No video

Msondo Ngoma Band Harusi Ya Kibene Official Video

  Рет қаралды 195,176

Africha Entertainment

Africha Entertainment

10 жыл бұрын

Пікірлер: 67
@balozimchomvu7779
@balozimchomvu7779 6 жыл бұрын
Wimbo huu mmoja wa moshi ni sawa na nyimbo 20 za hawa jamaa wa bongo flavour
@nyangehassan902
@nyangehassan902 5 жыл бұрын
Bongo flavour ni nyimbo zisizo na maadili
@selemanisalimu7398
@selemanisalimu7398 4 жыл бұрын
Hahaha kweri kabisa
@nyangehassan902
@nyangehassan902 4 жыл бұрын
Hawezi kuzifikia hizi kwani ujumbe uliopo kwenye nyimbo hizi ni live, lakini bongo fleva hakuna ujumbe
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 8 ай бұрын
Mnapogombana muombane ladhi asant sana juwata msondo baba ya music
@msozithedon1730
@msozithedon1730 2 жыл бұрын
Daaah Mungu awalaze mahali pema peponi kwa kweli mumeacha usia mzito sana tutawakumbuka sana aisee apa natikisa kichwa kwa ngoma za miaka mia zisizo isha utamu
@egnokinunda4539
@egnokinunda4539 Жыл бұрын
Mzae watoto wawe na heshima Mzae watoto mama wawe na heshima wafuate nyayo zake Moshi eeee×2👍👍🔥🔥🔥🔥
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota 15 күн бұрын
Tx wiliam ni mmoja tu...hassan na rama wanao wanajitahid kuvaa viatu vyako lkn tx wiliam moshi ni mmj😊😊
@aidannzowa5502
@aidannzowa5502 6 жыл бұрын
Kwa siku nikisikiliza wimbo mmoja wa hawa jamaa inatosha sana!
@jarachetambikagani3567
@jarachetambikagani3567 7 жыл бұрын
Wakati muziki unaitwa muziki
@joelnassari105
@joelnassari105 7 жыл бұрын
Msondo ngoma baba ya Music the best Band ever in Tanzania. ...Mwenyenzi Mungu awapokee Mashujaa wa Msondo waliotangulia Mbele za haki. ..R.I.P TX MOSHI WILLIAM. R.I.P .MUHIDINI GURUMO...R.I.P ISIAKA KIBENE. .R.I.P ..SULEMANI MBWEMBWE. ..R.I.P MOMBA R.I.P JOSEPH MAINA Mwenyenzi Mungu awapokee....nyimbo zenu ztadumu daima kila siku ni mpya masikion
@yusuphmbogolo8487
@yusuphmbogolo8487 6 жыл бұрын
RIP Ngoma ya mziki hauwezi kutokea daima walikuwa wanajua kuimba wameenda na sauti zao hakuna hata kuiga hata sauti zao .tax moshi ,ngurumo nawengineo rip wore.
@husseinjudo8339
@husseinjudo8339 6 жыл бұрын
tuliwapendaaa xanaaa
@chidymatanga903
@chidymatanga903 5 жыл бұрын
R I p msondo ngoma
@rehemamigira2739
@rehemamigira2739 5 жыл бұрын
Kipeyo
@nurdinjabiri4799
@nurdinjabiri4799 5 жыл бұрын
Safi sana msondo
@patikindo73
@patikindo73 6 жыл бұрын
wanavyo elewana katika DRUMS.....aaaagh taamuuu
@johnmugeta3571
@johnmugeta3571 5 жыл бұрын
Hawa ndio walikuwa majabari wa mziki wa dansi tanzania
@johnmugeta3571
@johnmugeta3571 5 жыл бұрын
Angslia mziki unavyo chezwa acha vurugu za sasa
@richardtiringa7431
@richardtiringa7431 4 жыл бұрын
Wenye ndoa nawasio na ndo kazi ipo
@richardtiringa7431
@richardtiringa7431 4 жыл бұрын
Ndoa yataka uvumilivu au sio
@naomimatumula9144
@naomimatumula9144 5 жыл бұрын
Well sang on this Baba Hassan pumzikeni wasaniii waukweli! Sio nyimbo za matusi za siku hizi hata kusikitika mbele ya watoto wako huwezi!
@richardtiringa7431
@richardtiringa7431 4 жыл бұрын
Ebanae ndoa inabo yake
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 7 ай бұрын
Bwana akinunanaa bibi bembembelezaa bibi akinunaa bwana bembelezaaa na Mungu naye atawaona
@barbarossa9591
@barbarossa9591 3 жыл бұрын
I'm from Turkey and this is really good hello people
@probilmusic3396
@probilmusic3396 2 жыл бұрын
enjoy good music this song is education to people in Marriage
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 6 ай бұрын
Tx Moshi Rest in Peace 2024
@JeremiahMisonga-mp8gm
@JeremiahMisonga-mp8gm Жыл бұрын
Hata unaangalia mzik ukiwa na wanao ni vema
@user-vx9dk9sy2r
@user-vx9dk9sy2r 11 ай бұрын
I was remain long time so now am Europe aaah namkumbuka mbali sana miaka ya 1998
@SaidHemedi
@SaidHemedi 8 ай бұрын
❤❤❤ utamu wa hii nyimbo mmmh hatareeee
@kamgishaally8933
@kamgishaally8933 5 жыл бұрын
Mambo ni moto chakale dhahabu
@Mwajeyrume
@Mwajeyrume Жыл бұрын
Nakumbuka enzi hizo jsmsniiii
@macherathomas6474
@macherathomas6474 5 жыл бұрын
Solo gitaa ,smart boy uvurunge na said mabera mwana kg ni hatari sana.
@maulidmfanga2824
@maulidmfanga2824 4 жыл бұрын
namuheshimu sana moshi alibadilisha mziki wa dansi hapa tanzania
@balozimchomvu7779
@balozimchomvu7779 6 жыл бұрын
Msondo ngoma, wnajua sana hawa wazee.
@SaidHemedi
@SaidHemedi 8 ай бұрын
😢😢mliondoka ingali twa wahitaji
@gosbertmbanda262
@gosbertmbanda262 5 жыл бұрын
Hapo mimi nilikuwa nabaki hoi mdomo wazi kwa raha
@websterkinte8270
@websterkinte8270 9 жыл бұрын
M/MUNGU AWAMPUMZISHE PEMA WOTE TX-MOSHI,MZEE MUHIDINI GURUMO,SULEMANI MBWEMBWE,MOMBA,JOSEPH MAINA PAMOJA NA MLENGWA WA HUU WIMBO ISIYAKA KIBENE....Kunta...Kinte.
@josephatmakuka4860
@josephatmakuka4860 5 жыл бұрын
Kweli kabsa
@Kabeya410
@Kabeya410 4 жыл бұрын
Hii ni timu ya taifa yaani mpaka nalia list nzima ktk vocals imetangulia mbele ya haki
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 4 жыл бұрын
Hakika hawa watu walikuwa zawadi tumshukuru Mungu kwa nyimbo zao zenye mafundisho mazuri kwetu. Mungu awapokee kwenye makazi ya milele.
@charlenekabelela2155
@charlenekabelela2155 4 жыл бұрын
Hakika
@mtorokimajaliwa3468
@mtorokimajaliwa3468 7 жыл бұрын
You will remain in our memories guys. This will remain the symbol of our music. RIP Ally Mhoja Kishiwa Tx Moshi William
@gosbertmbanda262
@gosbertmbanda262 5 жыл бұрын
Mimi hapo huwa nasikia raha mwili mzima
@Mwajeyrume
@Mwajeyrume 3 жыл бұрын
Nakumbuka mbali saba
@gilberton2265
@gilberton2265 3 жыл бұрын
Shangwe
@mohamedympai8494
@mohamedympai8494 8 жыл бұрын
Hakunaga kama msondo
@joelnassari105
@joelnassari105 7 жыл бұрын
kweli kabsa
@misolobernad8726
@misolobernad8726 6 жыл бұрын
Mohamedy Mpai kwel nmekubal akunaga kama msondo
@misolobernad8726
@misolobernad8726 6 жыл бұрын
Joel Nassari heee aisee smanaga kama msondo
@kasimulau2146
@kasimulau2146 6 жыл бұрын
Huo ndio muziki
@mikemunda
@mikemunda 6 жыл бұрын
gurumo style mzuri anavyo cheza
@mereyamelea2285
@mereyamelea2285 6 жыл бұрын
Naikubali msondo
@jamalhussein3463
@jamalhussein3463 9 жыл бұрын
Salute...from keko
@xhebbydzobecker2238
@xhebbydzobecker2238 9 жыл бұрын
Dah feeling cry#
@sangomamourice8680
@sangomamourice8680 3 жыл бұрын
music ni mtamu mno
@MwanaharusiKasisira-uw3tm
@MwanaharusiKasisira-uw3tm Жыл бұрын
Wow rip
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 4 жыл бұрын
Ottu Jazz Band. "Baba ya Muziki"
@kasimulau2146
@kasimulau2146 6 жыл бұрын
ROMAN MNG'ANDE KIBOKO
@webstersinje7712
@webstersinje7712 5 ай бұрын
Mpaka leo bado anakomaa na vijana wapya....Kunta...Kinte.
@emmanuelmpanda894
@emmanuelmpanda894 6 жыл бұрын
Baba ya mzuki Tz.R.I .P Tx
@zelamwamasangula9184
@zelamwamasangula9184 Жыл бұрын
Amen
@norascombedule1057
@norascombedule1057 4 жыл бұрын
Safi sana 31.01.2020
@merylaiza9143
@merylaiza9143 9 жыл бұрын
mazishi.yakanumba
@mbwanahussein2014
@mbwanahussein2014 5 жыл бұрын
2019
@saidmohamed4035
@saidmohamed4035 3 жыл бұрын
Danload
@jumalota7296
@jumalota7296 3 жыл бұрын
87
Msondo Ngoma Band Mzee Wa Miba Official Video
8:35
Africha Entertainment
Рет қаралды 423 М.
Msondo Ngoma Music Band Nimebadilika Nini Official Video
9:48
Africha Entertainment
Рет қаралды 182 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 32 МЛН
Rangi ya Chungwa
9:11
Bongo Records
Рет қаралды 44 М.
Harusi Ya Kibene
8:39
Ottu Jazz Band - Topic
Рет қаралды 839
ELIMU YA MJINGA-BANZA STONE
8:29
HABARI JAMII TANZANIA
Рет қаралды 589 М.
Msondo Ngoma Music Band Nimebadilika Nini Official Video
9:48
Tunes Of Africa
Рет қаралды 291 М.
Ottu Jazz Band - Mwanamkiwa (Official Video)
10:28
Tunes Of Africa
Рет қаралды 434 М.
Neema
6:56
DDC Mlimani Park Orchestra - Topic
Рет қаралды 186 М.
Msodo Ngoma Music Band Majuto Official Video
8:26
Africha Entertainment
Рет қаралды 98 М.
Msondo Ngoma Band - Heshima ya ndoa (Official audio)
6:47
Msondo Ngoma Band Tanzania
Рет қаралды 36 М.
Msondo Ngoma Music Band Cheusi Magala Official Video
9:56
Africha Entertainment
Рет қаралды 762 М.
Ottu Jazz Band - Arabia
10:19
Power Nguzo
Рет қаралды 95 М.