EXCLUSIVE:MJUE LUHAGA MPINA MBUNGE MZALENDO ANAYEWASHAMBULIA MAWAZIRI na KUIKOSOA SERIKALI BILA UOGA

  Рет қаралды 72,794

SAN TZ MEDIA

SAN TZ MEDIA

11 күн бұрын

Makala hii inalenga Maisha Halisi ya Mbunge wa Jimbo la kisesa Mhs; LUHAGA MPINA hapa utajua Yote usiyoyajua katika Maisha Yake , Vilevile utajua Kwanini anapigwa vita Sana na MAWAZIRI na wabunge mashuhuri Tanzania
Fuatilia Makala hii mpaka mwisho Kisha Comment tuyafahamu mawazo yako kwenye hili
#dullysantz #santzmedia #simulizinasauti #wasafimedia #cloudsmedia #exclusive #efm #history #dullysantz #millardayo #ccm #santzmedia

Пікірлер: 186
@NicolasiLuhende
@NicolasiLuhende 10 күн бұрын
😢 hongera sana mheshimiwa mpina wewe ndiyo kiongozi wa kweli
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 10 күн бұрын
Kweli kabisa
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
Sahihi ☑️
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
🤝🇹🇿
@FredyKabotola
@FredyKabotola 14 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤​@@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 10 күн бұрын
Mpina oyeeeeeeee, your the best, time will tell.
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
👊
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 9 күн бұрын
Jibu hoja Bashe mpina tunamfuatilia sana uko safi
@yayananajota5838
@yayananajota5838 6 күн бұрын
It's great Men, let him be and God bless him and protect him,
@Dominaevance
@Dominaevance 9 күн бұрын
Hongera Sana Mheshimiwa Luhaga Joelson Mpina, Uonevu WA Spika Juu Yako uko hadharani, Piga Moyo Konge Sisi kama Watanzania tumeona, Ni Bora wakufukuze kuliko kukubali Uonevu Huu WA hadharani.
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 9 күн бұрын
Mashaalah mungu akulinde
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 8 күн бұрын
Wapiga makofi hapo Bungeni na huyo spika wao 99% watabaki kupiga makofi mitaani 2025 hawawakilishi wananchi ila wanamwakilisha spika ambaye nae hakuchaguliwa na wananchi
@AmosKachatiro
@AmosKachatiro 9 күн бұрын
Nakukubali mheshimiwa
@hadijatwahadossa
@hadijatwahadossa 9 күн бұрын
Hongera mpina,,, hata ukiandamwa, ,wasema kweli selikarini tunawajua...endelea Mungu yupo pamoja na wewe
@gracesage989
@gracesage989 6 күн бұрын
Mpina Mungu akubariki usikate tamaa songa mbele Mungu yuko na wewe.
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 9 күн бұрын
Viva LUHAGA MPINA
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 9 күн бұрын
Acheni hizooo jibuni hoja zake,,,,mpina ❤
@mwinyisaruni8974
@mwinyisaruni8974 7 күн бұрын
Hatuna chakukusaidia Ila tunakuombea jembe,
@manawamarco6511
@manawamarco6511 6 күн бұрын
viva luhanga mpina tunakuombea we ni jembe
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 7 күн бұрын
Huyu ni Traule wa Tanzania
@user-zy6vq6lz7z
@user-zy6vq6lz7z 6 күн бұрын
Mpina apewe nchi, awe rais
@camilomassao8971
@camilomassao8971 9 күн бұрын
MZALENDO
@bahatidamiani561
@bahatidamiani561 5 күн бұрын
Viva Luhaga Mpina mzalendo wetu
@Haroonlguo
@Haroonlguo Күн бұрын
Www utakuwa mtetezi wetu mpina
@wanguwangu34
@wanguwangu34 9 күн бұрын
Tanzania nzima hakuña mbunge mwenye akili na uthubutu kama luhaga Mpina, yaani CCM yote hakuna
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 9 күн бұрын
Mpina the Great
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 9 күн бұрын
Hakuna..yamejaa machawa wakiongozwa na kupe wao Speaker🤯
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 7 күн бұрын
​@@tumainimayala8187😂😂😂😂😂😂
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 7 күн бұрын
​@@tumainimayala8187umetishaaa Sana et kupe wao spika😂
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 7 күн бұрын
​@@tumainimayala8187umetishaaa Sana et kupe wao spika😂
@asteriashios1852
@asteriashios1852 9 күн бұрын
Mpina Yuko vinzuri sana anaitetea haki na ndiye tunaempenda yaani anasema ukweli mtupu
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
Sahihi 🤝
@Ambwene
@Ambwene 5 күн бұрын
Mpina ni Mwamba kuliko wapiga Makofi 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 6 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤Mpina
@yayananajota5838
@yayananajota5838 6 күн бұрын
Ukifanya kazi chini ya kivuri vcha 👹 lazima mtetezi wa haki atachhukiwa😥so badly,
@DiscowKajojo-no2up
@DiscowKajojo-no2up 9 күн бұрын
Well done
@francisboydmwakyusa230
@francisboydmwakyusa230 9 күн бұрын
Ukirejea elimu yake, utajua kuwa masomo aliyosoma Mpina si masomo ya mtu mwenye akili ndogo, mtu mvivu na mtu mwenye afya mgogolo. Hivyo ili kumuelewa Mpina inakutaka uwe na vigezo sawa au zaidi ya vigezo nilivyo vitaja hapo juu. Wanasiasa wengi hawana vigezo hivyo na bahati Mbaya sana Nchi yetu haija zipa taasisi kuwa vinara wa taaluma na taaluma hizo kulindwa. Kinyume chake tuna haribu, dharirisha taaluma muhimu kwa maendeleo ya Nchi Kinyume na matarajio ya kitaalamu. Nchi ikielendelea kwa aina hii ya utendaji na utoaji maamuzi, ni vigumu kujikwamua ktk maendeleo shindanishi tuliyomo kama sehemu ya dunia. Sasa siasa ikiendeshwa kama porojo au funika jamvi twende, Tuna weka rehani maisha ya Vijana na viazazi vijacho. Pls STOP THIS FOR GOOD.
@zabronmwaipungu2212
@zabronmwaipungu2212 6 күн бұрын
Hilo ndo bunge letu bwaana, hajasoma alicho kiwasilisha Mpina.
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 9 күн бұрын
Luhanga mtu mzuri sana jembe sana yaani wewe spka hufai kabisa wewe puuu
@RehemaSalum-vp6rf
@RehemaSalum-vp6rf 9 күн бұрын
Mm nampenda kwasbb ni mapema kweli na anajalo maslah ya Nchi yake
@awadhkannah6587
@awadhkannah6587 9 күн бұрын
Kweli kweli, watu unapinga kuingiza sukari kwa wingi wakati Wananchi wanahaha na sukari, alitaka tuendelee kununua bei ya juu, anatetea wafanya biashara wanaoficha sukari,, mzalendo wake upo wapi?
@allymusira2153
@allymusira2153 9 күн бұрын
Hapo hata mimi nashangaa mtu anayepinga kuingiza sukari kwa wingi ili bei ishuke anaonekana eti mzalendo ujinga mtupu
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 5 күн бұрын
Kuagiza sukari nje co shida, shida ni utaratibu uliotumika kuagiza umefuata utaratibu?! Au ni kwa faida ya wachache!!!
@user-ub3gy5od1m
@user-ub3gy5od1m 9 күн бұрын
Bunge lifanywe kuwa pango la wabunge kuwa chawa kwa ajili ya kujipatia kipato, kila atimize jukumu la kuwasemea wananchi kwa maslahi ya wote
@GizibetLameck
@GizibetLameck Күн бұрын
Ukimo wa ccm umefika kwahali hii
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 9 күн бұрын
Msema ukweli ni Mpz wa Mungu peke yake tu.ila Duniani Kwa sisi binadamu inakuwa ngumu.but Tumuachie Mungu ndo muweza wa yote.
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
Ahsante Sana kwa maoni yako Rafiki 🙏
@RajabuSikabwe-rp1lj
@RajabuSikabwe-rp1lj 9 күн бұрын
Tatizo labashe nimadawa yakugandamizawatu wamsikilizetu hatamulikuwa munamsubili akiongeya wotekimya sioni sioni anachokifanya Bashe akikasikuoni ilawalewasiojuwa mutampongeza wakinamsukuma
@amohammed3390
@amohammed3390 2 күн бұрын
Uingereza hakuna chuo kikuyu kinachitwa Scotland.
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u 9 күн бұрын
Angalia picha zote za bashe anatucheka watanzania kuwa hatuna akili!!!!!
@piusjaphet2760
@piusjaphet2760 8 күн бұрын
Visheria vya Tanzania ndio zinalitia umasikini wa mawazo na woga
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 8 күн бұрын
Nyinyi amuna lolote mama ana piga kz muasheni kisa ni mzanzbar endekuw mbara mwenzenu munge mpaa sifa zote ila ss wazanzbr muna tubagua kwanza muna tunyonya hatutaki tna kuw nanyi
@LeonardSiasi
@LeonardSiasi 4 күн бұрын
Komaa 0:50
@SaruniChristophersabaya
@SaruniChristophersabaya 3 күн бұрын
Nyie watanzania ni makuma sana ukweli unauma
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 9 күн бұрын
NA MPINA ATAFUKUZWA KIMEZENGWE KAMA ALIVYOFUKUZWA NDUGAI
@patiellulu6063
@patiellulu6063 3 күн бұрын
Chadema
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 8 күн бұрын
Namuomba mwenyezi Mungu yanayotokea kenya yasitokee kwetu. Lakini hali sivyo. Mpina anatetea wananchi
@abdallahmakange6173
@abdallahmakange6173 8 күн бұрын
Tanzania inchi ya ajabu sana mtu aneongea hukweli ndio mungo.😢😢muhongo ndio mkweli....😢😢😢😢
@evaristjoseph8151
@evaristjoseph8151 4 күн бұрын
Unajua nakuelewa sana mpina ?
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 8 күн бұрын
Mpina hana ulaji ndio shida yote, mpeni uwaziri atulize kichwa chake cha ovyo.
@user-rm8fd3wh3w
@user-rm8fd3wh3w 9 күн бұрын
Tulia you you said nonsense.mpina he is done right to people
@AnabElmi-kx6ml
@AnabElmi-kx6ml 4 күн бұрын
Luhaga mpina amekosea kufuta sheria angepaswa asubiri maelekezo ya spika hivyo sheria ifuate mkondo kumpa adhabu anayostahili
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 9 күн бұрын
BASHE asikusumbue huyu watu wapo nyuma yake!!subiri muda si mrefu watajitokeza!!
@allyfutto8763
@allyfutto8763 9 күн бұрын
Spina atapigwavita vitality Sanaa kwakuwa mdadisi na watadharilika wengine kwa kumuhandama
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 9 күн бұрын
Viva mpina Wewe ni mwamba
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 9 күн бұрын
The great
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 9 күн бұрын
MPINA MZALEDO WA SAN TZ MEDIA ANATUMIWA NA MABEPARI WAKUBWA KILA MTU ANAJUWA LAKINI SASA HIVI KAKWAMA UJANJA UMEMUWISHIA
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
Mhh....?
@isayasimwinga2854
@isayasimwinga2854 9 күн бұрын
Spika hana kosa, amefanya sehemu yake.
@user-jm3ms2ry5v
@user-jm3ms2ry5v 7 күн бұрын
Mpina bana Hadi penarty
@simonchristian6319
@simonchristian6319 9 күн бұрын
Nyaraka zilisemaje?tunataka hapo,usipotezee hiyo mada humo😅
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 9 күн бұрын
Hakika mpina ni mwanga wa Taifa ila bashe ipo siku tutakuwajibisha.
@mwinyisaruni8974
@mwinyisaruni8974 7 күн бұрын
Anayepingwa angali anaona ukweli basi yeye ajuaye ukweli atatenda yake ,
@zabronmwaipungu2212
@zabronmwaipungu2212 6 күн бұрын
Mama yangu wanajipigia makofi tu daa!
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 7 күн бұрын
Tanzaaaani ndio nini
@KenedyThabiti
@KenedyThabiti 9 күн бұрын
Hatuna spika hapo anatete uovu mpina wewe mwamba njoo upande wapili
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 9 күн бұрын
" lt is very danger.." kiingereza cha Bashe.... Bashe say " lt is very dangerous........kweli watanzania hatujui kiingereza
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
😆😆
@josephlorri431
@josephlorri431 8 күн бұрын
Bashe ndo anajiona sana anajua lugha ya malikia..mara kwa mara huwa anaongea maneno ya kiingereza bila sababu yoyote.. lakini hawezi kutengeneza sentence ya kiingereza
@yahayahussein3224
@yahayahussein3224 9 күн бұрын
Hana uzalendo wowote zaidi ya kuwa Fitina
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 9 күн бұрын
😂😂😂fuvu lako halina uwezo wa kupima mambo ya kitaifa! Kula tu vya konakona
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 9 күн бұрын
Hivo inatakiwakua kusimamia haki hata kama watatoa roho yako siku itafika yakitikea kama ya kenya utabaki salama wrwe na familia yako ole wa hao wachumia tumbo kitakua kilio na kusaga meno
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
⚖️ ndio tatizo
@JmMsukuma-c8l
@JmMsukuma-c8l 2 күн бұрын
Mwanetu mpina kaza tuko nyuma yako
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 8 күн бұрын
Mpina keep on
@AbdulMndizi-p8n
@AbdulMndizi-p8n 5 күн бұрын
Mpina ni mwamba pekee anaeishi
@janiaoma7093
@janiaoma7093 7 күн бұрын
Kelele nyigi mpina wataka nenda chadema mwazo msigwa hapedezewa ukaeda ccm na wewe hukupededezewa hamamia chadema usileie tabu mtu moja wewe nani
@al-bleproshooteur1922
@al-bleproshooteur1922 7 күн бұрын
😢
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 9 күн бұрын
Uzalendo sio kutoa shutuma Kwa wenzio bila ushahid, Bunge sio sehem kuleta chuki, hasad, na wivu bila hoja, wako pale kuwakilisha Wananchi na kutunga Sheria sio majungu, adhabu aliopewa iwe fundisho Kwa wengine, leta hoja zenye mashiko sio mihemko, maana jamaa bado anaota awamu ya tano tu
@NdageKitahama
@NdageKitahama 8 күн бұрын
Ww ni pumba za mpunga hujui chochote maana Kama umeshindwa kuelewa hoja alizotoa mpina na ushahidi kautoa mbele ya bunge unataka ushahidi aina gani ww hata darasani unaonekana ilikuwa ziro
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 8 күн бұрын
Wapumbavu kama wewe ndiyo mmetufanya tuwe masikini maisha magumu Tanzania hii !!!! Km hujuwi kaa kimya, Pumbavu sana.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 9 күн бұрын
Speaker dictator. Huyu mama amelibeba bunge hili kama mali yake. Huyu Bashe asituletee kiingereza chake cha Kenya.
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 7 күн бұрын
acha uwongo wewe, sio university of scotland, hicho ni chuo kingine. alisomea univ of Strathclyde, Glasgow, scotland.
@raphaelondego7703
@raphaelondego7703 9 күн бұрын
Agomee sasa urais.
@zacharialtd9519
@zacharialtd9519 9 күн бұрын
Mbona miaka mnamuwekea michache sana
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
Miaka gani Rafiki
@HabibuSaid-up5sn
@HabibuSaid-up5sn 10 күн бұрын
Mzalendo gani anauchungu atamani kurudiswa uwaziri tatizo ya watanzania munajisahau 2 SI alitesa Wa vuvi huyu igekuwa afaa magu asigemtoa
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
😥
@joctanmtambi895
@joctanmtambi895 9 күн бұрын
Alikamata wavuvi washenzi anaovua kwa kutumia nyavu zenye sumu nakuzichoma Moto nyavu zote haramu​@@Santzmedia
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 9 күн бұрын
ACHA KUPOTOSHA. KAMA HUELEWI NYAMAZA
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 9 күн бұрын
Wabunge wakipiga makofi" ndioooo" mnasema bunge la ndioooo, akipatikana mbunge KAMA MPINA, pia hamtaki, sasa msimamo wako ni upi????
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 5 күн бұрын
Amewahi kupima samaki na rula huyu.
@ChristinaWengae-ps5jr
@ChristinaWengae-ps5jr 9 күн бұрын
Hongera sana kaka yangu mung akusaidie
@salumnassornassor9733
@salumnassornassor9733 9 күн бұрын
Haiki itabakia kua haki uyo speaker atakiongea unajua kua anatetea uovu
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
🤝🇹🇿
@MsafiriKadege
@MsafiriKadege 8 күн бұрын
Ka mkubwa nakupenda mpaka naumwa na nataka kuwa kama wewe
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 5 күн бұрын
HuyoMpina niakilinyingi naujuzi nyie hamutaki wenye akili? nimaajabu.
@user-rg5sg1xz8p
@user-rg5sg1xz8p 9 күн бұрын
Wamebakia wachache sana hapa tanganyika
@MatesoMatanga-bs3bt
@MatesoMatanga-bs3bt 8 күн бұрын
Ila nyie
@user-sx3ys1gs9p
@user-sx3ys1gs9p 9 күн бұрын
Bashe alikua yule wa magufuri ila huyu wa Sasa hamna kitu
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
Kwanini??!!
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf 9 күн бұрын
Jemedali wakweli
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 9 күн бұрын
Serikali ya CCM haitaki wabunge wasomi na wenye kuelewa. Wabunge wengi ueleo wawo ni mudogi sana. Kazi yao ni kukubali kila kitu kwa kusema NDIYO. Kwa kifupi watanzania hatuna wawakirishi. Na tuna chama cha siasa kimoja na demokrasia ya bandia.
@Santzmedia
@Santzmedia 9 күн бұрын
🤝
@alisalimo2861
@alisalimo2861 8 күн бұрын
Huyo ataka umarufu huyo mpina sio alikua waziri mbona alishindwa
@Santzmedia
@Santzmedia 8 күн бұрын
🤣
@MatesoMatanga-bs3bt
@MatesoMatanga-bs3bt 8 күн бұрын
Bc two
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 9 күн бұрын
Lkn uyu si alikuw wazir wa ccm
@simonchristian6319
@simonchristian6319 9 күн бұрын
Ndiyo
@simonchristian6319
@simonchristian6319 9 күн бұрын
Hata magu alikuwa ccm
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 9 күн бұрын
Kwa hiyo inakuwaje sasa.
@josephjohn2114
@josephjohn2114 4 күн бұрын
Elimu yake umechapia acha uongo.
@Santzmedia
@Santzmedia 4 күн бұрын
Ukweli ni upi Mzee??!!
@husseinjosephitocho6754
@husseinjosephitocho6754 8 күн бұрын
spika na kisomari cha mchongo vyote ni panya road
@Santzmedia
@Santzmedia 8 күн бұрын
😆😆😆
@user-xh8kd9ze7o
@user-xh8kd9ze7o 9 күн бұрын
Mweshiwa mpina tunakupenda Sana, ww Ni mbunge mzalendo mungu atakulinda
@Santzmedia
@Santzmedia 8 күн бұрын
🇹🇿
@epimackjohn461
@epimackjohn461 9 күн бұрын
MPINA ni bingwa aliyebeba sifa kubwa sana kwa wananchi kwa UHODARI , wewe msomali BASHE unazungumza kwa kuremba na kakiingereza , lakini MPINA wengi wamemkubali . SPIKA ameenda mbio mno kumhukumu na ameonyesha woga wa kuumbuka kwa washirika wake .
@FadhiliMesha-pd2th
@FadhiliMesha-pd2th 9 күн бұрын
bunge humo Kuna bunge au bunge la ccm
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 9 күн бұрын
Luhaga Mpina Ni Mzalendo Wa Kwer Akutakiwa Kua Chama Cha Ccm Ccm Wezi Tu Hawapendi Wabunge Wanaowatetea WANANCHI MBONA WATANGANYIKA WOTE TUNAJUA
@MartinYakobo-io1og
@MartinYakobo-io1og 4 күн бұрын
Muongo wwewe
@Santzmedia
@Santzmedia 4 күн бұрын
Ok sawa
@simonchristian6319
@simonchristian6319 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂. Uonevu huoooo
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 8 күн бұрын
Huo ushahidi aliouta mbona haukuwekwa wazi bungeni?
@jamesmboneko2952
@jamesmboneko2952 8 күн бұрын
Mpina uko juu sana. Watanzania tupo nyuma yako
@eddahkobong271
@eddahkobong271 9 күн бұрын
Kila msema ukweli siku zote ni mbaya.
@JoshuakaruJoshu-pk3es
@JoshuakaruJoshu-pk3es 9 күн бұрын
Mpina wanamwanza tukopamoja nawewe muache spika awalinde wahalifu
@user-yr1dv2oq7r
@user-yr1dv2oq7r 8 күн бұрын
Mpina jembe
@mwinyisaruni8974
@mwinyisaruni8974 7 күн бұрын
Haya bwana jembe pambana ulibakia ukiwapambania Tz mungu akutangulie,
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 8 күн бұрын
Mheshimiwa Mpina hatua wa(level of understanding) uelewa ni kubwa mno, ndiyo maana unapata shida wabunge kumuelewa, kwani wengi wale wa kujua kuso.a na kuandika tu.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
Выглядит на 15, хотя ему 35. В чем СЕКРЕТ?
0:16
Собиратель новостей
Рет қаралды 4,6 МЛН
Выглядит на 15, хотя ему 35. В чем СЕКРЕТ?
0:16
Собиратель новостей
Рет қаралды 4,6 МЛН
Жаз бітетін болдығой😂
0:33
NNN LIFE TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
Эта ведьма поедает детишек #фильм #кино
0:53
МеткийДик
Рет қаралды 2,7 МЛН
Когда покупки идут не по плану🤯
0:32