MREMBO MDOGO MUUZA SAMAKI, NYANYA ANAINGIZA MAMILIONI "NALIMA MPAKA NALALA SHAMBA, NIMEAJIRI"

  Рет қаралды 165,865

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Kutana na Jackline Charles ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu alieamua kuwekeza kwenye kilimo cha mahindi, matikiti, nyanya na ufugaji wa samaki kisasa ambapo anatuambia kuwa yeye alipoona wazazi wake wana mashamba Kisarawe na hayatumiki akachukua hatua kuongea nao ili yeye aweze kuyafanyia kazi.
"Nilipoona tuna shamba nikaona nina uwezo wa kuwashauri kitu kwa wazazi tukafanya kitu kwa faida ikiwemo kuzalisha chakula chetu sisi na kingine tuuze, nilipoona tuna shamba nilimshauri Baba, kuna vijana wazazi wao wana fursa wana shamba, au biashara zingine lakini watoto hawawapi mawazo wazazi wao, unakuta mzazi anastaafu ana kitu" Jackline Charles

Пікірлер: 528
@queenlinda255
@queenlinda255 3 жыл бұрын
Beautiful With brain Maashallah sio wale watoto wanao subiri wazazi wafe warithi mali na wakifa tu wanauza kila kitu
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 3 жыл бұрын
We wazazi wako wamekuachia nini😹
@queenlinda255
@queenlinda255 3 жыл бұрын
@@rose_Winchester86 Alhamdulilah Walinipa urithi wa elimu hekima busara kuwa na hofu ya ALLAH na ndivyo ninavyo ringa navyo mjini hapa
@allahisone6386
@allahisone6386 3 жыл бұрын
@@queenlinda255 ALLAH ATUJAALIE MWISHO MWEM
@queenlinda255
@queenlinda255 3 жыл бұрын
@@allahisone6386 Ameen in shaa Allah🙏🏻
@isaackjackobo6543
@isaackjackobo6543 3 жыл бұрын
Bonge moja la interview maombi yetu angalau kuwe Kila wiki na kipindi kimoja cha kuonyesha uwezo wa vijana ili iweze kuwa invasion kwa wengine
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 3 жыл бұрын
Kabisa
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
Umeongea point
@ellyurio261
@ellyurio261 3 жыл бұрын
9
@ellyurio261
@ellyurio261 3 жыл бұрын
Poops of a 👌 😎 ones OK 😎 ones out on 💩 and poo 💩 💩 OK
@ellyurio261
@ellyurio261 3 жыл бұрын
On a Sunday
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 3 жыл бұрын
Wow! She's a go getter,young, beautiful lady I really like her courage, big up from Nairobi Kenya.
@glorylimo8695
@glorylimo8695 3 жыл бұрын
Dah am blessed Ila nakumbuka niliwai kufanya project Kama hii Ila nilikosa nguvu na maisha ya misuko suko yakanikwamisha..jaman wazazi nanao farakana nakuleta ugomvi kwenye familia naomba mjifunze kwa wazazi Hawa Mana mtoto wao aliwapelekea fursa wakaipokea na kuisupport kwa kumpa mashamba ayafanyie kazi
@patrickKitambo
@patrickKitambo 11 ай бұрын
Wew ni kama mim
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
Sio kila watoto wa kishua wana akili za hivyo si tunaona vishua wengi tu mjini mambumbumbuuuu hongera bibie 👏🏽
@severinatyphone6122
@severinatyphone6122 3 жыл бұрын
Ndo Ommie yule yule- mchina 🏃‍♂️. Kweli ulipo tupo.
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
@@severinatyphone6122 😁😁😁 dah umenifanya nicheke tu boss
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Japo sapoti ya wazazi imehusika,bado nakupa big up dada. Angekuwa binti mwingine angeomba kufunguliwa Saloon au kijiwe cha Mgahawa.
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
Sapoti ya wazazi imekuja baada ya KUWAFUNGUA ubongo wazazi wake. Girl you are ON FIRE
@shabanalfan9705
@shabanalfan9705 3 жыл бұрын
Issue sio aina ya biashara kaka, issue ni mafanikio kama saloon itakuwa inakuingizia pesaa ya kutosha sio mbayaa.
@janethjohn7994
@janethjohn7994 3 жыл бұрын
sio lazma wote wafanye kilimo,chochote tuu ni sawa kama kinauezekano wa kuleta mafanikio
@magecharles7158
@magecharles7158 3 жыл бұрын
Mzazi anausika kwenye Mafanikio yako yote kakupeleka shule,kakulea so ukisema saport ya wazazi nani asiyena saportvya wazazi
@nelsonmnyanyi1050
@nelsonmnyanyi1050 3 жыл бұрын
Hongera sana Jack!, ww ni mfano wa kuigwa katika jamii. Maono yako yafike mbali na Mungu aibariki kazi ya mikono yako.
@johnmanase2874
@johnmanase2874 3 жыл бұрын
Mtangazaj anang'ang'aniza kwann afanye kilimo kwakuwa n mrembo why? Kwan mrembo sio binadamu wa kawaida? Big up dadaa hongera sana. Unacho kifanya kama n kitu kikubwa wengi tunatamani sana
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Zama zimebadilika,siku hizi warembo wanajiongeza sana kuliko ilivyokuwa zamani.Kudanga si dili tena. Wadada wajanja siku hizi hawauzi sura ni kazi kazi!
@lisajackson5867
@lisajackson5867 3 жыл бұрын
Kabisa mpendwa
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 3 жыл бұрын
Kabisa ndg
@Mrdigital.
@Mrdigital. 3 жыл бұрын
Maguuuu product
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Kilimo hakiondoi urembo wa mtu. Urembo natural. Huyu binti Mungu alimjalia ubunifu. Hakuna aina ya kazi inayo zuia urembo wa mdada. Mungu akutie nguvu dada hamasisha na wengine.
@shifumponda666
@shifumponda666 3 жыл бұрын
wanawake nao wanaweza sana mungu ambariki san huyu dada ameamua kufanya si kuongea big up sana pia anaajili vijana pia hongera san
@hamisisalum2218
@hamisisalum2218 3 жыл бұрын
Am so inspired with this interview, she is so great
@hermanndongolo1550
@hermanndongolo1550 3 жыл бұрын
Mungu ambariki na kila anaeangalia hii video sipungukiwe pesa kamwa
@abubakarminya2329
@abubakarminya2329 3 жыл бұрын
Aaamiin
@texastexas2545
@texastexas2545 3 жыл бұрын
Huyo sio kwamba anaakil sema anawazazi wenye akil, wanatumia Pesa nying il aonekane anaakil make Kuna vijana wakimaskin wanaakil balaa na mawazo mazur Zaid tatizo n mtaji.
@latifahjanja6679
@latifahjanja6679 3 жыл бұрын
@@texastexas2545 bro mtaji sio mpk uwe na pesa kuna wenye pesa na awajui wafanye nini mtaji ni akili tuu
@mariamselemani5208
@mariamselemani5208 3 жыл бұрын
Amina
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 3 жыл бұрын
Amina
@erickzephania1030
@erickzephania1030 3 жыл бұрын
Hongera! Sana najua cha wazaz wako ndio chako ukikiendeleza vizur ishu ya ajira ktk ukoo wako itakuwa ndoto
@juniorkachieng
@juniorkachieng 2 жыл бұрын
A humbled moneyed girl so inspiring indeed....she is so humbled watching from Nairobi Kenya
@smwansasu8605
@smwansasu8605 2 жыл бұрын
Kumbe shamba la familia!!!! Hongera sana Jackie kwa mawazo mazuri hayo. Watto wachache sana wenye akili kama yako. Natamani ningekuwa na mtoto mwenye akili kama ya kwako!!!! Anatumia wataalam so it means inawezekana baba aliprovide capital na binti akatumia akili alizonazo. Capital plus akili ni safi sana sana!!! Big up Jackie.
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Mshukuru Mungu wazazi wako wako na uwezo hongera madam
@maikovineventscompany1180
@maikovineventscompany1180 3 жыл бұрын
Hapa mb zangu zimenda ki halali kabisa ❤️❤️❤️
@abdallahissa8323
@abdallahissa8323 3 жыл бұрын
Hhhhhhh
@ecologuideaceae.2178
@ecologuideaceae.2178 3 жыл бұрын
Amazingly work, she is really. Confident n self-reliance...🔥💖✊🏽
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 3 жыл бұрын
Salaam za pongezi mdogo wangu Jackline kwa kufanya kazi uipendayo ndoto ya maono yako,sawa sawa na ndoto ya JPM kutengeneza mabilionea wazawa.Tunashkru pia kwa ukarimu wa mwaliko wa kuja kujifunza. Tunaomba mawasiliano.
@kamanda007
@kamanda007 3 жыл бұрын
Safi sana hizo ndio issue zinafanya nchi kuendelea, Asante milliad Ayo na wenye shamba kwa hii taarifa
@kanyewest1850
@kanyewest1850 3 жыл бұрын
Hongera Jackline 🦁🦁❤️
@jacklinembuge7776
@jacklinembuge7776 3 жыл бұрын
asante salam
@mylisheacademictv4290
@mylisheacademictv4290 3 жыл бұрын
Nzuri
@agricoladanghalo8021
@agricoladanghalo8021 3 жыл бұрын
@@jacklinembuge7776 😘
@majeje655
@majeje655 3 жыл бұрын
@@jacklinembuge7776 naomba namba ako plz
@mamyhermes1222
@mamyhermes1222 3 ай бұрын
​​@@jacklinembuge7776 am thinking of a project please I need your help,well advice
@josephstellar1359
@josephstellar1359 3 жыл бұрын
Hongera sana jack haya ndiyo maono yenye maarifa Mungu atusaidie sana tufunguliwe maono yetu Mungu mbariki sana Jack afike mbali zaidi
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Ameen 🤲🏽
@selestinarugemalila255
@selestinarugemalila255 3 жыл бұрын
Uwa mnaongea vizuri sanaa,nawapenda mnoo sanaa amna mambo ya kuppamba kazii
@exaverykalinga1487
@exaverykalinga1487 3 жыл бұрын
Big up,ayo tv hizi ndo habari za kuelimisha jamii ielewe maisha utayapata shambani.safi sana jack.
@vero57
@vero57 3 жыл бұрын
Lakini acha mchubuo dada, vizuri sana keep it up
@neemasimon6652
@neemasimon6652 3 жыл бұрын
Daaah hongra Dada pia wazz kwa saport yenu kwa bint mungu nijarie uzao watumbo langu
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah Mmungu awazidishie kheri zote.
@benmash9625
@benmash9625 3 жыл бұрын
hongera sana Jackie.,.. Mungu azidi kukuongoza
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 3 жыл бұрын
Wow dada vizur sana mrembo ssna mungu akupe umri mrefu uvune mavuno mazuri
@mariammugasha6489
@mariammugasha6489 3 жыл бұрын
Mtoto wa Brigedia charles mbuge hongera kuwa na baba mchapakazi
@yugakiyumbi9909
@yugakiyumbi9909 3 жыл бұрын
Ndio maana iko vzr kumbe mtoto wa Brigedia mbuge
@ibnuqassim1614
@ibnuqassim1614 3 жыл бұрын
Hongera Sana jack Ww ni mwanamke wa kiugwa kwa vijana wote .
@peterpaul591
@peterpaul591 3 жыл бұрын
Hongera sana ila wazaz wako mpunga upo so simple to invest.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Mungu akubariki dada angu Jacky mimi nime ona ajira tuna lipwa mshahara hautoshi 😭😭 biashara ni muhimu sana
@mariamezialor8911
@mariamezialor8911 3 жыл бұрын
Hongera Ago TV ongeza interview zaidi kwa vijana kama huyu iwe motisha kwa vijana wengine wanao hangaika mitaani na degree zao. . Pia angulizwa kuhusu mtaji, vijana ambayo wazazi wana mashamba, hawana fedha za kuanzusha project kama hizi, watalaam amewapataje na kutoka wapi? Kimsingi maelezo ambayo itawafaa wengine hamasika na kupenda kujiingiza huko.
@shifumponda666
@shifumponda666 3 жыл бұрын
hongera sana jackline hakika wanawake wanaweza sana 🙏🙏🙏
@texastexas2545
@texastexas2545 3 жыл бұрын
Huyu n mtoto wa tajir make hapo mtaj wake s haba, Kuna watu weng Sana wana mawazo mazur kuzdi hapo tatizo n namna ya kupata mtaji.
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Wapo watoto ambao wazazi wao wanakula kitu Ila hawana mawazo wanasubiri mazazi wa Mali izo wafe wagawane.
@jacklinembuge7776
@jacklinembuge7776 3 жыл бұрын
akili zako finyu kaka ndio maana atakuiskiliza interview hujaweza (bogus man) as i said kuna wengine wanachance wanashindwa kuzitumia bro muonee embu sikiliza tena then tafakari (BOGUS)
@innocentrichard2945
@innocentrichard2945 3 жыл бұрын
That was Savage and not kind
@jojinarmillinga7219
@jojinarmillinga7219 3 жыл бұрын
Ni kwel
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
Wonderful an welcome job,God bless u 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💪❤️🌞🙏🇰🇪@Kenya.
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
Mashaallah hongera ❤
@hamidakiiza1925
@hamidakiiza1925 3 жыл бұрын
Mfano Mzuri wa kuigwa na Vijana wengine hongera Jackie Mungu akuinue zaidi na zaidi
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 жыл бұрын
Amen Yesu n mwema,Ila mpokee Bwaa Yesu ili uwe tajiri duniani pia update uzima Wa milele,n hasara kupata mamilion ya pesa dunian afu ukamsahau Mungu wako,mhubiri 12:1,maana yote yatapita Ila Mungu n wamilele.hivo mtafte sana Yesu upate yote.
@meckmbilinyi6077
@meckmbilinyi6077 2 жыл бұрын
Umejuaje kama hana yesu?
@harounali9057
@harounali9057 3 жыл бұрын
Hongera sana sana bi mdogo kazi nzuri
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 3 жыл бұрын
Tunahitaji taarifa kama hizi zenye kuelimisha na kutia hamasa kwenye maswala ya utafutaji.
@fatiiofficially7258
@fatiiofficially7258 3 жыл бұрын
taarifa hii inapotosha huyu kiumbe alikua rafk yang sana mara ya kwanz alifany kwa carrymastory kwa vitu ambavy sio vyake tena nasoma nae college kimara na anasoma kozi ya business fupi anafany hivi kupata fame tu anadanga hatar
@emmiesulee4620
@emmiesulee4620 3 жыл бұрын
@@fatiiofficially7258 acha umbea shogaangu😂
@mu-crzymahez9229
@mu-crzymahez9229 3 жыл бұрын
hhhhhhh
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 3 жыл бұрын
Wow smart ameni inspire sana huyu dada God bless her
@emmanuelmwesongo7177
@emmanuelmwesongo7177 3 жыл бұрын
Hongera kwake, Lakini tukumbuke hapo uhalisia ni mradi wa familia na yeye ndio msimamizi mkuu , tusidanganyane kua hapo ni mtaji wake binafs hapana , its a lot of many, ukizingatia yeye ni mwanafunzi wa chuo Swali la msingi alilojisahau mtangazaji je kama ni la kwake binafs mtaji aliupata wapi?
@amrimagambo7902
@amrimagambo7902 3 жыл бұрын
Dada kasema kwamba mtaji ni wa mzee uyu mtangazaji na akili yake fupi anamlazimisha kuwekeza kuwekeza uyo binti ajui chochote hapo asitake kunogesha interview😃
@laurinfred2931
@laurinfred2931 3 жыл бұрын
Hapo umeongea point inshu nimtaji alitafuta kwa jasho alake
@efesosanga3717
@efesosanga3717 3 жыл бұрын
Big up kwako dada!!!!!
@christopherkalema2369
@christopherkalema2369 3 жыл бұрын
Hongera sana dada. Binti mdogo ila mwenye ndoto kubwa. Wazazi tujifunze hapa kuwa hata mtoto anaweza kua na fikra nzuri na ndoto nzuri hivyo tuwasaidie ili wazikanilishe. Pia tunaomba mawasiliano jinsi ya kufika shambani hapo.
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
Sasa humu ndio nafasi ya Ku-comment mno kuliko sehemu ingine hasa kwa Vijana
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Kumbe umeliona eeh
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Aswaah
@user-gq5lo3id6z
@user-gq5lo3id6z 2 ай бұрын
Kabisaaa
@silvestermwakyosi194
@silvestermwakyosi194 3 жыл бұрын
Bonge moja la interview big up Sana Jack
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 3 жыл бұрын
Dah sijui nitumie njia gn kumpongeza huyu mdada coz ameweza pakubwa
@jerrymanyanga6997
@jerrymanyanga6997 3 жыл бұрын
Hapa naona PONGEZI ziende kwa wazazi kwa kumuamini binti yao nankuingiza mmzigo wa maana...harakaharaka hapo IMEINGIA zaidi ya milioni 100....shamba Lina majengo na wataalamu...bila Shaka na matrekta ya kutoshha... hongereni wazazi kwa uthubutu wa kumpatia Jack pesa yote hiyo akaingiae shambani... Jack nitakupa PONGEZI zako BAADAE....kwa Sasa PONGEZI ziende kwa wazazi
@eliachacky7562
@eliachacky7562 3 жыл бұрын
Tanzania inayo takiwa kwa kila mwana nchi ni hi china imefika mbali kwa ajili ya kilimo, MUNGU wa elia tuongoze watanzania🙏🏻
@eliarichard9218
@eliarichard9218 3 жыл бұрын
MUNGU WA Eliya.
@marymamntine1909
@marymamntine1909 3 жыл бұрын
Mungu wa wote
@Martha_andrew
@Martha_andrew 3 жыл бұрын
Waooh♥️hongera saana jacy
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Iko poa sana na capital hapo si ya kitoto! Hongera kuwa na wazazi waelewa pia! Mafao yao wameyatumia vyema
@thobiasngonyan7577
@thobiasngonyan7577 3 жыл бұрын
Hiii
@hadijahamisi7769
@hadijahamisi7769 3 жыл бұрын
Nimependa
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Hongera dada. Mungu akutie nguvu
@mariagorety284
@mariagorety284 3 жыл бұрын
Mungu wangu naipenda sana kaiyo kazi nzuri anaa 😁😁😁😁
@queenbhanji4152
@queenbhanji4152 3 жыл бұрын
hongera japo kuwa ni mradi wa pesa nyingi sana kuanzia eneo na miundombinu yakurun hyo project
@nebethymayunga9901
@nebethymayunga9901 3 жыл бұрын
Kbsa big up MWANA charles
@nebethymayunga9901
@nebethymayunga9901 3 жыл бұрын
Ni mawazo ya kujenga xana ila inahtaj mtaji wa kutosha aisee so poa kbsa
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Mashallah nitafute pesa mie namie nije buni biashara na kilimo
@saidhuma9171
@saidhuma9171 3 жыл бұрын
Sawa tunamsifia lakin angalieni na mtaji alio tumia kuwekeza hapo ni hatar,
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 3 жыл бұрын
kabisa asee
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
Saaana mabilioni yamezama hapo
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 3 жыл бұрын
Bila shaka mzazi wake kamsapoti vzr na nusu!
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 жыл бұрын
Inshu mtajii unapuzungumziaa kuwekeza tuu kwenye nyanya Ukiwaaa miche kuanzia elfu 20 Inatakiwaa uwe na mtaji usiopunguaa 2M na zaidi
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 жыл бұрын
Na shambani ni bahati na Nasibu kupata au kukosa...
@ruthmdamo7661
@ruthmdamo7661 3 жыл бұрын
Hongera sana mrembo
@justinmutabazi7353
@justinmutabazi7353 3 жыл бұрын
Wauuu nice Mutoto mdogo
@manuelsaramba2138
@manuelsaramba2138 Жыл бұрын
Hongera sana dada umechagua kazi nzuri sana Mungu atakusaidia
@powerplus1933
@powerplus1933 3 жыл бұрын
Dada Jacky uko sawa.mola akupe neema ufanye makubwa zaidi .
@kdmongi
@kdmongi 6 ай бұрын
Nimekuwe inspired sana big up ccta jack naomba kupata location na contacts nipate wasaa wa kufika na kujifunza kuhusu kufuga samaki
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 3 жыл бұрын
Hongera sana my nimependa ulichofanya kilimo ni bora sana
@emiliamulaki3600
@emiliamulaki3600 3 жыл бұрын
Hongera sana.
@gladysmaku5609
@gladysmaku5609 3 жыл бұрын
Wow.. nimependa sana hii
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 3 жыл бұрын
Masha Allah ❤❤❤hongera dada
@richardmpuya5379
@richardmpuya5379 3 жыл бұрын
Hongera niependa juhudi zako
@witnekidoti6160
@witnekidoti6160 3 жыл бұрын
Hongera sana jack umenihamasisha sana
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 3 жыл бұрын
Big up jackline 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@gracesamwel1338
@gracesamwel1338 3 жыл бұрын
Wooo Soo amazing congratulations dear
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 3 жыл бұрын
Ivyo vilianzishwa na wazazi wake binti kaongezeya kuboresha mambo flani flani kwa elimu aliyo pata ongera binti nakutakiya mafanikio makubwa zaidi.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 3 жыл бұрын
Big up lady. Haloo you are inspired me
@fathmaoman1186
@fathmaoman1186 2 жыл бұрын
Ma Shaa Allah. Akili kubwa
@justinwarioba7014
@justinwarioba7014 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kazi mikono yako jack
@nasizakayo6374
@nasizakayo6374 3 жыл бұрын
Habar nzur hii hongera sana.
@davidgeorge9324
@davidgeorge9324 Жыл бұрын
Hongera Sana dada Ang Mungu akutienguvu
@cynthiakwizera6069
@cynthiakwizera6069 3 жыл бұрын
Machallha.ongera
@iluminatagilbertlimbumba3999
@iluminatagilbertlimbumba3999 2 жыл бұрын
Wow wow wow! This is amazing ❤️ namba za simu za Jack
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 3 жыл бұрын
Masha Allah
@renaldakyaruzi2017
@renaldakyaruzi2017 3 жыл бұрын
Safi sana
@edwardmark_tz
@edwardmark_tz 3 жыл бұрын
Excellent
@shirazmdimu7615
@shirazmdimu7615 3 жыл бұрын
Nivizuri kama ntapata namba ya Jack na mtaalam wa samaki I am so interested
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 3 жыл бұрын
Safii Sana binti
@evasgosbert3196
@evasgosbert3196 3 жыл бұрын
Very Fantastic idea
@zeliamnyoge7340
@zeliamnyoge7340 3 жыл бұрын
Hongera Dada
@perfectmasawe5870
@perfectmasawe5870 2 жыл бұрын
Hongera sana binti kwa kuonyesha mfano kwa vijana wenzio
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 3 жыл бұрын
Hongera Sana jack
@kanyewest1850
@kanyewest1850 3 жыл бұрын
Tujifunze kitu hapaa❤️
@suzanpatrick9380
@suzanpatrick9380 3 жыл бұрын
Exactly boss
@robertndumbaro2249
@robertndumbaro2249 3 жыл бұрын
aswaaa!
@fabiansemba4572
@fabiansemba4572 3 жыл бұрын
kabisa... boss nnatafuta mbia....karibu tujenge nchi
@abdullaabdullahmpakanjia2336
@abdullaabdullahmpakanjia2336 3 жыл бұрын
Money makes money boss
@zaitunijuma7542
@zaitunijuma7542 3 жыл бұрын
Nahitaji saana elimu ya ufugaji samaki..naomba msaada jamani
@karlmarx6040
@karlmarx6040 3 жыл бұрын
Ingia instagram search page moja inaitwa waloma_kilimo_ufugaji wanatoa elimu hio .
@jackrinjovin9011
@jackrinjovin9011 3 жыл бұрын
Hongela sana jackiy
@owlbig
@owlbig 3 жыл бұрын
I love her❤️🇧🇮😊
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@khalidhamis5811
@khalidhamis5811 3 жыл бұрын
Hongera San ila tu nilichogunduwa unaweza kuwa ulitowa mawazo kwa wazee wako nao ndo wakawekeza maan huo uwekezaji Ni mkubwa San si chini ya M10 au M20 nk so honger San kwa wazaz wako kupokea mawazo yako na kufanyia kazi Hilo Jambo🙋🤔
@sharoombay8997
@sharoombay8997 3 жыл бұрын
Mtaji wa kwanza ni mawazo.
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 3 жыл бұрын
Kila kitu kinawezekana muhimu uanze kidogo kidogo kilimo hakihitaji pesa ya pamoja mkononi baba yangu ni mkulima so hatumii pesa nyingi kwa wakati mmoja wengi mnaogopa kilimo kwasababu mnapiga hesabu ndefu kwa mara moja
@ignaskaruhaweAquaculturist
@ignaskaruhaweAquaculturist 3 жыл бұрын
Mtaji wa kwanza ni wazo, kuhusu gharama halisi kwa kutazama miundombinu ya eneo hilo hiyo milioni 20 zidisha walau mara 20
@tatuta6529
@tatuta6529 3 жыл бұрын
Ongera sana dada upo vizur sana
@vicentmaganga3687
@vicentmaganga3687 3 жыл бұрын
Hela iliyowekezwa hapo ni kubwa sana, sio mchezo. Jack atakuwa ni mtoto wa kishua.
@ELLYSTVONLINE
@ELLYSTVONLINE 3 жыл бұрын
Kwelii kaka
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
Kabisa
@innocentrichard2945
@innocentrichard2945 3 жыл бұрын
"Mimi nlimshauri"
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 3 жыл бұрын
I love such content
@papaambouf5325
@papaambouf5325 3 жыл бұрын
Hongera jack
@esthergasper8086
@esthergasper8086 3 жыл бұрын
hongera sana kwa mawazo mazur
@allansipendi6579
@allansipendi6579 3 жыл бұрын
Mungu awabariki wafanikiwe
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 3 жыл бұрын
Alafu wabongo baadae utawasikia uyo frimasoni Wabongo mbwa Sana😠😠
@m-blnlabenie3138
@m-blnlabenie3138 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jackierama1817
@jackierama1817 3 жыл бұрын
Walah nimecheka
@denismvula6713
@denismvula6713 3 жыл бұрын
😂😂😂
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 3 жыл бұрын
😂😂😃😂😃😂😃😃umeonaee
@irenelenny473
@irenelenny473 3 жыл бұрын
Yani umewaza mbali sana
UFUGAJI WA SAMAKI: MACHINGA ALIYEFANIKIWA KUFUGA SAMAKI
21:35
MREMBO AMESOMA MASTERS MAREKANI ILA ANAUZA MAKANDE MWANZA
18:47
Millard Ayo
Рет қаралды 595 М.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 107 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 119 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 128 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM
29:22
Gangana Info Channel
Рет қаралды 13 М.
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Mbeyainfo TV
Рет қаралды 9 М.
MUUZA SAMAKI MWENYE DEGREE SASA ANA OFISI YA MILIONI 80
10:04
Millard Ayo
Рет қаралды 30 М.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 107 МЛН