Mtaa wa Matajiri na Watu Maarufu Tu- BEL-AIR, Los Angeles

  Рет қаралды 49,219

Jack Wa USA

Jack Wa USA

11 ай бұрын

Nilienda kutembelea mtaa maarufu huku California uitwao Bel-Air. Ukitazama video hii utaweza kuona jinsi mazingira yalivyo na shughuli ambazo watu hufanya wakiwa maeneo hayo.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
My previous video;
• Hua napenda kuenjoy na...
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
TikTok: www.tiktok.com/@officialjackw...
My Other Channel: / @jackchalz
#jackwausa #california #belair

Пікірлер: 774
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Please SUPPORT me by joining here; patreon.com/JackWaUSA
@HansFlever-lg7cw
@HansFlever-lg7cw 10 ай бұрын
Selemani natoka Daa posta mtaa wa Samora
@athanaschacha.9424
@athanaschacha.9424 10 ай бұрын
Nimegundua kwamba utajiri mkubwa wa hapo ni umiliki wa ardhi, kumbe huku kwetu tuna utajiri mkubwa sana, maana watu wanamiliki ardhi bila kujua umuhimu wake. Naangalia kutoka kahama 🇹🇿
@kenydope2582
@kenydope2582 11 ай бұрын
Watching from Dodoma, Tanzania.🇹🇿 Sikupingi, natamani siku moja nione uko mitaa ya silcon valley.
@moseskariuki6461
@moseskariuki6461 11 ай бұрын
Great video,chunga kaka usipoteze maisha yako Bure, risky sana ukiwa mweusi huko, Nairobi, Kenya 🇰🇪🇰🇪
@soweto05
@soweto05 11 ай бұрын
Nakufatilia sana Niko kigoma Tanzania
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 11 ай бұрын
Great videos man. Take care of yourself man kwenye mitaa ya matajiri kama hii hasa ukiwa mweusi. Maana 🇺🇸 matajiri wengi 🔫 zao hazilali. Watching from Seattle, WA
@flyGoflove
@flyGoflove 10 ай бұрын
😅😅😂 uko mablaki ndo wengi
@ElisioVicenteMadimba
@ElisioVicenteMadimba 11 ай бұрын
Umenifikisha Bel Air kwa simu yangu, kiukweli nimependa video hi.
@douglasmongo6969
@douglasmongo6969 10 ай бұрын
Kaka hii ni kazi Safi Sana, Belea iko Safi Sana mtaa umetulia. Mimi Niko Qatar Doha kikazi but natokea Kenya Mombasa
@user-nb2zv2kp5q
@user-nb2zv2kp5q 11 ай бұрын
Watching from Nairobi 🇰🇪 Dope!
@jackwausa
@jackwausa 11 ай бұрын
Kenya!!!✌🏾
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 11 ай бұрын
Daah kuzuri sana mazingira ni mazuri miti mingi asante kwa kutupeleka marekani bila viza😁
@user-bq7be4ou6b
@user-bq7be4ou6b 11 ай бұрын
Mimi Niko mueda sunbiji muda wowote nafuwatilia!🎉
@jackwausa
@jackwausa 11 ай бұрын
Pamoja sana!
@hebronnjaghi
@hebronnjaghi 10 ай бұрын
it a nice place natqmqni hats mimi kuwa happy siku moja c uniconnect hapo❤ m Hebron from Kenya Taita taveta
@maximilianludovick5407
@maximilianludovick5407 11 ай бұрын
Manyara KITETO. One of the warm blooded fans of yours.
@jackwausa
@jackwausa 11 ай бұрын
One love!
@amenyemwansile6919
@amenyemwansile6919 11 ай бұрын
Kweli mzungu ni mzungu tuu mazingira mazuri ajabu naangalia hii picha kutoka green city mbeya tz
@jacksonmbonea7411
@jacksonmbonea7411 10 ай бұрын
Mbona sioni hata gardener,tuombee kazi huko
@user-fh8lv3sf9b
@user-fh8lv3sf9b 10 ай бұрын
Mambo vip
@user-fh8lv3sf9b
@user-fh8lv3sf9b 10 ай бұрын
Vip michongo kuna issues gani uko zamaana unitafutie viza kutembea ni kujua mengi
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 10 ай бұрын
Hii sehemu aliimba Ricky Rose katika song ya Diamond na Ricky Rose, waka waka.
@denisijosephat2361
@denisijosephat2361 3 ай бұрын
nahitwa pastar Denice from kagera muleba tz, kijana umenipa Raha xana Asante ubarikiwe sana endelea kutuonyexha Mambo y America, Raha kweli kweli!!
@ElidebeliMashine-kj1jp
@ElidebeliMashine-kj1jp 6 ай бұрын
Nipo dar,pande za chuo kikuu,mitaa ya changanyikeni...unyama ni mwingi
@mallowmduhu4933
@mallowmduhu4933 11 ай бұрын
Oya Jack tuko pamoja sana, tunakukubali sana kwa kazi yako ya kutufikisha Yues 🇺🇸 kwa bila nauli. Nipo Mwanza, Ukerewe Island ❤
@user-bb5zy3de7r
@user-bb5zy3de7r 10 ай бұрын
Asante sana jack kwa kazi unayo yifanya,mie niko kigali rwanda asante
@shithyomar3828
@shithyomar3828 11 ай бұрын
Nakucheki mzee wa kahama nikiwa manguzi South Africa salute
@jackwausa
@jackwausa 11 ай бұрын
Pamoja sana
@bastartaito7416
@bastartaito7416 11 ай бұрын
Yah sho 😊
@kiavyakapera2352
@kiavyakapera2352 10 ай бұрын
Niko Karatu mko wa Arusha .mazingira Belea yanavutia sn kuishi kitajiri.tunakushukuru kwa kutuonyesha mambele
@fabricemusore670
@fabricemusore670 10 ай бұрын
Niko Burundi 🇧🇮 East African nakuona unatupa raha
@nassarliongo6993
@nassarliongo6993 11 ай бұрын
Nakucheck nipo bariadi hapa uoto wa asili wa eneo langu kama huko
@mbonyingingogerardo658
@mbonyingingogerardo658 11 ай бұрын
Mimi Niko Burundi nandasana kucheko mamboyako
@mabalarobert1767
@mabalarobert1767 11 ай бұрын
Nakubali sana kaz zako za kujitoa Kwa moyo Moja anaamini ipo sku utatimiza ulichokipanga
@joackimmutulu
@joackimmutulu 11 ай бұрын
Keep up the good work!
@georgemuigai7427
@georgemuigai7427 Ай бұрын
Nataka kujua Bel air na Beverly hills wapi kwa matiji wengine?by George wa mbeya city.
@seifalhanmohd9100
@seifalhanmohd9100 9 ай бұрын
Seifalhan nipo Wete Pemba Zanzibar ayo mazingira yapo vizur sana na kilichopendezesha zaidi ni iyo garden yake ila mijengo iyo ata uku zanzibar ipo
@josephsteven3928
@josephsteven3928 11 ай бұрын
Niko kinyerezi hpa jack nakufuatilia vyema kbs Ngosha boy
@uniqtraveller2162
@uniqtraveller2162 11 ай бұрын
Nakucheki nikiwa kazuramimba kigoma hapa!! Kazi nzuri mno kaka! Tupeleke na Pacific Palisades kule pamoja na New Port beach
@bakarially253
@bakarially253 11 ай бұрын
MAMBO VIPI DOGO NAKUOMBA UKIPATA TIME UNACHECK MUHIMU SANA
@jackwausa
@jackwausa 11 ай бұрын
Naenda Newport beach soon. Fuatilia video zinazofuata
@jemaarsen6996
@jemaarsen6996 11 ай бұрын
Nakufuatilia nikiwa sigunga kigoma nakukubari sana brother jack one day nitakuja Marekani
@SuleimanIbrahim-lp7qs
@SuleimanIbrahim-lp7qs 6 ай бұрын
Nipo Zanzibar nimependa sana unachokifanya
@clementinekambe8044
@clementinekambe8044 11 ай бұрын
Wonderful job 👍
@MensonSichinga-rs3mg
@MensonSichinga-rs3mg 10 ай бұрын
Huanaogopa sana ukiwa unatembea na camera hawakuogipi kama unachukua sili fulanikwao
@ElidebeliMashine-kj1jp
@ElidebeliMashine-kj1jp 6 ай бұрын
Mwaka mpya nilikuwa church nakula sebene ,vib lilikuwa la kutosha.
@challagundlavenkatesh8878
@challagundlavenkatesh8878 11 ай бұрын
Hongera sana,kweli mazingira maziri sana,hapo oxygen yakutosha kabisa, Kutoka Zakhem Mbagala hapa-Dar es Salaam
@jackwausa
@jackwausa 11 ай бұрын
Wafikishie salamu!
@allenk7491
@allenk7491 11 ай бұрын
Natazama live kutoka kampala! Kazi nzuri sana Jack wa Tz!! Keep it up bro, we appreciate the great work you do.
@HusseinNkuna
@HusseinNkuna 6 ай бұрын
Naangalia video hii nikiwa tukuyu mbeya 🇹🇿
@jacksonjoseph6303
@jacksonjoseph6303 10 ай бұрын
Nakuchek nikiwa Mwananyamala Dsm
@kakamkuu5383
@kakamkuu5383 4 ай бұрын
Hongera kijana kwa kujiamini huwa najisikia fahari sana nikiona mtu mweusi kama mimi wa kutoka Iringa naye anatoka Kahama siyo Dar Arusha Mwanza wala Kilimanjaro hongera brother unatumia vizuri shule
@MohamedSaleh-nv6nw
@MohamedSaleh-nv6nw Ай бұрын
Big up nipo zanzibar
@FrolenceRogath-fv6ku
@FrolenceRogath-fv6ku 7 ай бұрын
Naitazama nikiwa Gongoramboto
@joshuamwakijungu9517
@joshuamwakijungu9517 11 ай бұрын
Asante sana jack . Iko powa sana
@jameswahu1302
@jameswahu1302 11 ай бұрын
Good job Jack Nairobi Kenya
@emmanuelnsimba
@emmanuelnsimba 11 ай бұрын
Safi sana,mazingira wametunza vizuri.
@emmanuelnsimba
@emmanuelnsimba 11 ай бұрын
Kazi nzuri jack,unatufumbua mambo mengi,nakucheki toka tabora tanzania
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 11 ай бұрын
Nyumba kama zetu TZ tu ila kilichotuzidi ni bustani na miundombinu ya barabara Iko Bora kuliko ya kwetu
@ArcadoBaliseka-yt5ox
@ArcadoBaliseka-yt5ox 10 ай бұрын
Naitazama nikiwa kasulu kigoma
@user-wh3cl9es8k
@user-wh3cl9es8k 5 ай бұрын
Mimi napenda sana hizi video zako niko maeneo ya Kenya count ya kilifi
@eleganthomesolutions
@eleganthomesolutions Ай бұрын
Nikiwa Tanzania Dar es Salaam❤
@MomadeAndurabe-ip5ek
@MomadeAndurabe-ip5ek 10 ай бұрын
Amazing from Mozambique 🇲🇿
@yahyanassor9237
@yahyanassor9237 10 ай бұрын
Hey brother nimepanda hiyo location ya sehmu ilivyo mm nipo zanziber
@CherehaniBenjamin
@CherehaniBenjamin 4 ай бұрын
Napenda unachofanya unatufanya tuijue marekani bila kufika by Benjamin geita
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 11 ай бұрын
Mazingila mazuli naangalia nikiwa dar kinondoni
@user-jo9kr8hd6t
@user-jo9kr8hd6t 10 ай бұрын
Nakuchek nikiwa mwanza kapripoint kando ya ziwa
@georgembise7234
@georgembise7234 10 ай бұрын
Mm nipo tabata segerea ilala chini ya gereza la segerea dar es salaam ,nimejifunza.
@isacktesha6659
@isacktesha6659 10 ай бұрын
Kutokaea Arusha , Tanzania inaonekana waenda Kwa miguu hawapo bro
@kelvinkangomba9590
@kelvinkangomba9590 11 ай бұрын
Unafanya kazi nzuri sana Jack
@EzekielramadhaiMbala-hq2lm
@EzekielramadhaiMbala-hq2lm 11 ай бұрын
Junior hawez kuongea kwenye cintent chanell ingekua poa sana ungekutana na salama jabiri wa eatv blog itanoga hio
@damslandscapeworksadams6793
@damslandscapeworksadams6793 11 ай бұрын
Natizama kutoka mbezi Beach salasala daresalam
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 11 ай бұрын
Pamoja jack natazama hii video nipo makubusho Dr 🙌🙌🙌🙌🙌
@edwinfelix6298
@edwinfelix6298 11 ай бұрын
Nipo Mozambique semu nruri Sana nimeipenda kazi nzuri
@nicolauswandao8988
@nicolauswandao8988 11 ай бұрын
Kazi nzuri sana naitazama kutoka Iringa
@linussaid9612
@linussaid9612 11 ай бұрын
baba asaente sana kutuonyesha mitaa ila nyumba za kaida tuu tofauti ni price bongo kuna nyumba kali tuu kushinda hizo nakuzoom nikiwa chasimba tegeta dsm tz.
@lusajomadigital-lv2vm
@lusajomadigital-lv2vm 10 ай бұрын
nipo bongo kama kawa tunafurahi sana
@fishwear391
@fishwear391 11 ай бұрын
Naikubali sana kazi yako kakangu Natizama kutokea Nairobi , Kenya
@rosie8704
@rosie8704 4 ай бұрын
jamani napenda sana kukufatilia jack mi nipo maeneo ya makongo dar nasikia raha sana kukufatilia
@ZINGAMC
@ZINGAMC 10 ай бұрын
Tisha sana mkali ni Zinga MC nipo Iringa
@Dekingalba
@Dekingalba 11 ай бұрын
Oy hii video Natizama nikiwa Zanzibar...🎉
@saidbabaali9082
@saidbabaali9082 6 ай бұрын
Mombasa Kenya tunakaupata
@MugishaJordy
@MugishaJordy 10 ай бұрын
Nkiwa Nairobi ila mi natokea Bujumbura 🇧🇮
@user-et2ey2mm8k
@user-et2ey2mm8k 3 ай бұрын
Nakukumbuka enzi za vocha cjui ulikuwa unazitoa wapi mzee, all in all nakukubari sana kaka tokea Pc mwananyamala
@jackwausa
@jackwausa 3 ай бұрын
Dah, kitambo sana 😂
@barakayusuph4617
@barakayusuph4617 7 ай бұрын
nmeuona mtaa wa rick ross..it's so amazing..thanks mr jack❤❤
@user-qe1hc7sb2q
@user-qe1hc7sb2q 8 ай бұрын
Mastaa MMI nacheki nikiwa nairobi majengo ila natoka moshi tz
@user-mm4kp9fc8g
@user-mm4kp9fc8g 11 ай бұрын
Mr, uko vizuri endelea kutujuza kutoka Marekani, naangalia kutokaMwanza.Tupele tukacheki mjengo wa Roman Rings.
@georgemuigai7427
@georgemuigai7427 11 ай бұрын
Video nzuri sana,nipo jiji la MBEYA
@jeromejuma-di3vc
@jeromejuma-di3vc 11 ай бұрын
Nipo IDAHO boise Sasa bro nilishakutafuta in box sikupati
@santanbrown
@santanbrown 4 ай бұрын
Nipo bunju biiiiii kwa mxela wakishua😂😂❤
@PHILTV10
@PHILTV10 4 ай бұрын
Asante sana bro kutupeleka sehemu Nzuri.kama hiyo.niko bujumbura burundi
@shabanimnape
@shabanimnape 11 ай бұрын
Nice,mazingira mazuri sana jamaa wako na uthubutu ,Tandahimba mtwara ndipo nilipo
@noelypavementblocks6033
@noelypavementblocks6033 11 ай бұрын
nakupata jack, kazi nzuri, naitazama hii video nikiwa dodoma
@adolpheniyonkuru2201
@adolpheniyonkuru2201 10 ай бұрын
From Bujumbura we love u🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@awadhally1052
@awadhally1052 11 ай бұрын
Ebana mkali wangu naichek nikiwa dar.slm Tanzania.
@milungaapeshijerome
@milungaapeshijerome 10 ай бұрын
Nipo kigoma
@emanuelnonga1666
@emanuelnonga1666 2 ай бұрын
Una confidence Nzuri sana Brother na content zako zinafundisha wa tz wengi vitu vya USA hongera😮
@awadhkannah6587
@awadhkannah6587 10 ай бұрын
Barabara zipo chini ya kiwango, vilaka kibao,
@user-yz2pv8ie7z
@user-yz2pv8ie7z 4 ай бұрын
hello! mimi naitwa barvan a photography kutoka kahama usukumani kwa matajili
@hamadonso7320
@hamadonso7320 10 ай бұрын
Nakucheki nikiwa mwanhzi meatu tz
@deusntobi1450
@deusntobi1450 10 ай бұрын
Kumbe we ni home boy kabsa. (Kahama) hongera sana kwa ujasil ulionao bro
@lucianoshija1292
@lucianoshija1292 10 ай бұрын
Ninaangalia nikiwa Igunga Tabora Tanzania
@GoodoneGd2-sp3zq
@GoodoneGd2-sp3zq 10 ай бұрын
kaka naitazama nikiwa nyasubi kahama
@user-er1fb4ys8n
@user-er1fb4ys8n 10 ай бұрын
kijana wagu treysongz anaishi huku bell canyon
@HerenaCharles-dl7tk
@HerenaCharles-dl7tk 10 ай бұрын
Nakucheki nikiwa mwanza ilemela buzuluga bro
@barakasangana4735
@barakasangana4735 10 ай бұрын
Nipe stori mwanangu unafaidi life tu huko
@jimmymsigwa2655
@jimmymsigwa2655 10 ай бұрын
Naitwa JIMMY video hii nimeipenda sana so naichek nikiwa dar es salaam KINONDONI
@salumumambosasa7446
@salumumambosasa7446 21 күн бұрын
Mwamba unapambana sana
@MkuziSaha-ll6ex
@MkuziSaha-ll6ex 11 ай бұрын
Kazi swafi,napenda kazi zako
@mussasoud7432
@mussasoud7432 10 ай бұрын
Niko shy mtu wangu' pamoja sana. naitwa mussa soud
@sakuranitillya6088
@sakuranitillya6088 11 ай бұрын
Jack upo vizur kaka nipo kinyerez kaka
@davidosindi9094
@davidosindi9094 11 ай бұрын
Keep it up,from Nairobi Kenya.
@DavidLucas-ou7vp
@DavidLucas-ou7vp 11 ай бұрын
Welcome back bro❤❤
@eliyaissa
@eliyaissa 10 ай бұрын
Jack mitaa hiyo vibarua vya bustani, security na nk vinapatika kiukahisi. Na kwa saa unalipwa dola ngapi?
@mpigadaud4180
@mpigadaud4180 5 ай бұрын
Hii video naitazama nikiwa pande za bija mpola kahama mwanetu tunakupa salute saana
@jackwausa
@jackwausa 5 ай бұрын
Pamoja sana
Kisiwa cha Matajiri | BALBOA ISLAND, Newport Beach USA - PART 1
23:55
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 16 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 4 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,2 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Unaenda Marekani Unarudi Tanzania???--My Real American Experience
9:34
Leo niko area ya wakenya. Huku tume dominate sana!!
24:01
Huku Yues
Рет қаралды 419 М.
Njia Rahisi Ya Kupata VISA Ya Marekani 🇺🇸
11:52
Jack Wa USA
Рет қаралды 34 М.
JKizondo Asimulia Maisha ya Marekani
7:31
JKizondo Swahili Bites
Рет қаралды 21 М.
Hivi ndivyo Kenya ilivyo maarufu huku USA
20:40
Jack Wa USA
Рет қаралды 20 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 16 МЛН