MSWAHILI : KIJIJI CHA MBEZI BEACH/ KUNA MAISHA YA USWAHILI ZAIDI YA MITAA MINGINE YA DAR ES SALAAM

  Рет қаралды 105,790

Wasafi Media

Wasafi Media

3 жыл бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 200
@godfreyeliabu2582
@godfreyeliabu2582 3 жыл бұрын
Wakati naandika hii comenti naumwa nimetoa machozi sio kwasababu naumwa kwasababu ya maisha wanayoishi watanzania wenzangu wakiwa katikati ya matajili munguhuyo
@kibeyoonline7443
@kibeyoonline7443 3 жыл бұрын
Sure
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 3 жыл бұрын
Bro haya maisha sio fair ata kidogo na ukiyafikiria sana unaeza mkosea Mungu
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 3 жыл бұрын
Bro haya maisha sio fair ata kidogo na ukiyafikiria sana unaeza mkosea Mungu
@maruunyange1091
@maruunyange1091 3 жыл бұрын
Zembwela unajua kucheza na qkili za watu,,,, hongera broo
@kadulathumani7517
@kadulathumani7517 3 жыл бұрын
Zembwela interview yako na wananchi, inagusa sana mipango ya maisha. Pale mtu unapojipata almuradi mzima na afya ndio muhimu. Tuwasaidie mipango ya kupata maji na umeme
@emmanuelgabagendi3169
@emmanuelgabagendi3169 3 жыл бұрын
Dah! Nchi Yetu Bado Iko Nyuma Xan Ahsante Xan Brother Zebwela Mungu Akubaliki Xan Tu
@kingnicky2568
@kingnicky2568 3 жыл бұрын
Acha mazarau kila sehem dunian kna maskin....brazil kuna greatest slums , marekan kuna ny BG , china ipo .... kila sehem kna maskin na matajir
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
@@kingnicky2568 asante kwa kupenda KUSOMA . Umenifurahisha na kunisaidia KUMJIBU
@ummyhasheem2245
@ummyhasheem2245 3 жыл бұрын
@@kingnicky2568 tena dume zima anatumia x baadala ya s
@benardmapuga8370
@benardmapuga8370 3 жыл бұрын
Kwa mtt wa kiume kutumia neno X kiukweli sio kbs
@hyasintndimbo2998
@hyasintndimbo2998 3 жыл бұрын
Good good🤗🤗🤗🤗 mi ndo mswahili na hao Ni waswahili wenzangu
@parma786
@parma786 3 жыл бұрын
Zembelaa safi sana uswahilini mbezi beach I like what you're doing the great zembela
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 жыл бұрын
Zembwela safi sana tulikumisi kitambo pita pita sehem kama zamani.Ongera By Mtwara
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 3 жыл бұрын
Nakupenda sana zembwela kwa kaz mzr unajitaid sn napenda unacho kifanya
@malikzafarani172
@malikzafarani172 3 жыл бұрын
CHOMBO KWA HEWA NA BABU ZEMBWELA PINDI LANGU BORA KABISA 🇶🇦
@patricktaylor602
@patricktaylor602 3 жыл бұрын
Zembwela hongera sana mzee baba unajua mnoo,umekomaa sana kikazi
@tahirmasoud1953
@tahirmasoud1953 3 жыл бұрын
Very good documentary film and educational.
@felixochungo5656
@felixochungo5656 3 жыл бұрын
Odemba Swahili safi
@jacksonsimon5020
@jacksonsimon5020 3 жыл бұрын
Zembwela huyo MAKWINYA ni mtu maarufu sana hiyo Mbezi. Na miaka hiyo 97 apo palikuwa sehemu maarufu sana kwa uuzaji wa pombe za kienyeji ikiwemo GONGO. Na mjumbe amekwambia wanakamatwa sana lakini sababu kubwa nafikili sio kulewa mapema bali ni uuzaji wa GONGO. Miaka ya hiyo hiyo sehemu ilikuwa inafaamika kama MBEZI KWA MAKWINYA. Zembwela umenikumbusha mbali sana.
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 3 жыл бұрын
Yaani dar Kuna watu wanaishi Kama wako ulaya hata joto la dar hawalioni lakini pia Kuna watu wanaishi maisha duni hata unajiuliza hii ni dar au wapi???
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Hata Ulaya au America kupo hvyo hvyo.
@jambo3751
@jambo3751 3 жыл бұрын
DUH!! Yaani mtu ndio anakwambia yuko DAR tena anaishi MBEZI!!! Halafu anakwambia wewe unaishi Mikoani yeye yuko JIJINI!!!
@msalikemedia
@msalikemedia 3 жыл бұрын
Hahaha nimecheka sana daah yaan hapa eti ni dar
@shedrackmwaipopo9427
@shedrackmwaipopo9427 3 жыл бұрын
Nomaaa
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️
@omaryonga1776
@omaryonga1776 3 жыл бұрын
Vijiji vya kutengenezwa hivo.....haya tuonyeshwe hayo mashamba hapo ni uswahilini
@omaryonga1776
@omaryonga1776 3 жыл бұрын
Ndio ana haki ya kusema hivo haina maana sehemu yote iwe sawa....hata huko Ulaya kuna sehemu sio NZURI.
@daudmtange8005
@daudmtange8005 3 жыл бұрын
Jah bless tanzania
@ahmadjuma3816
@ahmadjuma3816 3 жыл бұрын
Sasa walevi hawa Kuna sehemu ya kufanya ibada kweli hapa natumai utachukuwa kipande kirefu kukuta mskiti au kanisa halafu munatutambia wa mikoani mimi nipo dar ,dar yenyewe ndio hii
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 3 жыл бұрын
😂kwakwel bora tuliopo mikoanii
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 3 жыл бұрын
Ukosikia dar kilakitu kipo ndio mana yake
@muniracheusi9955
@muniracheusi9955 Жыл бұрын
Mungu anaombwa popote pale sio lzm msikiti au kanisa niww na iman yako tu endapo Unaona unataka kuabudu eneo tukufu basi huna budi kwenda lilipo kama hapo hakuna pa kuabudu
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 3 ай бұрын
Hamna sehemu haina masikini hata marekani ndani ya New York kuna watu wamechoka
@fatmahamisikipindura6640
@fatmahamisikipindura6640 3 жыл бұрын
Zebwera nakukubali sana ila nikikuona namkumbuka Sana maksi jamani😅
@georginajohn8456
@georginajohn8456 3 жыл бұрын
Mzeee Makwinyo naomba unikatie kiwanja huko nimependa Maisha ya uswazi kijijini
@samclassic7613
@samclassic7613 3 жыл бұрын
Babu kama babu mwenye uswahili wake pindi safi sana hili
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 3 жыл бұрын
Nlifikiri huyu dada wa mtani jembe ndio atakua na akili kidogo kumne afadhali ya Mtani Jembe😂😂
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 3 жыл бұрын
Et kunywa mnazi kwanza chakula badae😂😂😂😂🤣
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 3 жыл бұрын
Yaani hao matajili hapo wameshindwa kiwasaidia hao ndugu hapo jamani daah
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 3 жыл бұрын
Matajiri Wana roho mbaya sana
@mutomubaya
@mutomubaya 3 жыл бұрын
Viongozi wanaofundisha watu kumjua Allah wako wapi? Maendeleo yatapatikana huku wenyeji wakifunzwa kusoma Qur'an. Lau sivyo watu watadhani maisha mazuri ni kunywa gongo, kucheza ngoma, na ndoa zisizo halali utazipata kwa wingi. Wahubiri mtalaumiwa kwenda Congo kuhubiri hali mnaacha kwenu.
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Zembwela nakuona mashallah
@boazambokile2587
@boazambokile2587 3 жыл бұрын
Mtangazaji upo real sana hujali ungeenda na suti hapo sijui kama mngeelewana 😛
@lastbornsaadah7632
@lastbornsaadah7632 Жыл бұрын
Daah kama soweto
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Zembwela we noma san unamnunulia pombe wakat anakuambia ana njaa hahahaha
@georginajohn8456
@georginajohn8456 3 жыл бұрын
C ili Afe mapema hahahaaaaaa
@flavianchuwa4370
@flavianchuwa4370 3 жыл бұрын
😀😀😀🙌🙌🙌🙌zembwela hujawahi feli mtaani
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 жыл бұрын
Mtani jembe alisahau na miriam Odemba wasafi tv mbavu zangu mimi safi sana
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 3 жыл бұрын
Mhhhh makubwa kweli maisha wanaishi kwenye mabanda jamani
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Daah kumbe katikati ya matajiri kuna maskini kiasi hicho huko huko 😭
@classicmido88
@classicmido88 3 жыл бұрын
Pata hela utafutwe kosa hela uwatafutee😂😂😂😂😂
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 жыл бұрын
Haswa mkuu😂😂
@maryannqyut8194
@maryannqyut8194 3 жыл бұрын
Bekaaaaa😘😘😘😘😘
@erickmahona5357
@erickmahona5357 3 жыл бұрын
Noma
@RioIpo
@RioIpo 3 жыл бұрын
Hao walevi dah mchana washautwikaaa
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Fabulousmom509
@Fabulousmom509 3 жыл бұрын
Eti yule chibonge.. Wabongo nawapenda hawamind majina majina
@suzanfelix8065
@suzanfelix8065 3 жыл бұрын
Jamani wapi wamakonde wenzangu wakuje hukuuu
@amour5535
@amour5535 3 жыл бұрын
😊😊😊😊😊🙏🙏🙏
@lubungaetienealmasi1059
@lubungaetienealmasi1059 3 жыл бұрын
🇨🇦🇨🇦🇨🇦 uswahiii ndo nimezalia siwezi sahu asili yangu
@gehazmakoga1018
@gehazmakoga1018 3 жыл бұрын
Wangapi mlimc USWAZI naona imerudi
@glorysamola1151
@glorysamola1151 Жыл бұрын
Mbez milimaaa
@hamadinuru1450
@hamadinuru1450 3 жыл бұрын
Safi sana babu zembwela
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 3 жыл бұрын
❤❤❤
@pettyjongera1295
@pettyjongera1295 3 жыл бұрын
Hapo kwenye Odemba OG
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 3 жыл бұрын
Zembwela ni nooomaaaaa 😘😘😘😘
@josej9888
@josej9888 3 жыл бұрын
Alipo tupo #Mswahili
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 3 жыл бұрын
Hongera Jose J mzarendo wa kweli. Najua unajua kwa nini nimekuita mzarendo
@ramadhanngwaya0119
@ramadhanngwaya0119 3 жыл бұрын
Safi Sana
@kambeylesaito3204
@kambeylesaito3204 3 жыл бұрын
Odemba Tena 😂😂😂😂😂😂
@mwadinihaji5678
@mwadinihaji5678 3 жыл бұрын
Very nice lady kipindi
@alikarisa
@alikarisa 3 жыл бұрын
Mbona Mbunge wao asiwajengee nyumba za bei rahisi. Ama awafanyie mpango wa umeme wa Lea Na maji Safi?
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Hiyo sehemu sio halali yao hao ni wavamizi wanaletana mmoja mmoja mpaka wamejaa hivyo ila hiyo sio sehemu ya makazi ni barabara hiyo.Ila wao wanaona ni haki yao lakini hawana haki Serekali inatakiwa iwahamishe ikawapimie viwanja kabla ya wao kujiona wana haki mpaka ije iwe shida kuwatoa.
@impeccable6974
@impeccable6974 3 жыл бұрын
HAO WATU WAACHWE HAKUNA MAHALA PAKOSAPO MASKINI,NA NDIO MAISHA ,SERIKALI IWAPE HUDUMA NZURI.MI NAFURAHI MAISHA HAYO YANA AMANI
@stevensteve7519
@stevensteve7519 3 жыл бұрын
Kuliko kuishi Dar namna hii nachagua kuishi kijijini kabisa. Alafu unasikia fulani Yuko Dar!
@daprince7545
@daprince7545 3 жыл бұрын
😄😄😄😄
@Hawa-ed2hg
@Hawa-ed2hg 3 жыл бұрын
💥💥💥💥
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 3 ай бұрын
Kaka hiyo t shirt haifanan na za ndugu zetu wa lugalo kweli
@willfredmunuo382
@willfredmunuo382 3 жыл бұрын
Serikali inatakiwa iweke hayo mazingira yawe vizur kwa hawa watu nyumba za mabati kwel dar es salaam tena mbezi hapo sio salama kiafya . Serikali ingetengeneza nyumba ndogo nzuri na affordable kwa hawa watu pamoja na maji
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
We uwoni barabara iyo Nani kajengewa bule nyumba na serikali
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Serikal ifanye nini pahala hapo wakati hiyo ni sehemu ya barabara
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 3 жыл бұрын
Hao Ni wavamizi siku watatolewa hawataamini!warudi tu kijijini kulima jamani mwe.
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 жыл бұрын
Twiseghe Kisilu . Tena wamesema wenyewe, alianza Mmoja tu kuja hapo, wakaitana na kuendelea kuitana kutoka kwenye Vijiji vywao mpka wakajazana hapo na kubanana kwenye Eneo la wazi la Barabara,
@zainabmwengela5987
@zainabmwengela5987 3 жыл бұрын
Kwa kuanza tu kakutana na wenyeji bila shida🤣🤣🤣🤣
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
😂😂😂
@ip_header
@ip_header 3 жыл бұрын
Kama ni open space au hifadhi ya barabara, kuna hatihati ya kutolewa hicho kijiji mbeleni
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Sio mbeleni ndugu yangu ikiachiwa kuwatoa hapo ni kazi maana wanaendelea kuzaana hujue .Kwa kuwa sio sehemu sahihi ya makazi ni kuwatoa ila Serekali ya mtaa wanapewa vumbi ndio maana hawawatoi hapo.Kisheria sio sahihi uvamizi wa sehemu hiyo.
@meshackdancer1396
@meshackdancer1396 3 жыл бұрын
Aaaaah kijij
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 3 жыл бұрын
Kijiji cha walevi.
@clevalupakisyo7460
@clevalupakisyo7460 3 жыл бұрын
Aiseh hii ni jiji hii!. This is Dar
@edwinmbugua7738
@edwinmbugua7738 2 жыл бұрын
Harmonize saidia ndugu zako
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
N'GWADU a.k.a Mo DEWJI
@jordanjordan3935
@jordanjordan3935 3 жыл бұрын
Nyuzi bendi.. ndio daily new😂😂😂😂😂😂
@suleimangodana3332
@suleimangodana3332 Жыл бұрын
Hao walevi wameua show....
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 жыл бұрын
Na penda sana ichi kipindi cha mzee zebwela
@aishamukandanga272
@aishamukandanga272 3 жыл бұрын
Mtaejembe😀😀
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
Uswahilini raha sana asikuambie mtu nyie washua ndio maana mnakua na mapresha ovyo 😆😆😆🙏🙏
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa
@rahmaally9672
@rahmaally9672 3 жыл бұрын
Odemba kama Odemba weuweee
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 3 жыл бұрын
Oi zembwela ile comedy yenu na marehemu max na kina kidd santana umeenda kupanga nyumba halafu unaleta ubabe kulipa kodi mbona hatuzipati hata KZfaq asee!?? Au ile comedy ya VITA YA NYOKA siipati kabiss KZfaq!!
@material_liv4674
@material_liv4674 3 жыл бұрын
Na ile ya keki ya birthday uliyowekewa sumu kama houseboy iko wapi?
@abisahkassimu1073
@abisahkassimu1073 3 жыл бұрын
Jamaa huyu bhana
@bosslady9471
@bosslady9471 Жыл бұрын
ugovi wa masikini na matajiri
@mwanakherkione597
@mwanakherkione597 3 жыл бұрын
Odemba noma
@ibrahibakar1167
@ibrahibakar1167 3 жыл бұрын
Kama umeiskia chumba cha pua gonga tafadhali
@allymaibisa1255
@allymaibisa1255 3 ай бұрын
Ukimkuta mtu kaliakoo anakwambia anaishi mbezi bichi,Kumbe ndio hapa.
@timothymikola2317
@timothymikola2317 Жыл бұрын
Wauni mitaa yetu hiyo maarufu KWA. MBU
@khadijaa815
@khadijaa815 3 жыл бұрын
Kulewa tu watu kama maji mtihani mkubwa
@mbwanakonk453
@mbwanakonk453 2 жыл бұрын
Dally new aka maiz new
@pius1359
@pius1359 3 жыл бұрын
Mjumbeeee
@Mahonda8080
@Mahonda8080 3 жыл бұрын
namtaka uyu mama anaeimba kimakonde nimpeleke studio
@issaadinaniissa6487
@issaadinaniissa6487 3 жыл бұрын
nikuambie tu mbezi beach ina wamakonde ndugu na ishar ya hilo ni kituo kinachoitwa mbezi makonde
@officialteeh1213
@officialteeh1213 3 жыл бұрын
Odemba Musomi 😂😂😂😂😂
@issaadinaniissa6487
@issaadinaniissa6487 3 жыл бұрын
toba issa tena!!!!!???masasi!!!
@dothomwandaliw4057
@dothomwandaliw4057 3 жыл бұрын
Sio sehem sahihi ya kujenga
@johnjoseph763
@johnjoseph763 3 жыл бұрын
Maisha ndugu yangu acha tu
@mayroseclemence99
@mayroseclemence99 3 жыл бұрын
Mambo ya kotazi hayoo hayooooo
@alibell5246
@alibell5246 3 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaaaa odembaaaaaa
@waidaamon457
@waidaamon457 3 жыл бұрын
huyoo anayemenyaa viazii huoo mkaooo sasa,hahhhahahaahaaa hukoo mgongonii akijionaa atakumind zembwela.
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 3 жыл бұрын
Odemba ana mimba au🤣
@sadalahsadalah6661
@sadalahsadalah6661 2 жыл бұрын
Mjomba yuleee anasepa
@siwemaswedysiwemaswedy2947
@siwemaswedysiwemaswedy2947 3 жыл бұрын
wenye magorofa msiwafanyie hivo jmn wenzenu waacheni wajiachie
@dothomwandaliw4057
@dothomwandaliw4057 3 жыл бұрын
Mbona view yake. Km sio sehem ya kujenga nyumba kama km sehem ya barabarani ya wajasiliamali
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Hii sehemu wamevamia sio kiwanja chao zipo sehemu kadhaa huko na chakushangaza Serekali za mitaa huchukua kodi kama vile TRA lakini ki ukweli hawa ukazi wao hautambuliki kiserekali ni kama wale waliojenga jangwani mpaka wakajaa.Kuna sehemu kama hiyo rafiki yangu amejenga yaani anashida maana pombe walevi kelele alikwenda mpaka kwa Mzee Makamba lakini kutokana na wanashirikiana na Serekali za mitaa kuwapa mpunga basi ni kazi kweli kweli
@frankmolleli9190
@frankmolleli9190 3 жыл бұрын
mzee makwinya nation housing
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
🤣😂🤣😂
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Hawa mabwenyenye ndio wao na Serekali ya mtaa wanatafuna kodi hapo
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤣🤣jinduma? Jamanii jinduma ni kijiji kipo mtwala karibu na kijijini kwetu
@amour5535
@amour5535 3 жыл бұрын
Kijijin kwetu
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
@@amour5535 nawewe pia ni kijijini kwenu?😂
@amour5535
@amour5535 3 жыл бұрын
@@walaaabdallah3236 ndio
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
@@amour5535 mi baba angu kwao nang'omba mama angu mitene
@amour5535
@amour5535 3 жыл бұрын
@@walaaabdallah3236 kumbe mama kwao jinduma baba kwao Tandahimba
@franklinmganga736
@franklinmganga736 3 жыл бұрын
nilisahau 😁😁😁😁🤣🤣🤣
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 3 жыл бұрын
Pata hela utafutwe kosa hela uwatafute
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 жыл бұрын
Kumcheza mwali dah
@adbashtv6701
@adbashtv6701 3 жыл бұрын
Nenda Kule kwawagogo
@mohamedmuhajiri4690
@mohamedmuhajiri4690 3 жыл бұрын
Nakaaa mbezi fyuuu
@kingpin2511
@kingpin2511 3 жыл бұрын
1st comment wapi likes
@alesnema9596
@alesnema9596 3 жыл бұрын
Muzee kasha piga mutungi wake Kawa tabani
@abuukamanda.s.mkenga6687
@abuukamanda.s.mkenga6687 3 жыл бұрын
Gari Ina mziggo🤣
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 11 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 29 МЛН
MAJANABA AVAMIA USAHILI DAR
4:55
BongoStarSearch
Рет қаралды 86 М.
Muuza nyumba madalali kibao | Mpoki, Mkojani na Eliudi
8:20
CHEKESHA TV
Рет қаралды 131 М.
NAGONGA KOKOTO
10:48
Joti TV
Рет қаралды 427 М.
DEMU WANGU
8:46
Joti TV
Рет қаралды 410 М.
ЖЕСТКИЙ ШАПАЛАК👋
0:33
RFC Fighting Championship
Рет қаралды 217 М.
#starman #superman #viral #shorts
0:28
Starmaan
Рет қаралды 34 МЛН
Самый Лучший Дедушка ❤️
0:15
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 3,9 МЛН