No video

NIFFER afichua Alichoambiwa na Mwanamke wa ALIKIBA baada ya kuongea nae kwenye simu

  Рет қаралды 70,598

Rick Media

Rick Media

Жыл бұрын

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

Пікірлер: 65
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 Жыл бұрын
NIFFER NI KICHWA SANA....MAASHAALLAH....Kila lak heri MAISHANI MWAKO.... Unajitambua sana..
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Akili ya kuambiwa changanya na yako
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 Жыл бұрын
MashaAllah mke wa Ali kiba mzuriii mwarabu rangi fresh mtoto mrembo sio huyu kama mvutu😂😂😂😂
@salhanassor5201
@salhanassor5201 Жыл бұрын
😄😁😁vibaya ivo jamani wakilijua hilo vutu wanaompenda watakuchapa🤣🤣🤣🤣
@josephinelwamlema7331
@josephinelwamlema7331 10 ай бұрын
Uarabu bongo..nyoi
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 3 ай бұрын
Nimeipenda sana Mtangazaji alivo kua anamuuliza maswali kumbe tunawatangazaji Bomba kabisa kwambaliii namuona Salama Jabiri kwenye maswali
@MrHeritier239
@MrHeritier239 Жыл бұрын
King's Alikiba for ever
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Nani amegundua kama dada mtangazaji ana sauti kama ya salama jarib
@mwanshambaidririssa1050
@mwanshambaidririssa1050 Жыл бұрын
Kweli
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 Жыл бұрын
Kweli bhana ❤
@MatabaTv
@MatabaTv Жыл бұрын
Jarib yupi
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 Жыл бұрын
Salama Jabir sio jarib
@alicenice1711
@alicenice1711 Жыл бұрын
Ni salama jarib ama ni salama jabir 😂😂😂
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Wewe niffer hivi akili zako ni sawa na amina mke wa Ally kiba , najilaumu sn amina kuolewa na kiba huyu dada alitakiwa aolewe na kiongozi frani wa inchi,
@kaditokenya6873
@kaditokenya6873 Жыл бұрын
Kuna kitu hamjuwi Aminaa wife wa Ally anapenda kumona mmewe akifanya kiki bt Ally hana hizo ndio maana anazifanya yeye
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 Жыл бұрын
Wewe mume wa mtu koma kuwa mbali hata ww hutokubali mumewo kuwa na shanging eti rafiki picha peke yke zinaonyesha
@BerthaMyale
@BerthaMyale Жыл бұрын
Nampenda sana niffer Yuko vizur na ni mpambanaj
@user-sh7dp6uj8r
@user-sh7dp6uj8r Жыл бұрын
Piga kazi mwaya mungu atakusadia
@joycekasimbazi-pt3tq
@joycekasimbazi-pt3tq Жыл бұрын
Nakupenda you are very intelligent congrats!!
@munangamia2069
@munangamia2069 Жыл бұрын
Akuna urafiki wa mume na mke ww dada sema ukweli
@solomonkitonka6904
@solomonkitonka6904 Жыл бұрын
Duuuh,Yani akiambiwa kuhusu alikiba anachanganykiwa,
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Жыл бұрын
Salama jabar upo rick now
@DinoDosSantosjorge-ql3ss
@DinoDosSantosjorge-ql3ss Жыл бұрын
NIFFER ni mzuri JAMANII
@swalhawerema57
@swalhawerema57 Жыл бұрын
We mtangazaji ni mnafiki wew hayo ni maneno yako sio ya watu ...sijawah ona star wa kike akimuongelea niffer wew ni mchonganishi acha kusema watu kiazi wew
@yussufkhasim9021
@yussufkhasim9021 Жыл бұрын
Huyu demu anakili. Yani napenda Sana interview zake. Anakupa ukweli
@user-sh7dp6uj8r
@user-sh7dp6uj8r Жыл бұрын
Kwakweli unakubalika sana🎉🎉🎉🎉🎉
@greaterjustin2231
@greaterjustin2231 Жыл бұрын
Kwa mbali sauti ya mtangazaji kama ya salama jabr
@nizclemencelampslabiche2007
@nizclemencelampslabiche2007 Жыл бұрын
Sio ata kwa mbali sana kama humuoni utajuwa tu jabir kabisaaa ki sauti
@greaterjustin2231
@greaterjustin2231 Жыл бұрын
@@nizclemencelampslabiche2007 kabisa yaan
@choggysly3541
@choggysly3541 Жыл бұрын
Kweli
@user-gp3le3vr1v
@user-gp3le3vr1v Жыл бұрын
🥰♥️😘💕 Niffer wangu
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 Жыл бұрын
Wewe ndo sababu mjinga hovyo sura kama dum ww mume wa mtu sum
@laliyamusasilwa-tw9zq
@laliyamusasilwa-tw9zq Жыл бұрын
Malipo nihapahapa chini yajuwa 🙏🙏🙏
@zuhuraimran3659
@zuhuraimran3659 Жыл бұрын
Yule ni mke sio mwanamke....... mwanamke ni niffer ndio hajaolewa lkn wa ally ni mke
@neemaalphonce109
@neemaalphonce109 Жыл бұрын
Ata mobeto nae alikuwa anakataa atok na mond mwisho wasiku mtoto akawaumbua😁 ukwel wanaujua wao bhna
@aishaali9583
@aishaali9583 Жыл бұрын
Atajuwa mwenyewe iyo ndio kazi yao mtu kama unajiamini mbona asikuoe fact you tena umukome amina wetu
@rukiayasuleyman2900
@rukiayasuleyman2900 Жыл бұрын
Jamani Jamani muacheni Niffer afanye kazi zake.
@jamilahabibu9299
@jamilahabibu9299 Жыл бұрын
Simpendi mwanamke anaye jipa kipaumbele yy mwenyew chakua na m2 ambaye ht ajawai kusema hazarani kama nimtu wake🙌wanawake aibu sana kiba kuna sehem ipi mnioneshe aliyosema kamdet uyu mende?
@fatmatraashidu8522
@fatmatraashidu8522 9 ай бұрын
Huyu Dada Nampenda Lakini Kwanini Watu Wanamsema Vibaya!?!! 🤔
@user-ul9tr3ql5k
@user-ul9tr3ql5k 5 ай бұрын
@user-ul9tr3ql5k
@user-ul9tr3ql5k 5 ай бұрын
Love this
@fettyulomiamina9071
@fettyulomiamina9071 Жыл бұрын
Natak aowe wote wawili maan mnachonga xan chongen viaz
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Huyo nifa kasomea wapi utangazaji au ndio kugaiyana kiurafiki
@trillionthamani
@trillionthamani Жыл бұрын
Moja ya sifa nnayoipenda ya huyu dada alisema anawivu sana, akipenda anamchunga sana mtu wake
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Tatizo la niffer ana shobo za wazi wazi pozi Hana ,nihivyo tu lakini Kwa akili anazo na nimpambanaji
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Жыл бұрын
Huyu mfanyabiashara sio msanii, so wafanya biashara Shobo ni sehemu ya biashara mzee
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Chombo ya ali kiba😂😂😂
@trishtrish2349
@trishtrish2349 Жыл бұрын
Niffer hatukuzaliwa jana, eti wewe na Ali Kiba ni marafiki tu 😏
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Watanzania mnapenda ngono looo kwahiyo mtu asiongeeee na mtu anamtombaaaa heeee mwacheni akili za chini hizo washezi wakubwaaaa
@deboramartin8111
@deboramartin8111 Жыл бұрын
Kwanyo mtu akiwa na mwanaume ni mpenzi loooooooooh
@sabahsalim3306
@sabahsalim3306 Жыл бұрын
Sauti ya mtangazajji nu salama jabiri
@AnetDaniel-vx2sd
@AnetDaniel-vx2sd Жыл бұрын
Huyu anaemhoj ni ndugu wa salam
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Niffe nakupenda coz mpambanaji mno
@Saki930
@Saki930 Жыл бұрын
Dah ila uyu mdada Sawa tu
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py Жыл бұрын
Kibaa kasha mzagamua mtuuu😂😂😂usituchoshe niffa unataka umalufuuu😅
@HarimahtheAnny
@HarimahtheAnny Жыл бұрын
Sikupendi wewe mbwa umevunja ndowa yawatu ninao wapenda pumbav wewe kabisa 😏😏
@anniemallagi
@anniemallagi Жыл бұрын
Pole😂😂😂
@HarimahtheAnny
@HarimahtheAnny Жыл бұрын
@@anniemallagi 🤣🤣 pole ya nini
@sahaleabdulkadir1346
@sahaleabdulkadir1346 Жыл бұрын
Ni mvunjifuu huyoo
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Жыл бұрын
Hata kama huna mausiano na Ali Kiba ila una shobo za kijinga jinga pi guza shobo u are forcing kiki na Ali Kiba u talk too much punguza
@deboramartin8111
@deboramartin8111 Жыл бұрын
Mwache awe na shobo wewe hata alikiba kumgusa nguo tuuu ali ataichana kabisaa acheni wivu
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 Жыл бұрын
so tatizo lako ni lipi
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 7 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 3,1 МЛН
Ndaro na Leonardo Waoneshana Ubabe Jukwaani, Ona hapa nani mkali?
21:33
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН