MTENDAJI ARUSHA AINGIA KWENYE 18 ZA MAKONDA/MAKONDA AMFUKUZA KAZI/NAOMBA ULINZI WASIJE WAKANIPA SUMU

  Рет қаралды 65,826

JAMBO TV

JAMBO TV

Ай бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZfaq: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 184
@NSCCLORUVANI-TAG
@NSCCLORUVANI-TAG Ай бұрын
Eee Mungu, Mponye na kumlinda mkuu wa mkoa Paul Makonda na Viongozi wengine katika nchi yetu wenye nia njema na huruma kwa wanainchi yetu nzuri Tz.
@section8ight174
@section8ight174 Ай бұрын
*wanaNchi
@section8ight174
@section8ight174 Ай бұрын
Inchi ndio kitu gani fala wewe
@AlphonsinaMkongoma
@AlphonsinaMkongoma Ай бұрын
Hekima hi yo muheshimiwa sio wewe ime toka kwa Mungu .Mungu aliyekuita akuogezee hekima na maalifa kutoka kwake ili uzindi kuwatetea wa Tanzania wanyoge
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 21 күн бұрын
Amina
@user-ku1wf2pw2w
@user-ku1wf2pw2w Ай бұрын
Wanyoshe hao wakandamizaji wanyonge makonda mungu yu pamoja nawe kakangu.
@user-yf2ro1wb4y
@user-yf2ro1wb4y Ай бұрын
Hata waseme nn juu yako, Wewe ni chaguo la Mungu tu, na daima nyota yako itazidi kung'ara in the name of our almighty God
@khadjamhozya
@khadjamhozya Ай бұрын
MUNGU amurinde maana!!!!!!!!🙏🙏🙏🙏🙏
@RoseMollel-wo3ls
@RoseMollel-wo3ls Ай бұрын
Makonda kiongoz mzur sana 🥰
@Idd-i6l
@Idd-i6l 19 күн бұрын
Aiseeee! Mungu amwongoze huyu jamaa
@aishaomaryyousefomaryloiru1990
@aishaomaryyousefomaryloiru1990 Ай бұрын
Makondaeeeee,mungu akupe ulinzi wa kutosha,🤲
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 Ай бұрын
Damu ya Kristo ikufunike uendelee kutimiza majukumu yako❤
@user-bx1fp9tk2p
@user-bx1fp9tk2p Ай бұрын
Chaguo letu watanzania Makonda wetu♥️♥️
@AlphonsinaMkongoma
@AlphonsinaMkongoma Ай бұрын
Hekima hii uliyo nayo mkuu imetoka kwa Mungu. Mungu akuzidishie hekima na maalifa zaidi na malaika Mikaeli malaika wa ulinzi akulinde popote unapo kwenda na Damu ya Yesu ikufunike
@magrethelipokea7694
@magrethelipokea7694 Ай бұрын
Eee mungu mlinde makonda mama smia mama yetu mpendwa usimwondie makonda Arusha mwache asafishe jiji
@CleopaMwakapiso
@CleopaMwakapiso Ай бұрын
pongezi kwa makonda kwa kazi njema anayoifanya
@user-ug5cm7uq4m
@user-ug5cm7uq4m Ай бұрын
Barikiwa mkuuwangu mungu akulinde miaka mingi sijaso tukupee ilirungu la uraisi uhinyooshee inji kisawaswa seem iliyo wachwa na kamanda mkuu aliye kuibua tukujue sisi watanzani wanaho penda usalenda na haki ya kila mwanainji
@revocatusphilmon1780
@revocatusphilmon1780 25 күн бұрын
Safiiiii Sana mh makonda nakubali Sana piga kazi brother,mungu akupganie sana
@DorikasiMwakabela
@DorikasiMwakabela Ай бұрын
Kwamfumo huu nyota imeangaza jeshi mlindeni huyu kijana kazi Ni nzuli
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p Ай бұрын
Diwani ni mpotofu wa maadili kumuita mtu anayeweza kuwa babu yake "mhuni".
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Ай бұрын
Mimi ninaomba Mwenyezi Mungu uyu mh Makonda alindwe Kazi anazozifanya ni kubwa saana...
@veronicamokiwa4315
@veronicamokiwa4315 Ай бұрын
Zaidi sana tuombe Mungu ampe ulinzi wa Malaika
@SelemaniBiafra
@SelemaniBiafra 29 күн бұрын
Piga kazi kaka mungu atakulinda siku zote tulikua na haja yamtu kama wewe unaejitoa kwa wanyonge
@suzycollins2331
@suzycollins2331 22 күн бұрын
Hongera sana mkuu wa mkoa kutetea wanyonge
@kimchi-91
@kimchi-91 Ай бұрын
Huyu mtendaji anaonekana janja Janja ni nyingi.
@chujimustafa7209
@chujimustafa7209 29 күн бұрын
Samia ubarikiwe sana kutuchagulia watu wenye utambuzi👍👍👍
@IssaMbaru-qw6ug
@IssaMbaru-qw6ug Ай бұрын
Mungu angitukumbuka na sisi burundi atupe mtu kama uyuu khaki ilikua saw
@user-ug5cm7uq4m
@user-ug5cm7uq4m Ай бұрын
Emwenyexi mungu mlinde. Mweshimiwa wetu makonda kila haendako awe mikononi mwako
@user-wq2xy5mw1z
@user-wq2xy5mw1z Ай бұрын
Mh. Huyu jamaa siyo mkweli pia anapoteza muda ,pia siyo mchapa kazi na anakula hela ya wananchi pia mfukuze kazi na pia mfulie kesi kuwa zulumu wanachi pamoja kutumia aneno ya machafu pamoja na ubavu
@raphaelmchilo-kx4tt
@raphaelmchilo-kx4tt Ай бұрын
Makonda safisana
@JerryMosi
@JerryMosi Ай бұрын
Eliya akamwambia Elisha omba kwangu lolote ulitakalo nikutendee, Elisha akasema naomba sehemu maradufu ya roho yako,2falme 2:9 (RIP John aka ELIYA) PAUL MAKONDA ELISHA
@janethmmari3514
@janethmmari3514 Ай бұрын
Makonda Mungu akulinde uendelee kusaidia wanao onewa.
@Fredykapande-vh6cv
@Fredykapande-vh6cv Ай бұрын
Wanainji wote wa mkoa wa arusha.mungu amewaona.kuletewa mkuu wa mkoa.mwenye hofu ya mungu.anaependa kutetea haki zawanainji.wanaonyanyaswa naviongozi wa juu.kwkutumia umadalaka walionao.piga spana hao mkuu.wanainjiwako.wamechoka.nausiogope.malaika wamekuzunguka kwakukulinda.🙏
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Ай бұрын
Baada ya Mama chukua Nchi utunyooshee watu malipo utayakuta kw Mungu..
@user-ug5cm7uq4m
@user-ug5cm7uq4m Ай бұрын
Duh jembe la kasi uyoooo. 2030 lasima tukupeee iyo niyako jiyandae baba mkuuu
@Debora-zp4wx
@Debora-zp4wx Ай бұрын
Mungu akulinde sana kaka yangu makonda
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri Ай бұрын
Kikubwa zaidi kingine cha kujua ni kwamba watu wanataharuki juu ya upya wa uendeshaji wa shughuli za Serikali., hivyo upole kidogo unahitajika pamoja na hongera kubwa sana kwa mhe Mkuu wa.
@naseebkassian9240
@naseebkassian9240 28 күн бұрын
Mkuu was mkow mungu akulindeeeeeee
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Ай бұрын
Makonda, si uje na morogoro jamani . Maana kuanzia huku chini kwenye vijiji , kata na vitongoji kumeharibika. Mpaka tunaichukia serikali maana sisi tunaamini wanawekwa na mamasasa wanapotukandamiza tunamchukia sana mama, tunaona kafika na hatujali tena, tunateseka kweli
@sugashTv
@sugashTv Ай бұрын
Huyu Jamaa ni kiongozi kabisa. Dah! Yani huyu ndiye atakuja kuwa raisi wa Tanzania.
@AbrahamMikael-wk4ch
@AbrahamMikael-wk4ch Ай бұрын
Makonda mwenyewe huyu chaguo la mungu hata wasemeje hata nchi atashika
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 Ай бұрын
Viva Makonda vivaaaa
@dastansimpanzye4019
@dastansimpanzye4019 23 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda
@BJMKANGALA1
@BJMKANGALA1 Ай бұрын
Nimekubali pasipo shaka kuwa Makonda ni mtambo wa kukoboa na kusaga. Piga "spana" Mkuu na Mungu akulinde. Arusha mmelamba dume!
@KitindiMatawa-uk4qk
@KitindiMatawa-uk4qk 29 күн бұрын
Makonda pigakazi mungu atakulida
@AronJoseph-h8b
@AronJoseph-h8b Ай бұрын
Akonda n mtu na nusu 🙏🙏🙏🙏🙏
@user-yf2ro1wb4y
@user-yf2ro1wb4y Ай бұрын
Makonda chumaaaa
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 Ай бұрын
Kwa kiiingereza wamepiga 30 milioni
@alexletayolaizer8515
@alexletayolaizer8515 Ай бұрын
Mungu akutunze Makonda, wanyooshe hao.
@user-zd5hk4ms5o
@user-zd5hk4ms5o Ай бұрын
MUNGU akufunike makonda ppt utakapoenda malaika wakutangulie akuepushe husda za walimwengu
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri Ай бұрын
Yani hapo ni jamaa wa Kijiji waliona uchungu Mzee kupata pesa nyingi wakamtageti kutoa peasa hizo Mhe RC Makonda.
@SebaLucas-j4l
@SebaLucas-j4l 12 күн бұрын
Mungu akulinde makonda wewe nikiogozi unaefaa kuwa tumikia wanaichi
@DionizLubango-of2wk
@DionizLubango-of2wk Ай бұрын
Makonda oyeeeee❤❤
@NicomedMartine
@NicomedMartine Ай бұрын
Jamn Mungu Amlinde Viongozi Kama Hawa Wakiongozwa Na Mama Yetu Dr. Samia Suluhu Hasa Tais Wetu Jamhuri ya Tanzania Mungu Awalinde Maana Wafisad Na Wala Rusha Hawataki Maendelea Ya Taifa Mungu Awalinde Hasa Pol Makonda Kwa Kutetea Wanyonge
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 Ай бұрын
Asiwe Mungu tu Bali na Serikali ihuske kumlinda.
@StanleyMolla
@StanleyMolla Ай бұрын
Nyie arusha mkimchoka mtuambie tuwabadilishie na huyu
@DM_15
@DM_15 Ай бұрын
Wali mdulumu huyu mzee kwa sababu yatamaa ya pesa alizo lipwa waka ona wamwambie achangie maendeleo😂😂😂 mzee akakubali
@chido_wa_south2171
@chido_wa_south2171 Ай бұрын
Wahuni Sio Watu🤣🤣🤣🤣
@songeza
@songeza Ай бұрын
Yaani nimekunyanyulia mikono juu kwa majibu ya papo kwa papo kipawa hicho Mungu akulinde
@user-ri1qn3xs4q
@user-ri1qn3xs4q Ай бұрын
Makonda humalizi bando langu bule ahsante kwa utetezi wa wanyonge
@israelmwakatika8342
@israelmwakatika8342 21 күн бұрын
Hata Mimi bundle langu liende tu kwa huyu mwamba 👋👋👋
@DorisMroso-tx9mb
@DorisMroso-tx9mb Ай бұрын
Uwe Rais wetu 2 ndio tunachomwomba Mungu
@songeza
@songeza Ай бұрын
Na hujui hizo pesa kazipataje kws shida na si ajabu hata kipofu alitoa mchango ona hilo unaekula vya watu bila jasho lake afukuzwe hivyo
@AmaniLukumay-wk6zm
@AmaniLukumay-wk6zm 21 күн бұрын
Tangia Makonda awe Mkuu wa mkoa nimefurahia sana juu tunanyanyaswa sana na hawa viongozi wetu kwani wanadhamini fedha kuliko wanainchi ukipatwa na tatizo kama huna pesa hautapata msaada ❤
@NeemaMrengera
@NeemaMrengera 21 күн бұрын
Naomba mungu akulinde na huamishiwe Kagera watu tupone maanamh mungu tusaidie kagera
@user-tm3ui6iv7h
@user-tm3ui6iv7h Ай бұрын
Arusha kuna kero nyingi jipange mh,kuna watu tumevunjiwa. Nyumba na manispaa kwa Hadi ya kujengwa gorofa ilibadaye tupewe. Hadi Leo hakuna kitu wazee wetu wamekufa kwa mapresha
@japhetmasunga8889
@japhetmasunga8889 Ай бұрын
mdgo ake magu kazi ipo chuga mtanyoooka
@AlanusGerodi-mo3dm
@AlanusGerodi-mo3dm Ай бұрын
Makonda wanyooshe huo uozo upo Kila sehemu du
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 Ай бұрын
Umri wake miaka 59 Sasa, 2020 alikuwa na 55, kaamua kukusanya kinguvu ili ajiandae na kustaafu. Fisadi huyo.
@raphaelkiungulia4366
@raphaelkiungulia4366 Ай бұрын
Makonda uko vizuri,tunakutamani dodoma
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Ай бұрын
Hata sisi Morogoro tunammezea mate sana, Samia tunakuomba utuletee na sisi mtu kama Makonda Huku Morogoro
@user-jj1sx1ow4h
@user-jj1sx1ow4h Ай бұрын
Duu spana ya hatari asee
@neemaelia3436
@neemaelia3436 Ай бұрын
Vivaaaaaaaaaaa, makonda Vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t Ай бұрын
Watendaji wa aina hii Serikali haiwez kupendwa itakuwa niyakubezwa kila mara
@hassankilengah4786
@hassankilengah4786 Ай бұрын
Mh Raisi mlete huyu jamaa mkoa wa lindi.
@evajosephmtandika5015
@evajosephmtandika5015 Ай бұрын
Jamani wamemlia fidia Yake
@JohnMungwana-te4rm
@JohnMungwana-te4rm Ай бұрын
Mheshimiwa makonda ungekuja nahuku kibaigwa maana Hali sishwari
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 Ай бұрын
Serkali imlinde kabisa na tusimuachie Yesu kumlinda.
@deusdedithjoseph7588
@deusdedithjoseph7588 Ай бұрын
Makonda piga kazi mkuu uko vizuri muno.
@moseslaizar843
@moseslaizar843 Ай бұрын
hapa ni spana tu hamna ujacha😂
@nathanaeledward5613
@nathanaeledward5613 Ай бұрын
Pga supana wanyooke mkuu
@songeza
@songeza Ай бұрын
RC haki Mungu walai upo vzuri we ni rais inafaa kutembelea Mikoa yote. Tanzania
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Ай бұрын
Vivaaaaaaaaaaaaa, Makonda Vivaaaaaaaaa.
@aishaomaryyousefomaryloiru1990
@aishaomaryyousefomaryloiru1990 Ай бұрын
Tatizo la hili kabila letu,akisoma mpaka lasaba akipata kacheo kidogo,anawanyanyasa wengine ambae hawajafanikiwa kupata hicho cheo,mtendaji supana inakuhusu maana unajifanya unajua kila kitu,hafu mbishi,,umekutana na moto,huyo sio laigwanani wa kumpiga kiswahili,makonda tobiko,
@Fredykapande-vh6cv
@Fredykapande-vh6cv Ай бұрын
Mheshimiwa.makonda.wewe umeitwa namungu katika mkoa wa arusha.nambingu utaiona.umekua mtetezi wa wanyonge.hasa kwa maskini.namungu akakupe miaka mingi.wewe na familya Yako.
@user-gp5wx1ev9f
@user-gp5wx1ev9f Ай бұрын
Huyu mtendaji ni baadhi ya wale wanaoharibia Chama Cha CCM na wananchi kukichukia na makosa niya watu kama hawa wenye mamlaka ya kutumikia wananchi na wanafanya vyao
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b Ай бұрын
Nyota kali sana
@CleopaMwakapiso
@CleopaMwakapiso Ай бұрын
MUNGU mlinde makonda mimi cleopa lusajo mwakapiso nasoma utawala chuo kikuu mzumbe mkoani morogoro
@zidatv1122
@zidatv1122 Ай бұрын
Majizi matupu
@MirajiIssa-sl2li
@MirajiIssa-sl2li Ай бұрын
Safii mwamba
@OdongoOwino-hm3op
@OdongoOwino-hm3op Ай бұрын
Waoo kaka endelea kuwapiga sipana hao ni matapeli tu
@hajrasaid1924
@hajrasaid1924 14 күн бұрын
Muheshimiwa makondo huko arusha naona km dodoma huku imekuwa to much mambo ya ardhi jiji kuna wizi na ufisadi sana utoa pesa kutaka kibali cha ujenzi hela wanakula miezi inakwenda kibali hakuna jamani sisi ni watanzani halisi mnatupeleka wapi nchi yetu hii tuhurumieni
@user-ku1wf2pw2w
@user-ku1wf2pw2w Ай бұрын
Tunakuombea makonda kwa mungu chapa kazi
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l Ай бұрын
Safi kiongozi makonda
@martintemu9123
@martintemu9123 Ай бұрын
Kiongozi mahiri makonda.ubarikiwe
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Ай бұрын
Kweli yu janja janja
@NabwikeKanyamale
@NabwikeKanyamale Ай бұрын
Ni aibu sana kwa nchi mtu ambae alitakiwa kuwa nacheo kikubwa kama sio rais basi waziri mkuu eti saizi anakuwa mkuu wa mkoa makonda hastaili kuwa mkuu wa mkoa alistaili awe rais au waziri mkuu
@EstermollelEster
@EstermollelEster 9 күн бұрын
Mungu akulinde baba
@daudimlamka1239
@daudimlamka1239 Ай бұрын
Hekima sanaaa
@khadija5761
@khadija5761 Ай бұрын
Viaaa makonda viaaa
@AbdulFatah-f7g
@AbdulFatah-f7g 2 күн бұрын
Makonda mungu akutunze jmn
@NaumMwamengo
@NaumMwamengo 15 күн бұрын
Wew nijembe baba mungu akulinde
@user-mm1ml1tu5b
@user-mm1ml1tu5b 20 күн бұрын
Mungia akupe maisha marefu haina baya
@neemaelia3436
@neemaelia3436 Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Wilbadi
@Wilbadi Ай бұрын
Wadudu mmepata kiongozi mahiri😅😅
@stevenvictor437
@stevenvictor437 Ай бұрын
Nyoosha wahuni hao.
@user-rs6uf9oo5s
@user-rs6uf9oo5s Ай бұрын
Makonda baba lao
@user-cn2fd7wp1n
@user-cn2fd7wp1n Ай бұрын
Magufuli alisema hata kama umefika darasa la unahaki yakuongoza haya ndio matokeo yake
@essamartico3331
@essamartico3331 Ай бұрын
Raisi mpya huyu 🎉 Au apewe simba kama mwenyekiti😅
@comedy_movies_Tz-05
@comedy_movies_Tz-05 Ай бұрын
Ume sema 🤣🤣🤣🤣
@israelmwakatika8342
@israelmwakatika8342 21 күн бұрын
Makonda kwa utendaji kazi wako huu naomba nikupongeze
@KalutasMtayoba
@KalutasMtayoba Ай бұрын
Albino kagera
@IgnacioAndrew-rj8pd
@IgnacioAndrew-rj8pd 23 күн бұрын
Hahahahaha meliwaaaa
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 126 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
JAMBO TV
Рет қаралды 80 М.
MAKONDA AWATUMBUA WATUMISHI WA JIJI LA ARUSHA WAJIKOROGA
33:34
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 126 МЛН