No video

MPINA ATOLEWA BUNGENI - ASAHAU MLANGO wa KUTOKEA - APEWA ADHABU KALI ya KUTOONEKANA BUNGENI VIKAO 15

  Рет қаралды 6,447

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MPINA ATOLEWA BUNGENI - ASAHAU MLANGO wa KUTOKEA - APEWA ADHABU KALI ya KUTOONEKANA BUNGENI VIKAO 15
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 34
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@laxfloop
@laxfloop Ай бұрын
Hivi kweli leo hii 2024 Bungeni kura zinapigwa kwa sauti???? Na sio numerical count!! Hata darasa la 7 wakipiga kura sio kwa sauti bali kwa hesabu! Hii ni AIBU kwa Tanzania.
@NyanzalBenjamin-ch3mr
@NyanzalBenjamin-ch3mr Ай бұрын
Mungu afanye yaliyo mapenzi yake chini yako Mpina
@isayasemunguruka103
@isayasemunguruka103 2 ай бұрын
Tuko pamoja na mpina
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 2 ай бұрын
Lakini tunamshukuru mungu maana huo siyo uhai wake.
@barakakitomary2936
@barakakitomary2936 2 ай бұрын
Mpina mungu ndo anajua mwanzo na mwisho wako ondoa Shaka mkuu wangu mola akutanguliee
@AgustinoMwambela
@AgustinoMwambela 2 ай бұрын
Tanzania yanguu
@josephfrank4446
@josephfrank4446 2 ай бұрын
Ninacho amini uhai anao so mbaya huo ubunge kaukuta
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Mama speaker na wabunge munaoshangilia hamufai kuwawakilisha watanzania. Bunge limekuwa la ndiyo ndiyo. Hakuna chochote hapo. Hakuna wa kuwahoji, bali ni uoneaji makubwa Tena bila aibu
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 ай бұрын
Hiyo ndiyo ccm yenu.
@zagalazabuinge3893
@zagalazabuinge3893 2 ай бұрын
😢😢 Get well soon Mpina
@jukiboy7012
@jukiboy7012 2 ай бұрын
Bwege alisema tutoeni bungeni mtakuwa mnagombana wenyewe kwa wenyewee😅😅😅
@Johnmichael-xp7vs
@Johnmichael-xp7vs 19 күн бұрын
MUNGU WA MBINGUNI WEWE NI MWEMA SANA UTUOKOE
@noeljuvenalmunishi75
@noeljuvenalmunishi75 2 ай бұрын
Mimi Niko na Mpina
@kagombaEnok
@kagombaEnok 2 ай бұрын
Tuko na mpina
@Unknown-kj5kb
@Unknown-kj5kb 2 ай бұрын
kwa mawazo yangu sidhani kama ni sawa kwa wabunge kupiga kula kwa kusema ndio haiingii akilini serious unakuta watu wanasema ndio kwanguvu hata kama ni wachache as long as speaker atasikia sauti kubwa basi inapita sio sawa kuamua kitu kikubwa kwa ndioooo kwann wasitengezeze volting system nyepesi tuu itayoonyesha live watu wakipiga kura
@barakakitomary2936
@barakakitomary2936 2 ай бұрын
Magufuli wetu uliondoka mapema Sana mzee wangu yaan nkitizama uonevu na maamuzi nitofauti mnoo
@ipyanasamson5351
@ipyanasamson5351 2 ай бұрын
Bunge linazidi kuwa dhaifu. Wenzetu huwa wanaandika kwenye karatasi ili asijulikane nani amesema ndiyo au hapana. Ili kuongeza uaminifu.
@sallo27.70
@sallo27.70 2 ай бұрын
Spika Alivyofungua hiko kitabu.. Duuuh. Yaan hata haangalii.. 😂😂
@nehemiahsamsony1085
@nehemiahsamsony1085 2 ай бұрын
Spika mungu anakuona wewe na wabunge wanao unanga mkono uchafu huo
@jamesdadu7059
@jamesdadu7059 2 ай бұрын
Aje asalimie na familia jamaa
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 ай бұрын
Pumbavu zenuuu tukutane 2025
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 ай бұрын
Watanzania tupo na mpina
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 2 ай бұрын
Kwakweli hii imekua kitega uchumi cha ccm .na siyo bure lisu anasema bunge la mchongo
@SaimonRichard-wv5yx
@SaimonRichard-wv5yx 2 ай бұрын
Mpina ni Mwanaume aside teteleka ktk kuusema ukweli
@ProductionWinderBulyanhulu
@ProductionWinderBulyanhulu 2 ай бұрын
Shikilia hapo hapo jembe Mpina.
@user-jm7qj6kx8c
@user-jm7qj6kx8c 2 ай бұрын
Posho ya leo pia arudishe
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 ай бұрын
Mtu wa haki mpina atolewa nje jizi bashe limebaki ndani sisi watanzania tutapeleka mashitaka mbinguni
@ELIAMbise-sy5ue
@ELIAMbise-sy5ue 2 ай бұрын
Mpina Sina shaka na utendaji kazi wako
@reonandmpangalushu3434
@reonandmpangalushu3434 2 ай бұрын
Hamna lolote hapo bunge la mchongo
@frankrobert9706
@frankrobert9706 2 ай бұрын
Wewe kwa ccm hivi unatakiwa kulindana usipofanya hivyo ukakaa wa wananchi kutetea wananchi itakula kwako wewe kura nao tu halafu kuwa mnafiki usijifanye unatetea wananchi wakati wenzio ndio kuna ulaji wao wewe utasurubiwa tu utake usitake ona sasa unakosa vikao 15 na posho zote hizo zinakwenda na maji 😂 ccm ni ile ile haitobadilika milele
@Unknown-kj5kb
@Unknown-kj5kb 2 ай бұрын
mbunge bwege aliwahi kusema wataanza kugombana wenywe kwa wenyewe
@jukiboy7012
@jukiboy7012 2 ай бұрын
Bwege aliona mbali sana 😂😂😂😂
@AgustinoMwambela
@AgustinoMwambela 2 ай бұрын
Tanzania yanguu
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 31 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 41 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 21 МЛН
MABISHANO YA LUHAGA MPINA NA BASHE BUNGENI / JIBUNI MASWALI SIO MNALAUMU WATU
6:03
Mpina ataka wizara nzima ifukuzwe kazi kuanzia waziri hadi mfagiaji
9:06
Mwananchi Digital
Рет қаралды 13 М.
One-On-One Interview With Education Minister
50:14
Channels Television
Рет қаралды 24 М.
Kamala Harris's full speech to the Democratic National Convention
37:39
CBC News: The National
Рет қаралды 338 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 31 МЛН