio kuwa sisi wanamigogoro kutuliko
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mh acha ubishi
@ismailowino2866
@ismailowino2866 2 жыл бұрын
Maoni yako hayo akhui.
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Wengi hawana elimu kabisa angalau uputie madrasa na usome tabia za mitume
@mwalimudimoso5205
@mwalimudimoso5205 2 жыл бұрын
Kila ibada inahitaji kusomwa wewe unasema Sio lazima kaka unajitambua au?
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
@@mwalimudimoso5205 Naunga mkono hoja mm ni muhanga wa ndowa bila elimu mengi nimeyagundua kua nilikua nakosea japo sijaelimika zaid naomba njia za kujiunga na group yako mwalimu zay from Iraq
@hawaheri5833
@hawaheri5833 2 жыл бұрын
Naam kam.umenilenga vile
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Hahaaaaaa
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
😁😆😁😆
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Hatari
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 25 МЛН
NAFSI YAKO NI ADUI MKUBWA KULIKO IBILISI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
24:24
arkas online tv
Рет қаралды 13 М.
NDOA HIZI HAZIKUBALIKI
15:49
Kishki Online TV
Рет қаралды 193 М.
mwalimu Dimoso: NIPE NIKUPE RAHA TUPEANE
13:01
MWALIMU DIMOSO ONLINETV
Рет қаралды 10 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 86 М.
KUNA MAKUNGWI KAZIYAO MATUSI TU //SHEIKH NYUNDO
19:13
arkas online tv
Рет қаралды 113 М.
KAMA MKEO HAIJUI SIRI HII HUNA MKE | SHEIKH IZUDIN
38:55
Adil TV
Рет қаралды 205 М.
REMBUA JICHO KAMA LINAKATA ROHO// MWALIMU DIMOSO
3:46
arkas online tv
Рет қаралды 10 М.
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН