No video

MSWAHILI:ANUSURIKA KUFA ,MOTONI /AIBA MSIKITINI MPAKA KANISANI/ACHANGISHA MCHANGO KWENYE DALADALA

  Рет қаралды 80,487

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 149
@halimamis4236
@halimamis4236 2 жыл бұрын
Usimdharau usimhukumu usie mjua...Hakika Allah humjua Mja wake Nafsini mwake, Bismillah...masha'Allah
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
Mashallah Elimu ya dini unayo allah akufanyie wepesi utubu kabla ya umauti na urejee kwake na Allah awe radhi na wewe ili uwanze kujitakasa kwa swala za toba, allah akupe mwisho mwema na atupe mwisho mwema na sisi tulobakia maana hatujui kesho yetu 😭 maana dunia duru
@senenembeya.9753
@senenembeya.9753 2 жыл бұрын
Kwakweli tujitahidi kuisoma dini na kuwasomesha watoto dini.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Maaashallaaaaa hakika alikufungua katika adhabu Kwa hiyo sura inanusuru mambo mengi Allah akuongoze katika njia ya haki na atupe mwisho mwema
@mujibushamba4383
@mujibushamba4383 2 жыл бұрын
Ll
@seifahmed9689
@seifahmed9689 2 жыл бұрын
Ameen inasikitisha sanaaaa wallah
@jamalmohamed3400
@jamalmohamed3400 2 жыл бұрын
Amin Thumma Amin
@jamalmohamed3400
@jamalmohamed3400 2 жыл бұрын
SUBHANALLAH...ALLAH AZIDI KUMUONGOZA NDUGU. NA HIO POMBE pia weka kando .
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Allah akuongoze ktk njia inayompendeza uache na hyo pombe inauma mtu anaejua dini kwakweli ila kwa Allah hakuna kubwa
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 2 жыл бұрын
Such a touching story wallah Allah hadha wajaallah akuongize uache kila kitu ufanye ibada jamani kijana mzuri MAA shaa Allah
@corneliuslangat7834
@corneliuslangat7834 2 жыл бұрын
Am watching from Kenya...Zembwela you are a great talent. Excellent work.
@Shariff143
@Shariff143 2 жыл бұрын
Swadakta brother this my first time to comment on any platforms,this is true my brother we want to see you in good path and you will get the success that you want,Also i am in that Journey with you guys we need to see him after some months thanks
@anordgwakisa7524
@anordgwakisa7524 2 жыл бұрын
Vzr saana
@husna34562
@husna34562 2 жыл бұрын
Mashallah naam amepata usaidiz na in sha Allah atakua sw
@zainabmkuya5151
@zainabmkuya5151 2 жыл бұрын
Ni Maisha tu...Allah atakufanyia wepesi Kibelero urudi km zamani,very smart handsome...kaka la nguvu
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
Mume huyo sasa
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 2 жыл бұрын
Kazi nzuri Zembwela. Big Up 🙏
@mwljuliuskiwovele223
@mwljuliuskiwovele223 2 жыл бұрын
Sema Zembwela ni mtaalamu sana wa kuhoji na anaendana na saikolojia ya mtu mwenyewe
@user-sf5lk3qo4s
@user-sf5lk3qo4s 5 ай бұрын
Allah amfanyie wepes pia akuongoze
@ahmedsalim4930
@ahmedsalim4930 2 жыл бұрын
MASHAAALLAH na anajua vizuri kurana Allah amuongoze
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Yani kaka imeniuma jamani kumbe unadini yako umesoma daa Rudikwa Allah Allah kakupima Imani tulia uswari acha pombe jamani Allah atujaaliemwishomwema
@wisemanking001
@wisemanking001 2 жыл бұрын
Marekani nakufatilia mnoooo....ahsante kaka Zembwela! Kipindi kina mafunzo mengi aiseee. Ahsante.
@baysuraoman7910
@baysuraoman7910 2 жыл бұрын
Samahani ndugu nitafutie kz uko
@moricemorice75
@moricemorice75 2 жыл бұрын
Aisee mswahili Dr Sina cha kusema ila haya maisha bus tu pole Sana kaka #kibelelo haya ndio maisha nimejifunza mengi ila Mimi ningekua na kitu ningemtoa ila Sina namuna mwenye uwezo amtoe tafadhari jaman
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 2 жыл бұрын
Mashaalah allah akutangulie mpaka mwixho wa maixha yako
@momomlaga7403
@momomlaga7403 2 жыл бұрын
Kaka nakumbuka tulivyo kupa kipigo ww...aiseeee noma sana
@abasmwika3432
@abasmwika3432 2 жыл бұрын
Allah amuongoze ila dunia imemchakaza simchezo kachakaa!!!
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 жыл бұрын
Masha"Allah Allah amekunusuru
@emmanuelchejo7154
@emmanuelchejo7154 2 жыл бұрын
Bro zembwela natamani nikutane na ww kweli we no chuma cha pua.. Mi nipo iringa kaka we ni icon..
@muhasatv9245
@muhasatv9245 2 жыл бұрын
Wangapi wameskia ova ova
@mpilimussa7322
@mpilimussa7322 2 жыл бұрын
Story naijua vizuri home boy magomeni kagera
@mzeekara2370
@mzeekara2370 2 жыл бұрын
Babuuu tuna enjoy sho ila mna chelewa kuachia shoo , mswahili toka pande z Saudia Arabia
@rosemuba2532
@rosemuba2532 2 жыл бұрын
Zembwela your the best
@kevintungucha9725
@kevintungucha9725 2 жыл бұрын
Kakangu zembwela mimi nipo mombasa na nina mdogo wangu wa damu yeye ni zaidi ya kibe walahi kama utakuwa na muda nitafute nikueleze bro
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 2 жыл бұрын
Rete namba hatamm na media
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 2 жыл бұрын
Wewe ni human resource kwenye jamii yetu kama t-shirt ulovaa tunakuthamini ndugu yetu Allah aendelee kukuongoza
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Maashallah umeongea vizuri
@philippascalmusyoki5417
@philippascalmusyoki5417 2 жыл бұрын
Amazing,,, let's keep going
@mbaichris8772
@mbaichris8772 Жыл бұрын
Kazi Bora tunaona kutoka mbali
@Amylotu
@Amylotu 2 жыл бұрын
Mashallah 🙏
@kareemabas2610
@kareemabas2610 2 жыл бұрын
Mungu akujaalie msela wangu Kiberelo
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 2 жыл бұрын
Ila zembwela hakuna maisha ya uhuni usiyoyajua, we nawe Ni mstaafu kudadeki
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 2 жыл бұрын
Zembwela amezaliwa kwenye maisha hayo so.! anayajua vema anachoongea..kifupi mtoto wa mjin, tena alikua kwao magomen mjin sana.. 😂😂😂
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
@@sumayasumaya6455 Yes huyo mtoto wa mjini ile ile
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Жыл бұрын
Mr..zembwe broo uko pwa.unavumbua,unaonya jamiii kufundisha pia.tupiaga manambaaako nikupe michongo.
@immah_deo19
@immah_deo19 2 жыл бұрын
Alhamdulillah
@gratiouskimberly2949
@gratiouskimberly2949 2 жыл бұрын
Umetisha mkuu. Kweli mswahili..salamu kutoka Berlin
@tonyspencer1928
@tonyspencer1928 2 жыл бұрын
Ndugu yangu madeal hakuna huko tufanye mpango tuje huko ndugu yangu
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Huyo kweli Kibelelo yani katoka hospitali watu wamemchangia kaenda kula poda tena🤣🤣🤣🤣
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani yarabi tunusuru sisi na vizazi vyetu na hili janga lililo ingiya katika duniya piya mola wetu awaongoze walio ingiya katika hili janga
@yussufmachano124
@yussufmachano124 2 жыл бұрын
Mashallah
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
Mambo ya Zamaniiiii zembwela bwana nakumbuka enzi zako za hujakwama ukikwama utakuja.
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 2 жыл бұрын
Nice from 🇸🇦 👌 👏 👍
@pendalaizer8853
@pendalaizer8853 2 жыл бұрын
Nimecheka sana
@chunanachu2529
@chunanachu2529 Жыл бұрын
Nakukubali sana zembwela
@happinesskitali164
@happinesskitali164 Жыл бұрын
Mungu anamakusudi nawewe uliponea kwenye tundu la sindano
@hassanmussa3664
@hassanmussa3664 7 ай бұрын
Kibe The hunter more blessings 😅
@rashiidrashiid9801
@rashiidrashiid9801 2 жыл бұрын
Mashalla uyo ni kiboko.
@dayah2554
@dayah2554 2 жыл бұрын
❣🤲
@lastbornsaadah7632
@lastbornsaadah7632 Жыл бұрын
Vijana wanaelimu akhera 🤒 daah natamani kulia wallah vijana tuachemambo mabaya
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Nilimiss hili pindi babu saluti
@amribihoga5127
@amribihoga5127 2 жыл бұрын
ZEMBWELA kaka kipindi chako kweli kinatoa funzo kwa jamii sana vijana waachane na matumizi ya madawaya kulevywa vijana tufanye kazi tuachekukaa vijiweni tumkumbuke mungumwenyezi
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 жыл бұрын
Yani wanaokwenda ulaya kufuata maisha, maisha si ndio haya hapa bongo sasa 😂😂😂 Dah sihamiiiii !! Ulaya ntaenda na ukwaju nieke kwenye zile barafu zao za bure nile 😂😂😂😂
@ffrank6754
@ffrank6754 2 жыл бұрын
Uwiiiiiiiiiiiii uwiii7ii mbav zang mie
@runyadraft1519
@runyadraft1519 2 жыл бұрын
Dah mwana katokea kwenye tundu la sindano💥💥💥💥💥
@cutecute5269
@cutecute5269 Жыл бұрын
Wallah nimempenda bure huyu kaka 😂😂😂😂ni Mjanja
@martinsamatajr7972
@martinsamatajr7972 2 жыл бұрын
mzee kibe kamkumbuka MUNGU baada ya kuona kifo chaja 😂😂😂😃😃😃😃
@hamisimuna125
@hamisimuna125 2 жыл бұрын
Zembwela😍😍😍
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 2 жыл бұрын
Asifiwe YESU ambaye ndie anae amua umauti umfike mtu,,, mshukuru sana MUNGU kwani amekupa chance ya kuishi ili uyasimulie matendo yake
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 2 жыл бұрын
Anaamua umauti wakati yeye anakufa aliemfisha nani?acheni ujinga
@hassanmussa3664
@hassanmussa3664 2 жыл бұрын
Kibe duh ww kweli ni the Monsters
@rasterwangu9708
@rasterwangu9708 2 жыл бұрын
Daah kibaka kaenda madrasa
@eliyanibitanga4770
@eliyanibitanga4770 2 жыл бұрын
But damn
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 жыл бұрын
Mzee kibenenga huyu jamaa miaka ya 2003 mpaka na 6 alikua ndio mtengeneza umeme maarufi popobawa mpaka mwembechai wakuitwa vishoka kkk
@eliaskemiti7785
@eliaskemiti7785 Жыл бұрын
Peraso peraso nini 😂😂😂😂😂 kuibaaa 😂😂😂 Zimbwela bwana
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 4 ай бұрын
Kwambaliii
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 ety vipigo hvyo adi kichwa kinabalu dah zembwela nyoko sna
@NajmasoudiNajmasoudi
@NajmasoudiNajmasoudi 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 pole
@fazeelshomary2704
@fazeelshomary2704 2 жыл бұрын
Kiberelo Lijendi 😁😁
@josephatjordan5560
@josephatjordan5560 2 жыл бұрын
Hahahahaha nmemuelewa snaa 😂😂😂😂😂
@davidkizito6900
@davidkizito6900 2 жыл бұрын
Eti pilaso, pilaso, zee mbwera sema wizi pilaso pilaso wapi😅😅😅😅
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 2 жыл бұрын
Nimecheka kwafuraha jamani
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 жыл бұрын
Kibelelo ni mtu htr 🤣🤣
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Kan'riakooo mia! Kan'riakooo mia!
@jamalmohamed3400
@jamalmohamed3400 2 жыл бұрын
Watu wanapiga vita wavutaji unga lakini wauzaji wanaigopewa au wanaheshimiwa... Kitu Cha kushangaza ni kuwa unampiga vita Teja alafu wewe mwenyewe ni mlaji riba au mfitishaji au hata huna heshima na wazazi. Siungi mkono uteja .....
@khdigahk4246
@khdigahk4246 2 жыл бұрын
Aende sobar house zimbwela weeee
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 2 жыл бұрын
Jaman mimi nimempenda Huyu kaka nampataje jaman nisaidieni
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 2 жыл бұрын
@@mohamedslh5478 😂😂😂hapana kuna kitu nataka tuzungumze maana nimeguswa sana na mkasa wake kwahiyo kama naweza kumsaidia insha Allah nitamsaidia
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 2 жыл бұрын
@@mohamedslh5478 hukunipa
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 2 жыл бұрын
@@mohamedslh5478 mmmh haya bana
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 2 жыл бұрын
Nenda wasafi mtafute huyu zembwela itakuwa laisi kumpata jamaa...huyu jamaa anaitaji kusaidiwa.
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 2 жыл бұрын
@@kaundasutikaunda7769 sasa mimi nipo Oman kabisa
@anestomgoiganga2031
@anestomgoiganga2031 Жыл бұрын
Kibe boy 😆😆
@oscarmatapila6937
@oscarmatapila6937 Жыл бұрын
human resources tshirt ya mwana
@praisesteven7774
@praisesteven7774 7 ай бұрын
HR wa weziiii 🤣🤣🤣🤣
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 2 жыл бұрын
Kweli mlimtoa mbali kibe
@awadhichimbunga2009
@awadhichimbunga2009 2 жыл бұрын
Mungu mkubwa.tumepata somo kubwa kaka
@thabitiykitwana1271
@thabitiykitwana1271 2 жыл бұрын
Dah huyu jma ni mwinzi hatari.
@hamisimuna125
@hamisimuna125 2 жыл бұрын
Kijana Natamani Apate Mtaji wa biashara
@mwajabuyusuph3945
@mwajabuyusuph3945 2 жыл бұрын
Ninampataje?
@elochoyakobo7809
@elochoyakobo7809 2 жыл бұрын
Sio mnamuhoji tu alafu mnamuacha hivi hivi..muwezesheni kiaina..!!
@sheylaomar2864
@sheylaomar2864 2 жыл бұрын
Eti kariakoo Mia😃
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 2 жыл бұрын
Daaaah ndo alikua hivi
@rosemuba2532
@rosemuba2532 2 жыл бұрын
😀😀😀😀🙏
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Ila Zembwela hahaaaaaa...duh
@cristinasofla5090
@cristinasofla5090 2 жыл бұрын
Zembwela bwana et vipigo hvyo😀😀😀
@mariammariam1812
@mariammariam1812 2 жыл бұрын
Apo kanisan noma saan😂😂😂😂😂
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 2 жыл бұрын
Cameraaaaaaa sio hd
@ridhiwanabass1273
@ridhiwanabass1273 2 жыл бұрын
Mh unatumia simu gani
@khadijamakuku9313
@khadijamakuku9313 2 жыл бұрын
Eti we usiniudhi zembwela kachimbwa biti
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 жыл бұрын
Pelaso pelaso nini! Kuibaaaaaaaaaa😎😎😎😎😎😎
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 2 жыл бұрын
Noma bana
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 2 жыл бұрын
Tafuteni camera nzuri
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 2 жыл бұрын
Cm yako ndo mbov
@OverdozClassic
@OverdozClassic 2 жыл бұрын
Watoto wapelekwe madrasa
@KhalfanSeleman
@KhalfanSeleman 4 ай бұрын
Biafra
@fancymixx1026
@fancymixx1026 2 жыл бұрын
😂😂😂😂🙌
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 2 жыл бұрын
Et tulkua na doctor wetu hiii
@tawhidislam4418
@tawhidislam4418 2 жыл бұрын
jamaa poa bro huyu hata akini iba nta msamehetu maana ni mwizi comedian anao chekesha kweli na cheka tu kumu angalia huyu na mpa hata na kazi 😂
@mansourmakame355
@mansourmakame355 2 жыл бұрын
Zembwera naomba ukamuhoji babuhaji wa znz baharia aliehojiwa na dar24 naamini ukimuhoji we itakuapoa sana
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Ata yule mshikaji mbona kamuhoji poa tu
@mansourmakame355
@mansourmakame355 2 жыл бұрын
Yaa ofcoz but vipaji vya kuhoji vinatofautiana hajahoji vibaya mshakji yuko vzr na nimependa str yote
@giftmbogela2435
@giftmbogela2435 2 жыл бұрын
😅😅😅😅
@sultannassor4868
@sultannassor4868 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 11 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
Ni kuri na njira njeru cia kweheria Rigathi Gachagua wabici-ini.
27:06
KAMEME OFFICIAL PAGE
Рет қаралды 1,3 М.
🔴LIVE: HARMONIZE KUIPAMBA SHEREHE  YANDA DAY TAR 4 #bahanzatv
5:31
MWANAFUNZI MALAYA
13:01
MR BIGI BIGI
Рет қаралды 1,1 МЛН
MKOJANI : TWENDE POLISI TUKAWAULIZE WANANIJUA/HUYU NDIYO ZUCHU
26:38
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 11 МЛН