MSUKUMA Aibua MAPYA - "WATUMISHI WANACHEZEA MAFUTA NA MAGARI"

  Рет қаралды 70,472

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

MSUKUMA Aibua MAPYA - "WATUMISHI WANACHEZEA MAFUTA NA MAGARI"
Mbunge wa jimbo la Geita, Joseph Kasheku (Msukuma), amesema watumishi wa halmashauri mpya ya Nzela hawataki kuhamia kwenye halmashauri hiyo, na badala yake wanatumia magari ya serikali kwenda majumbani kwao jambo ambalo linaleta usumbufu kwa wananchi.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 133
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 3 жыл бұрын
"Nyuki hawakwenda shule, lakini kazi yao inapendeza wengi kuliko wasomi na viongozi wasiyo na Faida" pongezi Msukuma, Salaam kwa JPM.
@benedicttarmo3327
@benedicttarmo3327 3 жыл бұрын
Nimempenda sana huyo bwana anajiamini sana na ameongea points tupu! Tunapenda watu/ wabunge wa aina hiyo!
@emmanuelbuganga7325
@emmanuelbuganga7325 3 жыл бұрын
Msukuma Safi sana, uyo ndo anaitwa, MHESHIMIWA, KING, MSUKUMA.
@narmyheart2021
@narmyheart2021 3 жыл бұрын
Msukuma kama msukuma full confidence 💪🏿💪🏿
@mkobainnocent2368
@mkobainnocent2368 3 жыл бұрын
Ukiwa na fedha pia confidence inaongezekaaa sanaa😃😃😃😃
@rahemaally274
@rahemaally274 3 жыл бұрын
Mashallah mbunge huyu nampenda buree🇬🇧
@shukranitv2971
@shukranitv2971 3 жыл бұрын
Msukuma wew unauchungu Sana na nchi hiii Safi San yaan wanyoshe haoooo wakujue we ni king msukuma
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Msukuma nakukubali Sana wew ni mbunge unae faa kuigwa na wabunge wengine
@sengeremaxleo9295
@sengeremaxleo9295 3 жыл бұрын
Hahahaah am here watching 2021 to 2025 😁😁😁😁😁 the Future is promising we need more msukuma
@manumbamanumba9468
@manumbamanumba9468 3 жыл бұрын
Darasa la 7 asumbua wenye taaluma zao
@gadafimasoud310
@gadafimasoud310 3 жыл бұрын
Suala sio kiwango cha elimu ,uelewa ni utendaji wa wasomi wetu upo chini
@asumanishabani7539
@asumanishabani7539 3 жыл бұрын
We msukuma kwa style hiy watatumbuliw wengi
@alphajeremiah5221
@alphajeremiah5221 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 жыл бұрын
Ha ha ha king msukuma hatari. Huyu jamaa yuko vizuri.
@isaacshauri4828
@isaacshauri4828 3 жыл бұрын
We jamaa safi sana
@williammagabe6884
@williammagabe6884 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni noma
@abbasmohamed5066
@abbasmohamed5066 3 жыл бұрын
'KING'
@kyambarungwematv6828
@kyambarungwematv6828 3 жыл бұрын
King msukuma nomaaaaaa
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 3 жыл бұрын
Safi Sana mzalendo Msukuma hapa Kazi tu.
@mohamedbinfadhil1396
@mohamedbinfadhil1396 3 жыл бұрын
Safi safi sana jembe la geita... Piga kazi hakuna kumuogopa mtumishi wa umma hiyo kazi waliopewa ni dhamana kama hawawezi watoke hapo. Halafu mkuu wa wilaya yuko wapi kwani mpaka kazi hiyo unafanya ww msukuma???
@emmanuelmwanzalima4508
@emmanuelmwanzalima4508 3 жыл бұрын
Nakukubali sana jamaaaa unajua elimu sio uongozi bola piga KAZI ikiwezekana 2025 tukupe KURA ZA URAISI kuongoza unaweza piga kazi
@kaishazabengesi2971
@kaishazabengesi2971 3 жыл бұрын
Kiongozi anayeripoti matukio hasi wakati ni sehemu ya uongozi ajitafakari yanatokeaje. Buni, wengine wa kufuate, wasipofuatisha nyendo zako jua wewe ni mtawala tu. Kiongozi huteka nyoyo za waongozwa si kuogofya waongozwa. Tujitafakari!!!!
@emmanuelnzaligo6262
@emmanuelnzaligo6262 3 жыл бұрын
Nakufuatilia sana mzee napenda nikiona ukiwawashia Moto mapunga wanaonunua gari la 400ml.
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 3 жыл бұрын
Safi sana msukuma. Hawa manyumbu suluhisho lao ni kushika mjeledi. Swaga!!! Ukitaka nyumbu afanye kazi lazima utumie fimbo.
@adamally8791
@adamally8791 3 жыл бұрын
Slogan ya bwege, tunaanza upyaaaaaaa
@josephmkongwi2323
@josephmkongwi2323 3 жыл бұрын
Safi
@allysudihussen3664
@allysudihussen3664 3 жыл бұрын
Sawa kabisa,
@nestor384
@nestor384 3 жыл бұрын
The King himself 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@stanleyfocas8250
@stanleyfocas8250 3 жыл бұрын
Yeaaaaa king msukuma
@loidaandrason1466
@loidaandrason1466 3 жыл бұрын
Hahahahaaaaaa,Safi sana msukuma
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 жыл бұрын
Waambie wanaoturudisha nyuma ambaye ataki kuamia uko aache kazi watu wapo wengi tu
@saimonlutengano2569
@saimonlutengano2569 3 жыл бұрын
Aloo tungekuwa na wabunge hata kumi na tano kama huyu tz tungekuwa pazuri sana god bless u
@fidelslick2086
@fidelslick2086 3 жыл бұрын
King Msukuma for President 2025
@jameslyimo662
@jameslyimo662 3 жыл бұрын
The gentleman...
@AzizKhan-si8cc
@AzizKhan-si8cc 3 жыл бұрын
Msukuma km Msukuma
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 жыл бұрын
Huyu mwamba kapata ubunge safi sana makufuli
@jkOmar2024
@jkOmar2024 3 жыл бұрын
safi sana
@kitovasaidi6753
@kitovasaidi6753 3 жыл бұрын
Sio jimno langu lkn kama Mtanzania huyu Mbunge yupo sahihi sana sana kikubwa azungumzie pia hayo maslahi ya walimu kuna mazingira si rafiki sana kwa kipato cha ualimu ingawa subira yavuta kheri lkn maumivu ni makali sana.
@softrock7155
@softrock7155 3 жыл бұрын
Katiba irekebishwe awe naibu waziri mkuu asafishe Nchi hii. Yuko vzr, anajiamini na kusimamia achokiamini. Namkubali sana Mhe. Msukuma
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 3 жыл бұрын
Haihitaji kubadilisha katiba mheshimiwa rais akimteuwa tu
@softrock7155
@softrock7155 3 жыл бұрын
@@jabiraxmed7898 hiyo nzr, huyu mbunge namuelewa sana kwani anajitambua na anajua mambo mengi au tuseme ana vyanzo vingi vya hbr. Mhe. Rais ampe rungu tuone matunda yake Nchi nzima.
@jamesriwatuvana9561
@jamesriwatuvana9561 3 жыл бұрын
Diwani wa Katoro fundi eeh! Asije kufa na ngwengwe😂🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣
@elishachenya5341
@elishachenya5341 3 жыл бұрын
💪💪💪💪💪💪
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 жыл бұрын
Mungu amjaliee ana uzalendo, wasomi wamegueka kuwa wafilisi ila ambao hajawasoma wana upeo mkubwa
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
Kweli wasomi wengi wanyama sana
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 3 жыл бұрын
Huyo kasoma degree 7 wasomi wetu wengi ni vyeti kichwani kweupee
@babanjuru8738
@babanjuru8738 3 жыл бұрын
Sawa sawa msukuma
@senseiamazing1823
@senseiamazing1823 3 жыл бұрын
the brave man
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
Waafrika bado tuna long way to go
@maxmilianpetro968
@maxmilianpetro968 3 жыл бұрын
Msukuma halali hakuna mtumishi bora Geita nzima aiseee waamusheeee
@peterpaul591
@peterpaul591 3 жыл бұрын
Punguza sifa wew kila jambo media we ngosha vp ?
@alexjohn7361
@alexjohn7361 3 жыл бұрын
@@peterpaul591 hapo nani kamfuata mwenzie kati ya media na Msukuma. Pia hicho ni kikao au mkutano kama uonavyo na wanahabari wameenda ili kuriport tukio sasa kosa lake nini?
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
@@peterpaul591 sifa ipi watumishi wengi ndo wanarudisha hii nchi nyuma halafu wanyonge wanaumia kwenye nchi iliyojaa rasilimali za kila namna wakati Dubai wanapata mvua kwa mwaka Mara moja lakini maisha yao usipime.
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 3 жыл бұрын
Hahaaaaa!!! ...wanawake weupeweupe ote katoro!!!!
@wilsondomisian8680
@wilsondomisian8680 3 жыл бұрын
Ipo hyo
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 3 жыл бұрын
Inawezekana halmashauri nyingi kuna madudu mengi sana
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 3 жыл бұрын
Huku kwingine ambako awapigi kelele kunanukaa sanaaaa
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 3 жыл бұрын
@@emmanuelbonifase1114 Sanaa nimejifunza kitu kupitia hili itakua sehemu nyingi kuna Madudu
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Yaan sana viongoz wa almashauri wengi no ovyo sana ndo maana mikoa haiendelei watu wanakula fedha tu na kufanya maigizo kwa raisi waonekane wanafanya kazi hewa.
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 3 жыл бұрын
@@onesmojustice2348 Nimeona kabisa kuna vitu vingi vinafanyika kutuludisha nyuma watu awana uchungu na shida za wananchi wanakula raha tu
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
@@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG kabisa
@nipolive..2745
@nipolive..2745 3 жыл бұрын
Hatar sana
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 жыл бұрын
Pambania na mishahara yao na marupu rupu yao, tatizo la ndugu zetu wasukuma Sifa saana, kama kweli ana uchungu na nchi hii, aanze kulalamika Wabunge wapunguziwe mshahara, yeye Kama mbunge analipwa zaidi ya 10 million kwa mwezi, alamike wapunguziwe maposho yao, watumishi hao wanaolipwa 600,000 kwa mwezi wanaenda masoko na maduka tofauti na wabunge? Waache ufala kama kweli sio wanafiki, nao wawasimeshe watoto wao shule zetu, Wabunge wanahimiza umuhimu wa Kiswahili, toa Jina la mbunge mmoja mtoto wake anasoma shule za kata, kama kweli wana uzalendo na nchi wapitishe sheria sharti la kuwa mbunge au Kiongozi wa umma, lazima mtoto wako awe anasoma shule za kata ila mahanisi na wagumba wasamehewe
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 3 жыл бұрын
Msukuma hoyeeee tumbua baba
@eliyahrobert9340
@eliyahrobert9340 3 жыл бұрын
Duuu mmmhh
@andrewmwankenja3438
@andrewmwankenja3438 Жыл бұрын
Mbona wewe mwenyewe unachezea mafuta na kodi zetu huna makato yoyote leo una bwabwaja utumbo wako
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Utujua Tu badae mara hiii chadema hawamo hakuna wa kumtukana
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 3 жыл бұрын
Kila hslmashauri iwe na msukuma walao mmoja mmoja
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 3 жыл бұрын
Iyo nimeikubari saana musukuma chapa kazi utayaonatu matunda.
@justinejulius2319
@justinejulius2319 3 жыл бұрын
Msukuma jembee
@mgallason...5686
@mgallason...5686 3 жыл бұрын
Hivi ndivyo mbunge anavyotakiwa kuwa Kwa sababu ndiye raisi wa jimbo husika na ndiye kachaguliwa na wananchi na nduye anapaswa kumsimamia Mkuu wa wilaya na si Mkuu wa wilaya kujivimbisha vimbisha tu.
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 3 жыл бұрын
Ujumbe umefika
@MbashaRobert
@MbashaRobert 3 жыл бұрын
Uongozi ni karama si Elimu, na ndiyo maana hata Marekani ilishatawaliwa na maraisi wenye elimu ya kawaida sana , Abraham Lincoln angalau alikuwa na elimu kidogo, ila Andrew Johnson yeye hakuwa hata na Elimu yoyote, bali alifundishwa tu nyumbani tena na mkewe! Hivyo ukilinganisha na hao wamarekani Msukuma ana Elimu ya Kiwango kizuri, na kwa uzoefu ambao anaendelea kuupata akiwa Bungeni si ajabu kwa Mh. Msukuma kuwa kiongozi mkuu wa nchi.
@jumamohamerd9971
@jumamohamerd9971 3 жыл бұрын
Msukuma nahene. Ruru
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 3 жыл бұрын
Huyu ndio mnafiki wa Umma. Viongozi mchungeni sana vinginevyo hamtafika mbali.
@sharifuoman6146
@sharifuoman6146 3 жыл бұрын
TEDDY KANONDO mnafiki wewe uchaguzi umekwisha wewe bado unamuwazia tundu lissu pole saana endelea kuumia tu hamna namna,,,
@josephntungiye6232
@josephntungiye6232 3 жыл бұрын
Bilashaka wwe utakua nduguyakenabwegeee! 😆😆
@Mastermind25491
@Mastermind25491 3 жыл бұрын
Watumishi lazma wafuatwe nakupelekwa nyumbani incase mda sio rafiki,,assume unaitwa usiku kuna "emergency operation" huwezi kutembea hayo mambo yapo ndani ya uwezo wa hospital wanasiasa mtulie
@venancemwarabu7168
@venancemwarabu7168 3 жыл бұрын
Wewe ndo hujamuelewa. Mtu anatakiwa kukaa nyumba za serikali zilizo karibu mtu anaishi mjini kisa anafanya kazi kijijini ili ambulance impeleke.
@Mastermind25491
@Mastermind25491 3 жыл бұрын
@@venancemwarabu7168 Kijana mimi niko kwenye sekta ya afya,,hakuna nyumba za watumishi mbali na za wakuu wa idara,,
@venancemwarabu7168
@venancemwarabu7168 3 жыл бұрын
@@Mastermind25491 Kuna maeneo na maeneo. Kuna sehemu nilifika vijijini nyumba za watumishi hazina watu asilimia kubwa wanakaa center. Na kwa sababu ya usumbufu wa wagonjwa daktari mkuu nae anataka ahame. Sasa huko tusemeje. Hata kama nyumba hazipo bora upange sehem ambayo sio mbali sn na kazini.
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Ww ndio walewale wapigaji na wafujaji wa fedha za umma
@stevenikwisa5238
@stevenikwisa5238 3 жыл бұрын
Angekuwa na digrii moja angepata uwaziri
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 3 жыл бұрын
Elimu na ujuzi alionao anazidi degree hovyo hovyo walizonazo na hawafanyi kitu...atunukiwe PhD kabisa hatuangalii makaratasi na vyeti tunaangalia akili ya mtu na ubongo
@stevenikwisa5238
@stevenikwisa5238 3 жыл бұрын
@@charlesmwambinga4355 ni kweli, pia full uzalendo
@japhethgeriad4519
@japhethgeriad4519 3 жыл бұрын
@@charlesmwambinga4355SAFI KABISA
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 3 жыл бұрын
@@charlesmwambinga4355 huyu jamaa kapewa kipawa angeenda huko angepoteza muda.
@amapiaanocityintz6454
@amapiaanocityintz6454 3 жыл бұрын
We ni jembe msukuma
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 3 жыл бұрын
Kuna nyumba za kuishi?
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 3 жыл бұрын
Punguza mwendo baba mbele kuna kona.
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 3 жыл бұрын
Hakuna cha kona!!! Usiwe mvivu fuata amri.
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 3 жыл бұрын
Mimi nawashangaa sana Watanzania. Akiharibu mtu mmoja mnasema wasomi hawana Faida. Kwa hiyo kazi anazofanya Jafo Waziri waTamisemi na wasomi wengine Serekalini ni za hovyo?. Huyu MSUKUMA ni mnafiki tu nani alimnyima kwenda shule akabaki kufuga nyoka. Tusingekuwa na wasomi Tanzania miradi aliyoianzisha Magufuli nani angesimamia. Kusema wenzake hadharani usifikiri atalipwa zaidi ya wengine sana sana ni kujijengea uhasama na maadui. Nashukuru bungeni wamebaki wengi ni CCM huu unafiki wake utasikia yatakayoendelea. Haiwezekani umfukuze mke wako kisa ugali haujaiva. Aliyenunua gari aina hiyo ni huyo kwani ni yeye peke yake mbona wako wengi mpaka IKULU au kwa sababu ni kabila lingine sio MSUKUMA.
@katyetyegosper218
@katyetyegosper218 3 жыл бұрын
Ukiumwa ukienda hospital utasema wasomi hawana faida. Baba yako asipotimiza wajibu wake huwezi sema akina baba hatutimiz wajibu wetu at kwakua baba yako hatimiz.
@samwelgabriel532
@samwelgabriel532 3 жыл бұрын
chuma
@harounbuzohera4797
@harounbuzohera4797 3 жыл бұрын
Serikali haijafanya tathmini ya matumizi hasa ya mafuta ya magari ya serikali ikiwa ni pamoja na matengenezo ya magari ya serikali. Magari ambayo ninaona yanatufaa wakati wote yawe ya JWTZ, POLICE, MAGEREZA, ZIMA MOTO, AMBULANCE na Usalama wa TAIFA.
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 3 жыл бұрын
Msukuma hongera ila hicho kichwa chako hakipendezi kipara maana kina bonde utosini labda uache nywele ziote uwe unazichana......
@kiteteprimary9764
@kiteteprimary9764 3 жыл бұрын
Natamani msukuma awe ktk jimbo letu
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 3 жыл бұрын
Ee,msukuma sasa umeamua kulala nao mbele.Wacheke tu!!!!!!.
@Zamb90
@Zamb90 3 жыл бұрын
Swala sio wanalala wapi,swala kazi zinakwenda?????
@hatibhatib5760
@hatibhatib5760 3 жыл бұрын
kazi haziendi, ukifika halmashaur unaambiwa muhusika yuko geita njoo kesho
@nelsonmgaya7179
@nelsonmgaya7179 3 жыл бұрын
@@hatibhatib5760 Pia gharama za mafuta ya gari za kwenda Geita analipa nani?
@isdorynziku4852
@isdorynziku4852 3 жыл бұрын
Kaka hata kwetu wapo ila wanajua kujificha
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 3 жыл бұрын
Ndouzuri wakula ugal wa dona unakuwa naakili ya asili.
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 3 жыл бұрын
Kumamayo mnafiki mkubwa,laana Mmoja
@swedinjaidi4658
@swedinjaidi4658 3 жыл бұрын
Umeridhika
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 3 жыл бұрын
Acha matusi bishana kwa hoja,
@rizikiabdalla3308
@rizikiabdalla3308 3 жыл бұрын
Heeee mama ake ndioo kamtuma acha ujinga
@ndebilengelela6417
@ndebilengelela6417 3 жыл бұрын
Duh! Umeniogopesha kwa hilo neno.Mungu akusaidie katika kinywa chako.
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 3 жыл бұрын
Nani amesikia wanawake wote weupeweupe katoro....... #5:2.
@hemedsalala7184
@hemedsalala7184 3 жыл бұрын
Nataman msukuma awe rais ata kama hajasoma ili nas tufaid uku
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Mbn unamuiga bwege ayupo tena bungeni acha kumuiga
@husseinkhan4889
@husseinkhan4889 3 жыл бұрын
Huyu fitna tu hakuna anacho kifanya anatafuta kiki tu na ana chuki na hao viongozi wa halimashauri!.
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 3 жыл бұрын
Vipi mawazo huwa hatokei
@yusufwewe8600
@yusufwewe8600 3 жыл бұрын
Vp
@FadyFs
@FadyFs 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anafuatiliaga magari tu
@mrpeeh8739
@mrpeeh8739 3 жыл бұрын
Huyuu nae kashaakua kenge saiv
@mkemia_magege5816
@mkemia_magege5816 3 жыл бұрын
Kenge wewe usiyetaka kuhamia Nzela
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Wewe unataka kupambiwa tu nenda zako
@victorkamate9396
@victorkamate9396 3 жыл бұрын
Mh. Rais wetu pendwa anakataa hii habari ya mitandao tayari. Sijui wapi hatumuoni jpm wetu unamleta millad ayoo kwa sh ngapi????
@kilingahamissi6734
@kilingahamissi6734 3 жыл бұрын
Waambie hao babaaaa wasomi fake wanaokwamisha juhudi za maendeleo
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
Kweli inauma, wambie ukweli wasitumie pesa hovyo
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 3 жыл бұрын
Safi sana
@officialkamdudu
@officialkamdudu 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 jamaa ashakua msaliti maana hataki tena wale pamoja ...
@rahemaally274
@rahemaally274 3 жыл бұрын
Yeye huwa anatoa mpaka chake halagi cha mtu
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 3 жыл бұрын
Mie sio ccm lakini msukuma namkubali sana tu muheshimiwa rais ampe uwaziri Huyu au naibu waziri wa serikali za mitaa asaidie jaffo anajua kusoma kila kitu kizungu sio lazima sio lugha yetu .
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 3 жыл бұрын
@@khadijahassan3778 ni kweli
@officialkamdudu
@officialkamdudu 3 жыл бұрын
@@khadijahassan3778 mi hua sipendi kujibizana na wanawake kwa hio bora upite pembeni maana nikianza kukujibu hapa mpaka mama yako atapandwa na nyege huko aliko...
@yohanavicent7570
@yohanavicent7570 3 жыл бұрын
Unafaa kwer
@mudhihirumikidadi6066
@mudhihirumikidadi6066 3 жыл бұрын
Kwamalaya kwanza msukuma nimekuelewa sanna kamahawataki kazi fukuzeni
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 54 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 34 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 163 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 54 МЛН