No video

Ottu Jazz Band - Arabia

  Рет қаралды 95,355

Power Nguzo

Power Nguzo

9 жыл бұрын

Old is Gold!

Пікірлер: 29
@husseinmgaya3791
@husseinmgaya3791 7 жыл бұрын
mimi mdogo wangu aliolewa kwenye familia kama hio, hadi wamemuua. rest in peace. lkn mungu analipa.
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 2 жыл бұрын
Hiki ni kisa cha kweli kabisa huyu alie imbwa hapo Anaitwa masunga alikua anaishi kipawa na mumewe. Waliachana na masunga akawa mlevi sana ikawa kila jumamosi anaenda pale Amana walipo kuwa wanapiga msondo. Ndo alipo onana moshi na kumpa stor ya maisha yake. Na moshi akaimba hii nyimbo. Lakini ilipofika mwaka 2005 Masunga alifaliki dunia kwa maradhi ya moyo
@msonobarizakaria100
@msonobarizakaria100 5 жыл бұрын
Sio miziki yenu hata haijulikani mbele wala nyuma hapa hautoki jasho nirudishe ujanani
@phakundigervas1360
@phakundigervas1360 3 жыл бұрын
Umri miaka 56 wastani, sauti zao umri wa mabinti wa umri wa miaka 16 . Mungu huumba, waja hujitoa kuwajibika. Pumzikeni Wazee ss tunabaki na inge...........aargh!
@dadimilingatwe3633
@dadimilingatwe3633 3 ай бұрын
Nyimbo yenye funzo sana
@salviowikesi8924
@salviowikesi8924 6 жыл бұрын
Joseph Maina TX Moshi William Othman Momba Seleman Mbwembwe Muhidin Gurumo... Dah.. RIP
@salehekasimu369
@salehekasimu369 5 жыл бұрын
Hakuna kama Tx mungu akulaze pema peponi.
@thabitingulungu1062
@thabitingulungu1062 3 жыл бұрын
Daima tutawakumbuka magwiji nyie daaah, RIP
@mamumwaisemba6149
@mamumwaisemba6149 5 жыл бұрын
Nibora wangeondoka wasanini 100 wa ss wabaki Hawa waliotangulia mbele ya haki R. I. P wote
@louser9473
@louser9473 4 жыл бұрын
🏃🏻🏃🏻😂
@mkelleham3102
@mkelleham3102 3 жыл бұрын
Kweli tupu
@isihakanungu1542
@isihakanungu1542 3 жыл бұрын
Hatareee
@birabwabetty978
@birabwabetty978 5 жыл бұрын
wimbo mtamu huuu du!
@andreaa.nyundo8333
@andreaa.nyundo8333 5 жыл бұрын
Hasa Maneno ya fitina ya ndugu ni hatari sana
@rabyawaziri692
@rabyawaziri692 Жыл бұрын
Sauti ya moshi mungu amweke peponi
@nelsonedward9379
@nelsonedward9379 5 жыл бұрын
Huyo ndiyo Moshi William Tx
@solomonabdul5815
@solomonabdul5815 7 жыл бұрын
Hichi kitu kimenigusa sana kwani yashanikuta hayo
@zuhuraally1414
@zuhuraally1414 6 жыл бұрын
kaz nzur ya wakongwe wetu
@ahmadmasunda8198
@ahmadmasunda8198 5 жыл бұрын
IMEKAA SAWA
@msonobarizakaria100
@msonobarizakaria100 4 жыл бұрын
Tuta wakumbuka daima🙏🙏
@duniamchalomchalo3935
@duniamchalomchalo3935 Жыл бұрын
Tutawakumbuka daima🎉
@andreaa.nyundo8333
@andreaa.nyundo8333 5 жыл бұрын
Hakika tx alitunga nyimbo vizuri sana
@diegolukas3012
@diegolukas3012 3 жыл бұрын
I guess Im randomly asking but does someone know of a tool to log back into an Instagram account?? I was stupid lost my login password. I would appreciate any tricks you can give me!
@julienariel187
@julienariel187 3 жыл бұрын
@Diego Lukas Instablaster :)
@diegolukas3012
@diegolukas3012 3 жыл бұрын
@Julien Ariel Thanks so much for your reply. I found the site thru google and Im in the hacking process now. Seems to take a while so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@diegolukas3012
@diegolukas3012 3 жыл бұрын
@Julien Ariel it did the trick and I now got access to my account again. I am so happy! Thank you so much you saved my account!
@julienariel187
@julienariel187 3 жыл бұрын
@Diego Lukas glad I could help :)
@unclesaleh3257
@unclesaleh3257 3 жыл бұрын
Nakumbuka kipindi hicho kulikuwa na mpambano wa Msondo na Sikinde wee acha kabisa Sikinde walibeba magitaa yao na kuondoka.
@allychabala7502
@allychabala7502 7 жыл бұрын
poa sana
Ottu Jazz Band - Dunia Ya Sasa
10:03
Power Nguzo
Рет қаралды 101 М.
Sogea Karibu - Juwata Jazz Band
8:48
Power Nguzo
Рет қаралды 270 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 63 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 47 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 38 МЛН
Msondo Ngoma Music Band Nimebadilika Nini Official Video
9:48
Tunes Of Africa
Рет қаралды 291 М.
Jirani
10:31
African Stars Band - Topic
Рет қаралды 29 М.
Mrema
9:44
Remmy Ongala - Topic
Рет қаралды 34 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- DDC- Mfaume waniliza
10:33
Eddie Nassor
Рет қаралды 105 М.
Ottu Jazz Band - Mizimu
10:56
Bongo Fire
Рет қаралды 13 М.
Ottu Jazz Band - Lucy Bandawe
8:14
Power Nguzo
Рет қаралды 152 М.
GLORIA   MSONDO NGOMA
6:23
Afro Masai Club
Рет қаралды 6 М.
ELIMU YA MJINGA-BANZA STONE
8:29
HABARI JAMII TANZANIA
Рет қаралды 589 М.
Ottu Jazz Band - Usichezee Chuma Cha Moto
7:03
Power Nguzo
Рет қаралды 69 М.
Arabia Fadhili- Ottu Jazz Band
10:18
JeffBalla Fundi
Рет қаралды 610
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 63 МЛН