MPINA AJILIPUA - "TUMEKOPA KULIKO TULIVYOAHIDI, DENI LA SERIKALI LIMEONGEZEKA"

  Рет қаралды 181,071

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

MPINA AJILIPUA - "TUMEKOPA KULIKO TULIVYOAHIDI, DENI LA SERIKALI LIMEONGEZEKA"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 345
@kenosman4780
@kenosman4780 2 жыл бұрын
Deni lnaongezeka kazi haionekani... Si mnamuita mwendazake sku hizi lkn najua atakumbukwa sana alkua mzalendo sana MUNGU amlaze Mahali pema
@musakihama7205
@musakihama7205 2 жыл бұрын
Unamkosea heshima,ni hayati na sio mwenda zake.tai mwenye kutanua mbawa zake kwa ajili ya kuzuia mvua,baridi na ☀️ kwaajili ya vifaranga wasiojiweza.
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 2 жыл бұрын
We Ken, Tuheshimiane,kama sio huruma na mipango ya mungu ,hayo hayo ungeya$emea wapi au kwa kinywa kipi?
@mashimbadeograthiasmathias8583
@mashimbadeograthiasmathias8583 2 жыл бұрын
Fulgence unamaana gan
@richardshayo5469
@richardshayo5469 2 жыл бұрын
Ndungu zangu magu tuta muishi milele
@geofreystephano4390
@geofreystephano4390 2 жыл бұрын
Hongera Mbunge unafanya kazi yako vizuri ya kuisimamia Serikali, hii ndiyo kazi ya Mbunge
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 2 жыл бұрын
Huyu ndiyo mbunge sasa,hongera sana wana kanda ya ziwa wenzangu, sukumaland ina watu wenye uwezo na uzarendo kweli kweli...hapa mpaka nimemkumbuka JPM
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 жыл бұрын
Ukanda ndio nini ww !!!! Haya ni Matunda ya Awamu ya 5 Maana Ktk awamu ile Ukanda Ulizagaa ktk Nyadhifa za Uteuzi Serikalini
@mtekelechapemba5501
@mtekelechapemba5501 2 жыл бұрын
Mh. Mpina umeongea vizuri sana wewe kweli ni mzalendo wa kweli. Endelea kusema ukweli, na ukweli huo utakuweka huru nafsini mwako. Umeeleweka vizuri sana.
@reubendofu1151
@reubendofu1151 2 жыл бұрын
Hongera Sana Mheshimiwa Mpina kwa Hotuba Ya kibabe Tunamshukuru Spika kwa Kukupa mda Mzuri
@reubendofu1151
@reubendofu1151 2 жыл бұрын
Hongera na pongezi Nyingi kwako Mheshimiwa Mpina kwa Hotuba yako Nzuri, Hotuba yenye wingi wa Ushahidi na utafiti Kama serikali imeacha a trion of money nje kabsa, fedha ambayo yenyewe inasubiria kukusanywa tu Sasa mwigulu anaposema Bajeti ya kubana matumizi inatokea wapi hii pengine Ni very unfair kbsa, Serikali kupitia Wizara ya Fedha try to work on this Speech, Sjajua ugumu wa kuunda Tume ya kuchunguza yanayolalamikiwa unatokea wapi hii inatufanya tuamini Kuna watu kwenye hili
@robbiejerrson7437
@robbiejerrson7437 2 жыл бұрын
Huu ndio mchango wa kibunge kwelikweli. Safi kabisa kwa sababu, No emotions, no grudges, no politics, no hates to anyone..
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
lakin wakati wa magu alikua kimya
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 2 жыл бұрын
@@sponsor7882 Hajawah kuwa kimya n daima tunapaswa kusapot watu kama hawa, msilete siasa na chuki kwenye mambo ya msingi
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 2 жыл бұрын
@@sponsor7882 tukueleweje unasapoti wizi au nimmojawapo wa wanufaika wa wizi wa mali za umma? Mpina hajawahi kuwa kimya na mpk anachaguliwa kuwa waziri nikwasababu ya alivyokuwa akiongerea mipango na mikakati kama hivi. Hussen Bashe vivyo hivyo, no reseach no rigth to say. Acha chuki madhara yake sio kwako kwa wajukuu na vitukuu vyako
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
@@sponsor7882 Unataka kutuambia nini sasa kupitia hoja yako?
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 Жыл бұрын
@@godfreymasele8853 umenena vyema. Asante
@miketzee806
@miketzee806 2 жыл бұрын
Magufuli angekuwepo angeshangaa sana eti nchimbi kapewa kuwa waziri wa fedha
@barakabusima
@barakabusima 2 жыл бұрын
Watu ya kanda ya ziwa wengi wao akili nyingi sana
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Mh!,,,,
@allyhassan7522
@allyhassan7522 2 жыл бұрын
Mungu akupe Ulinzi kwa kweli
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 2 жыл бұрын
Hongera Mpina teteeni Masilahi ya Watanzania Wabunge wetu kataeni Mawazo ya Waziri wa Fedha anayetetea Makampuni mengine kwa Masilahi binafsi na hajali WAFUGAJI. Tume ya Bunge ni muhimu kuundwa ingawa baadhi ya Viongozi hawapendi hiyo tume itagundua MADUDU MENGI.
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 2 жыл бұрын
Sio yeye huyo anatumwa
@bitarawanjara2781
@bitarawanjara2781 2 жыл бұрын
@@mzalendowaasili1727 Katumwa na nani?
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
@@mzalendowaasili1727 Unaweza ukatumwa na ukashindwa kuwasilisha kwa sababu yakukosa uzarendo na uoga ulionao.Bado anatoa hoja za mtazamo wa kitaifa anapaswa kupongezwa.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
@@mzalendowaasili1727 na nani? Acheni uhuni bana
@stewardmwilenga3493
@stewardmwilenga3493 2 жыл бұрын
Tunashukuru sana Mpina kwa kuwaweka sawa wananchi
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mh Mpina...hapo kuna wapuuzi walitaka kuanza kuleta watu wao na kukwepa kodi
@mmarandu2417
@mmarandu2417 2 жыл бұрын
Mpina una uelewa mzuri na uzalendo wa kweli. Hongera sana.
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 2 жыл бұрын
Hivi hawa siyo wale tuliokuwanao kule gizani?Mijitu mingine inatuona sisi wananchi kama daraja la wao na familia zao kuishi peponi.wangejua wakati wa wao kulia na kusaga meno unawadia wasingeendea na huo mchezo hapo mjengoni.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Viongozi mjue Mungu anawaona. Acheni kutunyanyasa wanyonge fanyeni kazi mtukomboe siyo kutumalizia bila huruma. Pesa za wananchi mnazipoteza tu Kama vile ni zakwenu. Hizo siyo pesa zenu za urithi ni Mali ya watanzania wote. Mungu anawaona.
@sarahshalom97
@sarahshalom97 Жыл бұрын
Mbunge makini huyu muheshimiwa mbunge Yesu akutunze kwaajili yetu wananchi👏👏👏👏👏
@vailethobed9933
@vailethobed9933 2 жыл бұрын
Mpina 👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏akili nyingi hongera sana unakarama ya uongozi.
@ysmasalu
@ysmasalu 2 жыл бұрын
Hii ndiyo moja ya majukumu ya mbunge. Kutetea maslahi mapana ya taifa/wananchi. Umeongea kwa mantiki ya hoja na udadavuzi makini. Tunakupongeza sana kwa weledi na ujasiri huo. Walau tungekuwa na wabunge hata 15 tu wenye muono kama wewe tungepiga hatua zaidi. Naona spirit ya Magafuli ndani yako. Aendelee kupumzika kwa amani. Mungu aendelee kukubariki na kukulinda.
@athumanikome7982
@athumanikome7982 Жыл бұрын
👍👍👍👍🙏🙏 Mimi kama mzelendo wa nchiyangu nakutabiri wewe mpina Iko siku utakuwa waziri au utajakuwa Rais watanzania!!!!😭😭😭🙏🙏🙏
@zunyagapeter4647
@zunyagapeter4647 2 жыл бұрын
We ndio mbunge wangu Bora wa bunge hili
@marianmartin7483
@marianmartin7483 2 жыл бұрын
Mpina genius sana, huyu alifaa kuwa waziri. Hongera sana mh Mpina.
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
waziri wa sukuma gang
@nyerere1259
@nyerere1259 2 жыл бұрын
@@sponsor7882 🤣 tatizo kabila lake
@shukurusaria8527
@shukurusaria8527 2 жыл бұрын
@@sponsor7882 😂😂😂😂😂
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
@@nyerere1259 Du!!! Tunzania tumeanza kuzungumzia ukabira!!!??
@saidimohamedimgotomgoto979
@saidimohamedimgotomgoto979 Жыл бұрын
Hawa wako hivyo hakiwa wanziri mwigine tena wanabadilikabadilika
@kwisa4899
@kwisa4899 2 жыл бұрын
Ndungekuwa na wabunge 100 kama mpina nchi ingekuwa mbali sana hii
@saidimohamedimgotomgoto979
@saidimohamedimgotomgoto979 Жыл бұрын
Hata kumi wagetosha
@salumajohn8048
@salumajohn8048 2 жыл бұрын
Kuna wabunge wenye akili kumbe ndan ya bunge letu!!!!! Huyu jamaa kibongo Safi saaana .
@bishoptvalbert4112
@bishoptvalbert4112 2 жыл бұрын
Hongera sana
@anjelistakilale2702
@anjelistakilale2702 Жыл бұрын
Kwa kuyasema haya bila uwoga ni kumsaidia kiongozi mkuu na kulisaidia Taifa kukua kumawazo na kimaamuzi sio kubaki tuu na vijana vijana kila kitu ndio ndio kisa kasema mkubwa nonononono ili tuende mbele lazima tusema ukweli fitna iwe mwiko nadhani mnazijua Ahadi za mwanaChama wa CCM Hongera sana Luhanga kazi nzuri sana. Sema hapendwi na viongozi wabinafsi.
@bonawalewale9921
@bonawalewale9921 2 жыл бұрын
Critical and analytical thinking uko vizuri sana Mpina, Pole Kwa msiba tunaokukubali tupo wengi japo sauti ni chache. Wabeja sana sana
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Kama unamkubali hamia Mwandoya
@Nedjadist
@Nedjadist 2 жыл бұрын
Nitasapoti awe Waziri mpya wa fedha huyu. Ana fikra, maono na ushawishi.
@gracemima5234
@gracemima5234 2 жыл бұрын
Watu Kama hawa hawateuliwi, wezi na wahuni ndani ya serikali hawataruhusu. Serikali imeishatekwa na mafisadi na wahuni
@loner_wolf
@loner_wolf 2 жыл бұрын
Hiyo ni ndoto , labda atokee JPM katk sura tofauti awe rais wa nchi ndio maamuzi yatakuwa ya moto
@maryamtwahir4400
@maryamtwahir4400 Жыл бұрын
Huyu alikua waziri wa uvuvi na mifugo
@jeanmariendikuriyo4174
@jeanmariendikuriyo4174 2 жыл бұрын
Sasa hapo Ndugai mmemuonea alitaka kuyasema mkamngowa
@drisayaambulatoryvetclinic1514
@drisayaambulatoryvetclinic1514 2 жыл бұрын
Hongera sanaa mpina kwa mchango mzuri ,kama ranch ya kongwa ng'ombe ni wachache si kuongeza tu
@petersilas4234
@petersilas4234 2 жыл бұрын
Kongwa ni shamba ambalo lingetumika kunenepesha mifugo kwa ajili ya kuuza. Hili ni muhimu Sana kwa uchumi wa mifugo.
@jacksonphilemon2775
@jacksonphilemon2775 2 жыл бұрын
horasana mpina kwakutufumbuwa macho tu ngewapata wabungekama mpina nchi ingesongambere
@deogratiasrugangila3100
@deogratiasrugangila3100 2 жыл бұрын
Asante sn kwa mchango mzr tatizo mko wachache wa uchambuzi wa mambo walio wengi ni kusifia hata yasiyoonekana twende ipo sk tutafika
@mariosigala8760
@mariosigala8760 Жыл бұрын
MUNGU anawatu wengi wa kuwatumia Asante mpina
@joycejackson4983
@joycejackson4983 2 жыл бұрын
Hakika Mhe Mpina ni kiongozi ametuwakilisha vyema , ni jambo ambalo kweli watanzania tunataka kujua kwa nn deni liongezeke kwa kiwango kikubwa hivyo wakati wananchi kila sehem Tozo zimezidi Swala la wamachinga ndio limenigusa sana kwa kweli watanzania wengi wako hapo ushauri wa Mhe Mpina usikilizwe ,, swala la machinga machinga hapa naongeza sautiiii , serikali ifanyie kazi mchango huo kwa kweli. Asante sana Mhe Mpina kwa kutusemea . Najivunia kuwa na kiongozi ww
@joycejackson4983
@joycejackson4983 2 жыл бұрын
👏👏👏
@pascarmwatosya6815
@pascarmwatosya6815 Жыл бұрын
Daa! kwa Sasa mpina ananishawishi kununua bandro nimsikiliza hongera kaka Hongera kwa waliomchagua
@patrickpancras1995
@patrickpancras1995 2 жыл бұрын
Wewe jamaa unajipambanua sana kwa hoja zako na wabunge wengine big up sana
@kifimbokifimbo9481
@kifimbokifimbo9481 Жыл бұрын
Leo sasa ndio tunaona ushauri huu ambavyo Mwigulu alishindwa kuufanyia kazi leo tunaishia kulia tozo kumbe vyanzo vya mapato vipo vya kutosha hongera Mpina Mungu akubariki sana
@mussakiziwanda7228
@mussakiziwanda7228 Жыл бұрын
Jamani waziri Wa fedha haaminiki
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 Жыл бұрын
Safi kabisa mh, mbunge uko vizuri muno
@tumsifumartine612
@tumsifumartine612 Жыл бұрын
Hongera sana Mpina Mungu akubariki na akutie nguvu na kukulinda tunahitaji wabungu wenye msimamo kama wewe
@shanjemanumba6325
@shanjemanumba6325 2 жыл бұрын
Hogera sana mbuge uko vizuri sema wengi ni machawa
@gracesage989
@gracesage989 Жыл бұрын
Ubarikiwe Mpina umeongea vizuri.
@edgaritemba4786
@edgaritemba4786 Жыл бұрын
Hongera kwa michango mizuri,Mimi nadhani uliyoyasema yanaeleweka na wahusika wanayajua na wanajulikana warudi tu kwenye mstari tujenge nchi yetu. Tume zinatumia gharama nyingi Mh.
@maduhumungo7142
@maduhumungo7142 2 жыл бұрын
Hongera sana Mh Mpina kwa hoja zako nzuri nimekuelewa sana.
@nebartmuyagala9545
@nebartmuyagala9545 2 жыл бұрын
Mpina uko vizuri👍👍👍👍
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 жыл бұрын
Mh.Mpina we ni mbunge mzalendo na mkweli. Hongera sana mpina.
@kileojuma359
@kileojuma359 2 жыл бұрын
Mpina ni Kiongozi hodari sana katika Bunge letu la Tanzania tuungane kuzidi kumuombea afya njema azidi kusimamia masilahi ya wananchi bila woga wala upendeleo
@mitanotena5149
@mitanotena5149 2 жыл бұрын
Ur smart!!!mtu kama huyu mpeni muda ili aponye
@pililuambo5083
@pililuambo5083 2 жыл бұрын
Hongera sana Mpina msema kweli mtetezi wa wanyonge
@hasamjebe4685
@hasamjebe4685 2 жыл бұрын
Wewe unafaa sana sio wabunge wengine atajambo la kuumiza Wana nchi wao wa napiga makofi, yn nishida tupu nchi hii
@jiwekichwa2857
@jiwekichwa2857 2 жыл бұрын
Mpina hapo kwenye ranchi ya Kongwa upo sawa 100%
@mustayoo
@mustayoo 2 жыл бұрын
Watanzania mbona wakati wa magufuli madeni yalikua chini sana.mumekosea wapii
@kwisa4899
@kwisa4899 2 жыл бұрын
Acha uongo na wewe kwanini usije na number b4 and after
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 2 жыл бұрын
Serikali ilishavamiwa namatapeli haina dili wala muekeo,mawaziri wa sehemu nyeti ambazo ndiyo hub ya uchumi wa inchi zote zimewakwa matapeli na majizi kundi la ajabu haijawahi tokea, badilisheni katiba itasaidia kwa kiasi kikubwa kuliko kuwa na mawaziri majuha na mizigo kwataifa
@eliuskivuyo7599
@eliuskivuyo7599 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa mpina your bright.
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 жыл бұрын
Love youuuuuuuuuuu
@mainguburemo6186
@mainguburemo6186 2 жыл бұрын
Umeongea mengi mazuri. Kuna watu wameingiza biashara zao za mafuta na mbolea na Bwawa la Umeme. Mpinda una akili nyingi
@mtondojackob5497
@mtondojackob5497 2 жыл бұрын
Mungu akubarki kumbe mfumko wa bei ni maslahi za watu binafsi😄😄😄 hakuna Cha KUDUMU HAPA DUNIANI.
@kolaniwentibegelana616
@kolaniwentibegelana616 2 жыл бұрын
Haya ndio mazao ya Magufuli keep it up
@sangulorashoo4116
@sangulorashoo4116 2 жыл бұрын
kwa mtu mwenye akili hawa jamaa wanapga kelele kiukweli hawana kaz yoyote wana kula hela za bure tu pesa za walev
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 2 жыл бұрын
Jamani ndugai alionge tukamuona bwege nchi inauzwa taratibu..baada ya kenya Sasa ni zamu yetu
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Bro ... salute Mpina
@faisalhassam3721
@faisalhassam3721 Жыл бұрын
Hongera sana Mzalendo mwigulu kwa kuwataja wanaofuja pesa za umma
@tanunewstz
@tanunewstz 2 жыл бұрын
Halafu Kuna watu wanaona JPM hayupo! Ukweli ni huu MJOMBA yupo na anaonekana kwa wazalendo kama mh mpina, askofu gwagima na wengine
@ejidemaswalikinoja5643
@ejidemaswalikinoja5643 2 жыл бұрын
Usimsahau Jumanne Kishimba ni chuma Cha moto huyo
@peacemaige69
@peacemaige69 2 жыл бұрын
Kusameh kodi ni wizi mtupu hi lchi sasa yaongozwa na kikwete
@godfreymlila9958
@godfreymlila9958 2 жыл бұрын
Mpina ukosawa kabisa nimzalendo wakweli,Msungu akuzidishie ujasili
@ambroseonesmo3782
@ambroseonesmo3782 Жыл бұрын
Hongera mpina kwa uelewa mzuri
@festochanga7140
@festochanga7140 2 жыл бұрын
Well said Mh Mpina!
@willyrowlandmwangonda4269
@willyrowlandmwangonda4269 Жыл бұрын
Mh Mpina Mungu azidi kukulinda Baba
@phanuelmkenda2621
@phanuelmkenda2621 2 жыл бұрын
Well said
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 2 жыл бұрын
Good Mh Mpina
@husseinmohamed1777
@husseinmohamed1777 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anaupiga mwingi
@eliakanyika5379
@eliakanyika5379 Жыл бұрын
mpina upo 💥💥
@netholuvanga1040
@netholuvanga1040 2 жыл бұрын
Tunahitaji wabunge kama huyu Tanzania
@focuserick6162
@focuserick6162 2 жыл бұрын
Huyu ni mbunge makin sana sana anaeikosoa serikal bila woga na kudadavua ni rahisi mtu yoyote kumuelewa!!
@joycejackson4983
@joycejackson4983 2 жыл бұрын
Tunamuelewa kwa kweli
@yohananchibula5991
@yohananchibula5991 2 жыл бұрын
Kanda ya ziwa huwezi kufananisha na pwani
@jamessanga7120
@jamessanga7120 2 жыл бұрын
mpina wangu hatariii sana 🔥
@costantinochibago591
@costantinochibago591 2 жыл бұрын
Uko vizuri mkuu hongera
@petermdoe4691
@petermdoe4691 2 жыл бұрын
Mwenyez Mungu akusimamie maana watu wengi hawapend kuambiwa ukweli.
@johaneskyaruzi8789
@johaneskyaruzi8789 2 жыл бұрын
Hongera sana Mh. Mpina.
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 2 жыл бұрын
bunge leotu linaingia uzaifu sehemundogo sana nakikawaida watuwengi hatulijuwi hebutujiulize kwa nn wabunge wa zanzibar hatuoni kuongea katika hili bunge ispokuwa mpaka ifikapo mada inayohusu muunganotuu hapandio utapata umuhimu wa kuonesha kama bunge hili uzaifuwake
@andersonmutta3807
@andersonmutta3807 2 жыл бұрын
Tunapenda wabunge kama Hawa ambao wapo Kwa ajili ya kulitetea taifa na kuiwajibisha serikali siyo kutetea uchama ndani ya bunge
@kisengoabdallah1366
@kisengoabdallah1366 2 жыл бұрын
""SAFI SANA MPINA"" HONGERA SANA..👏👏👏🙏
@kamishina7853
@kamishina7853 Жыл бұрын
Huyu Mpina ana siri nyingi sana za taifa na mambo mazuri tumpe ulinzi
@seshiorman6924
@seshiorman6924 2 жыл бұрын
Safi sana mpina
@mitanotena5149
@mitanotena5149 2 жыл бұрын
Saizi zamu ya wafugaji kutopendwa!! Wanasai na wafugaji wa kanda ya ziwa
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 2 жыл бұрын
Mjomba kashaondoka mtafurahi si mmezoea kusifia uongeaji mzuri lakini vitendo zero RIp hakuna kama magu ndio aliiweza hii nchi
@ericapingi8354
@ericapingi8354 2 жыл бұрын
Mbunge yuko vizuri. Wahenga walisema kwamba, maumivu ya kumpoteza mpendwa yanapungua kama waliobaki wanakutendea mema. Kwa hali hii, maumivu ya kumpoteza mzalendo JPM yatapungua kweli?
@sarllemmtunze405
@sarllemmtunze405 2 жыл бұрын
Huyu Mpina atafukuzwa bungen wakati wowote kwa kupewa ubalozi nje ya nchi kwa kosa la kusema ukweli.
@revocatusreuben4605
@revocatusreuben4605 2 жыл бұрын
Saf wew ndio unatkiwa uwe waziri wa tamisemi
@sangaryamasero4368
@sangaryamasero4368 2 жыл бұрын
Saf Sana mpina
@venancemalima1181
@venancemalima1181 2 жыл бұрын
Dah hapa kuna hatari Mh.Mpina kaeleza vizuri sana. Wenye masikio na wasikie ipo siku itafika.watanzania Watanzania ukweli kwa hata kipande cha sabuni kimepanda bei.
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 жыл бұрын
😳😳🙉🙉eeeh tena mmmh aisee mm naumwa tafadhali sana
@timboxlee919
@timboxlee919 2 жыл бұрын
Pole sana mbunge mzalendo,,wangekuwa wabunge kama hawa wangekuwa Kama 20,tunchi hii ungekuwa mbali
@abdilahimriri8984
@abdilahimriri8984 2 жыл бұрын
Pesa hizo zote tunaamini zipo na zinafanya kazi vizuri tu. Ila kiuhalisia ni kwamba Serikali hii inayoongozwa na Mama Samia Suluhu Hasan Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, imedhamiria kufanya mambo katika ukubwa zaidi. Ni kama mfanyabiashara wa jumla na wa reja reja usivyoweza kuilinganisha na ile ya jumla mhe spika.
@sammushema2456
@sammushema2456 2 жыл бұрын
Hongera Sana mhe. Mpina hasa kwenye Hilo la misamaha ya Kodi inayobagua
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 2 жыл бұрын
Mpina upo vzr sn
@emmanuelmasele8734
@emmanuelmasele8734 2 жыл бұрын
Hongera sana Mh.Mpina
@korentinisilayo8125
@korentinisilayo8125 2 жыл бұрын
Huyu mbunge kwanza apewe ulinzi na serikali au nabunge hamna mbunge wa ccm anae weza kzchagua vizuri namna hiyo na mm nashauri rais amteue awe waziri fetha ana faa na anrambua shida ya wananchi watz
@prosperjuma905
@prosperjuma905 2 жыл бұрын
Mchango kama huu huwez kuupana kwa lusinde🤣🤣
@omarikessy2339
@omarikessy2339 2 жыл бұрын
Duuh jamaa kumbe Kichwa sana ,ndo tunataka watu kama hawa big up ,mpina
@williamkeita1519
@williamkeita1519 2 жыл бұрын
Tena tumeyakupanda bei za mafuta iundwe wajumbe awepo shabiby na mpina gwajima na wengne wenye element za uzalendo
@edwardmagige874
@edwardmagige874 2 жыл бұрын
Daa msukuma original hongera baba
@saiguranlaurent441
@saiguranlaurent441 2 жыл бұрын
Duu mungu akulinde nikwamba wameshakula pesa ya uko ulaya wakiwaidi wazungu kuja kumiliki bwawa la nyerere wangekua wanaakili kwa hizo mkopo wanaokopa kwa ulasima wangemalisia bwawa la magufuli kwa sasa hiyo ni mojawapo iliopelekea magufuli kufa bwawa la nyerere alijenga kwa Vita mererani alimbigania kwa nguvu zote Hadi akasungusha venzi na ngorongoro pia alipigana na mengi mengi muno ndio huyo watanzania wapumbavu wanamsaliti msalendo wangu pesa ya hizo sehemu Kuna kiongozi tuliomupigia kura wameshapokea rushwa ya ulaya na kasalika ndio maana wanangorongoro wanapigwa risasi bunge hilo nashangaa Leo ujapigwa taarifa wanafiki wako wengi walionunuliwa wakanunulika badala ya kutetea wanainji wanatetea wazungu waizi
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 Жыл бұрын
Nakukubali sana mpina, our future President
@desolz3809
@desolz3809 2 жыл бұрын
Big up mpina.....
@masoudrashid
@masoudrashid Жыл бұрын
Ahsante mhe. Luhaga
MBUNGE WA NGORONGORO ANG'AKA, ISHU YA LOLIONDO, KIKWETE AINGILIA!
11:19
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН