Рет қаралды 8,372
Katika kipindi hiki cha Money Matters tumejadiliana na Francis Maziku maarufu kama 'Chichi" ambae ni Mmiliki wa Chichi Grills, aliyetueleza juu ya uanzishwaji na uendeshaji wa biashara ya chakula, changamoto na hasara unazoweza kupata katika biashara hii.