MBUNGE ANNATROPIA - "BAJETI GANI HII? NI MANUNUZI ya MAGARI ya GHARAMA -WATUMISHI WANAUZIANA MAGARI"

  Рет қаралды 10,243

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

MBUNGE ANNATROPIA - "BAJETI GANI HII? NI MANUNUZI ya MAGARI ya GHARAMA -WATUMISHI WANAUZIANA MAGARI"
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 84
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@amosmachibya1800
@amosmachibya1800 29 күн бұрын
Hongera dada ang natamani sana kuwa kiongozi ktk nafasi yoyote ili nilitumikie taifa langu.
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 Ай бұрын
Pole Dada umeongea kwa uchungu mnooo simuwakatae Hao mawaziri kila siku wanatajwa wapo tu mi sielewi Nani yupo nyuma yao mmmmmmh😢😢😢 R I P Magu.
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 Ай бұрын
Hongera sana upo vizuri matumizi ya fedha za maskini
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Ай бұрын
Mimi ningekuwa rais mkuu wa wilaya angetumia RV4,
@Worldunite
@Worldunite 26 күн бұрын
Mi ningempa land-rover 109
@alexmatt9504
@alexmatt9504 26 күн бұрын
Hapana,Mkuu wa Wilaya anatakiwa kumpa Double -Cabin Pickup,na hiyo RAV4 atumie RC
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 26 күн бұрын
Dada uko vizuri Sana sana magari yenyewe baada ya muda wanauziana kwa bei nafuu nimesikiliza hadi roho inauma
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 29 күн бұрын
Mwigulu nchemba ni mchumi wa tumbo lake
@issazalala4907
@issazalala4907 26 күн бұрын
Daaah aisee kweli masikini ana umizwa na masikini mwezie 😢😢😢😢😢😢
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 29 күн бұрын
Ni upigajiii tuu hamna Chengine Umeongea Madini makubwa dada
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 27 күн бұрын
Safi sana hii nchi ina uonevu mkubwa sana, nchi ilio piganiwa na Babu zetu hii, leo ukiwa mpakani basi si mtanzania... Kipindi wanyarwanda walio jipachika usukumani leo ni makamu waziri mkuu, na wengineo wengi walikupo wakimbizi wakinyarwanda ngara wakaamia Doroma wengi wao leo nima waziri Bungeni vipi hii Tanzania? kila mweshimiwa ageuka kuwa mpambe wa msanii asie soma, wasomi wamegeuka kuwa washabi ya walala hoyi... Huruma sana na pole kwa wote walio mwaga damu yao kwa future ya TZ...
@user-ry3zq8vp5c
@user-ry3zq8vp5c 23 күн бұрын
Nimekupenda sijasikia kuunga mkonohoja ubarikiwe
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 28 күн бұрын
Hongera mbunge kijana,hawa watu wanaendesha nchi kama ni nchi tajiri 2:14 wamesahau walikotoka wako wako kwenye upigaji hawajui masikini wengi nchini hawawezi kujitibu,watoto wanasoma ktk mazingira magumu,walimu hakuna,madaktari hakuna,ila kuna mwisho
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 Ай бұрын
Mafisadi wapo humo humo na mnawalea Sasa unafikiri tutafika kweli mtoto jambazi baba na mama wa nampigia makofi kuna nini sasa
@user-fl8jf5zn9j
@user-fl8jf5zn9j 26 күн бұрын
Dada yupo vizuri sana yeye ndo anastahili kuwa waziri wa fedha
@user-di8dt1ih4w
@user-di8dt1ih4w 25 күн бұрын
Tunatamani sisi wana kyerwa uwe mbunge wetu
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 27 күн бұрын
Wana karagwe tumsapoti sana muheshimiwa katuwakilisha vizuli hongerazake jaman
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj 24 күн бұрын
Jaman jaman jamaniiiiiiiiiiiii .........Kutoka bilion 4 kipindi cha Jpm mpaka billion 500 cha mama shamia duuuu ! makala ilitakiWa apewe aieshity inatosha
@NicIbrahim
@NicIbrahim Ай бұрын
Magari vijana hatuna ajira hii serikali wameshidwa kufikiri
@user-no2ut7yd3e
@user-no2ut7yd3e Ай бұрын
Mh.ukweli ni huo na ndo tunaenda kuwachagua na wengine machawa hawarudi tena Bungeni kuwapeleka wenzao kwenye maadili.
@farajapeasonmagota8226
@farajapeasonmagota8226 Ай бұрын
Mungu mpe maisha mema
@user-hj4sy9fy4g
@user-hj4sy9fy4g Ай бұрын
Akili zimelala kwenye matumizi tuu, bila kufikira kuwekeza kwa vijana!
@user-eb2el9kw6m
@user-eb2el9kw6m 29 күн бұрын
Now wanajaribu kuongea cz wamesense uchaguzi waonekane. Jiandaeni kutoka bungeni
@Worldunite
@Worldunite 26 күн бұрын
Safi sana,umetisha sista
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 29 күн бұрын
Mwigulu nchemba hamna kitu kichwani
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Changa moto ipo sana kwa sababu hakuna anajali wanainchi wataka kutumaliza kabisa, wanata viwanda vife wanainchi wakose ajira kwa kuwa wao wanamashangingi hawana shida na pili sukari wafanyabiashara wameisha mpa rushwa Bashe. Ana shangingi ana marupurupu ya ubunge, na marushwa zinazotoka kwa waagiza sukari ili mashamba ya miwa ife na watoto wetu wakose kazi itakuwa furaha ya wabunge wa CCM ili umasikini ywafanye wawachague kwa rushwa ta elfu kumi. Ninyi kwa mfano Bashe atakuwa amepewa rushwa na waigaza sukari. Na yeye Bashe ataweza kuwaonga vijana watakaokuwa wamepunguzwa kazi kwa sababu ya mashamba ya sukari yatakapo kuwa yanachechemea kufa.
@gasperswai6963
@gasperswai6963 Ай бұрын
Well say mhe mbunge
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 26 күн бұрын
Safi mama umeongea fact
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc Ай бұрын
Uko vzr na ni hoja nzuri sana. Ni ukweli mtupu
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 29 күн бұрын
Kwa hotuba hiyo hamia chadema kama unaweza kash kash hongera sanaaa
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 25 күн бұрын
Unaongea point za maana lakini Mwisho unaishia kuunga mkono hoja. Hapo ndo mnatuchanganya sisi walipa Kodi
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 25 күн бұрын
Huyo Dada ni kichwa wanatakiwa wabunge kama hawa nchi Tanzania wa kusema ukweli hao mawaziri wanataka kuchangisha dola kuzitolosha nchini na kufungua Acount zao nje tu
@lusungumkolla6672
@lusungumkolla6672 24 күн бұрын
Kudos
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 27 күн бұрын
Samahani jamani mhe spika shida ya Sukari nionavyo ni usimamizi hafifu wa Wizara inayohusika. Kwakuwa utashangaa watu wameficha Sukari na ushahidi ni kupewa vibali na kutokuingiza Sukari ambapo maana yake ni huo ni uharibifu na uhalifu mkubwa kiasi kwamba walitakiwa kufunguliwa kesi japo hata za uongo na kweli tu. Lakini hakunaga anaeguswa na kila miaka na ajabu ni upofu wa wabunge kumsifu Waziri Bashe badala ya hapo kumsema tu juu ya makosa anayofanyaga kuja kuagiza Sukari Late kama vile kukumbuka shuka kumekucha kabisa.
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 27 күн бұрын
Huyu mama anajirambuwa sana apewe heshimayake
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 29 күн бұрын
Kwa kweli wanyinge tunanyingwa wenzetu wanagawanya au kuoeana pesa kama njungu ila mungu aliyeko juu atanyiosha mkono waķe. Dada umesema point lakini wenzako wanaona unapoteza muda wapanda shangingi.
@boscomakala.3923
@boscomakala.3923 26 күн бұрын
Dada angu anaongea pointi sana ila kwa bahati mbaya hana wanaomuunga mkono,mbwa n mbwa tu hata akifa mama yake atamla nyama.
@shabanponera2895
@shabanponera2895 Ай бұрын
Magari Magari Magari Magari
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 29 күн бұрын
Yaani serikali hii kila mwaka unaanza uwendeshaji wa nchi hii upya kila mwaka. Ni sawa na kuweka garama ya ujenzi wa nyumba mpya kila mwaka. Ni ushenzi wa serikali hawana uchungu na fedha zetu.
@user-di8dt1ih4w
@user-di8dt1ih4w 25 күн бұрын
Pambana dada yetu unaweza
@elianyigu5500
@elianyigu5500 Ай бұрын
MWIGULU SIJAWAI ONA 😢HATARIII TZ
@user-ry3zq8vp5c
@user-ry3zq8vp5c 23 күн бұрын
Dada nimeamini hakunakiongozi ngaziyawaziri ambae anauchungu nataifahiri naamini upinzani ukichukuwa taifahiri tunaweza kupigahatuwa
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 28 күн бұрын
Kweli uongozi huu wa Tz ni aibu, yani gari ya rasi milion 300???, ivi huwa wakitembelea magar ya kawaida inakuwaje jamani na wengine hata mlo mmoja kwa siku ni taabu.
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 28 күн бұрын
Hata chadema ni wachumia tumbo hawatufikishi mahali
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 28 күн бұрын
Gari ya Rasi milioni 300, bado apewe dereva, , mlinzi, mafuta, posho, mshahara, yani kiumbe mmoja atatumie hela ambayo inaweza kulisha mkoa mzima ndani ya mwaka, viongozi mnatuumiza, alafu hata kazi hamfanyi ipasavyo. Inauma sama
@BabuGga-td3mg
@BabuGga-td3mg 26 күн бұрын
Kichwa hiki, hiki ndicho chakuwezeshwa sasa
@zidatv1122
@zidatv1122 Ай бұрын
Hawa ccm hawasikii
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Ай бұрын
Wanunue Rav4, Suzuki vitara na Prado kwa wakuu wote
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx Ай бұрын
Nikweri mtoto anafanya vibaya shureni unampa zawadi kubwa sinikumtia jeuriafanye ujingazaidi una changa 100 unatakiwa upewe 20
@user-mo3pp2tu2r
@user-mo3pp2tu2r 28 күн бұрын
elimu ilipo inajionyesha dada umesoma
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Shida ni kwamba tumerithi ukoloni kujisheheneza wakati sisi siyo wapita njia .ni nchi yetu .Sisi siyo wanyonyaji😢.Kwanini magari kwa wabunge.Wazungu hawafanyi hivyo .Unasema kweli ndugu😮
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 29 күн бұрын
Hayo magari yananunuliwa kutoka nchi gani? Na nchi hiyo ina mkataba gani na tanzania? Hapa utapata jibu kuwa nini kinaendelea.
@elibarikilaizer
@elibarikilaizer 26 күн бұрын
Ninyi wabunge punguzeni mishahara yenu ni pesa nyingi mnalipwa
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 25 күн бұрын
hongera dada. nchi imeozaa fuck
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 27 күн бұрын
Dada hapo ulipo sipo nawe utatengwa hayo majizi ni sugu
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 27 күн бұрын
We mama kwanungu una kitichako
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 Ай бұрын
Nimetumia Bundle langu Vizuri...Kanda ya Ziwa Kuna Vichwa Sana.
@simonmagige8991
@simonmagige8991 Ай бұрын
Kanda ya ziwa mpaka tukupeleke bungeni tumekipima uwezo wako sio kwende kusizia bungeni na kuunga mkono kwa kila jambo
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 29 күн бұрын
Kubalini tuu kaeni pembeni ili msaidiwe na wengine kunusuru nchi
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 Ай бұрын
Matumizi mabaya fedha
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Mjapani mmoja aliwahi kuniambia kwamba hayo magari hayapo kwenye barabara zao. Kuna mataifa kukuta mtu kavaa dhahabu lakini analala barazani
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd 27 күн бұрын
2025 mast gooooo
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 29 күн бұрын
Na ww ndio mbunge pekee umechangia bilz kuingiza uchawa wa kumsifia samia
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 29 күн бұрын
Sisi ni shida
@d.family.choir1799
@d.family.choir1799 27 күн бұрын
JAman mlikuaga wap watu wenye akili hv
@NicIbrahim
@NicIbrahim Ай бұрын
CCM wamechoka Kwa mawanzo
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 29 күн бұрын
Huyu mama anastahili kuwa Rais
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Ай бұрын
Watu kama nyie ndiyo mnaitajika poa sna aa
@JadiliMasambo
@JadiliMasambo 16 күн бұрын
wewe ndo mbunge,tunasikia point yako
@HellenMacha
@HellenMacha 29 күн бұрын
Uwaziri iwe ajira tu..kazi itangazwe wataalam waombe kazi...othws hamna hatua tutapiga, bla bla
@noahmadali7150
@noahmadali7150 29 күн бұрын
Mbuzi anapigiwa gitaa
@Nedjadist
@Nedjadist 29 күн бұрын
Ubovu uko kwenye kichwa.
@maombikonga
@maombikonga 29 күн бұрын
😜😜😜ATAUNGA MKONO HOYA
@sallyshakusally3592
@sallyshakusally3592 Ай бұрын
Wakupe mama yako mhe
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 29 күн бұрын
Tunataka wabunge kama wewe na mpina
@NicIbrahim
@NicIbrahim Ай бұрын
Chadema ndio suluhisho 2025
@davidjohn9535
@davidjohn9535 29 күн бұрын
Upewe maua yako
@user-ry3zq8vp5c
@user-ry3zq8vp5c 23 күн бұрын
Dadahongerasana
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii 3 күн бұрын
Ccm wajinga sana
@user-fl8jf5zn9j
@user-fl8jf5zn9j 26 күн бұрын
Dada yupo vizuri sana yeye ndo anastahili kuwa waziri wa fedha
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 29 күн бұрын
Hawa viongozi wangekuwa wanafanya kama ulivyoongea haya Madini tungekuwa mbali sana leo
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 29 күн бұрын
Mwigulu ataua taifa hili wenzake wanajifanya hawamwoni .
@nurdinkassim
@nurdinkassim Ай бұрын
Hao mawaziri sio wazalendo kwa taifa lao ndio maana waleta mawazo na mipango isio saidia
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 52 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 31 МЛН
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 52 МЛН