Рет қаралды 4,269,040
Wimbo huu ni moja ya nyimbo zilizopo katika Tolea la TANO la Kwaya ya Bikira Maria mama wa Mungu -BMM-Yombo Vituka-DSM.
Toleo hili la 5 ni toleo maalumu lenye mkusanyiko wa nyimbo za Kwaresma/maombolezo/toba.
Composer & Organist: Steven Limila
Audio: Salvatorian Catholic Studio
Video: Tanganyika productions
Video imeongozwa na Dir. Laurent Ludovick, Paschal Kabonge & Fortune Shimanyi.