#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 52,499

Global TV  Online

Global TV Online

10 ай бұрын

#EXCLUSIVE: DELLAH MTANZANIA ALIYEWEKA MABILIONI KWENYE BIASHARA ya MAGARI, MSOTO HADI UMAARUFU...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 65
@globaltv_online
@globaltv_online 10 ай бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@margaretkaranja1864
@margaretkaranja1864 10 ай бұрын
Hongera KAZI zipo
@minanifreddy6969
@minanifreddy6969 10 ай бұрын
Ume ni Inspire bro Mungu ni waajabu sana rizki inaweza kucheleweshwa lakini sio kuizuwia
@DicksonRichard-gj7qb
@DicksonRichard-gj7qb 9 ай бұрын
Huyu dogo namuelewa sana, alikuwa mteja wa mkaa, akitoka chuo wakati huo baba yake akiwa amefungua eneo lubaga wakilorosti, nguruwe na huyu dogo akisimamia Edwini, mungu akubariki sana, sisi tupo shy na rafiki yako msuya fundi wa pikipiki yako,
@sara-os9dn
@sara-os9dn 9 ай бұрын
Ni kweli bila Mungu kwa dunia hii hutoboi
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 10 ай бұрын
Ukimsikiliza jamaa unagundua waaminifu machoni mwa watu wengine ni wachache sana.ukibahatika tuaminiwa jenga uaminifu.
@official_wjb_tz1589
@official_wjb_tz1589 10 ай бұрын
Nimependa jinsi unavyo include ukuu wa mwenyezi mungu katika safari yako ya mafanikio, kuna kitu tujifunze hapa
@henrygees
@henrygees 4 ай бұрын
Waandishi jifunzeni kuhoji kwa mtiririko. Huyu jamaa anamambo mengi sana ya kueleza vijana. Ila mnaohoji mnafeli pakubwa sana. Yan hakuna mtiririko kabisa. Nahisi mnakuwa hamjiandai. Wala hamuandai maswali ya msingi. Hizi ni rekodi za miaka na miaka msifanye kama story tu za mtaani.
@augustuss4503
@augustuss4503 10 ай бұрын
Loyalty, uaminifu ni kitu muhimu sana katika maisha .
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 10 ай бұрын
Kushinda vita yamafanikio ningum Kuna watu wakiona unaenda kutoboa 😢😢 unaludishwa nyuma uspokuwa makini unawaza kucheza 1-2 Bada yapo unaludi kuwa 0
@jofreymligo457
@jofreymligo457 10 ай бұрын
Yamenikuta hayo inaumiza
@jessendungu2334
@jessendungu2334 Ай бұрын
Motivating , encouraging, inspiring story
@djgravityreu_for4906
@djgravityreu_for4906 21 күн бұрын
To be honest, nimerudia kusikiliza interview hii zaidi ya mara Moja, Edwin umetisha Kijanga wangu! You've big dreams, big ideas and big heart. Mungu aendelee kukubariki!
@mathiasswai7006
@mathiasswai7006 10 ай бұрын
🎉🎉🎉 Chukua mau yako kaka, God bless more, i am learning,
@Abdoulyousouf
@Abdoulyousouf 10 ай бұрын
Umenikumbusha mambo mengi mpaka nimejikuta nalia ila one day Yes!!!! kikulacho ki nguoni mwako
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 6 ай бұрын
Ubarikiwe kaka endelea kumtumaini MUNGU maana yeye sio mwanadamu barikiwa sana
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 10 ай бұрын
Safi saaaaana haya ndio mambo Vijana tunapeana moyo
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 10 ай бұрын
Mchakato wa bandari kama ulivyosema tuna uwezo sisi wenyewe. Si waarabu. Watanzania wana uwezo ukiwaamini , ukiwaelimisha na kuwawezesha. Ni hicho tu tunakihitaji.
@Jackylmariam-qy6qe
@Jackylmariam-qy6qe 10 ай бұрын
Safari ya mafanikio ni ngumu mnooooh
@msafirifelician8458
@msafirifelician8458 8 ай бұрын
Nice brother, unafanya kazi nzuri
@user-zj3ev9eu9w
@user-zj3ev9eu9w 9 ай бұрын
I like the story I know the guy and the story itself. It truly happened
@zuhuraomary2782
@zuhuraomary2782 5 ай бұрын
Kuna ukweli kuhusu stori hii kwamba wanatukwamisha tunaowaamini na kuishi nao wanaweka vizingiti visivyo kawaida hata ukijua hutaamini kua ni yeye sijui tunashida gani watu weusi😢
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 4 ай бұрын
Ngozi nyeusi ni mtihani ,ni MUNGU atusaidie na mpambanaji inabidi ujitahidi unapokutana na changamoto.
@jirehpatrick5960
@jirehpatrick5960 10 ай бұрын
Edwin aka Mhella all the way from University of Greenwich I know this guy
@FreeGod368
@FreeGod368 4 ай бұрын
UK au
@davidmunishi5084
@davidmunishi5084 9 ай бұрын
Minaki Boy 👏🏾👏🏾👏🏾
@abdulkarimshabanmhandeni847
@abdulkarimshabanmhandeni847 8 ай бұрын
Hongera sana ndugu. Hapo kwenye unabii ndiyo pananifikirisha. Kwa jinsi ilivyoelezwa, kuna tofauti gani na waganga? Kuna dalili za kumtangaza nabii nini?
@masakakambesha4521
@masakakambesha4521 10 ай бұрын
Mimi mteja wako na nitaendelea kuwa mteja wako kwa sababu ya huduma nzuri
@Phones36040
@Phones36040 10 ай бұрын
i love these interview
@maxmakuku9907
@maxmakuku9907 10 ай бұрын
💥💥💥💥💥
@princemimi2090
@princemimi2090 16 күн бұрын
mwijaku 😂 mwenyew
@peternyambo1439
@peternyambo1439 9 ай бұрын
Hii stori imeniliza MANAKE MIMI KILINITOKEA KITU HADI LEO NAJIULIZA MASWALI SIKUWA NA MAJIBU, NILIKUWA NA BIASHARA YANGU NZURI TU LAKINI NILIFIKIA MAHALI NIKAIONA OFISI YANGU KAMA KITUO CHA POLISI NA HATIMAE NIKAIKIMBIA MAZIMA, HAKIKA BINADAMU TUNAUMIZANA MNOOOO. MUNGU ATUSAIDIE
@Trey2k365days
@Trey2k365days 9 ай бұрын
Pole sana kaka mimi pia😢aisee nmekuelewa sana
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 4 ай бұрын
MUNGU atulinde ktk safari za mafanikio.
@kevinmary7129
@kevinmary7129 18 күн бұрын
Msukuma wa shinyanga
@isackmgema7376
@isackmgema7376 7 ай бұрын
Watangazaji wengine so unprofessional acha mtu amalize ndio uongee
@williammwalusamba7551
@williammwalusamba7551 10 ай бұрын
Tunaomba no ya huyo mchungaji prof devid
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 5 ай бұрын
Mimi mwenyewe namtaka
@kaburaprince3596
@kaburaprince3596 9 ай бұрын
Boss magomeni hazuri
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 10 ай бұрын
Huyu jamaa yuko sahihi vitu alivyo zungumzia sisi watanzania tunaumizana sana kwenye uswahili na kuchafuliana ili wao wafurahi muumba atabaki mkuu na watu wajilani ndio sio ndio maana hatuendelei kwa roho mbaya hongera kwa rangi nyeupe
@jofreymligo457
@jofreymligo457 10 ай бұрын
Kweli ndungu
@chrisskucha6108
@chrisskucha6108 10 ай бұрын
Siyo watanzania tu ngoz nyeusi ss ndiyo tabia ya ajabu tuliyo nayo
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 10 ай бұрын
​@@chrisskucha6108Inaitwa PHD.Yaani pull him down syndrome. Ugonjwa mbaya sana huu.
@mgallahson3650
@mgallahson3650 10 ай бұрын
Kweli kaka! Hii ngozi ni hatari
@isayajackson7124
@isayajackson7124 15 күн бұрын
Uchaw upo usijaribu kufanya biashara sehem uliyo zaliwa
@FadhiliMgalla-ds9fx
@FadhiliMgalla-ds9fx 4 ай бұрын
Napateje namba ya uyu mkuu
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 9 ай бұрын
Waandishi wa Habari jamani wanachokonoaga mambo
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 4 ай бұрын
Unaomba nn Kwa Samia wakat serekal haifanyi biashara tafuta mikopo kwenye bank za nje ufungue kiwanda usilete siasa kwenye kaz
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 4 ай бұрын
Kurogwa ni lazima kwetu watafutaji! Hilo sio lakuuliza babu! Ni kupambana sana na kusimama hasa!
@princemimi2090
@princemimi2090 16 күн бұрын
mtangazaji ametulia
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 4 ай бұрын
Ofsini kwako nilishafika nikanywa na soda!
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 10 ай бұрын
Sistem kua chini umeongea ukweli
@kambamazig02024
@kambamazig02024 8 ай бұрын
Ndilo tatizo kubwa kwetu waswahili, tunapenda kukwamishana sana kwa kuoneana wivu usiokuwa na tija halafu watu wanacheka wanasema "mnamwona huyo, ati alikuwa anajidai ana pesa?" Huu ndio usemi mkubwa wa sisi waswahili, tunatengenezeana michongo ya kijinga.
@ashaahmad720
@ashaahmad720 5 ай бұрын
😂😂😂 wakwanza kukukopa na kutokulipa lakin wakwanz haohao kukucheka ukishuka
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 5 ай бұрын
Fungua iringa pia kumuenzi mchungaji
@kingxule6562
@kingxule6562 10 ай бұрын
watanzania wanatumia hayo magar coz n cheap ila madhara anapata dereva😂😂
@allyomary5411
@allyomary5411 10 ай бұрын
Yana umiza migongo😔
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 9 ай бұрын
😜🤦‍♀️😳
@AnnaSanga-ct1ul
@AnnaSanga-ct1ul 6 ай бұрын
Madhara gani mr dereva
@davidimarwa8190
@davidimarwa8190 10 ай бұрын
Umetok mbal san
@omarymkamba3045
@omarymkamba3045 10 ай бұрын
Kumbe ni matangazo ya prophet
@kevinmary7129
@kevinmary7129 5 ай бұрын
Acha mavaz ya dini za watu kanzu sio vaz tu ni dini
@ashaahmad720
@ashaahmad720 5 ай бұрын
eeeh jmn mbona wahaya wanavaa kanzu na hatusemi we nawe unayako vaz la heshima kalipenda ndo maana kavaa ubaya uko wap
@leedsoldat4189
@leedsoldat4189 3 ай бұрын
Mimi ni muislam ila Haupo sahihi
@josephmkindi4633
@josephmkindi4633 4 ай бұрын
sema jamaa anaehoji kuna sehem anazngua anakqtisha sana story
Bagamoyo Sugar || Kiwanda cha sukari cha Said Salim Bakhresa
18:31
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 128 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 128 МЛН