Wimbo wa Katikati, Sikukuu ya Noeli, misa ya mchana kama ulivyoimbwa na kwaya ya mt Kizito Makuburi. Karibu kutazama, kumbuka kuendelea ku-share na kusubscribe channeli hii na ya @kmkmakuburi
Пікірлер: 21
@TineAdehelmNdunguru29 күн бұрын
Jamani naomba mumsalimie sauti ya kwanza huyo wa 6 tokea upande wa kushoto ananibariki sana🙏🏻
@MuniraMkumbo23 күн бұрын
Kweli mpiga ngoma yupo vizur
@user-pi7vk3mp9f3 ай бұрын
Uimbaji wenu wanibariki sana. Mwenyezi Mungu awabariki
@lazarusmulwa61287 ай бұрын
KMK to the world ❤🎉
@zachariakapufi6 ай бұрын
Wasonga ni mtunzi mzuri sana kwenye utunzi hasa nyimbo za liturjia