MOHAMMAD ISSA MIKAKATI YA FREEMASON

  Рет қаралды 194,600

AKASHA PRODUCTION TV

AKASHA PRODUCTION TV

9 жыл бұрын

AkashaDaawah...
AKASHA DAAWAH TRADERS +254 721 310 082

Пікірлер: 127
@samouma6275
@samouma6275 2 жыл бұрын
Am not a Muslim but greatly blessed by your teachings
@AKASHA.P
@AKASHA.P 2 жыл бұрын
Freemasons doesn't care if you are a Muslim or Christian We are all victims
@elbarrey3305
@elbarrey3305 2 жыл бұрын
Let you be muslim for you own seek 🕌🕌
@johninnocent3270
@johninnocent3270 Жыл бұрын
Mnapo taka kuokoa umma wa mwenyezi mungu tajeni dini zote,watu wote,taasisi zote,wasanii wote,bila kujali Muslim au laa Mkificha ya upande flani nanyi bado hamjamsaidia mtume Mohammed Nanyinyi mtakuwa sehemu yao hao Msiwaadae waislamu
@davismdula1517
@davismdula1517 5 жыл бұрын
Japo mm ni mkatorik nimekuelew xna ostaz Mohamed issa mungu akujalie na akutie nguvu
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 жыл бұрын
Si ukue mwislamu basi
@noushaddammam8805
@noushaddammam8805 2 жыл бұрын
mungu akupe maisha ya dunia mema na uko akhera nimejifunza mengi kutoka kwako shekhe shukrani sana
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 4 жыл бұрын
Mashallah allah akupemwisho mwema inshallah good brass Muhammad issa THE BIGGEST BOSS NASRI
@franktimothkisimbo5354
@franktimothkisimbo5354 7 жыл бұрын
Mungu tusaidie tuzidi kujua ukweli
@ruu6592
@ruu6592 2 жыл бұрын
Six years still watching mashallah
@alhamdulillahalhamdulillah7529
@alhamdulillahalhamdulillah7529 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi wewe na kizazi chako pamoja nasisi na vizazi vyetu
@mudiinasser4303
@mudiinasser4303 5 жыл бұрын
Jahannam ndio miadi Yao sheikh tabaraka llahu fik ameen
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
HASBUNALLAHU WANIIMAL WAKIIL. ALLAH ATUHUISHE, ATUFISHE NA ATUFUFUE KWENYE UISILAM , AMIIN YAA RABB
@feliciankazimoto8888
@feliciankazimoto8888 4 жыл бұрын
Debe moja
@jesusnetworkministry
@jesusnetworkministry 3 жыл бұрын
Huo mpango wote ni unabii ambao Bwana Yesu alisha utabiri nikweli ukipnga sheria zao utauwawa kwa upanga kipndi cha mpinga kristo
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 Жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema allahuma aamiin
@rehemambufu3749
@rehemambufu3749 5 жыл бұрын
MaashaAllah Allah akupe umri mrefu wenye manufaa pia akupe siha nje na
@hadijasingano9826
@hadijasingano9826 2 жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu uendelee kutukumbusha mengi zaid
@nasrimathias6785
@nasrimathias6785 4 жыл бұрын
Allah akujarie mwishomwema THE BIGGEST BOSS NASRI
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 жыл бұрын
I love bro ❤ ❤ ❤
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 4 жыл бұрын
Asante shekh nimekuelewa vizuri
@ibrahimgwavu2039
@ibrahimgwavu2039 4 жыл бұрын
Allah akulipe badala kwa kutuelimisha skh muhammad Issa
@imanimoshi4351
@imanimoshi4351 6 жыл бұрын
Allah akulipe her nyingi
@kautharcadey3562
@kautharcadey3562 2 жыл бұрын
Masha ALLAH
@LiD-bee
@LiD-bee 2 жыл бұрын
Allahmaamin
@osamachambuso3785
@osamachambuso3785 2 жыл бұрын
Allah akulipe kher na nguvu na mwisho mwema inshallah
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 4 жыл бұрын
Hata Tz watoto wanaotambulika kiserikali mwisho wanne, kama utakuwa ni mtumishi Serikalini haki zinazoweza kulipwa ni kwa watoto wako wa4 tu..! Eg una watoto wa5 au zaidi ukitaka kwenda likizo utalipwa nauli ya watoto wanne tu na mke mmoja tu.., Bima ya Afya utaruhusiwa watoto wa4 tu!
@yusuphumohammed5833
@yusuphumohammed5833 4 жыл бұрын
Mashaalah Allah akulipe ishaalah
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 жыл бұрын
Ameen
@suddhassan6209
@suddhassan6209 2 жыл бұрын
Shukran sana
@hashimsaid5546
@hashimsaid5546 2 жыл бұрын
Sheikh maneno haya uliongea kabla ya Corona Leo wameleta chanjo ya lazima na hela wanatoa ili uwekewe cheep kwa lazima na wajinga wamekubali innalillah wainnailaih rajiuun
@hassanally9468
@hassanally9468 6 жыл бұрын
Subhannaallah allahuakbar
@rukiamusa9916
@rukiamusa9916 3 жыл бұрын
Maashalah mabruk sheikh point tekken brother
@calansidenet7646
@calansidenet7646 8 жыл бұрын
Allahu Akbar mungu atustiri
@rehemambufu3749
@rehemambufu3749 5 жыл бұрын
MaashaAllah, Allah akupe umri mrefu wenye manufaa akupe siha njema
@hassanjuma2448
@hassanjuma2448 6 жыл бұрын
Allah akulipe kheri
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 жыл бұрын
I love you sheikh
@rugemarashid3019
@rugemarashid3019 6 жыл бұрын
mungu akulipe
@halimamathew285
@halimamathew285 2 жыл бұрын
Mashaallah.mashallah
@FatmaFatmA-qk3zl
@FatmaFatmA-qk3zl 2 жыл бұрын
Subhaanallah subhaanallah! Duuu
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
حقا.
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
Kila lililo andikwa kwenye bible lzm litimie tumeona ule msikiti wa yulesememu sasa Israel ishachukua mji wao ilo ni andiko lilishasema lzm ule mji uludi kwao na umeludi so uislam utatawala na vita vitaenea apo ndipo yesu atakapo shuka yalishasemwa ayo kwenye bible shetani atatawala ndio maana wanataka new wold oda na sisi wakirsto tutapigwa na kuuwawa kama kina yohan petro kwaiyo yesu alishayasema ayo yoteee na sisi tutaendelea kumpigania mpaka mwisho mathayo 24 ishaeleza
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 3 жыл бұрын
Kwanza jiulize swali new world oder ni ya watu wa imani gani?na hapo ndipo utaelewa vizuri make naona huelewi;Yesu atakuja kwa uwezo wa mwenyezi mungu na atakuja kuwakana kwa sifa mnazompa mbele ya Allah!
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 3 жыл бұрын
YESU ni mjumbe wa Allah hawezi kufanya chochote bila uwezo wa Allah,tambua kwa Yesu alikuwa na imani?je aliagizwa nini na ni wapi aliagizwa?je alikuja na ujumbe gani?Je Yesu ndiye mwanzilishi wa Ukristo na makanisa? au alikuwa Muislamu?Je kama ndiye ameanzisha Ukristo duniani niambie hapo awali ilikuwepo dini gani?Na yetu alikuja Kalne ya ngapi?Je Yesu ni Mungu au Mtume wa mwenyezi mungu?
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 5 жыл бұрын
Nikumbe she he ikiwa umepata uwezo wakujuwa hayo Mimi namuomba mungu wakweli alie juu akufunulie zaidi ufike wakat ujuwe kuwa hata Huo uisilamu sidini yakweli kutoka kwamungu juu kuna yesu nanyinyi yesu hamumjui mnamjuwa isa alozaliwa kwenye shina lamtende nayesu hajampa utume Muhammad BA's mujuwe huy alla subuhana wataala nikafiri anaempinga mungu tafuteni kweli
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Hhhmmm we kweli jamaa wamekupotoa
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Hem toa andiko moja tu kutoka kwenye iyo bibilia unayoiyona ndo kitabu cha mungu inayosema ukristo ni dini ya mungu au ni dini aliokuja nayo yesu msifate tu mawazo ya Paulo mzungu yule atakupelekeni motoni nyie
@issemohamed2501
@issemohamed2501 4 жыл бұрын
Isse
@niyibizisaid1160
@niyibizisaid1160 2 жыл бұрын
Juzu Tafsir surat mariam
@nurdinmuhtwara2622
@nurdinmuhtwara2622 2 жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema
@abdibashir7475
@abdibashir7475 Жыл бұрын
Bismillah
@mwanashazingas3977
@mwanashazingas3977 5 жыл бұрын
😭😭 Allah atujalie mwisho mwema ameen
@juliusmagawa1770
@juliusmagawa1770 3 жыл бұрын
Asante
@paschaljohn7955
@paschaljohn7955 6 жыл бұрын
inshallah
@jushuakituri6042
@jushuakituri6042 5 жыл бұрын
Paschal John Allah atunusuru
@egbertcarter3665
@egbertcarter3665 7 ай бұрын
36:34
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 5 жыл бұрын
Ikiwa mashehe wenye kujuwa kweli lakini wanaficha kwavile wao wameshindwa kumuogopa mungu aliewaumba nasis hatutawaogowa wao tutasema waz waisilamu mungu alla subuhana wataala nikafiri maana yakafiri nimpingaji mungu wenu nimweny kupinga sheria zakweli zamungu namtume wenu nikafiri namashehe wanaosemasha uisilamu nimakafir nanyinyi wafuasi mtakuwa makafir tokeni huy subuhana wataala makaz yake motoni
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 жыл бұрын
Vipi
@binhussain3445
@binhussain3445 2 жыл бұрын
Sijakuelewa hapa please fafanua maneno yako
@zuwenamkwizu337
@zuwenamkwizu337 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana mwl wangu may Allah protect you
@nassourrajabu3807
@nassourrajabu3807 9 жыл бұрын
Allah huakbar
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Kama Motoni mtapelekwa namudi nawala SIO YESU MJIBU MPUMBAVU SAWA NAUPUMBAVU WAKE
@issaramadhan4015
@issaramadhan4015 2 жыл бұрын
Kuwa makini uslopokeropoke kamaumetoka usingizini tulia usomeshwe
@nyanchokachacha4318
@nyanchokachacha4318 7 жыл бұрын
Shekh kuna uhusiano gani kati ya Q33 NY si kwamba ni ubunifu tu.
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 4 жыл бұрын
Ubunifu huo kabuni nani na malengo gani
@mkwindamussa1336
@mkwindamussa1336 2 жыл бұрын
,kaswida mazingira
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 4 жыл бұрын
Sheikh, mlishapoteza muelekeo mmebakia na mada au mawaidha yasiyo na athari kwa makafiri, umesahau kwamba uislam ni hukumu. Mada hizi haziujengi uislam. Zaidi mnafanya biashara kwa mgongo wa dini.
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 4 жыл бұрын
Lete mada zako zenye tija kwa dini tutaziona Inshaallah
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 4 жыл бұрын
izo ni fikrA za kuirudisha Dola ya kiislam insha'Allah
@mhinahalfan2694
@mhinahalfan2694 3 жыл бұрын
Unapozungumzwa mfumo ndugu yangu ujue hata kuanguka kwa dola za kiislam ilikuwa ni mifumo iliyosukwa na ndio unaofanya hata leo uislam kupitia vyombo vya habari vya maadui wa uislam umeiminisha dunia kuwa uislam ni ugaidi na kisha kuzivamia baadhi ya nchi za kiislam. Na jingine ni kuingiza mifumo inayokinzana na sheria za uislam na mafunzo ya mtume swalallahu alayh wasalam. Ni hili wanajua adui yao mkubwa ni hizi sheria za uislam,, ndio sababu ya mada kama hizi.
@adammaro7836
@adammaro7836 2 жыл бұрын
Waislamu kutoyajua haya nayo imechangia ukubwa wa hatari, huyu sheikh anapozungumza hapa kuanzia leo atakuwa adui mkubwa wa freemasonry, anaamsha Waislamu na wakristo
@jesusnetworkministry
@jesusnetworkministry 3 жыл бұрын
Pia ukweli uislam licha ya kujifanya mnamisimamo lakn uislam uroman catholic sio UKRISTO Ni uromani catholic mtaungana na kumuinua mpinga kristo Na kuwa uwa wale wote ambao watamkiri Yesu kama ndio njia sahihi ya kuwakoa wanadamu Tofautisha uchafu unaruhusiwa na roman catholic na nini Biblia inafundisha Biblia imeweka wazi ukweli wote kwamba siku za mwisho
@abdillahhussein3020
@abdillahhussein3020 2 жыл бұрын
Magonjwa ww
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 6 жыл бұрын
she he, hizo mada hazisaidii waislam siku hizi umekuwa mfia tumbo na sio mfia dini.
@mpendaukweli8999
@mpendaukweli8999 6 жыл бұрын
Ramadhan Ibrahim saitan wewe
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Hata elimu sio manufaa kwa waislam, ni wangapi wameacha kuwapiga chanjo watoto wao kupitia hizi mada,badilika ndugu yangu
@abdillahhussein3020
@abdillahhussein3020 2 жыл бұрын
@@muslihmohd9420 Nyie kama hii mada inakuumizeni kaeni pembeni lkn huo ndio ukweli wa dunia inakoelekea sasa hv kwa hio hata mkichukia ni kazi bure.
@MussaHussen-tr3kk
@MussaHussen-tr3kk 5 жыл бұрын
J
@kwasidanzurik8589
@kwasidanzurik8589 8 жыл бұрын
masha Allaaah
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 жыл бұрын
Wanapanga anapangua kabisa
@wilsonlugutu5747
@wilsonlugutu5747 2 жыл бұрын
Makao makuu ya dini moja yamejengwa Abudhab ni katika eneo la uisilamu kwa hiyo unayo yasema siyo kweli na viongozi wa dini ya kiisilamu walisha mwaga wino
@elbarrey3305
@elbarrey3305 2 жыл бұрын
What a hope 🕌🕌
@mkimbiziboy
@mkimbiziboy 2 жыл бұрын
😭😭😭😭
@mkimbiziboy
@mkimbiziboy 5 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢
@abdullahimaalim6907
@abdullahimaalim6907 8 жыл бұрын
masha allah
@Omrankasiga
@Omrankasiga 9 жыл бұрын
Allah Akabari
@MussaHussen-tr3kk
@MussaHussen-tr3kk 5 жыл бұрын
Mung akup umr mref
@orpharmogaka3736
@orpharmogaka3736 8 жыл бұрын
God's in control
@mbarakatv633
@mbarakatv633 5 жыл бұрын
Mashaallah
@omarshaban9157
@omarshaban9157 6 жыл бұрын
Allahu Akbar
@emmanuelmsali8940
@emmanuelmsali8940 5 жыл бұрын
duuuh niende wapi sasa
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
Only Jesus.aya yoteee yesu alishayasema
@hansiselemani8025
@hansiselemani8025 4 жыл бұрын
njo uislam,,din ya kweli
@awadhshaolin7187
@awadhshaolin7187 4 жыл бұрын
Nina taka jina la qaswida hiyo inaitwa nini
@bashitemakonda1540
@bashitemakonda1540 7 жыл бұрын
Tufany nn sasa Sheikh
@tommariam4393
@tommariam4393 6 жыл бұрын
Sheikh M'mungu akulinde na maadui na akupe umri mrefu. Ila waislam walio wengi hawajui kitu wala hawajapata elimu hiyo kwa kweli.
@allymahaba3720
@allymahaba3720 5 жыл бұрын
Namwomba Allah (SWT) Akuonyeshe haki na Akujaalie uifuate - Na Akuonyeshe batili na Akujaalie kuiepuka.
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 жыл бұрын
@@allymahaba3720 ameen yaraab
@allymahaba3720
@allymahaba3720 4 жыл бұрын
@@husseinyhassany5696 Shukran brother. Allaah (SWT) Atuepushe makundi hayo ya Jahannam. Amin.
@abdallahsultan2752
@abdallahsultan2752 5 жыл бұрын
. E. . Ih
@abdulrahmanngaluma3768
@abdulrahmanngaluma3768 2 жыл бұрын
Kati yako na sheikh Wa mazinge Wa Kenya .... Nani amekopi na kupesti hii mada....??? Maana hadi nukta na mifano hamjatofautisha aisee ... hahaha hah!!!!!!
@abdulsalum8138
@abdulsalum8138 2 жыл бұрын
Kukopi siyo tatzo anakopi jema shida akili yako inaelewa anachoongea
@alexanthon3595
@alexanthon3595 2 жыл бұрын
@@abdulsalum8138 ni kazi sana badala askilize kuelewa ye anaskiliza kushindanisha
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 5 жыл бұрын
Ikiwa mnakubali shetani alijifanya joka akmdanganya mama hawa kwanini musikubali mungu alivaamwili naakawepo dunia namaneno yake ndio yakwenye bibilia kuruani simaneno yamungu mtafuten mungu wenu akaa wapi mana juu kuna yesu hakuna isa wala subuhana wataala hawako huko
@popod177
@popod177 5 жыл бұрын
Hayo ni yako
@hansiselemani8025
@hansiselemani8025 4 жыл бұрын
njoo uislam,,hyo din yako ni din ya watu wenye kpata maslah,ushrikina,,
@hansiselemani8025
@hansiselemani8025 4 жыл бұрын
ulay wanaslim wote,,bado wwe,,,kama sio we kzaz chako ktakuwa kiidlam inshallah,,kwasabbu iktok ulay inakuja africa
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 4 жыл бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu (Allah) hana shida ya kujibadilisha atabaki kuwa Allah/Mungu usitegemee/msitegemee kuwa Mungu awe na sura/umbile la kibinadamu, Wapagani (Makafuri) wa Antokia wamewadanganya sana. Someni muelewe msirithi kukariri.
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 4 жыл бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu (Allah) hana shida ya kujibadilisha atabaki kuwa Allah/Mungu usitegemee/msitegemee kuwa Mungu awe na sura/umbile la kibinadamu, Wapagani (Makafuri) wa Antokia wamewadanganya sana. Someni muelewe msirithi kukariri.
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro 5 жыл бұрын
GLOBALIST FREEMASON WHITE RACE IS CURSED RACE INDEED...WAMELAANIWA WAZUNGU WATOTO WA SHETANI
@hassanally9468
@hassanally9468 6 жыл бұрын
Subhannaallah allahuakbar
@mikejohn2256
@mikejohn2256 9 жыл бұрын
masha allah
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 5 жыл бұрын
Nikumbe she he ikiwa umepata uwezo wakujuwa hayo Mimi namuomba mungu wakweli alie juu akufunulie zaidi ufike wakat ujuwe kuwa hata Huo uisilamu sidini yakweli kutoka kwamungu juu kuna yesu nanyinyi yesu hamumjui mnamjuwa isa alozaliwa kwenye shina lamtende nayesu hajampa utume Muhammad BA's mujuwe huy alla subuhana wataala nikafiri anaempinga mungu tafuteni kweli
@soudmoshmnyika5813
@soudmoshmnyika5813 4 жыл бұрын
Naomba kitu kimoja upo vizuri katika ukristo!? Nitafute kwenye whatsapp namba 0683849769 , tuwekane sawa kwa hilo
@wilsonlugutu5747
@wilsonlugutu5747 2 жыл бұрын
​@@soudmoshmnyika5813 chunguza kwa Imani unayo itumainia ilianzaje kabla ya Muhammad, sabuba hyo dini ilikuwepo na ujuwe walikuwa wanaabudu nini nakwamba je waliviaacha? ukichunguza utaona yameficha ili usielewe make hata hija , mifungo ya ramadhani yalikuwepo kabla ya mhamadi na ilikuwa dini ya buba zake kina Abudlimutwarib ndo walikuwa wenye arikaba
MOHAMMAD ISSA   UISLAMU NA UMAGHARIBI
1:24:13
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 94 М.
068 OTHMAN MAALIM....UKAIDI WA BANI ISRAEL
1:18:51
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 465 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 18 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
HABIB MAZINGE   MITIHANI WAHUBIRI TUNAYO PATANA NAYO bondeni mombasa
1:15:43
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 308 М.
019 2 OTHMAN MAALIM   ZIJUE TABIA KUMI ZA WANAWAKE WABAYA
1:12:50
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 187 М.
Sheikh Nassor BACHU - TAQWA
3:01:03
shining noor
Рет қаралды 113 М.
MIUJIZA 9 YA MTUME MUHAMMAD  S.A.W | MARHUM SHEIKH MUHAMED ISMAIL BAILE
28:58
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 10 М.
Tabia Njema za Mama Sara - Othman Maalim
1:09:16
Saleh Ally
Рет қаралды 86 М.
duniya sio kitu OTHMAN MAALIM 2017
32:15
Said Salim Matango
Рет қаралды 1,1 МЛН
OTHMAN MAZINGE...DEABATE YA BAMBURI MWISHO DAY 3
1:34:28
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 183 М.
Sheikh Hamza Mansoor - Sababu za Kufaulu ni kuwa na Msimamo
41:33
Mahaasin Tv Official Channel
Рет қаралды 209 М.
020 2 OTHMAN MAALIM   USIKU WA KWANZA KABURINI
1:19:15
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 683 М.
Kanisa La Ibilisi Part 2
34:19
ideal muslim
Рет қаралды 676 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 18 МЛН