MashaAllah sheikh Walid kunakitu chapekee Allah kakupa balagha, falsafaa sheikh unatunu nyingi sana Allah akihifadh inshaAllah
@ishaantitus73692 жыл бұрын
you prolly dont give a shit but does someone know of a method to log back into an Instagram account..? I stupidly forgot the password. I would love any tricks you can offer me.
@SaidiSelemani-o9y5 күн бұрын
Sheikh walid MashaAllah Allah aendelee kukuhifadhi napenda sana darsa lako
@yussuflucas70493 жыл бұрын
Masha Allah shukran Sana sheikh (Allah) akulipe kheri na akulinde nakila aina ya shari, na akujaalie umri mrefu wenye kheri nyingi na barka tele...!!!!
@mfaumekindamba86343 жыл бұрын
Maashaallah M/mungu azidi kukusimamia sheikh bin sheikh tuzidi kustafidi inshaallah
@jumaamsuya510 ай бұрын
Mashekhe allaah awalinde nawapenda sanaa
@rashidisalimu2222 Жыл бұрын
Maashaallaah swali zuri na limepata majibu yenyekujitosheleza na yanayo eleweka alla akuzidishie kheri shekh walid
@sophianyangalio37963 жыл бұрын
MashaaAllah Mwenyez Mungu azidi kuwalinda na kuwapa maisha marefu masheikh na waislam wote
@hajimnubi4581 Жыл бұрын
Vipande vifupi kama hivi vya masheikh kustukizana kuulizana maswali muhimu kwa faida ya waumin viendelezwe..shukran sheik mziwanda kwa ubunifu
@bugybuster5788 Жыл бұрын
Nakupendaga sanaa shekh wangu unautuliv sana ktk mazungumzo yako
@aminamkumba3549 Жыл бұрын
Mashaa Allah, tumepata sheikh lkn pia mwalimu, anafundisha vzr sana
@fadhilplatnumz8474 Жыл бұрын
Shekhe yuko vizuri sana 👍 Kiongoz wetu wakiislam ktk Jijikuu Tanzania nimekukubali Mkuu kwanza uongeaji niwaki Heshma kwakilamtu Mdogo naMkubwa 🙏🙏👍
Ma shaa allah sheikh mungu akuzidishie elimu na akuruzuku fahamu
@fatuma3969 Жыл бұрын
Maashaaallh allh akulipe Kila lakher darasa nzuri sana nimejifuuza mengi
@jumakhamis226 Жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh
@sammoses7479 Жыл бұрын
Masha Allah, m/mungu akusimamie she wamkoa. Kwanasaha zako izoizo. Zenye haki
@ZainabHassan-hz4no18 күн бұрын
Alla akupe bararaka nyingi apenda mafundisho unayotoa
@FatimaFatima-wz2qt Жыл бұрын
Mashalla shekhe Alla akupe umri mrefu inshaalla
@ramlazubery1682 Жыл бұрын
MASHAALLAH. ALLAH KARIM. AKUTANGULIE KATIKA KILA JAMBO INSHAALLAH
@nurudinmaede5936 Жыл бұрын
Maaashaallah 🙏♥️
@ramsofundi22223 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
Alhamdulillah.
@nomamatata754 Жыл бұрын
Mi mkristo lakini sheikh wa mkoa( kwa sasa) amejibu swali la sheikh mziwanda vizuri sana tena kwa utulivu sana.....kuna mengi nakubaliana nae .......afaa kuwa kiongozi mbele za watu pasipo kumhukumu kwa ubinafsi wake.....kila mtu ana mapungufu.......
@aliamoursaid2581 Жыл бұрын
Alhamdulillah Allah amzidishie utulivu
@hashtagdarling47383 жыл бұрын
Masha Allah
@fatemaoman79482 жыл бұрын
Barakallwahu fiik
@issagawai33403 жыл бұрын
mashaaallh
@athumanikhamisi33772 жыл бұрын
ماشاءالله
@dezainermedia10352 жыл бұрын
Machallah
@dhamirkhamis90733 жыл бұрын
Mashallah
@saidabubakari7560 Жыл бұрын
Maashallah
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Wanasema wamesharibiwa na mfumo/mpangomkakati (mission) uloasisiwa na Wamishionari kwa kupachika Demokrasia (haki sawa). Wanawake wamekuwa hawatulii majumbani wamekuwa wajasiriamali hivyo hawana muda (hawataki) wa kuolewa wanaona kuolewa ni utumwa/kupitwa na wakti.
@aminajuma14352 жыл бұрын
Lakini ukichunguza kwa undani hiyosababu chanzochake niwanaume ndowamepelekea wanawake kujiwekahivyo… wanaume wameumbwa kuwa viongozi lakini wengiwao hawajui wajibuwao kwenyehuo uongozi… naukizingatia kunaupungufu mkubwa wa elimu yadini ndomana inapelekea wanawake piakuwahivyo.
@awadhtamla6989 Жыл бұрын
Mashallaah
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Mungu katuokoa na mengi kutuletea huyu walid jamani tuna muomba awe anatoa darsa kwa sana
@omarykyutta66813 жыл бұрын
My sheikh
@danielshekiyao706 Жыл бұрын
Mimi SI muislamu ila huyu shehe Yuko vizuri
@hamiddikupatile9055 Жыл бұрын
Dakika ya 9 mashAllah
@nabiljumbe3 жыл бұрын
Mashaallah
@aminaibrahim41483 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe umri mzur shkh Warid
@mohamediliyele1523 Жыл бұрын
ma shahalaa
@thakibuiddi18573 жыл бұрын
Hii hadhara inamashekhe wengi kuliko wanafunzi
@mfaumehassan3816 Жыл бұрын
Allah akbar
@fatmazena88863 жыл бұрын
Ma Shaa Allah...sirudiiii
@umarbakar16943 жыл бұрын
Hurudii nini dada...
@fatmazena88863 жыл бұрын
@@umarbakar1694 nimeufuata tu usemi wa shekh pale aliposema sirudii
@fatmarashid1843 Жыл бұрын
Mabruk walld
@safiaothman5175 Жыл бұрын
Ndoa ni Ibada.
@umarbakar16943 жыл бұрын
Assalaam 'alaykum... Samahani naomba darsa ya arbaiina nawawiy kama ipo clip yake naomba nielekezwe nipate kustafidi. Jazaakumullahu khairan wao'afwa minkum.
@ebrahimosman54772 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@thakibuiddi18573 жыл бұрын
Namuona shekhe muhamadi suluta kwambali
@halimaally623 Жыл бұрын
Mwenyezimungu akupe afya njema umri mlefu wenye manufaa kwetu sote
Kasema mwanamme anavichwa viwili kimoja kipi sijaelewa kidogo
@idrisatarawe7305 Жыл бұрын
Cha juu na cha chini
@bernadj.6924 Жыл бұрын
Dawaaa
@pachawadoto5911 Жыл бұрын
Mtuliiivu mwenyewe kajituliza...
@user-ib7kx9dc5m6 ай бұрын
Kweli nilikuwa niki ona ndevu na kanzu nikajuwa huu ndio usilam kumbe hapana elim na uelewa huo ndio usilam wewe unae sema vibaya juu ya majibu ya waridi utakali mwisho waoko itaqllaha
@omanimujsa97563 жыл бұрын
Wawkwanza
@khdigahk42463 жыл бұрын
Allah akbar 😀😀😀apo kwenye vichwa uspoludia 😃😃😃😃
@zuberikamote20783 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@zuberikamote20783 жыл бұрын
Unatabu weeeeew🤣🤣🤣🤣
@zuberikamote20783 жыл бұрын
Huyu shekhe anaelmu kubwa kuliko mashekhe wengne kasoma kenya kasoma tanga shamsi maarif kasoma Misri Kasoma makka
@saloomidd10843 жыл бұрын
Namuonaga huyu Sheikh ana elimu nyingi sana na hatumii jazba anapoeleza au kufafanua jambo
@ogenylaurent79613 жыл бұрын
ELIMU BAHARI NA ELIMU ANAYO LAKINI SIO KUSEMA KULIKO MASHEIKH WOTE
@kesslycompanyltd3 жыл бұрын
@@ogenylaurent7961 swadakta
@kesslycompanyltd3 жыл бұрын
Wapo walio mzid wajuwa elim kama ni bahar na pana
@joharindaro30753 жыл бұрын
Ulisema shamsul maarifa unanikumbusha mbali toka shamsia
@feisalfaraj442 жыл бұрын
ukosahihi
@allykasa61853 жыл бұрын
Kipenzi changu
@AllyASalum3 жыл бұрын
Mimi huyu kipenzi changu zaidi...Maashaallah. Allah ampe umri mrefu zaidi wenye manfa'a. Aamiin
@halimamkangama49662 жыл бұрын
Mimi pia
@joharindaro30753 жыл бұрын
Sirudii 😅😅😅😅😅
@adiashekidee Жыл бұрын
Sheish walidi uko vizuli sheish yakubu ana kupa hai
@shadhirimaalim9739 Жыл бұрын
KAZI ya kusifiyana Tu elimu chache Sana someni jamaa zetu
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Munge weka mdahalo kwa nini waislam wa tanzania bara wakifikwa na tatizo huwenda kanisani kuombewa na mapatri na huko huambiwa mwanzo wakubali kama yesu ni mungu ndio watapona .sio muhoji maswali kama hayo ya matamanio ya dunia wakati waislam wanaharibikiwa wapo wanga . Wanafuga misukule na wanavaa nguo za uchi . Hayo kuowa ndio jambo la kimaumbile . Hayo mengine ndio muhimu
@farijala13 жыл бұрын
Kwahiyo suala la Ndoa ni matamanio na sio Ibada? Ungefikiria kabla ya Kuandika. Na kongamano hilo lilikuwa na mada tofauti. Sasa unataka mada izungumze Kulingana na Unavyotaaka wewe. Taadab .
@shenjamamzingi79503 жыл бұрын
Wewe umefanya au umechukua hatua gani kutokana na hilo,Dini ni yetu sote si Masheikh peke yao
@zamdinkilala87903 жыл бұрын
Hayo wafanye wewe wao wakifanya hiki nawewe fanya kile
@zuberikamote20783 жыл бұрын
Imani yke kwenye Dini yke ndogo naukiona mtu anafanya hvyo ukimchunguza Hana elmu ya dini 😳😳
@yusufudongote64403 жыл бұрын
ALLAH akusamehe usione uislam wakwako pekee yako Ammiii.
@wazirikhamisi48283 жыл бұрын
Kweli usufi BIDAA ni mzigo Aya kibao zenye kuzungumzia ndoa unasoma Aya hiyo aiendani na maudhuu uliyo ulizwa
@allyally51563 жыл бұрын
Tatizo la maanswari ndo hili kujiona wanajua sana ,hivi utapamba na walidi ?au unafikiri unayo waza wewe walidi anashindwa? nye ndo mnazidi kuzoofisha uisilamu
@uledihassan60653 жыл бұрын
Wewe ni jahili upeo wako wa maarifa ni mdogo, endelea kukariri maoni ya akina Uthaimini
@uledihassan60653 жыл бұрын
@@allyally5156 majaahili hao
@abuuswafwan5275 Жыл бұрын
Hawa akina waziri ni Vibaraka wa Mayahudi wanautumikia ukafiri ndani ya UISLAM huku wakijua kma C,hakki
@wazirikhamisi48283 жыл бұрын
Ujinga mzigo wallahi Allah ATUONGOZE ktk HAQ ktk sunna
@uledihassan60653 жыл бұрын
Mjinga wewe unaekariri mawazo ya akina Uthaimini kububusa
@mohamedhaji2200 Жыл бұрын
Ujinga upi sheikh. Tupe faida
@allycomm15532 ай бұрын
ACHENI UJINGA KUKAA NA KUSIFIA MASHEKHE WA KIBIDAA