SIRI NZITO NYUMA ya UTAJIRI wa WAHINDI, ANAANZISHA BIASHARA BABU, ANAKUFA HADI MJUKUU ANAIKUTA...

  Рет қаралды 281,520

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

SIRI NZITO NYUMA ya UTAJIRI wa WAHINDI, ANAANZISHA BIASHARA BABU, ANAKUFA HADI MJUKUU ANAIKUTA...
Unajua ni kwa nini wafanyabiashara wenye asili ya India (Wahindi), wana mafanikio makubwa kwenye biashara zao kiasi cha kuzalisha matajiri wengi wakati wazawa wakiwa bado wanasuasua?
Makala haya yanayopatikana kwa urefu Global TV, yanakupa majibu ya maswali hayo.
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 279
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@ErickNyakundi-mz3br
@ErickNyakundi-mz3br Жыл бұрын
Ukweli mtupu 4:38
@evancebarnabas9477
@evancebarnabas9477 Жыл бұрын
​@ErickNyakundi-mz3br qqqqqqqq
@isayakaluvya544
@isayakaluvya544 5 ай бұрын
W
@kombomuhidin4608
@kombomuhidin4608 3 ай бұрын
hii nime kubali nimekuelewa ju ya wahindii japo nimecherewa nipeni tu na mm nijisike kupata like zangu
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 Жыл бұрын
Hii ni makala bora ya karne hongereni sana Global Tv
@j.munenekingdom28
@j.munenekingdom28 Жыл бұрын
Ashante bro for this educative video, ni ukweli kibao. Africa wake up pls and start learning from the indians on business matters.
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 Жыл бұрын
Fact kabsa,wahindi,wanaakiri,na ukiishi na wahindi mwaka Mmoja unapata maarifa
@dannyosolo2752
@dannyosolo2752 Жыл бұрын
Nimeiiishi India miaka mingi ....ni ukweli mtupu sisi WaaAfrika lazima tugeuze tabia zetu na mienendo
@saidgawawa8519
@saidgawawa8519 18 күн бұрын
Brother, umeongea 100% facts kuhusu Hawa jamaa au jamii ya wahindi ,wako na brotherhood sana ,wanabebana na kusaidia kati Yao Sio kama mm na wewe kuwekeana majungu! Hatuwezi kuendelea tukiwa hivi..!! everything is under ur mindset, na pia nothing is impossible,ni watu wapambane kiustadi.shukran.🙏🏻
@shakukawele9959
@shakukawele9959 Жыл бұрын
Nikweli kabisa tunatakiwa tujirekebishe na mungu atusimamie 🙏🏽🙏🏽 wahindi mie nawakubali
@ludovicshirima1793
@ludovicshirima1793 Жыл бұрын
Makala Safi Bora nimependa
@user-bo6wp5oj1h
@user-bo6wp5oj1h Жыл бұрын
Nime kukubali sana broo✌🏻
@manifestationmastermindset6518
@manifestationmastermindset6518 Жыл бұрын
Biashara ya mswahili uuliwa na ndugu zake
@gfvh7282
@gfvh7282 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@allahisone6386
@allahisone6386 Жыл бұрын
​@@gfvh7282Exactly
@davidkamando9630
@davidkamando9630 Жыл бұрын
Kweli kabisa😂 kuna kitu Hapa nimekumbuka we acha tu.... Mtu kesha kufilisi afu anachukulia poa
@jerryloopup5483
@jerryloopup5483 Жыл бұрын
Kwel 😂😂
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@bjzee1981
@bjzee1981 Жыл бұрын
Njoo kwa wa Africa. Mtoto akianzisha hata biashara yakuuza pipi utasikia mzazi akimwambia . Hiyo biashara yako itakulisha. Hebu nenda sokoni kani nunulie unga mie. Au haya nenda kauze ila hakikisha umerudi na sabuni hapa
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Жыл бұрын
Kassam aliuza ugoro na kujenga gorofa, lakini tulitaifaisha Mali zao na nyumba zote tuliwanyanganya bila kuwalipa chochote ndio maana wengi wamekimbia,Leo wahindi waliofukuzwa Uganda Leo matajiri Uingereza.
@amethysturanus6351
@amethysturanus6351 11 ай бұрын
Uko Sahihi Kabisa, wazee Wetu wengi Wali nyanganywa Mali zao. Shule 400 Indian Public School ilijegwa na wahindi kwa msaada wa Balozi Ya India , taaifa hii ime chafuwa sifa ya uaaminifu na usalama kwa Tokio la Azimio ya ku taifisha Mali na majumba za watu hadi viwanda waliokuja navyo toka India. Hiyo ni nyenzo ya kurudisha nchi nyuma.
@josuemwero4191
@josuemwero4191 2 ай бұрын
😢😢
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 5 ай бұрын
Niliwahi kuona wahindi zaidi ya 8 wanasafiri kwenye private car walipofika korogwe sehemu ya kula chakula walinunua soda kubwa na biskuti huwezi amini hiyohiyo moja waligawana wote na biscuits! Wakina sie sasa nyama choma na chips na bia mojamoja huku tunawashangaa hiyo bei ya nyama choma sasa elfu 8 kwa ka posheni kadogoo😢
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 4 ай бұрын
😢😢😢😢
@rehefehe8890
@rehefehe8890 Жыл бұрын
Ni kweli mm nipo India CT University Punjab ukienda dukani unamkuta mtoto mdogo anauza duka na baba ake
@ismailkan2171
@ismailkan2171 Жыл бұрын
CT ya jalandhar/ludhiana?
@rehefehe8890
@rehefehe8890 Жыл бұрын
@@ismailkan2171 in english please
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 17 күн бұрын
No English please mind your own business
@innocentkundy9078
@innocentkundy9078 Жыл бұрын
Aisee. Jamaaa kweli kasema hapo kwenye kuhama hama biashara sisi tunazingua
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 18 күн бұрын
Kimsingi cc atuna upendo ni washenzi washenzi nimejifunza cc ni asili yetu umaskini tu 😢😢
@anwary_sultan
@anwary_sultan Жыл бұрын
Alaf kitu kingine Mr.Mpagaze sjajua hzo makala zako unazitoa chini ya misingi ipi ya kiiman na falsafa, Biashara sio unyama, Biashara sio kudhulum, Biashara sio kutesa, Biashara sio kuonea Biashara sio self-thinking mindset hzo falsafa unazoziskia kwa Akina kayosaki ztakupeleka hasara "make the world unfair for self advantages" labda nkufumbue macho kuna vitu vya siri hujui kuhusu wafanya biashara wa kihindi wenye mafanikio wako makini sana to avoid unfairness or injustice kwenye biashara zao mfano ni vigum sana muhindi kukuibia chenji au kuongeza cha juu ili afaidike yy haliyakua anao uwezo wa huo uovu. Kikubwa watu yatafte sana maarifa ya kitu unachotaka kua maishani mwako simama katika misingi ya Iman na falsafa zako. Ukikaa ukasubir Denise au kayosaki wakutafunie nn cha kufanya utaangamia, kila kitu hpa duniani lazma kiendeshwe na Imani na Falsafa flan.
@idrisamara6510
@idrisamara6510 Жыл бұрын
indeed you are very correct boy!, Bila misingi ya Imani kwa Mola, yaani UAMINIFU, UKWELI NA UADILIFU hata uwe muhindi hautoboi maana DHULMA na UONGO havisimiki jambo ispokuwa Kwa siku chache tu.
@dismasmalelo8478
@dismasmalelo8478 Жыл бұрын
@@anwary_sultan this is wonderful jamani
@MuunganoKamwisire-lf9si
@MuunganoKamwisire-lf9si 11 ай бұрын
Mh,
@kelvinwanjo186
@kelvinwanjo186 11 ай бұрын
Wahindi wa uku Kenya ni chap chap si kama uko
@mginatv.
@mginatv. 11 ай бұрын
Yaah hujakosea...yaan hapo mojawapo cha msingi nilichokiona, ni ile hali ya kutokuhama hama from one place to another, mfano yule muhindi wa stationery kule kariakoo...Yaan wana hali ya juu ya CONSISTENCY. Pia ile hali ya kukaa na familia , yan kuiweka familia yake karibu zaidi, almost kwenye kila step. Sio kukomaa peke yako, ukifarikia unaowaachia wanakosa pa kuanzia na kukosa kukua loop holes za hapa na pale.
@abdulrizege863
@abdulrizege863 11 ай бұрын
Kwa upande wangu sitaki kuamini kabila au jamii fulani inaizidi jamii nyingine kibiashara au kiuchumi.Mtu yeyote kutoka kwenye kabila lolote anayonafasi ya kufanikiwa.
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 Жыл бұрын
Hawa wahindi kwanza wanasaidiana wana umoja katika Kila asect ya maisha. Wahindi wamekuwa hapa generation after generation, lakini waafrika wameshindwa kuiga mifano kutoka kwa wahindi. Kazi ni kupigana vita tu. Hata huko nje Kuna watanzania kazi zao ni kupigana vitu. Ni ajabu. Wahindi wameweza kusomesha watoto wao nje ya nchi kwa sababu wana kitu kinaitwa community fund. Lakini waswahili wanakumbatia fedha hata kama Kuna kijana amepata Chuo nje huwezi kuona mtu wa kumchangia. Lakini kwenye harusi wanakuwa mstari wa mbele kutoa michango mikubwa mikubwa. Ni aibu kubwa. Wakati umefika Sasa watanzania wapewe semina juu ya hii topic iwafikie watu hata vijijini.
@ndennkya9554
@ndennkya9554 11 ай бұрын
Umeleweka sana sana
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 11 ай бұрын
Kila mara najiuliza maswali mengi nakosa majibu. Kwa kweli wahindi ni very efficient na wanasaidiana. Pia wana practice customer care. Kuna Supermarket Fulani inamilikiwa na familia Moja ya kihindi. Ukiwa regular customer wao siku za sikukuu kama Christmas au Eid wanakutumia ukumbe mfupi wa kukutakia heri na baraka tele. Hilo jambo ni la muhimu na linaonyesha kuwa wanajali wateja wao. Ni mengi mazuri ambayo waafrika wanaweza kujifunza kutoka kwa ndugu zetu wahindi. Ukitembelea Central New-Jersey kule USA utakuta familia za wahindi wako kule wanaendesha biashara nyingi kuanzia maduka ya Sari, Liquor stores na miaka michache iliyopita kulikuwa na Super Market inaendeshwa na Patel Brothers. Ndugu zangu waafrika tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa ndugu zetu wahindi. Ama sivyo tutabaki nyuma daima wakati wenzetu wanasonga mbele.
@PhilipoMabula-ky9vs
@PhilipoMabula-ky9vs 5 ай бұрын
Point
@abbtsa3060
@abbtsa3060 4 ай бұрын
Na nyie mnaongea tu hapo tanzania wahindi ni wachache nenda India uone na South africa. Wahindi wanabebana ndani ya familia na wanaunaguzi hajabu na manamatabaka wao kwa wao naukikuta Masikini na maskini kweli kwahiyo Acheni kuangalia matajiri peke yake wew mwandishi nenda India au Bangladesh ukafanye utafiti na uko pia kwenye wahindi wengi
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Ni kweli❤
@jibustudios3241
@jibustudios3241 Жыл бұрын
Very informative
@GerardNDUWIMANA-vd6rv
@GerardNDUWIMANA-vd6rv 4 ай бұрын
Ahsante kutujulisha habali hizi ninzuli endelea kusambaza kazi nzuli kama hizo🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪
@Cisuminoabraham8581
@Cisuminoabraham8581 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@samohazakwani6899
@samohazakwani6899 5 ай бұрын
Asante kwa somo zuri, mimi niligundua kwa wahindi walioko huku nchi za kiarabu hawadharau faida japo ndogo mradi kitu akiuze kisikae, tofauti na wengine, na kama mteja akitaka kitu yeye hana dukani akwambia subiri aenda kuchukua kwa wenzake. Yaani hataki kupoteza wateja, hawa watu wana techniq za biashara sio mchezo. Uliosema ni kweli.
@mh9251
@mh9251 Жыл бұрын
Video hii inafungua uhalisia la neno "biashara" ukitaka kujua maana ya familia na biashara mfano wake ni wahindi na kwa ujumla watu wa bara la Asia nzima. Hata mzungu hana mila na desturi. Mzungu mwenye hela akiifa hela zake zinaenda kwenye chama mbali mbali maana hajachukua umuhimu lolote katika neno hili "familia". Kwa ujumla tukubali tu wahindi au bara la Asia nzima wanatoa mfano bora duniani kote katika swala hili "familia na biashara"! Badala ya kupinga tujifunze. Ukifanya hivo kesho utakua wewe mfano mmoja wapo!
@jumaatubu
@jumaatubu 10 ай бұрын
Asante denisi mpagaze asante amini likonde na thanks global tv
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d Жыл бұрын
😂mnataka kuiga mhindi alieshindikana middle east biashara zot za wahind mpk afya yaan kiujumla sio rahis kuwa kama wahindi ni wabubifu , wanamshikamano, wakiunda urafk wa kibiashar basi mpk wanatajirika pamoja, wanafanya kaz kw juhudi na wanajua kuweka akiba, hawana matumizi holela, ni waaminifu, wanarithishana maarifa haijalish unasomea nn hawajali, kingn nimejifunza wanasaidizana unakuta wanaish nyumb moja vijana wote baada ya miaka 2 kila mtu anatoka ana biashara kubwa mf anaweza toka india to dubai au any gulf country anapiga miaka 2 na ukitazama mshahara ni mdg ila wanawekeka akiba sana ndio maan kutoka kusafisha garden ya mwarab mpk kuwa c e o wa mall kubwa ambayo mwarab huyo huyo ataenda kununua😂, uliza migahawa yote ni wahindi, ukiza shopping mall, hosp privat nzur zote wahindi, wajenzi, online shopping zote walianzisha wahindi gulf ofcz najifunza mengi sana kwa wahindi, hasa ukiona wanavyoteseka kwa warab gulf jua mvua zote wapo nje😢 ila miaka 2 tu amepiga hatua, na wakioa hawaach hovyo anaacha mke na watt india miaka 5 ila akiwafata anawabeba wot anawaleta gulf wakienjoy maisha bongo uaminif kwenye ndoa tu shoda unamvumilia mume kila hali akipata anakuona sio type yake, mke halikadhalika ndio maan wenzet family ziko imara popote wako wote, ndio maan ukaya wanawachukia wakipita wa awaambia maneno ya kibaguzi coz ni watu muhim sana na wamewazidi mengi. Angalia hata onlin busnez bongo nying zimejaa utapeli na uongo na hata wateja nal ni matapeli lkn njoo gulf uone onlin za wahind vile zinafanya vizur mpk warab wanawaiga wanawatulia ktk biashara zao, mhindi anajali hata sent mia wanajua kumuaminisha mteja na sio matapeli ukiagiz hata abaya unaletewa fasta kulik hata onlin za warabu wanajivuta. Umoja wanao we angalia wana magr ya kupeana connection gulf na ukipata tatiz wanaungana kulisolv tofaut na bongo vijana wa nje gr zao kutaft wachumba😂, mara umbea umbea tu ukiwa na shida hakuna anayejitokeza, wanashauriana ushauri mibovu na kuishia kulalamika, wenzetu wanaunda magr ya manufaa ila vijana w abong tamaa mbaya kutokuaminiana yaan wahind akiona mhind mwenzake anakuw ndg anafurah bong mkionana tu wanasonyana wanakutizama kama sio mtz kujumla hatuaminiani njoo kweny kutuma mizigo yaan kampun zote za waswahil ni matapeli unawapa kwa kuwaamina ila hawaaminiki mzig hutoupata na hela wanakula afu wanataka wawe ana akili kama wahindi wawe matajir kama wahindi weee thubutu vijana wa kibongo dhulma na utapel zinawatesa kuatajirika no, kwanza saiv hata ukimpa mtu biashara afanya umlipe na cha juu bado atakuibia atafilisi yaan mpk mafundi unamp akujengee anakuibia na unamlipa vzr tu loh vijana bongo tubadilike unapooiba kitu au kutapel mtu kutokuaminika unapoaminiwa ni njia moja wapo ya kutokuendelea .
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Walishakutepeli waswahili 🤣, Funzo ulilolipqta funza nduguzo, waswahili wameshashindikana
@davidkamando9630
@davidkamando9630 Жыл бұрын
Jifunze kwao... Muhindi ni mwanadamu kama wewe... Acha akili za kitapeli
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Juzi jamaa yangu wa karibu amenipiga million 6 ambayo hio nimeipata Kwa Shida sana nimejibana sana Kwa kuweka akiba...alaf jamaa akaichukua kirahisi sana ila Mungu yupo
@shylagwadebalima7572
@shylagwadebalima7572 Жыл бұрын
@@patrickKitambo ila maisha yetu waswahili ni ya kijinga sana
@MuunganoKamwisire-lf9si
@MuunganoKamwisire-lf9si 11 ай бұрын
Mh,
@salomevestinamichael1458
@salomevestinamichael1458 11 ай бұрын
Nimecheka kama mazuri,ukisikia biashara ya kware unahamia biashara ikikata unaanza maisha upya😂😂😂😂😂😅😅😅😅
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui Жыл бұрын
na ndo maana watoto WA wahind wanaishiaga form6 then wanaenda kariakoo hakunaga muhindi ahangaike na upuuz WA ajira
@user-vf1gl2ul9u
@user-vf1gl2ul9u 5 ай бұрын
Ahsante kwa kunifungua kichwa brother
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Aisee🙌🏼🙌🏼🙌🏼😅 hii kweli
@nizamarakassongo3940
@nizamarakassongo3940 Жыл бұрын
Siri la wahindi niwakezawo wakezawo wanaheshim wawume wawo nawanawasupport wawume zawo! But wanawake waki africa ni mabisho wajinga
@rahaytv26
@rahaytv26 3 ай бұрын
Mungu akubalikiebmt brother 'iyo Ni kweli kbs🙏🙏
@finaakula2979
@finaakula2979 11 ай бұрын
Hongera sana global
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Жыл бұрын
Ukitaka ujue sisi watu weusi hatupendani, Iko hivi, mtu ana pesa za uwezo wa kuanzisha kiwanda Cha magari hapa tz, anaenda kuleta magari Toka china, mtu mweusi Alie kua bora ni Mzee regnard mengi yule mmachame. Yule alikua ana wapenda weusi wenzake.
@polycarptarimo5141
@polycarptarimo5141 Жыл бұрын
Basi Bwana weee kwenye list ya wahindi umemsahau Aliko Dangonte ambae ni kitukuu cha cha bwana mmoja hivi Sasa Dangote anaendeleza mali iliyoanzishwa na babu wa baba yake
@peterokalo9632
@peterokalo9632 11 ай бұрын
Wafrika pôle ni wakings👏🏽☝🏽🙏🏽✊🏿
@fatmaahmed972
@fatmaahmed972 Жыл бұрын
Wabongo roho mbaya zimewazid
@SML2019
@SML2019 4 ай бұрын
Hongera sana. Makala nzuri
@mathiasswai7006
@mathiasswai7006 Жыл бұрын
Nice makala
@dennischarles8524
@dennischarles8524 Жыл бұрын
Wale panjwani pale Moshi tangu miaka ya sabin Bado wanauzwa electronics.Sasa wapo wajukuu.The same shop, size na location.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 17 күн бұрын
He! Umenikumbusha Panjwani, nilinunua pale record player mwaka 1980!
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 Жыл бұрын
💯 ❤
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Жыл бұрын
Ni kweli kabisaa
@CKMO
@CKMO 9 ай бұрын
Asante bwana umeyamaliza
@neemapeter4572
@neemapeter4572 11 ай бұрын
Nimekuelewa sana
@MarleyGrafix-sk3rj
@MarleyGrafix-sk3rj 11 ай бұрын
Kweli kabisa kaka
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 5 ай бұрын
Wahindi wanafundishwa kushikana na kuoneana uchungu kama ndugu tofauti na waswahili. Muhindi akiwa na biashara anafundisha mtoto wakeakiwa mdogo na mkewe haletii ndigu zake kuja kufilisi anasimamia vizuri mali ya familia. Tofauti na sisi kila mtu kichwa kigumu
@anisiamchembe6552
@anisiamchembe6552 18 күн бұрын
Ni kweli kabisa 😊
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 Жыл бұрын
Niliukizia hapa kwa hawa PATEL ni matajiri sana...alinambia wewe dada yako au ndugu yako akikuomba hela ya school fees unampatia na siyo mkopo.Mimi nitampa lakini lazima arudishe hata kama ni 5 yrs...so hela yao inazunguka.
@jojininga1666
@jojininga1666 10 ай бұрын
Ww dada hulifanya kazi M.M.I mwenge nn
@naswiruidrisa-pu2kv
@naswiruidrisa-pu2kv Жыл бұрын
💯
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 Жыл бұрын
umeongea vzr sana ila mbona ume base sehemu moja coz hii elimu inaupanawake mbona haujaongelea wachaga na wakikuyu wanaofanya vzr africa na hata wanaijeria
@user-uh8bx4wt8e
@user-uh8bx4wt8e Жыл бұрын
I mada nimeikubali sana safi sana
@feisal38
@feisal38 Жыл бұрын
Nice one.
@fistonniyoyunguruza3969
@fistonniyoyunguruza3969 Жыл бұрын
Good job
@user-hc9zw7pd9e
@user-hc9zw7pd9e Жыл бұрын
Nimekupata sana
@othumanomari1589
@othumanomari1589 5 ай бұрын
It's true bro 💪
@anwary_sultan
@anwary_sultan Жыл бұрын
To some extent umeongea some facts. But bdo makala yko haijakaa positive ina elements za white supremacy hyo skulaum waafrica wengi tuliathiriwa psychologically toka utotoni. Hapo kwenye facts za biashara nmeona umebase sana kwenye biashara ya uchuuzi, sio generational investments, otherwise makala nzuri sana but ungekua unatoa elim nn waafrica tufanye sio kuponda race ya watu weusi. Mfano kama mzazi huwez kumkosoa mwanao kwa kumponda utamwathir psychologically na hili ndilo tatizo kubwa litakalo endelea kuua African race kwenye nyanja za superiority zote. Because we poison our minds and generations over and over. Na kwa bahat mbaya sana kutokana na hyo shida most Africans tuna tatzo la self-esteem hatujithamin maskini na sometimes niwagum kuyatafta maarifa mfano nyie global kupitia hyu Denise mpagaze mnatoa makala znaujumbe mzuri somehow ila not all who receive this are able to interpret it perfectly na kuchambua kipi cha kuchkua na kuacha. Makala za Denise mostly ni za hyo nature, hata vtabu maarufu vya maarifa na self-development viko hvo mtu hutakiw kumeza whatever Napoleon na Kayosaki says. Kwa ushaur wana global na Denise mkae mlijadili hili ss kama waafrica wazalendo tunawategemea ninyi wenye sauti (Media) kukomboa jamii kifikra in a positive way ila so kwa hii strategy mnayotumia kwa ss. Together we can change Africa and how the world perceives Africa.
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 Жыл бұрын
Uko sawa mkuu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Kubali Tu ukweli waswahili tuna shida,,,
@anwary_sultan
@anwary_sultan Жыл бұрын
@@jumakapilima7295 Hapo ss bwana Juma hyo ndo shida yenyewe.. okay umeshajua kuna shida mahala jitihada au mawazo yako kwaajili yako na vizazi vyako na maisha ya hapo bdae ni yapi au umeridhika na hali unasema ni sawa..? Je unakubali kuishi hvi milele na wjukuu wa wa wanao waje kuish kama ww..? Tafakar.
@johnstonedevos
@johnstonedevos Жыл бұрын
Uko na point nzito, am from Kenya na pia naeza sema ata pia wewe uko na sauti ambayo unaweza anzisha huu mjadala kupitia social handles na watu wakachangia si lazima Media kubwa waseme
@jewel7029
@jewel7029 Жыл бұрын
Very well said, you can play a big role by indulging yourself with the media andd becoming our voice. Congratulations
@peterokalo9632
@peterokalo9632 11 ай бұрын
This the same things same thing too in European in waidii staying together
@peterokalo9632
@peterokalo9632 11 ай бұрын
Wahiidii they hardworking peoples families 👏🏽☝🏽✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿☝🏽🪐✌🏽👌🏽
@jojotanzan609
@jojotanzan609 11 ай бұрын
Yaani ni kweli kabisa ninaishi na boyfriend wa kihindi sasa ni miaka minne ila amenifundisha mambo mengi sana na nimeisha fanya vitu vingi kupitia yeye kila iitwapo leo nazidi kumuombea ili niweze kujifunza vitu vingi kupitia yeye
@edwardouma1630
@edwardouma1630 9 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akuzidishie hekma na mafanikio milele daima 🙏
@salimmalaka256
@salimmalaka256 13 күн бұрын
HAMUWEZI KUWA KAMA WAHINDI NG'OO KIBOKO YA MUHINDI NI MCHINA TU AMBAYE KAIKAMATA DUNIA KWA MUDA MFUPI TU
@AbediySaidi
@AbediySaidi 11 ай бұрын
Mungu akubrikiye Muzee afrika inataka hibyo 👍
@abdiqdir4548
@abdiqdir4548 Жыл бұрын
Dood theacher Asante sana
@abdiqdir4548
@abdiqdir4548 Жыл бұрын
Good
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Kweli ukosahihi sababuhiyo ndoimechangia kusema afrika hatuna asiliyapesa hongera sana
@cizandayishimiye1696
@cizandayishimiye1696 Жыл бұрын
@jimboulaya
@jimboulaya Жыл бұрын
@4:16 rekebisha Asas asili yao sio wahindi wale ni washihiri wa Yemen.
@abdubakar5428
@abdubakar5428 11 ай бұрын
Kweli
@rasnchimbi
@rasnchimbi Жыл бұрын
😂😂😂😂Daah! Kweli jamaa amewapa za uso wabongo.
@angelokamugisha8682
@angelokamugisha8682 4 ай бұрын
Hivi ni mimi tu au Waziri mkuu wa India ni CEO wa google akiwa kavua miwani
@stillmbaga1056
@stillmbaga1056 Жыл бұрын
Madini ya ukweli sana. Endelea kutupasha
@jumaatubu
@jumaatubu 10 ай бұрын
Wahindi wana mengi tujifunzen waafrika na sio biashara tuu
@goodluckdavid7806
@goodluckdavid7806 Жыл бұрын
Facts brother
@rodabeutychannel6626
@rodabeutychannel6626 Жыл бұрын
Mimi Niko INDIA 🇮🇳 Mungu anisimamie Kwakweri 🇹🇿
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Tanzania kuna nini😂😂
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Unafanya nn India
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Ndugu yangu nilikuwa nakuheshimu lakini kuanzia leo nakufuta mpumbavu wee yaani unafurahia watanzania wezako kupigwa na wahindi ndani ya Tanzania 🇹🇿 yao? jitafakali mara mbili kabla ya kufungua mdomo wako usijione mjanja peke yako wa kufundisha watanzania maisha hivi unalijua ya kwamba hao watu wanatuita sisi ni Manyani? Na hawaamini kama sisi ni binaadamu? Kuna ndugu zetu wameasilika kimaisha kupitia hawa watu na hayo matamshi yako ya kipumbavu na ya kijinga jinga ndio unazidi kuchochea moto ili jamii yetu iendee kunyanyaswa na hivi viumbe kwa hiyo ndugu yangu NAKUONYA kuanzia leo iwe mwisho wako kuzungumza mambo ya HATARISHI KAMA HAYA KWENYE JAMII YA WATANZANIA poleni sana kwa watanzania wote mrioumizwa na hizi kauli TATA 🙄🙄🙄😭😭😭😭
@ismailkan2171
@ismailkan2171 Жыл бұрын
Upo India jimbo gani?
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Жыл бұрын
@@shinipapaya846 watu wote duniani Wana tabia ya kudharauliana, humu kwenye mitandao mtu mweusi ana mwita mwenzake umbwa! Acha chuki za utafauti wa rangi. Tena sisi wafrica tunasaidiana kwenye misiba na kunywa pombe, rafiki yako atakupa pombe sio mtaji.
@godwinabuto4695
@godwinabuto4695 5 ай бұрын
Hata hao wanafilisika pia hata wao nimaskini sana nenda dubai utakuta wahindi ndo wabeba mizigo fanya bidii weka malengo yako inawezekana njozi yako kuwa kubwa sema wao wanatuzidi kueshimu taasisi za fedha
@the_carstar
@the_carstar Жыл бұрын
Ninachoipendea bongo mchambuzi mwenyew bado hajajifunza kwa hao wahindi .....ningesema mengi sema hela Sina zinakuwa kelele tu 😂
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 Жыл бұрын
Umepatia sana usikute naye anatoka bunju kwenda posta
@kadmc9124
@kadmc9124 Жыл бұрын
🤣🤣😁
@blesseddidos7970
@blesseddidos7970 10 ай бұрын
😥😭😱
@abdillahimohammed3544
@abdillahimohammed3544 Жыл бұрын
Sisi ni ponda mali kufa kwaja ili mradi mtoto wako na hata mjukuu akatafute zake
@FatmaMohamed-jw2lc
@FatmaMohamed-jw2lc 5 ай бұрын
Nachekaa😂😂😂 ukweli mtupu
@hellenwande
@hellenwande 3 ай бұрын
Tunakuwaje na misingi ya biashara wakati falsafa yetu ya kiuchumi si ya market led development, wala sio ya state development, kwenye elimu somo la bookkeeping na commerce kwa nchi yetu sio kipaumbele, tunahamasishwa kwenye science subjects wakati mwanafunzi hajui hata kuandaa kutengeneza oxygen mpaka anafika kidato cha nne, wenzentu wamekubali kuwekeza kwenye misingi ya biashara
@clever355
@clever355 Жыл бұрын
Umeongea pointi sana aise
@MrSokwe
@MrSokwe 19 күн бұрын
Huwezi kuwashinda Wahindi kwenye akili ya biashara. Marekani hotel zote kubwa meneja ni Muhindi.
@94winga
@94winga 18 күн бұрын
Hahahahah sisi weus kaz tunayo sana unaoa mke ukifiliska anakukimbia 😂😂
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔
@surusuru1994
@surusuru1994 11 ай бұрын
Wallah nimechka nikwli haswa😂😂😂😂😂😂😂
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 11 ай бұрын
Sasa kama ndugu yako au mke wako anaweza kwenda kufanya fitina, au kuloga ili usipate au ufilisike, kuharibu mahusiano hata na watoto hapo kila mtu ataishi kivyake, hili tatizo limetokana na tamaduni zetu kwa jamii zetu na koo zetu. Hatuwezi kuwa na succession kirahisi
@andreymalisa9852
@andreymalisa9852 Жыл бұрын
Maamae wabongo wanarooooga uwiiiiiiii....
@nibccreationmedia2168
@nibccreationmedia2168 Жыл бұрын
Tunataka Kenya
@FredericNIYOMWUNGERE
@FredericNIYOMWUNGERE 4 ай бұрын
Asant Denis
@bakariomary5781
@bakariomary5781 Жыл бұрын
Mhindi habembelezi mteja anakuambia "kama italipa chukua kama hailipi acha"
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Sio biashara Tu, hata kama kuliachwa vimali vingine, mzazi akifa Tu, watoto wa Kiswahili wanakimbilia Kuuza ili wagawane kila mtu afe na chake, kwahiyo kila siku mswahili anaanza moja,,,,sasa utajiri utakuwa lini?
@georgendiga
@georgendiga 3 ай бұрын
Kenya kiswahili ya ndani ngumu, wahindi ndio wenye biashara kenya kubwa. Familia ndio wanafanya biashara
@henryj3304
@henryj3304 20 күн бұрын
Huu ni wakati wa kumpa mtanzania ukweli wake ili akili yake ibadilike
@PhilipoMabula-ky9vs
@PhilipoMabula-ky9vs 5 ай бұрын
Kweli bro umenipa kitu mkichwa
@polycarptarimo5141
@polycarptarimo5141 Жыл бұрын
Wakti nakutana na hii video niliwaza kuipuuza ila nimejifunza mambo makubwa mno nimeshuhudia watu wengi pengine leo wangekuwa ni mabilionear lakini mtaji wa milion 10 alio nao kila siku baada ya kazi ni bar ni kuwa pedeshee n.k
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm Жыл бұрын
Siri gani eti siri nzito
@DoriceDaniel-ct4co
@DoriceDaniel-ct4co 11 ай бұрын
Mbona unaniamsha
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha Жыл бұрын
Too generalized. Si kweli. Mbona wapo waswahili wengi ambao biashara zao hazifi. Mnaandika bila kufanya hata utafiti. Jiulize. Je wahidi walikujaje Afrika? Jibu, waliletwa na wakoloni wa kiingereza, wakapa nafasi ya kuwanyonya Waafrika na kila upendeleo hata mikopo wakapata mtaji wa dezo utokanao na jinai ya ukoloni. Pili, wamepata fursa nyingi ambazo waswahili hawapewi kama vile muda wa kukaa pamoja kwenye magenge yao kujadili na kutathimini biashara yao. Hiki ni kitu cha kawaida kwa watu wengi wanaoishi diaspora. Lazima mtafutte muda wa kujitathmini. Pia, baada ya kupata uhuru, watawala wengi fisadi wa kiafrika waliwatumia hao hao kuibia nchi zao kwa vile ni rahisi kuwafukuza inapotokea kashfa. Rejea kutoroshwa kwa jambazi Chavda wakati wa ruksa na wengine waliopata fursa za kifisadi kama Gulamali. Hata hawa manowafisia, ima wamepata utajiri kijinai wakisaidiana na watawala wetu wa hovyo, au wamewanyonya wananchi wetu. Sifichi jina langu. Nimekulia Kariakoo nao na nimefanya biashara nao. Hivi watu kama Rostam Aziz unadhani wana utajiri halali wakati wao ndiyo walioleta Richmond? Mbali na hilo, waswahili bado wanawaabudia wahindi ambao wanaowana kama weupe wakati huku Ulaya nao wanaitwa watu wa rangi (people of colour) sawa nasi wamakonde. Pia, wahindi ni wachoyo na wabuguzi kiasili tokana na mfumo wao wa caste wa kibaguzi. Hata hivyo, wapo wahindi wasioshiriki katika yote hayo ambao ni maskini. Hata hivyo, tokana na uchache wao, wanahifadhiana. Ni siku hizi tu baada ya gwiji Christopher Mtikila kuwachachafya tumeweza kuona wahindi maskini. Kabla yao, kwa sababu ya ubaguzi, walikuwa wakibebana ili waonekane matajiri wakati si wote. Pia, ujue ni wachache barani ikilinganishwa na sisi wamakonde. Kwa waliowahi kwenda India na Pakistan, Bangladesh na kwinginenko ni mashahidi kuwa kuna maskini wengi wahindi kuliko waswahili. Nimalizie kuwa chambuzi zenu nyingi si za kisomi bali chuku.
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 Жыл бұрын
Wew c mwelewa,asilimiaa kubwa wahindi biashara hazifi,unakutaa biashara ni ya mwaka 1800,mpaka leo ipo,nitaftiaee mbogo ambaee biashara yake ni ya 1800 ni yupi
@KV_LP
@KV_LP Жыл бұрын
@@richardsaidi2448 Sasa mwaka 1800 Tanganyika kulikua na uchumi wa biashara naww🤷🤷,.. Watu walikua wanafuga ,wanawinda na kulima tena mazao ya kula wenyew,Trade zenyew zlikua zakubadilishana vitu na sio hela , huwez kuanza kulinganisha tu bila kuangalia circumstances tofaut tofaut,... Yan huyu narrator amechukua tu stereotype ya wahindi na biashara akaona ana content 😅,.. Wakat zipo biashara za familia za Japan ambazo zko arround For centuries, ziko familia za kizungu zinautajir wa nusu millennium, Kuna wayahud marekan ambao ni notorious kwa ku transfer wealth n opportunities kwa ndugu zao .Hii sio exclusive kwa wahindi NA sio kitu cha ku Adore Kwa sabab kwny kila concentration ya wealth hua kuna elements za kinyonyaji kwa watu wengine , either kwa advantage ki siasa , mitaji ,mifumo ya fedha nk
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Umejibu vizuri sana , mengine aliyoyasema katika wamakonde yupo sawa kabisa , mfano kutomfunza mtoto tangu awali njia zamafanikio katika fedha
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Жыл бұрын
Pumbavuu kaa pembeni wewe umekalia unafiki tuuuuuu tafuta cha kwako mbwaaaa wewe wacha watu watafute Riziki zao kutoka kwa Mwenyezi Mungu na Riziki huzitoi wewe khanidhi wa FITNA na huna mpango wowote masikini mnafiki mkubwa na usilete upaguzi aliosema Mtangazi ni kweli kabisaaa 💯 sio wewe kenge umekalia Unafiki tuuuuuu na ndio maana Mwenyezi Mungu kakulaani huendelei fisi uuuuuwiiiiii wewe wacha wenzako watafute maisha yao na hapa hakuzungumzia ukoloni falaaa wewe kazungumzia biashara mbona unataka kuleta upumbavu kwenye mada hii nyani bila mkia pumbavuu kaa pembeni wewe kasikilize Wanafiki wenzako usilete Unafiki wako humu pumbavuu masikini mkubwa falaaa wewe
@idrisamara6510
@idrisamara6510 Жыл бұрын
umechambua vzr, good work
@user-cr2xv4qw5d
@user-cr2xv4qw5d 11 ай бұрын
Leo.nimeongeza.darasa
@perfectchoiceenterprises
@perfectchoiceenterprises Жыл бұрын
Ila mo Anauza hadi tv na subwoofer Kariakoo
@maadinaaasthman3848
@maadinaaasthman3848 19 күн бұрын
Wahindi wanatamba huko Tanzania tu si kenya
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 13 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 140 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 97 МЛН
OMG😳 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:58
Potapova_blog
Рет қаралды 4,4 МЛН
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Global TV Online
Рет қаралды 811 М.
Tips to succeed in business without loans
44:54
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 192 М.
Vitu Vinavyopoteza Focus Yako Kwenye Maisha - Joel Nanauka
14:16
Hamasika Tv
Рет қаралды 47 М.
Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi
11:32
Pesa360
Рет қаралды 65 М.
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 13 МЛН