MSANII wa KENYA Amtungia RAIS MAGUFULI WIMBO, - "TUNATAMANI ANGEKUA RAIS WETU"

  Рет қаралды 96,299

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

MSANII wa KENYA Amtungia RAIS MAGUFULI WIMBO, - "TUNATAMANI ANGEKUA RAIS WETU"
Mwanamuziki kutoka Kenya amekoshwa na utendaji kazi wa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli hadi kufikia hatua ya kumuandikia wimbo maalumu wa kumpongeza, kusifu na kumtia moyo. Ameeleza matamanio yake ya kuona Rais Magufuli angekuwa Rais wa Kenya.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 466
@bensonkuria6851
@bensonkuria6851 4 жыл бұрын
Am a Kenyan , it's true we need JPM here. Tanzania is my second home.
@martinkipenya4592
@martinkipenya4592 4 жыл бұрын
Karibu tanzania
@gwiya_tz1496
@gwiya_tz1496 4 жыл бұрын
Welcome Tanzania
@maskartedu2422
@maskartedu2422 4 жыл бұрын
We dont want to leave our country We just want Magufuli
@maskartedu2422
@maskartedu2422 4 жыл бұрын
@Change Mindset pia sisi hatukufurahishwa kabisaa lakini usichojua ni kuna inchi bado zaendeshwa na wakoloni Na wanao faidika ni viongozi(ambao ni walafi na wezi) na wakoloni wenyewe sisi wanainchi wa kawaida twathulumiwa kila siku,alafu pale kwa "matusi" ni kejeli tu yaani utani tu shida ni kunao wanajua kutaniana na kuna wapumbavu ambao ata kuongea mbele ya umati hawaezi yaani kwa ufupi hatufanani wote so kama kuna Mkenya alikuhudhi nakuomba msamaa kwa niaba yake coz at the end of the day sisi ni Brothers kabisaa,nikama shuleni ulkua na rafiki na pia kulkua na wale wanafunzi watundu wachokozi so cha muhimu you just don't mind them,
@maskartedu2422
@maskartedu2422 4 жыл бұрын
@Change Mindset i've been a very big fan of Bongo muzik tangu enzi za Saigon,nako2nako,mad ice,kikosi cha mizinga,soggy doggy,misosi,the late ngwea,mr. Nice na wengine wengi so most Kenyans like almost everything about Tz,sasa Juzi JPM alikataa mkopo wakati kwetu waliukimbilia kama kuku wakikimbilia mahindi na sasa hivi hatuna uhakika ziliko hela hizo,mbona tusi tamani kiongozi kama JPM na si Kenya pekee almost every African Nation wants him since him and Malema(s.Africa) are the only pan-Africanist remaining
@fekechempare7510
@fekechempare7510 4 жыл бұрын
"Yani yeye aliweka imani kuliko hata wahubiri", big point from massp to our President JPM........!
@nabiiesterdonald4205
@nabiiesterdonald4205 4 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka .asante kwa kumsifia Rais wetu .JPM chaguo la mungu Mungu tz.
@mariamathman1065
@mariamathman1065 4 жыл бұрын
Umeweza Nabii Ester Donald,asante
@nabiiesterdonald4205
@nabiiesterdonald4205 4 жыл бұрын
@@mariamathman1065 asante pia.
@nabiiesterdonald4205
@nabiiesterdonald4205 4 жыл бұрын
@@emmapaul1766 ,kwani, mzazi wako hajawa bibi mpaka leo .usitukane watu ww,emma paulo maana utahukumiwa kwa maneno yako .na mda si nrefu utaanza kuhangaika kwenye hii dunia .na hayo uliyosema nayarudusha kwako na family yako milele. Amina.
@nabiiesterdonald4205
@nabiiesterdonald4205 4 жыл бұрын
@@emmapaul1766 unikome kwa jina la yesu kristo aliie hai sitaki nazoea na na ww hunijui ckujui achana na mimi,
@nabiiesterdonald4205
@nabiiesterdonald4205 4 жыл бұрын
@@emmapaul1766 kama umeziea kutukanana kwenye mitandao watafute hao ulio waxoea kuwatukana au kuwachamba huna adabu.
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 4 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais Magufuli alimtanguliza Mwenyezi Mungu kwa kwa tatizo la corona.mwenyezi amemsikia.AMINA.
@sophialaurent2876
@sophialaurent2876 4 жыл бұрын
Aki sio uwongo naishi Kenya mim wananchi wengi sana wahuku kenya wanampenda Magufuli sana
@martinkipenya4592
@martinkipenya4592 4 жыл бұрын
Karibuni sana
@valariekundu8124
@valariekundu8124 4 жыл бұрын
Nikiwa hapa mkenya BT rais magufuli nampendana sana
@josephntungiye6232
@josephntungiye6232 4 жыл бұрын
Asante mkenya kwakumpenda rais wetu JPM
@amouramour9712
@amouramour9712 4 жыл бұрын
h
@mohammedomar1371
@mohammedomar1371 4 жыл бұрын
Umesema kweli mm niko nje ya nchi nasoma ila magufuli namkubali na moyo wake angekuwa kwetu kenya ufisadi wauwongozi haungekuwa mola ampemoyo tena wakiislam na mwisho wake awemuislam Amin.kwani itakuwa heri zaidi atakuwa ametimiza vile mola anataka viongozi wawe
@florencekaranja8736
@florencekaranja8736 4 жыл бұрын
mimi pia ni mkenya en it true watanzani ur blessed to hve maghufuli i wish tupate raisi kama yeye
@dantoto9426
@dantoto9426 4 жыл бұрын
Walai Tena Florence mungu atujaalie tupate Rais kama huyu Aki hapa kenya
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 4 жыл бұрын
@Florence Karanja, may your wish come true in Jesus Mighty name!💪🏾
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 жыл бұрын
Mbona mna Kenyatta na ni poa tuu
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 4 жыл бұрын
Asante ndugu yetu mkenya karibu Tz hata kuishi hapa hakuna shida.
@magynzioka1122
@magynzioka1122 4 жыл бұрын
Sio mkenya uyu ni mchsnga wamoshi anaishi taveta ana biashara zaka mika tu
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 4 жыл бұрын
@@magynzioka1122 OK Kumbe! 😁😁
@aminahamis9343
@aminahamis9343 4 жыл бұрын
@@magynzioka1122 hata kiswahili kina julisha juu mkenya anajulikana kiswahili chake kama alikua wa Nairobi.
@norbertkauzeni1324
@norbertkauzeni1324 4 жыл бұрын
Mmmhhh
@brysonkaale7106
@brysonkaale7106 4 жыл бұрын
Huyu ni Mrombo was Mashati,aache maigizo!
@allymusira2153
@allymusira2153 4 жыл бұрын
Lakini kuna baadhi ya wapumbavu hawapendi Rais wetu Mugufuli
@maskartedu2422
@maskartedu2422 4 жыл бұрын
Waambie waje Kenya wata jua mbona wakenya twammezea mate Magufuli
@josephntungiye6232
@josephntungiye6232 4 жыл бұрын
Safi sana nduguyetu mkenya kwakuongea ukweri na uwazi
@roidysimchimba7103
@roidysimchimba7103 4 жыл бұрын
@@zaidatuissa3018 naombea ikifka 2025 watanzaniah tuandamane maguful aendelee na akikataa tugomeee uchaguz
@eyanlenjorin4566
@eyanlenjorin4566 4 жыл бұрын
Ni kawaida kwa binadamu kupendwa na kuchukiwa huo si upumbavu.
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 4 жыл бұрын
TANZANIA KWA KWELI TUNA USTAARABU MKUBWA HILI HALIPINGIKI TUPO VERY FAMILY UKITEMBEA NCHI NYENGINE HILI UTAONA..... SISI TUNAPENDANA NA PIA HATUMDHARAU MGENI HII INATUFANYA TUSIWE NA UBAGUZI..UNAWEZA KUISHI POPOTE WATU WAKAKUPENDA NA KUKUTHAMINI PIA.... we are gifted LAND..... TULITUNZE HILI WATANZANIA WENZANGU....
@benedictorsailon9496
@benedictorsailon9496 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 жыл бұрын
Ni kwa rais tu bali sio kuwa Tanzania ni bora kuliko Kenya, wakenya wachapa kazi wanastahiki rais mchapa kazi na kumaliza hongo
@gracemima5234
@gracemima5234 4 жыл бұрын
Mnyonge munyongeni lakini haki yake mpeni. Rais MAGUFULI kafanya kazi, wanaompiga vita ni wale waliokuwa wakitumia mali za wote kwa manufaa yao wenyewe. MAGUFULI miaka mitano na akimaliza ikiwezakana aongezewe mingine. Tanzania iwe kama Singapore
@danielalphonce1653
@danielalphonce1653 4 жыл бұрын
Sasa mtu usha mnyonga hiyo haki unapaje?
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@maskartedu2422
@maskartedu2422 4 жыл бұрын
Akimaliza muhula wake jameni acheni aje atuongoze Kenya jameni
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 4 жыл бұрын
Wakenya tatizo lenu kila MTU anajikuta mjuaji ,darasa LA kwanza mpaka chuo kikuu,kila mkenya ni mbishi,
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Umemaliza kila kitu.
@buremomussa791
@buremomussa791 4 жыл бұрын
Ni rais pekee Afrika asiyepangiwa mambo yake na nchi za nje
@maskartedu2422
@maskartedu2422 4 жыл бұрын
Bana we!
@depaolo3461
@depaolo3461 4 жыл бұрын
Buremo big up....upo sawa kabisa
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Kabisa
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 жыл бұрын
Mbona Bill gates kaja Tanzania ati hamupangiwi 🤣🤣
@giftmlange3327
@giftmlange3327 4 жыл бұрын
Kabisa rafiki yangu
@zkylieh204
@zkylieh204 4 жыл бұрын
Mimi mwenyewe natani sana jpm angekuwa rais wetu wa Kenya manzee Tanzania kazi tu...mungu amuweke uyu mzee 🙏🙏🙏
@titusandrew6017
@titusandrew6017 4 жыл бұрын
Safi kama mnaona impacts za JPM 😎😎😎
@neemamturi3273
@neemamturi3273 4 жыл бұрын
Kiukweli mwenye macho haambiwi tazama safi sana Kaka hakika Raisi ni mfano wa kuigwa.
@egnomsigwa6061
@egnomsigwa6061 4 жыл бұрын
Hongera sana kijana unaona sana bgp sana jpm oyeeeeeeeee
@jumasaidi8157
@jumasaidi8157 4 жыл бұрын
Safisana kwa kuonekana kuheshimu utendaji wa mhe Rais magufuli
@ngokaomary5123
@ngokaomary5123 4 жыл бұрын
Mfalme magufuli tunakutambua Africa mashariki ...hauna mfano m/mungu akulinde
@abeatech1479
@abeatech1479 4 жыл бұрын
Kijana una akili sana na una macho na unaelevu ,mungu akubariki akupe uhakika wa mahitaji yako tusiyoyajuwa, watu wengine wanajifanya "eti hawaoni "kazi ya magufuri ,ila hivyo hivyo wasione hivyo hivyo kama wanvyokiri wao hawaoni wasione sawa na unafiki wao
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Na hawataona kamwe kazi zake naona ni vipofu
@burudanitv874
@burudanitv874 4 жыл бұрын
😂😂😂 magu afanyi kazi kwa ajili ya vipofu
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 4 жыл бұрын
Mungu ibariki tanzania mbariki magufuli
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
Amina
@stellaj6733
@stellaj6733 4 жыл бұрын
Amen
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 4 жыл бұрын
آمين na AMUONGOZE ktk haki
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
@@wazirikhamisi4828 amina
@monicaopondo3539
@monicaopondo3539 4 жыл бұрын
Ni kweli tunatamani sana Magufuli Angelikua raisi wa Kenya
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 4 жыл бұрын
Mungu awajaalie kumpata kiongozi mzuri kama JPM. Lakini pia, fanyeni uamuzi sahihi wakati wa general election, bila kujali ukabila. All the best.
@zkiduku4068
@zkiduku4068 4 жыл бұрын
Kenya kinacho waponza ni ukabila
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 4 жыл бұрын
@@zkiduku4068 Sasa kama wanaona ni mzuri na wanaukumbatia, wasiulete huku kwetu... Hivi vitendo vya hujuma kwa uchumi wetu (illogically blocking transport activities kwa kisingizio cha corona) hatuwezi kuvikubali kamwe! Kwenye orodha yao ya nchi ambazo watu wake waweza kuingia kwao freely kuna USA (among others) ambayo kwa sasa ndiyo inaongoza duniani kwa wagonjwa wa corona. Halafu eti Watanzania tukienda kwao ni lazima quarantine, hao wazungu wa USA quarantine haiwahusu... Huoni hiyo ni double standard? Na wengine, kama muandishi wao mmoja mjinga anaitwa somebody Mutua wanasema ati tuliwazuia kuleta ujumbe kwenye maombolezo ya Mkapa... Ujinga mtupu! Maana serikali yao wenyewe ilisema kuwa helkopta yao ilirudi kwa sababu ya hitilafu za kiufundi, siyo kwa sababu ilizuiwa na serikali ya Tanzania. Kwa ufupi, serikali ya kenya ni corrupt... Inafanya maamuzi ya kipuuzi ili kuathiri uchumi wetu kwa kutumia corona kama excuse... Sasa tunawaambia wazi, tuko makini mno na sisi si wajinga kama wanavyotudhania... Haka kadhambi ka ubaguzi ni kweli kanaanzia kwenye ukabila. Wakafanye huko kwao, wakikaleta huku kwenye regional affairs, na hasa kuathiri mambo yetu, we will always be there to strongly counter that. Tangu walipoanza kuzuia magari yetu ya utalii yasiende kwao mwaka 2015, likafuata suala la kuzuia malori yetu kwenda kwao mapema mwaka huu na sasa issue ya ndege kwa kisingizio cha corona, kudanganya watalii kuwa Mlima Kilimanjaro uko kenya, na maujinga mengine mengi, yote hayo ni njama tu za kipuuzi... Tunawatazama tu ni nini wanafanya, wakijichanganya tu, tunao... Sisi si watumwa wao kwamba tufanye tu kile wanachotaka wao. Hayo yalikuwa mambo ya zamani... Waache upuuzi...!!! That's a very simple statement they should know. Tufanye biashara kiungwana na kwa kuheshimiana. Dharau (ati wao ni superior than us), ubaguzi, na ubabe wa aina yoyote hatutauvumilia. Watanzania will always stand firm on that.
@zkiduku4068
@zkiduku4068 4 жыл бұрын
@@jamesnteleva7073 hao wajinga hawana tena ujanja Kwanza walikuwaga wanaiba madini yet magufuli kawakomesha kaamua kuwa wekea ukuta wasipite saiv wana angaika t
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 4 жыл бұрын
@@zkiduku4068 umeona eeeh? Wanajaribu sana kutufanya tuonekane wabaya lakini wanachemka cause tuko imara. Mbinu wanazozitumia ni za kijinga na always zina-backfire... Ni serikali corrupt tu inaweza kufanya kama ifanyacho serikali ya kenya.
@elishaishanga3168
@elishaishanga3168 4 жыл бұрын
viva tanzania viva magufuli may God bless you Sir
@rukiamatano7764
@rukiamatano7764 4 жыл бұрын
"Hata Mimi ni mkenya lakini tumempenda magufuli bure ni Rai's wakuaminika mwenye msimamo mungu amlinde ywatamini utu kuliko kitu mungu akulinde Mzee magufuli yes.
@suleymandachi5596
@suleymandachi5596 4 жыл бұрын
JPM anaaminiwa na wengi tuachane na properganda za wapumbavu wasiojitambua
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
Siku ataondoka ndipo tutaanza oooh alikuwaga 🙄
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
Kabisa
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
@@shalomizrael667 ukweli ni kwamba tunampenda Sana jpm sis watz ukiachia mbali wale wanasiasa uchwara na wafuasi wao wachache ambao wala hawatusumbui
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Pamoja
@adamssaid4392
@adamssaid4392 4 жыл бұрын
Kama chadema Hana shukrani
@justinwambua5180
@justinwambua5180 4 жыл бұрын
JPM non tolerance to corruption is one of the things I like about him. People's servant, God bless you. The next election will be a walk over. God bless him
@samuelngigi7062
@samuelngigi7062 4 жыл бұрын
Maghufuli is a true leader with self confidence....lakni kenya twaongozwo na mabrukenge,wakora,selfish pple
@mirynjeri5850
@mirynjeri5850 4 жыл бұрын
Hahaha na walevi na waizi
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Hahaha Uhuru kazi kufungia watu ndani na chakula hawapi
@leonardbihanda7878
@leonardbihanda7878 4 жыл бұрын
Nimekupenda sana ndugu yetu wewe ni mkweli..Karibu sana Tanzania na Mungu akubariki na kukulinda.
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 4 жыл бұрын
tundu lisu umemsikia huyo mkenya anavyomkubali rais wa tanzania we tundu lisu ni mjinga mpumbavu kila kitu unapinga wakala wa mabeberu umekuwa shoga wa wazungu rudi ulaya atukutaki tz tundu bovu
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 4 жыл бұрын
Tundulisu hawezi kuwa raisi ni shoga yule
@fernandedpiter3035
@fernandedpiter3035 4 жыл бұрын
Huna akili wew mungu akusamehe
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 4 жыл бұрын
@@ringoaskali7625 , .shoga ww
@kanuteduwe4657
@kanuteduwe4657 4 жыл бұрын
Tundu Lissu hapa anaingiaje? Kwani unadhani Mungu ameuumba Magufuli tu ndiye mwenye uwezo? Huo ni umaskini wa mawazo!
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 4 жыл бұрын
Kweli Mungu hajamuumba Magufuli peke Yake lakini you can't compare Magufuli na Lisu!....lisu Hana historia yoyote ya maendeleo tunayoweza kuiangalia ili tuweze kumlinganisha na Mag u...lisu ni Maneno mengi tu na blablaa....lakini MBA ya zaidi ameonekana kuwa kipenzi cha wakoloni na hiyo ni hatari kwetu
@nickyfranchesco5611
@nickyfranchesco5611 4 жыл бұрын
Kenya tungepata Magufuli haa ufisadi ingekuwa hadithi ya kitambo Magufuli anachapa kazi kweli kweli,huku viongozi wa kenya ni burukenge tuu!!
@danielyalla126
@danielyalla126 4 жыл бұрын
Mimi ni mkenya bt nampenda Sana sana rais John Pombe Maghufuli
@wanjiruwathuo3643
@wanjiruwathuo3643 4 жыл бұрын
JJPM Wakenya Twakuenzi....Hongera Rais Mungu Akunjalie Maisha Mema.
@maskartedu2422
@maskartedu2422 4 жыл бұрын
Na ni kweli kwanza hapo kwa Covid na Kukataa mkopo(instead he asked them to forgive the previous one)aaah I personally i saluted him kabisa,Twamtamani si siri,mkopo wetu hatujui ulikoenda
@fredysanga5764
@fredysanga5764 4 жыл бұрын
Iv n habari za kweli kama wenzetu wakenye mmebakiwa na ardhi ndogo sana mfano wa uwanja wa mpira afu nyingine yote mmekopea mkopo kwa mchina??
@maskartedu2422
@maskartedu2422 4 жыл бұрын
@@fredysanga5764 hahaha mchina ni Deni mkoloni ndo alinyakua vipande vya ardhi aswa maeneo yenye dhoruba shwari na katuachia mifupa till today bana
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 4 жыл бұрын
@@maskartedu2422 poleni sana...sehemu kubwa ya ardhi yenu inamilikiwa na wachache...mlevi uhuru na familia yake wakiwa miongoni mwao...hili ni tatizo kubwa, among many others. Huku kwetu mimi naweza kumiliki ardhi popote, ilmradi nifuate sheria zilizopo tu.
@francavantini9098
@francavantini9098 4 жыл бұрын
Wa kenya tunachukulia Poa sana kizuri ni kisifiwe . Kenya nporojo tu
@samwellwiza5339
@samwellwiza5339 4 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Jirani yangu
@explicit4life65
@explicit4life65 4 жыл бұрын
I’m from Kenya, magufuli the best
@mukenuzimakanda1114
@mukenuzimakanda1114 4 жыл бұрын
Siyo wa Kenya tu wanaomtamani Pombe Magufuli kuwa rats wao, hata sisi DR Congo tunamtaman na kama ingewezekana wa Tanzania munge tuazima naye kwa mda wa myaka kumi.
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Aisee Congo ingekuwa km America na hivi mna madini mengi
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 4 жыл бұрын
SASA NCHI ZA WENZETU WANAONA KAZI ZA MAGUFURI MPK WANAMPONGEZA HALI YAKUWA SIO RAIS WAO SASA WW MTANZANIA UNAJIFANYA UONI KAZI ZA MAGUFURI SHENZI AYA KAMA SIO KIPOFU LIKE KWA MAGUFURI
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Ni vipofu na viziwi
@isackhassan6551
@isackhassan6551 4 жыл бұрын
Au ndo maana ya ule usemi nabii hakubaliki kwao
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 4 жыл бұрын
@@isackhassan6551 Machawi ya maendeleo
@nickyfranchesco5611
@nickyfranchesco5611 4 жыл бұрын
@Waziri Khamisi mi mkenya Na Magufuli ni Rais bora Afrika,Magufuli anafanya kazi bora zaidi👍
@angelamarlow510
@angelamarlow510 4 жыл бұрын
👏
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Mm natamani kitokee kitu cha a jabu Africa TUUNGANE alafu tuchague magufuli awe ndio Rais wa Africa nzima ili akatuchukulie fidia za babu zetu huko EE mungu tusaidie Africa uwe ndio wakati wetu wakufanikiwa
@chrisogonvulstan3527
@chrisogonvulstan3527 4 жыл бұрын
hahahaaa kweli aiseee
@nehemiaisakwisa8604
@nehemiaisakwisa8604 4 жыл бұрын
Hahahaaaa unaongea kwa uchungu hadi nakubali
@Mike-yg7pb
@Mike-yg7pb 4 жыл бұрын
Hahahaha umewaza mbali sana Safi sana,
@emmanuelhongoa9574
@emmanuelhongoa9574 4 жыл бұрын
Tanzania inabid tulime chakula king tuwakopeshe serikali inunue tuwakopeshe wafrica wenzetu itakua rahis kuungana nao tz tuchape kazi
@sistajeremiakalinga5436
@sistajeremiakalinga5436 4 жыл бұрын
Jenny umenifulshisha kweli duu
@japhetdaud3781
@japhetdaud3781 4 жыл бұрын
Magufuli 💪 ni tunu, Africa 🙋🙋💯🇹🇿
@ombennassary7438
@ombennassary7438 4 жыл бұрын
Magufuli hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@fatumaomy4858
@fatumaomy4858 4 жыл бұрын
Oyeeeeeeeeeee👏👏
@charlesotwalo9335
@charlesotwalo9335 4 жыл бұрын
Hongera sana Msanii kutoka Nchi Kenya kwa kuonyesha uzalendo katika Taifa letu la Tanzania. Mungu azidi kumlinda Rais wetu jpm siku zote.
@mohammedkiraan1486
@mohammedkiraan1486 4 жыл бұрын
Sio wa Kenya tu majirani wengi watamani awe rasi wa nchi zao
@naslee1010
@naslee1010 4 жыл бұрын
Ndugu yangu Mkenya We Ni Ndugu Yetu Wakenya Wote Ndugu Zetu Karibuni Home Tz.🇹🇿🇰🇪
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 жыл бұрын
Ukweli kazi inaonekana..tena kwenye corona Raisi ameinua imani ya watu wengi kwa Mungu.
@cesiliamajii
@cesiliamajii 4 жыл бұрын
Mungu akulinde sana baba yetu Magufuli Sifa na utukufu mrudishie Mungu
@missmwayway4704
@missmwayway4704 4 жыл бұрын
Ahsant xana ndugu yetu 👍
@silyadamian5708
@silyadamian5708 4 жыл бұрын
Kelele ya kwanza kwa Magu ake "weee, kelele ya pili kwa John ake " weeeee,kelele ya tatu kwa Pombe yake "weeeeeeeeeeeeeeeeee.
@fatumaomy4858
@fatumaomy4858 4 жыл бұрын
😄😄weweeeeeeeeee magu yuko juu juu zaidiii..penda sana raisi wetu💓💓
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Weeweeeee
@sistajeremiakalinga5436
@sistajeremiakalinga5436 4 жыл бұрын
Wambieeee kelele ya 5 kwa John wake weeee kelele 6 kwa pombe yake weeeeeee duu nimeipenda saaana
@barakamollel9122
@barakamollel9122 4 жыл бұрын
Asante Kaka Karibu Tanzania Nchi Ya Amani
@clementiddi6244
@clementiddi6244 4 жыл бұрын
Watanzania sisi wastaarabu sana kwa wageni yaani huoni tofauti yoyote, kudos watz tuendeleze utamaduni huu
@nahime9907
@nahime9907 4 жыл бұрын
Magu ni rais ambapo wengi wamarais wanatakiwa waige mfano wake...he's a president and a half...period
@MWEENEPLAN
@MWEENEPLAN 4 жыл бұрын
Rais magufuli sir mungu akulinde uongoze TZ milele I admire your leadership sir
@carrenchigulu5712
@carrenchigulu5712 4 жыл бұрын
Kenya ingekua na JPM wafisadi wote wangekua jela
@sudeshmamtaz4429
@sudeshmamtaz4429 4 жыл бұрын
Hata mimi napenda sana magufuli angekua Kenya aki tungekua tuko mbali sana
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 4 жыл бұрын
Wewe jamaa umeongea true kabisa
@sabrinaislam4200
@sabrinaislam4200 4 жыл бұрын
Sisi tunataka akae milele rais wtu
@rosemongi5273
@rosemongi5273 4 жыл бұрын
Safi kabisa brother kwa sababu unasema ukweli Kama rais wetu ,rais wetu ni mkweli na ukitaka kuelewana nae uwe mkweli ,mchapakazi na umwamini mungu.
@SalmaSalma-nb2cv
@SalmaSalma-nb2cv 4 жыл бұрын
We mungu akilinde mana viongozi wa Africa hawapend kuambiwa ukwel
@mohammedkimanga8960
@mohammedkimanga8960 4 жыл бұрын
Allahuma ameen ya rabbali alameen
@alimarezi7543
@alimarezi7543 4 жыл бұрын
Mimi nmkenya huku kwetu tuna mtambua magufuli kuliko huyu wetu
@seadogs4460
@seadogs4460 4 жыл бұрын
Tunataka sana awe rais wa kenya
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Mungu Akulinde sana Rais wetu. Watanzania Wajifunze sasa.wao wako Tanzania wanajifanya Awaoni Anachofanya Rais Magufuli.Watu walio mbali na Tanzania Wanaona Vinavyofanyika.Mungu Akulinde sana Rais wetu Magufuli Akupe Afya njema Wewe Nafamilia yako na Viongozi Unaowaongoza Awape Busara zakutuongoza zaidi In sha Allah Allah Atufanyie wepesi sote
@mohammedkimanga8960
@mohammedkimanga8960 4 жыл бұрын
Allahuma ameen ya rabbali alameen
@rehemafungo5042
@rehemafungo5042 4 жыл бұрын
Asante kwa kusema ukweli kuhusu tz.Mungu akutie nguvu
@samuelwanjiru1353
@samuelwanjiru1353 4 жыл бұрын
Rais waajabu dunia mzima nakupenda Mheshimiwa Rais Maghubuli
@mankialema6490
@mankialema6490 4 жыл бұрын
Ukweli haujifichi ,Magufuli Ni jembeee Hao wenye uchu wa madaraka wajipange Sana watuachie JPM wetu amalize miaka yake Murano amalize awamu yake ya pili kwa amani
@kennedykibuci5355
@kennedykibuci5355 4 жыл бұрын
Mimi mkenya JPM is the man one of the fine days nahamia tz
@thomasmarende2445
@thomasmarende2445 4 жыл бұрын
Mm nimkenya but navumilia kuwa mkenya c kujivunia
@emanuelmlay9084
@emanuelmlay9084 4 жыл бұрын
😂😂😂😂pole broo karbu Tz hakuna matata
@noemipius1574
@noemipius1574 4 жыл бұрын
Mimi ni mkenya huku Madrid. Hakika ni rais ya nguvu. Japo niko na wana Tz hapa ambao hawampendi pombe maghufuli. Wao utoka kule kilimanjaro. I love and support maghufuli asili mia.
@dr.erickjmazyala8905
@dr.erickjmazyala8905 4 жыл бұрын
Waambie wahuni wanaojiita watanzania na bado wanampiga vita rais wetu mpendwa Magufuli! Mungu azidi kumbariki, kumlinda, na kumuongoza rais wetu pendwa Mh. Dr. JJP Magufuli na serikali yote ya awamu hii ya Tano! Mungu azidi ibariki Tanzania.
@mariamathman1065
@mariamathman1065 4 жыл бұрын
Safi sana
@shau78
@shau78 4 жыл бұрын
mimi nafurahia kuwa mTZ. Mungu ametuinulia baba. sio raisi. kwangu mimi Magufuli ni baba. kwa sababu anaipenda Tanzania. anatupenda waTanzania. tumpe support. tuache siasa
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 4 жыл бұрын
Hongera brother kutoka Kenya....upo vizuri sana....
@bobwanjala1401
@bobwanjala1401 4 жыл бұрын
Mimi pia ni mkenya na nina hakika wakenya tunapenda Magufuli sana sana. Hasa kwa upande ya maendeleo, hususan rushwa kuondoshwa katika mashirika za serikali kule Tanzania. Kenya tumechoka na rushwa na wizi ya mashamba. Rais Uhuru hana haja ya kushughulikia masuala ya kukomesha umiliki pandya ya mashamba za umma. Hata kwangu binafsi nitahamia Arusha mwaka ujao(2021).
@sameermilo2492
@sameermilo2492 4 жыл бұрын
Magufuli Jembe 🇹🇿💯💪🏼 . Proud of my President ❤️
@sallymartim2668
@sallymartim2668 4 жыл бұрын
We love him sure,God bless him with God protection
@thomasmarende2445
@thomasmarende2445 4 жыл бұрын
Watz twapenda sana,hata mm kama mkenya hutamani ku tourist tz but twapata upizani kutoka serekalini.pia watz mamuzi yakitokia sekalini msidhani cc tunasupport la hasha,nwafa mwelewe tuko tofauti kuna wenye walisupport mweshimiwa raila lakin kura kaibiwa,kwaivo wengine twavumilia c kujivunia kenya
@williamjulius5981
@williamjulius5981 4 жыл бұрын
Makufuli angekuwa raisi wa Africa mashariki ingekuwa poa sana East Africa ingekuwa ulaya
@shamreenkhaemba3674
@shamreenkhaemba3674 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭woooi wakenya ni wapi tulikosea .tukapata kiongozi kama huyu tuko naye saa hii.may God hear our cry
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 4 жыл бұрын
He hears... Just repent and vote wisely... I believe you guys have the righteous people there.
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 4 жыл бұрын
ukweli ata mimi ni mkenya sisi tunatamani jpm sana dar,,,.
@sylvestermaweu75
@sylvestermaweu75 4 жыл бұрын
nampenda sana magufuli na mie mkenya
@maskartedu2422
@maskartedu2422 4 жыл бұрын
Imagine Rais anakataa mkopo tupeeni Magufuli ata kama ni miaka mitano tu jameni
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 4 жыл бұрын
We love U Kenyani dada na kaka zetu. We love Magufuli our president. Mungu amlinde. Tunawaombea Kenyani mpite salama na mjaliwe kupata uongozi mzuri uchaguzi ujao
@kibefrancisjungle456
@kibefrancisjungle456 3 жыл бұрын
Kweli pia mm natamani kuwa mtazania ningeliweza waa ningelikuwa,rais wakipekee pia mpeda mungu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 жыл бұрын
The only thing i would request of Mh.Magufuli Rais wetu ni ELIMU. Sir, please tunaomba uongee na Waziri wako wa Elimu achangamkee- waalimu wetu quality imeshukaa
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 жыл бұрын
Viva jpm viva
@abdalahfarida2074
@abdalahfarida2074 4 жыл бұрын
Sasa shida viongozi wenu wa Kenya hawataki kufungua mipaka wanasingizia COVID19.
@salomemlagila5757
@salomemlagila5757 4 жыл бұрын
Thank you so much for appreciation
@ezekielmburu3418
@ezekielmburu3418 4 жыл бұрын
In Kenya magufuli can be elected a councilor. We dont like dictators
@baidyniak3488
@baidyniak3488 4 жыл бұрын
Nyimbo iko wapi Mbona nimetafuta KZfaq hamna?
@rwenji22
@rwenji22 4 жыл бұрын
Nawaonya waTanzania kwa ukali mwingi: msiringe na JPM wenu au tutawasilisha hoja katika Bunge la Afrika Mashariki kila rais awe anazunguka mataifa yote ya Afrika Mashariki kama rais. Tutahakikisha JPM anatua Kenya na Kenya Airways.
@princesstatiana1235
@princesstatiana1235 4 жыл бұрын
Ii 😂
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Hahahaha aisee we jamaa umenichekesha kinoma
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 4 жыл бұрын
@Duncan Muchina, hebu usinivunje mbavu zangu...😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kwa kweli ingekuwa hivyo, tungewapa JPM hata kwa term moja tu, then mturudishie jembe letu. All the best majirani... Hope next election hamtafanya makosa cause I believe you have your own JPMs there.
@rwenji22
@rwenji22 4 жыл бұрын
James Nteleva, ahsante sana kwa heri njema ndugu jirani. Nia tunayo, maJPM tunao lakini siasa zetu!....tuachie hapo kwa sasa. Rais mchapa kazi JPM mungu ambariki. Tanzania ikisonga mbele ni vizuri kwetu pia huku Kenya. Afrika Mashariki hoyee!
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 4 жыл бұрын
@@rwenji22 Hoyeeeee!!!💪🏾 Rightly noted. We wish you guys all the best!👍🏾
@elinahmkandoe3429
@elinahmkandoe3429 4 жыл бұрын
Even In Canada we needJPMMagufuli as per to love God respect God and respect other religion and fearing God Putting God first freedom of worship is needed here as Magufuli challenged Corona and its creators by standing firm with God. We love you Magufuli don’t listen to Lusso and his Mdomo kaya. Lusso anawivu. Kenya we need him to trade powers with Kenyatta for only 5years Kenya Will be better. I pray for Magufuli stay strong and God protection. Umasikini utaisha Tanzania.
@tridon2731
@tridon2731 4 жыл бұрын
I know this guy....
@magynzioka1122
@magynzioka1122 4 жыл бұрын
Sio mkenya ni mtaveta kutoka moshi kabila la mchanga
@jonaslaiser6273
@jonaslaiser6273 4 жыл бұрын
Well come tz tuko kenya bt Kuno rushwa nyingi
@tonymaish3369
@tonymaish3369 4 жыл бұрын
Ee ni kweli kabisa tungetamani Sana awe Rais wetu apa Kenya %. Anakubalika Sana.
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 жыл бұрын
Tupelekee ujumbe Kenya kuwa Tanzania hakuna Corona maana kuna watu wanasambaza taarifa za uongo.
@HASASON
@HASASON 4 жыл бұрын
Ili iweje sasa?
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 4 жыл бұрын
Teh haya mambo lazima yanamuumiza Kenyatta 😄wakenya aksanteni kwa sifa njema, ila angalieni msituchonganishie marais wetu
@thomasmarende2445
@thomasmarende2445 4 жыл бұрын
Kaseha ,uchonganishi ulikueko hata wakati wa nyerere na mzee jomo,haita azaa sai. Cc ka wakenya tuko na machungu sana kwa sababu uchumi wetu wakati wa rais kibaki ulikuwa juu sana,baada ya yy kutoka uchumi umerudi chini,sasa 2022 ka karibia but uchumi ndio iyo yazidi kuporomoka ,ufisadi usiku na mchana,wacha jpm apewe sifa baba,pia ww nakuonea jicho la umbali
@thomasmarende2445
@thomasmarende2445 4 жыл бұрын
Sai twahambiwa kuna ufisadi mkubwa katika hela za kusaidia watu wakorona,xo kenya hata hii corona viogozi wanafaidika ,jpm angemaliza huu curromption.
@thomasmarende2445
@thomasmarende2445 4 жыл бұрын
Kenyatta wacha aumie ,pia hauna hufamu kuwa kura kaibiwa 2017?kenya ni jina tu rais tu but hatuna imani.sai uchumi wetu mubaya kwasababu ya siasa mbaya mchezo mchafu
@anithashembilu7732
@anithashembilu7732 4 жыл бұрын
Nchi nyigi za Afrika zinampenda raisi wetu. Mungu akutangulie Rais wetu J.P.M.
@mathayombwambo5071
@mathayombwambo5071 4 жыл бұрын
Inapendeza kupata raisi mwema anaye mcha mungu Kama makufuli,shalom,
@florashauri9228
@florashauri9228 4 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏
@mastajabudekula4828
@mastajabudekula4828 4 жыл бұрын
Mimi nimukongo ila DR JPM kiboko.congo tunge pata Rais Kama John pombe magufuli Congo tunge kuwa vizuri.kizuri chajiuza baba.
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Kweli baba karibu Tanzania
@mwambodzemwangongo3884
@mwambodzemwangongo3884 4 жыл бұрын
Namkubali magufuli..na msanii wetu pia..mm natoka kenya
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 4 жыл бұрын
Kweli kabisa Wakenya sio waungwqna yaani huwezi omba hata maji Kama hawakujui nmekuwa huko mmmmmmh nilitamani kurudi home
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 4 жыл бұрын
We unachuki binafsi ,na si kweli ulinyimwa maji.Popote pale wapo watu wazuri na wabaya .ukiongelea swala la nchi raia wa kawaida awe mtanzania au mkenya hawana tatizo tatizo lipo tu kwa viongozi wanaotanguliza maslahi yao mbele.Ongea lingine
@mkemiamagege8477
@mkemiamagege8477 4 жыл бұрын
Presenter unasherehesha sana hata wingi wa mikono kuzidi kwaya Master.
@omariswafuru9399
@omariswafuru9399 3 жыл бұрын
Hata mimi raiya mfanransa kutoka RDC natamani Raïsi JP Mugufuli awe Raïsi wa Kongo.Vive La Tanzanie,Vive Le Président le plus aimé de l'Afrique Muheshimiwa John Pombe Joseph MAGUFULI mwenye kutupatia raha sana moyoni.Aksanti sana Tanzania kwakumuzala bwana mkubwa huyo JPM.....
@hyilnematangi768
@hyilnematangi768 4 жыл бұрын
Kenya we have no discrimination but tz ni kujipendekeza tu lakini mgala mvue na haki umpe.
@samuelwanjiru1353
@samuelwanjiru1353 4 жыл бұрын
Twa mtamani cha ukweli Rais Maghubuli
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 111 МЛН
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 15 МЛН
Curve Goals That SHOCKED The World
5:35
iLance7i
Рет қаралды 42 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 431 М.
VIDEO YA MAKONDA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE ARUSHA
2:20
masta tz
Рет қаралды 6 М.
Самая крепкая лысина в мире😁
0:30
EpicShortsRussia
Рет қаралды 2 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
0:20
Chapitosiki
Рет қаралды 2,5 МЛН
#starman #superman #viral #shorts
0:28
Starmaan
Рет қаралды 34 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
0:34
Micky Makeover
Рет қаралды 9 МЛН