Biashara ya mbwa ilivyobadili maisha ya kijana wa Tanzania

  Рет қаралды 16,981

BBC News Swahili

BBC News Swahili

3 жыл бұрын

Kwa miaka sita sasa kijana wa kitanzania Mike brown ana tengeneza zaidi ya shilingi milioni mia moja fedha za kitanzania sawa nawastani wa dolla elfu 45000 za kimarekani kila mwaka kwa kuuza mbwa
Kijana huyu ambaye ana elimu ya shule ya msingi alikuwa mjasiriamali kwa muda akiuza vyombo minadani kabla ya kuhamia kwenye biashara ya simu na sasa mfugaji wa mbwa na mkulima
Mike ana amini iwapo vijana watatumia elemu zao kujiajiri tatizola ajira litakoma nchini
Eagan Salla alimtembelea jijini Arusha na hii ni simulizi yake

Пікірлер: 7
@samflame6287
@samflame6287 Жыл бұрын
Anaweza patikana aje
@user-yj3tq6yo4t
@user-yj3tq6yo4t 7 ай бұрын
Habari😅😅
@rosedigna6825
@rosedigna6825 2 жыл бұрын
Ukweli kabisa..god.is good
@lucasnyerere4295
@lucasnyerere4295 2 жыл бұрын
Hongera sana
@husseinmahube2648
@husseinmahube2648 Жыл бұрын
Nawapend San mbwa nawez anza na mbegu gany kufuga
@samaboy2592
@samaboy2592 3 жыл бұрын
Fursa hio.unakuta mtu kamalza shele eti anasema hamna ajira.shtukeni sana
@ngurukitv4584
@ngurukitv4584 Ай бұрын
God I love you follow back God bless you 🇰🇪 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 49 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 128 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
MFANYABAISHARA ARUSHA AJENGA HOTELI YA KULAZA MBWA WA WATU WENGINE
19:14
Mortal Combat (Full Episode) | Animal Fight Night
44:25
Nat Geo WILD
Рет қаралды 15 МЛН
Hitler in Colour (4K WW2 Documentary)
1:10:44
Best Documentary
Рет қаралды 10 МЛН
The war in Ukraine and the decline of the West | #1623 with Douglas Macgregor
2:01:30
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 06/08/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 7 М.
JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA MBUZI | #MAVUNOTIMES
10:15
MAVUNO TIME
Рет қаралды 57 М.