No video

MREMBO ANAENYANYASWA NA ALIKIBA KIMAPENZI ATOA USHAHID/VIDEO NA CHAT/SABABU YAKUTOA TALAKA KWA AMINA

  Рет қаралды 16,321

Carrymastory

Carrymastory

10 ай бұрын

TUMEPIGA STORI NA DADA ANAYEDAI KUNYANYASWA NA ALIKIBA AKIDAI ALIKUWA MPENZI WAKE ZAMANI #XWAALIKIBA #MKEWAALIKIBA #MREMBOALIKIBA #carrymastorytv #ALIKIBANAAMINA

Пікірлер: 80
@sirlejah1735
@sirlejah1735 10 ай бұрын
We don care about his personal life ni muimbaji mzuri na tunamkubali period kila mtu ana maisha yake hio haituhusu😂😂😂
@yeyemkulu8743
@yeyemkulu8743 10 ай бұрын
Ndio tuliamua wenyewe kumsapot Mfalme.😊😊😊 Duniani hakuna Mfalme mwenye mke mmoja tu.😊😊😊👑King Kiba anaweza kumudu wanawake zaidi ya watatu, watano, mpaka kumi kwamara Moja (at the same time). Power to King Kiba 👊👊👊 Also King, you don't have to lie to them. You can tell a woman that, you are dating other women and you are attracted to her. If that is not her thing, then let her go and talk to the next girl who is willing to be on your program. That's it 🎉
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Ni kwel ata mama anasemaga mfalme hawi na mke mmoja
@scollantandu2350
@scollantandu2350 10 ай бұрын
Wewe mwanamke mshenzi sana haya umepata faida gani sasa ulipomzalilisha kiba, bado twampendaa TU
@janethmodestus1402
@janethmodestus1402 10 ай бұрын
kwahiyo dada unataka tusimsupport mwanamusic wetu cyo ? all in all pole na nampenda kiba....big up bro
@nerryabel7512
@nerryabel7512 10 ай бұрын
Yaàni watu wanatafuta sanaa kiki,kwani wakati wanatongoza mbona hakusema!!?? Atuachie king wetuuu🤪🤪 Mbaya zaidi kingi huwa hajibugi watu ...👌👌
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 10 ай бұрын
Alikiba ni mume wa Amina
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 10 ай бұрын
Huyu atakuwa aliachwa afu ni kama anataka kutumia hayo mahusiano kuendesha mziki wake ni ujinga sana,we imba vizuri utatoka tu
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu 10 ай бұрын
Mbona bayaaaaaaa sanaaaa!!! Daaah limekomaaa kama music kafiri huyu!!!na hicho kiingereza fake kabisaaaaa!!! Kwa kweli bayaaa sana!!! Sijui huko chini kwenye chupi daah si kuna harufu mbayaaaa au!!! Yaaani wewe chupi unanuka ati Barcelona!!! Fuck you!!! Barcelona ni chooni mbwa weweee!!!
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd 10 ай бұрын
Ninakupenda
@user-oi7mv3eg1i
@user-oi7mv3eg1i 10 ай бұрын
Uyu dada angekua wamana sn angetuonesha ushaidi alivyo tanuliwa pia ili tuamini sa chast tu ndio unatuonesha tuoneshe na ulivyo kua wawekwa
@Lando_Anthony
@Lando_Anthony 10 ай бұрын
Yote ayo ni promo
@iddysonyo266
@iddysonyo266 10 ай бұрын
huyo binti ameongea sehemu nyingi but sjui point yake nn,halafu anaonekana alitaka maslahi kwa alikiba lakini ameyakosa,na Sasa alikubali kuwa namahusiano kwann wameachana anasema amenyanyaswa na yeye ndio amemuacha
@user-iv4sf7yl4d
@user-iv4sf7yl4d 10 ай бұрын
Anavoongea km alibakwa jamn wakt alivua mwenywe😅😅😅bongoland, mapnz huisha jmn je km yaliisha kwa mkewe sembuse ww😅😅
@SamuDshira-xm9yn
@SamuDshira-xm9yn 10 ай бұрын
Dada,hiyo imeenda😅
@isayaisaya1697
@isayaisaya1697 10 ай бұрын
Kwahiyo umechezewa na king kiba 😅😅
@Kimbururu
@Kimbururu 10 ай бұрын
Yani kwa kifupi anawafir@. Yani jamaa ndo zake, hata cousin wake anasema 😂😂😂
@user-wu7vt4wm2h
@user-wu7vt4wm2h 10 ай бұрын
Huyu Dada anamambo yakisenge kuacha kuachwa kumeanza kwa kiba2??
@sirlejah1735
@sirlejah1735 10 ай бұрын
Hii yote ni machungu ya kuachwa sana ukiona mtu anchukua time yake kumuongelea X wake ujue ana mpenda alimkubali sana inamuuma kuachwa
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 10 ай бұрын
Cha muhimu nabkazi yake kiba ila maisha yake binafsi hayatuhusu yaani wanawake mujitongoze wenyewe wakisha kuachwa mataani ndio wanaanza kumuharibia mtu sifa...ama kukataliwa ni kubaya sana
@abuubakary4848
@abuubakary4848 10 ай бұрын
iyo aisaidii kotoka.kimuziki lioness kwani unajivurugia ata kwa mashabiki ambao wanataka.kuku saport kwani mala moja tu inge tosha wengine wakikuliza kwe intervew kuhusu ilo wambie wasikilize nyimbo tu kwani kinacho endelea ni kujichafua adi wanawake wenzio wana kuna.kituko sasa maana ata.lengo lako kuu alijulikani paka sasa.nini we sio mtetezi wa wanawake.kuliko ustawi wa jamii em elewa anae.weza.kuweka shelia.ya.kutetea wana wake ni mama.samia tu yeye ndo anaweza kuwasaidia na pi iyo kiki mi nakupa 2 weeks utaona uto fatilowa.tena.amini maaana imekua tomuch sasa kila.midia dada angu achabizo.bc unaji dhalilisha ivo usha.ongea inatosha kinacho fata saa ni kiki iyo sio bule.mjini watu awaji ivo wanakuja.na mabasi sio baskel wa pikipki tumi basi tukupokee mbenz maguful ila piki.piki utapokelewa na familiya yako tu si majila hatuto jua 🥰🥰🥰🥰🥰
@deborahcharles4916
@deborahcharles4916 10 ай бұрын
Mshenzi mbona mlivopendana hukutwambia tuache kidogo
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd 10 ай бұрын
Hahahahahaahaa nakubalii. Wakuache kidogo.. Umeongea bonge la pointi
@user-is9qb9sl9f
@user-is9qb9sl9f 10 ай бұрын
Ss kwann alitoa picha😂😂
@ezydboyezydboy
@ezydboyezydboy 10 ай бұрын
Wasanii wakisha zagamua wanatema ulichanua mwenyewe
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 10 ай бұрын
Si tulijua alikiba anatoka na niffer au😂😂😂😂😂😂mi sielewi,
@3Dshoez
@3Dshoez 10 ай бұрын
We dada mziki wako hatusapoti 😢😢
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 10 ай бұрын
Huo njo nani mambo mengine 😅😅😅
@3Dshoez
@3Dshoez 10 ай бұрын
Na elimu yote aliyopata bado mjinga,eti tusimsapoti Kiba😂😂,kwan alikubaka?
@user-sd7ho5sm8q
@user-sd7ho5sm8q 10 ай бұрын
Mbona unamuongelea vibaya
@officialkinghimself2637
@officialkinghimself2637 10 ай бұрын
Shida ni ku trend kupitia kiba
@Kimbururu
@Kimbururu 10 ай бұрын
Recently kalikotOmbwa ni kale kamachepele kauza nguo Niffer, halafu kakaachwa. 😂😂😂😂 Hawa mademu wa bongo kwa wasanii dah
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 10 ай бұрын
Alikiba ana penda kufira atakua hana marinda huyo😂niffer
@issashabanihusseniwewe9024
@issashabanihusseniwewe9024 10 ай бұрын
Kwani huyu ali ndo mwanaume aliye mtoa bikra?na kama umeamua ku move on why leo unaliongelea hilo
@godlema6104
@godlema6104 10 ай бұрын
Malaya tu uyo mwanamke kama malaya wengine
@suzysam6002
@suzysam6002 10 ай бұрын
Huyo dada Ni mpungufu wa akili tena mpelekeni hospitali jaman kwa mwanamke anayejielewa ,hawezi kuanika upumbavu huu ,ili iweje na unapata nn na faida yake nn , je unafikiri unaweza kumshusha thamani yake , asee muombe MUNGU akupe ufahamu na hofu ya MUNGU ijaye ndani ya moyo wako , alikuchumbia au ?
@Lunanilo
@Lunanilo 10 ай бұрын
Mtu aliye na ndoa ya aina yoyote haifai kutoka naye.
@user-iv4sf7yl4d
@user-iv4sf7yl4d 10 ай бұрын
Jmn mkewe alishindwa kumtuliza ungemtuliza ww😅😅
@fatmaali4921
@fatmaali4921 10 ай бұрын
Kwani?ulipoanza mahusiano ulikuwa wapi?asituhadisie toka anatongozwa sahii unataka kuwa mjin ndo kiba tuache sie
@user-ep8yr5nz8w
@user-ep8yr5nz8w 10 ай бұрын
Aaah acha zko weee fnya mbna mamb ykoo izoo xhmboo
@msafiriomary893
@msafiriomary893 10 ай бұрын
Kwan ww aliykiba arikukuta bikira kwani mbona unaumia sana si kawaida tuu mbona kuzagamriwa mademu
@yassinpembe6927
@yassinpembe6927 10 ай бұрын
Sasa tatizo nn kwan Ali Kiba tu ndo anachezea madem hyo n kawaida kwa wanaume nasio kuchezea sasa ataowa wangapi hlf bac wanaume wote wacsapotiwe sababu wanaume wote wako hvyo.ongea jingine kwa hilo umchemka
@abuubakary4848
@abuubakary4848 10 ай бұрын
lengo kuu unataka wanawake wenzio waache.kutembea na mastaa au unataka kiba afungwe maana.sio wakwanza et au unataka akulipe pesa. mi naona kwenye midia inatosha sas nenda tu mahakamani maana uko ndo kwenye haki ila.uku ni kuchafua.mtu bila sababu za msingi kingine nikushauli nibola unge sema.unampenda unaumia juu yake.ingekua poa sa watu.wangependa ila.iyo ya.kumchafua lioness apo umefeli.kinoma mwanangu tena unawe ata siku.kwe shoo ukatupiwa mawe au mayai au.mikojo amini akuna mashabiki wana uzalendo.kama wa kiba apo.umeyakanyaga wenzako wote wanajua.ilo muulize.baraka dar priss atakwambia au.muulize mdam mosha utasikia.uyo.ni mfalme na mfalme anawe kuoa adi wake 200 sa.kama unataka.kuolewa sema maana we ndo wa 2 bado nafasi.ipo kubwa tu 18 wataobaki watajileta wenyewe kama wewe🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@neemaremus4924
@neemaremus4924 10 ай бұрын
Sasa mbona unataka kuichafua hiyo image na Kiba ambayo ameitengeneza kwa muda mrefu? Kasikie vibaya na huko
@user-pf5zc6xi9w
@user-pf5zc6xi9w 2 ай бұрын
Kani we mtt mdogo nendaaaaa
@user-iv4sf7yl4d
@user-iv4sf7yl4d 10 ай бұрын
Kingereza chenyewe cha form two b c uongee kiswahili
@neemaremus4924
@neemaremus4924 10 ай бұрын
Ulienda kuchunguza maisha ya Kiba ama ulikuwa unataka nini?
@waheeda5138
@waheeda5138 10 ай бұрын
Huna akili ww bad unampend Ali kwaiy umefany ivyo umuabish mwenzio mwanaum na anapendw na weng mutajiju na ujing wenu atawachezea ataacha hamna lakufany 😂😂
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 10 ай бұрын
Kakukomesha tukusaidieje kwan ndiyo wa kwanza Kibah
@user-si8hp3sm6o
@user-si8hp3sm6o 10 ай бұрын
Uyu Dada anatafuta Kiki mitandaoni.. kilichotokea mpeleka kwa kiba Ni Nini? Alafu Dada mwenyewe ata siyo typ ya kiba
@joshuajilani5532
@joshuajilani5532 10 ай бұрын
Huyooo dame bichwaaa lakeee kwani twasuport mziki wa kibaa ama twasuport relationship yake??? Bichwaaa lake tenaaa trust me kamaa hivoo ndo watakaa watu wakusuport as musician sorry juu we are giving you some months after hii story umeishaa nawee Pia utakuwaaa umepoteaa
@sadruhsnow5637
@sadruhsnow5637 10 ай бұрын
Mshamba
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py 10 ай бұрын
Bado hauja semaa yan mpaka usemee 😂😂
@lailalaila8206
@lailalaila8206 10 ай бұрын
We demu msenge sana mefanya zina zenu uko wara hamjatushirikisha meachika ndio mnakuja kwa mitandao msenge we mtatumiwa mbaka mkome kwa tamaha zenu wadda wa kibongo hacheni njaaa
@3Dshoez
@3Dshoez 10 ай бұрын
Tatizo anajiona pisi kali kumbe ndo wale wale
@user-pe8gw4ov8b
@user-pe8gw4ov8b 10 ай бұрын
Mbona mie sioni umuhimu wa kuanza kuaonglea hayo yote kwa sasa… wakat ni mamb ya nyuma .. ila wadada wakibongo aiseee
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 10 ай бұрын
amatafuta umaarufu mwemzio, kakazania media tour utadhani.kiiba mdio kambikiri,.wakati super mdangaji 😁😁
@malakisomwe5641
@malakisomwe5641 10 ай бұрын
Majukumu atimize kwako watu km hawa wanatafut umalufu kwa king kiba
@malakisomwe5641
@malakisomwe5641 10 ай бұрын
Angertoka na lavalava tungemjuwa
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 10 ай бұрын
​@@sheryphamwenevalley6124nachoka kbs anajishusha mnooo
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Halafu inaonekana kama mda hizo picha ni za muda
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 10 ай бұрын
Kwani inafa media tour ju ya ali 😅?
@neemaremus4924
@neemaremus4924 10 ай бұрын
Kwa hiyo ulikuwa unataka akuoe? Ama ulikuwa unataka akusaidie kwenye music?
@Ansilajosephtembo-sk8le
@Ansilajosephtembo-sk8le 9 ай бұрын
Sasa tumejua ulikua na alikiba na akakuachu unataka tukusaidieje ama unataka king kiba aache kuimba mziki mshenzi ww ulitaka mwenyewe hujalazimishwa
@godlema6104
@godlema6104 10 ай бұрын
Ulivyo henda kuliwa ulituambiaga acha ungese
@khalidsoud235
@khalidsoud235 10 ай бұрын
Ulitafuta umaarufu umeupata bado mume wakukuowa
@user-ce2tt9bx9o
@user-ce2tt9bx9o 9 ай бұрын
Kwan alikukuta bikra? If not kwann usimulaum aliekutoa hyo bikra
@user-si8hp3sm6o
@user-si8hp3sm6o 10 ай бұрын
Uyu Dada tu ndo ameachwa huku duniani? Dada acha usenge kipidi anakutendea mema? Mbona ukutuambia? Yani Tena unasema umesoma huku unatueleza ujinga
@YousufNdayishimiye
@YousufNdayishimiye 10 ай бұрын
Huo danga tu ! Anatafuta kiki
@user-yh2gy1lp7w
@user-yh2gy1lp7w 9 ай бұрын
Kwani wanaume hakuna bongo tafuta wako aca uzushi nothing new
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 9 ай бұрын
Huu uzungu na kutaka mafanikio ya haraka kupitia miili yenu mtatumiwa sana kina mama. Huyu kasoma vizuri lakini kajiona mzuri mtamu anaweza fika popote. Matokeo ndio hayo. Sio sawa kwa wanaume kuwanyanyasa lakini hiyo ni hadithi nyingine. Ila mjue hakuna uzuri au utamu ambao haumchoshi mwanamume. Ati huyu analalamika kuachwa na Kiba halafu hapo hapo anadai hajawahi kuachwa yeye ndio muachaji. Duh Very stupid.
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 10 ай бұрын
She want to trend
@victorburser1717
@victorburser1717 10 ай бұрын
Barcelona ishakua Barcelona yaaaaaaani duh! Ulishindwa hata kupita na wakina Iniesta huko Barcelona asee watupigia kelele
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 10 ай бұрын
We ni malaya tu’ulijiachia alikuwa amekutambulisha hata kwao or mzazi wake anakujuwa?eti alikuwa hatimizi majukum yake as man,nani family ya Alikiba inakujuwa?wewe ulitaka tu ku take vantage of him kwasababu alikuwa na ugomvi na mke wake sasa ya mekutokeya shingoni unajuta shenzi wewe
@Mr.Queentz
@Mr.Queentz 9 ай бұрын
Sawa ila uliliwa ukaachwa nauliachwa naisi ujafundishwa kwenu stupid tutolee kiki zako sasa atakosaje kukuzarau wakati ww mi mjinga
@KamanaMangolwa-xe8de
@KamanaMangolwa-xe8de 9 ай бұрын
Kuma la mamako yani wewe unataka tusimsapoti alikiba kwasasa yako malaya kafirwe mbele
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 10 ай бұрын
Kwahiyo yeye ndo wakwanza kufirwa ama? 😂😂 AKOME SHENZ 😂 na akome tena amesha tolewa marinda akae kwa kutulia kiba ana penda mkundu kumbe daah
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 10 ай бұрын
Enemy of progress did he force you? Kwani umeachwa nacwagapi? Stop it sema yote we Love Alikiba move on mchwww
@annajulius9940
@annajulius9940 10 ай бұрын
Ndugu huyu Ni ally sio alakerry unahc utalipwa au nyamaza we sio wakwanza nawala sio wamwisho hiyo Kama harua haina makombo
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,8 МЛН
Cook with Wema Sepetu S02E01 Alikiba
5:06
Wema Sepetu
Рет қаралды 675 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН