Wimbo wa Katikati Dominika ya 2 Mwaka B wa Kanisa ulivyoimbwa na Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi
Пікірлер: 64
@alphoncezai59746 ай бұрын
It is high time this choir-MKM Makuburi made more Catholic songs by Bernard Mukasa. Alphonce
@jaypejayjay6 ай бұрын
Much respect kwa mzee flani pale nyuma na shirt ya blue. He knows the song very well hana hitaji la kusoma hata kidogo. Abarikiwe sana.
@MarthaSangira5 ай бұрын
Tumshukuru Mungu Kwa ajili yenu kmk kutujaza neema Kila iitwapo leo
@MarthaSangira5 ай бұрын
Asante Mungu tumpe sifa Mungu
@jameskimani30723 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤no@@MarthaSangira
@polycapkamunyi56366 ай бұрын
Those who ever believes in what this great choir delivers kindly let's gather here ❤❤❤
@ManteNtonja4 ай бұрын
Mnaimba jaman na huyo kakaa anav piga mkono mpaka raha kweli nawapenda sana
@Fanji-e717 күн бұрын
Mzidi barikiwa kwa Utume uliotukuka....
@auleriannjeri37255 ай бұрын
Organist ako top top
@organistsskills49212 ай бұрын
Mgandu things 🔥.. Great performance guys..
@sylvia4306 ай бұрын
Beautiful voices 🎉🎉 the drum guy 😊😊kudos
@geraldenare98384 ай бұрын
What's the name of the choir master he is the best
@aminayusuph16946 ай бұрын
Makuburi mmeleta mapinduzi katika Muzik mtakatifu , hakika nabarikiwa sana nikiwasikiliza Utukufu Kwa mungu
@rayweambrose6 ай бұрын
Wa kwanza hapa. Napenda huu wimbo sana. Nimebarikiwa. Pokea salamu kutoka kenya 🇰🇪 ❤
@aikaassey55076 ай бұрын
Nabarikiwa na nyimbo zenu Mwenyezi Mungu azidi kuwapa upeo na nguvu kwa kumtumikia Mungu .Mtumishi wa Mungu anayewaongoza hapo mbele Bwana azidi kumpa nguvu na afya ya kuendelea ya kuwaongoza na viongozi wote kwa jumla Mungu aendelee kuwabariki KMK Amina.
@julianaseleman28393 ай бұрын
Huu wimbo tazama nimekuja umenikumbusha nikiwa mtt Yesu,wakati wa maandamano❣❣