MTOTO ALIYE SHINDWA KUTEMBEA NA KUONGEA BAADA YA KUFIKA KWA NABII KIBOKO YA WACHAWI HATIMAE ATEMBEA

  Рет қаралды 39,121

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

9 ай бұрын

MTOTO ALIYE SHINDWA KUTEMBEA NA KUONGEA BAADA YA KUFIKA KWA NABII KIBOKO YA WACHAWI HATIMAE ATEMBEA

Пікірлер: 144
@user-gu5jr9vf3j
@user-gu5jr9vf3j 3 ай бұрын
Mchungaji naomba kupitia kwako Mwenyezi Mungu amponye mama yangu maradhi yake yanayomsumbia kwa muda wa miezi sita Sasa yupo kitandani na hajapata tumaini katika Jina la Yesu Amina
@margaretlongway133
@margaretlongway133 2 ай бұрын
Baba yangu ninashida Sana naomba nikomboe nimefungwa kiuchumi, nimedhulumiwa, ninamadeni mpaka nachafuliwa mitandaoni,ninaumwa kuanzia kwny kiuno mpk mguuni, Sina kazi Wala biashara . Majirani pembe zote ni wachawi .Kiwanja changu nilikuza mteja akanitapeli hela . Nisaidie baba nikomboe . Naitwa Margaret
@mussatem2044
@mussatem2044 2 ай бұрын
E Mungu kupitia nabii wako Pastor Dominic maisha yangu yakawe yenye mafanikio nipate pesa natamani niwasaidie ndugu zangu na wa mke wangu lakini pesa zangu hazikai kila ninachokifanya sioni maendeleo naomba kuanzia leo hii nikainuke tena Amina
@LevinaModesti
@LevinaModesti 16 күн бұрын
Kwel baba Mungu akuweke miaka yote naamini ipo siku nitafika kanisan kwako
@user-py3ks2ft1i
@user-py3ks2ft1i 5 ай бұрын
Mungu nimwema akubariki
@niyiesther6571
@niyiesther6571 Ай бұрын
Ameeeen. YESU KRISTO wa KIBOKO ya WACHAWI Yuko juu saaana Kwa kweli YESU
@SonyS-fb1fx
@SonyS-fb1fx 2 ай бұрын
Amina amna mungu akubariki sana
@h.mau9989
@h.mau9989 2 ай бұрын
mungu akubariki sana pasta
@user-nr7py7oo8d
@user-nr7py7oo8d 7 ай бұрын
Emungu kipitia kwa nabi kiboko ya wachawi naomba watoto wangu wafunguliwe
@snazzyally1255
@snazzyally1255 9 ай бұрын
kweli nabii mwenyezi mungu hakupatie umri mrefu
@lucasmveyange3339
@lucasmveyange3339 2 ай бұрын
Naomba Mungu niopolewe na Mtu yeyote anayeniloga nimjue na afe kuanzia leo Jumatatu mimi wachawi wage
@GraceKara-o4t
@GraceKara-o4t Ай бұрын
Baba mungu hakutumie kama apendavyo
@NoelaUrio-en9yv
@NoelaUrio-en9yv 2 ай бұрын
Nabii wa mungu baba angu Naomba unisaidie maombi nipate kaka Eliudi uko aliko atoke alipata ajali akafariki kila mara anakuwa anamtokea mtu anaitaji maombi tumeangaika sana tunaomba maombi
@alicenyakoa
@alicenyakoa 8 ай бұрын
Amen
@user-ql5iu4cr8x
@user-ql5iu4cr8x 4 ай бұрын
Nabii naomba unitabilie juu ya familia yangu pamoja na maisha yangu naniweze pata kazi katika kampuni niliochukua fomu nanikalipia fomu lakini cha ajabu ghafura tu sikupata tena naomba unisaidie ili uyo bosi aweze kunitafuta naanirejeshe kazini naomba baba unisaidie.naitwa rosemary magesa
@user-Ndashuka001
@user-Ndashuka001 5 ай бұрын
Eeeeh MUNGU Kwa miujiza unayoyatenda kupitia nabii huyu kwa watu wako nakuomba na mm uniponye presha na vidonda vya tumbo pia nakuomba unipe Cha kufanya kwenye mikono yangu nifanikiwe, Ahsante Kwa maana hutamsahau baba wa watoto wangu pamoja na watoto wetu, ktk jina KUU la YESU AMEN
@michaelenock4000
@michaelenock4000 2 ай бұрын
pasta nisaidie familia yangu watoto hawaelewi chochote shuleni nanyumbani niwavivu mno nisaidie pia kaziyangu mungu akaionekanie amina
@lamekaguta3724
@lamekaguta3724 7 ай бұрын
Nabii wa mungu nashukuru nimeingia kwenye hii platform natumai unisaidie watoto wangu wanne, wa Kwanza ni mapacha miaka thelathini na Moja hawajaolewa Wala kuoga, mtoto wa kike kaingilia ndoa ya jinsia Moja, wa kiume amejishirikisha na mihadarati, wa pili pia ijapo ameolewa na mtoto Moja pia anatumia pombe mtumishi wa mungu naomba msaada wako kupitia jina la yesu kristu Amina
@lamekaguta3724
@lamekaguta3724 7 ай бұрын
Yule msichana mdogo anahitaji apate shule nzuri anapojiunga kidato Cha kwanza, Niko Kenya
@RmimyzZhjr
@RmimyzZhjr Ай бұрын
Nisaidie baba kiboko wa uchawi uchumi umeshuka mme wangu
@DanielKiberiti
@DanielKiberiti 2 ай бұрын
Ponya watoto wangu afya zao na kazi wapate
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 7 ай бұрын
Naomba Bwana Yesu duka na nyumba mali za ndoa yangu unitendee ukarimu wako nirejeshewe
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 7 ай бұрын
Mungu Nigungulie Watoto Wangu.Najinyenyekea Mbele Yako Nabii MikoMsumbiji Maputo.
@user-ke9bg1dm9c
@user-ke9bg1dm9c Ай бұрын
Amina
@AgenesteRay
@AgenesteRay 3 ай бұрын
Eemungu naomba kupitia kwa nabii kiboko wa wachawi aniponye magojwa yangu nipone kupitia nabii kiboko wa wachawi mungu nipe amani ya roho sina raha eemungu nione
@irenemachange8854
@irenemachange8854 3 ай бұрын
Mtumish naomba uniombee Mimi na familia yangu tumepitia mengi tunaomba uponyaji wako
@user-df4ph5hc8b
@user-df4ph5hc8b 8 ай бұрын
Nabii naiman mungu kakupa iman na uwepo wa mungu utusaidie watoto wako tunateseka san naimani mungu hana tenda kwa imani ni utukufu wake kwako baba
@user-ke9bg1dm9c
@user-ke9bg1dm9c Ай бұрын
Nitabilie kaka yangu Yoyo
@user-nl8ez4lx5b
@user-nl8ez4lx5b 7 ай бұрын
Mimi pia pastor mtoto wangu hatembee haongee ako na miaka 5, please pray for him
@HildaMarcus
@HildaMarcus 4 ай бұрын
Ewe mungu naomba kipitia nabii pasta Dominick akafungue tumbo langu nikapate watoto mapacha na mume sahihi, pia ukafungue familia yangu haina mwelekeo
@JaneroseNafuna-bn4nk
@JaneroseNafuna-bn4nk Ай бұрын
Naomba uniombee juu ya mdoa yangu pampja na familia yeti tunateseka
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 2 ай бұрын
Amina barikiwa sana Nabii
@bonifacemihigo1730
@bonifacemihigo1730 8 ай бұрын
Amina baba
@zainabuathumani2571
@zainabuathumani2571 Ай бұрын
Ni kweli mtumishi sema baba
@user-xi3xj2or7v
@user-xi3xj2or7v 8 ай бұрын
Mungu akuweke kwajiliyetu
@EVELINSimon-ru2le
@EVELINSimon-ru2le 3 ай бұрын
Pastor naomba uniombee mimi na familia yangu hususani upande wa wanaume niliozaa nao hawanipi hata huduma kwa ajili ya watoto pia ni mjamzito wa miezi miwili sina huduma yeyote ile naomba maombi yako nipate pacha na huduma pia
@JANETHKimambo
@JANETHKimambo 8 ай бұрын
Naomba umuombee mume wangu apate kazi serekalini
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 күн бұрын
MILIONI MBILI LAKI TATU ATAITOA WAPI MADAM HUYO LAKI TANO ANA UTAPELI MTUPU 😂😂😂😂
@user-vl3zn6sh1d
@user-vl3zn6sh1d 8 ай бұрын
Aminaaa ❤
@FoibeJustolukumay
@FoibeJustolukumay 4 ай бұрын
Ee Mungu kupitia maombi ya mtumishi wako watoto wangu wafunguliwe na mimi nifunguliwe kwenye malango ya uharibifu na kuponywa magonjwa yote
@zainabuathumani2571
@zainabuathumani2571 Ай бұрын
Niombee Mungu anizawadie mtoto
@user-zk6mx6de3q
@user-zk6mx6de3q Ай бұрын
Kweli mchungaji kutoka kanisan tunaumia lkn Kwa mganga tunatoka Kwa furaha Wala hatuumii
@DominicaKimario-di7ux
@DominicaKimario-di7ux 26 күн бұрын
baba naomba uniombee jisho langu linasheza sana
@JohnnyLukumai
@JohnnyLukumai 3 ай бұрын
Mchngaji naomba uniombae niko na shida mingi sana magonjwa kibao noombee mungu aniponye
@rightnesschissano
@rightnesschissano 2 ай бұрын
Naomba nambie nigukuliwe kwenye familia yetu
@user-ke9bg1dm9c
@user-ke9bg1dm9c Ай бұрын
Mnaosema anawapanga Mungu anawaona jamani
@user-tz6bk4zx2f
@user-tz6bk4zx2f 8 ай бұрын
Naitwa Julian murekatete munguakubariki baba
@cettyamandus2929
@cettyamandus2929 3 ай бұрын
Nabii mie napiga simu aipatikani😊
@furahamwamkonga9783
@furahamwamkonga9783 6 ай бұрын
Ameni
@MeshakShedrack
@MeshakShedrack 3 ай бұрын
Kiboko ya wachawi niombee nipate pesa kila siku wachawi wafe😅
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 3 ай бұрын
Mm siamini km ni kweli aniombe mm nipone mguu unaniuma sana tena atabiri mm naitwa nani
@omamomanhelena9433
@omamomanhelena9433 6 ай бұрын
Barikiwa mtu mishi wa mungu
@RmimyzZhjr
@RmimyzZhjr Ай бұрын
Baba nisaidie libea kutoka moshi mguu wangu wa kulia upone
@user-mw8cf9nz9n
@user-mw8cf9nz9n 7 ай бұрын
Aminaa
@dariagenes1725
@dariagenes1725 8 ай бұрын
Amina baba , Daria Genes Nina changamoto ya kubeba ujauzoto, presha na moyo
@Christin-nf1vs
@Christin-nf1vs 6 ай бұрын
Emungu kupitia maomb ya kiboko ya wachawi naomb watesi wa Familia yang waangamie maomb hayo yafike kwa mama yang
@elizabethisanja4900
@elizabethisanja4900 3 ай бұрын
Emungu nifungue maisha yangu nabii
@DanielKiberiti
@DanielKiberiti 2 ай бұрын
Nipenye nabiii leo
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 8 ай бұрын
Ana itwa Arjun Bharya Mimi Babu yake Sarbjit bharya
@MosesNtigahera
@MosesNtigahera 5 ай бұрын
Nabii wewe nikiboko ya wachawi niombee nami nifanikiwe katika shuhurizangu zakirasiku ubalikiwe
@user-md6gx4ox4l
@user-md6gx4ox4l 3 ай бұрын
Mtume kiboko ya wajawi bwana asifiwe.nakufuatilia kutoka msumbiji samaani nisaidie uniombee.natamani kutuma sadaka tupe namba yako ya msumbiji tutume hela ya sadaka ameni ameni ameni ❤
@agnessmaro9659
@agnessmaro9659 6 ай бұрын
Mungu naomba msaada wako ee mungu naitwa mrs ngowo
@Sesiliangowi
@Sesiliangowi 7 ай бұрын
Mungu naomba unisaidie aliyenitapeli Hela zangu apatikane
@sirilajohn5942
@sirilajohn5942 6 ай бұрын
Mungu atusaidie sana
@olivierbisimwachirimwami
@olivierbisimwachirimwami 5 ай бұрын
Amen amen pasta Amen
@SakinaMfyagisa
@SakinaMfyagisa 3 ай бұрын
Nabii naomba nitabilie namm maisha yangu nashida zisizo isha mbaka sielewi jamani
@celesGamez
@celesGamez 8 ай бұрын
Ameen
@johnkabongo167
@johnkabongo167 7 күн бұрын
ww ni nabii kweli ongera baba...
@user-rc9je9kp1e
@user-rc9je9kp1e 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana nitabirie familia yangu
@ConfusedGlasses-tm1ej
@ConfusedGlasses-tm1ej 6 ай бұрын
Nabii Nina watoto mapacha wawil hawjatembea Wana miaka minne naomba niombee
@fatumamichael5664
@fatumamichael5664 5 ай бұрын
Naomba no yenu nataka kuja huko na mtt wangu ili nipewe maelekezo
@JessicaKapona
@JessicaKapona 4 ай бұрын
Radio gan
@DominicaKimario-di7ux
@DominicaKimario-di7ux 26 күн бұрын
naomba adui yangu asihishi
@sirilajohn5942
@sirilajohn5942 6 ай бұрын
Dah kweli baba
@janethmadole4815
@janethmadole4815 7 ай бұрын
Ee mungu wa kiboko ya wachawi amponye mwanangu ismail ugonjwa wa sukar
@user-yd5xe8rl7f
@user-yd5xe8rl7f 6 ай бұрын
Naomba maombi nateswa na nguvu za giza
@ChristinaLyimo-ni5cd
@ChristinaLyimo-ni5cd 4 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda dhidi ya maadui .....
@lucasmveyange3339
@lucasmveyange3339 2 ай бұрын
Nabii tabili juu yangu
@NyabukeneMirari
@NyabukeneMirari 3 ай бұрын
Na mm naomba niponye mchungaji nasumbuliwa na maladhi
@user-dh5il7nl9j
@user-dh5il7nl9j 4 ай бұрын
Baba naomba unitabirie maisha yangu
@user-ru1qb6hv2k
@user-ru1qb6hv2k 8 ай бұрын
mungu na mm nifunguliwe
@frankjuma5654
@frankjuma5654 4 ай бұрын
D wewe ninoma sana❤
@DominicaKimario-di7ux
@DominicaKimario-di7ux 26 күн бұрын
nabii naomba niombee tuuze shamba la familia alipati wateja wanakuja na kuondok tuu mwezi huu usiishe waje wateja
@user-er5hr1od6k
@user-er5hr1od6k 5 ай бұрын
😭😭🙏
@clarischaro2467
@clarischaro2467 6 ай бұрын
Mungu nikumbuke na mm nahitaji nione miujiza yako
@RajabuSikabwe-rp1lj
@RajabuSikabwe-rp1lj 3 ай бұрын
Ukosahii
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 7 ай бұрын
Mungu mwema
@jonasmajoge482
@jonasmajoge482 6 ай бұрын
Eeee,mungu naomba na mimi nikikayanga hapo nionekane
@obedisiarangiriki8142
@obedisiarangiriki8142 8 ай бұрын
Nionekanie na mimi Yesu
@jenifercynthiakazimoto5392
@jenifercynthiakazimoto5392 3 ай бұрын
Aisee wachawi wabaya ni wakufaa tuu
@EVELINSimon-ru2le
@EVELINSimon-ru2le 3 ай бұрын
Naomba nipate ndoa baba na nipate amani ya moyo wangu
@user-lk9jg4lj5o
@user-lk9jg4lj5o 8 ай бұрын
Mimi naitwa jafalango kitule nabii naomba uniombee nataka kuanza huduma
@user-ur6ye3qt3d
@user-ur6ye3qt3d 8 ай бұрын
Pastor mimi ni masai kutoka arusha ninaitwa William kisota mollel ninayo mtoto anaitwa ibrahimu kisota mollel alizaliwa mwaka 2012 hadi leo 2023 ni miaka 12 hajatembea wala aongei na aoni wala hawezi kula mwenyewe ninatezekanae niombea ili apone na naomba namba yako nikufuate huko uliko
@user-hp4jq1in4b
@user-hp4jq1in4b 7 ай бұрын
Bwana asifiwe mtumishi naitwa happy niko na mwangu anaitwa dorreni luttainurwa anasumbuliwa na mapepo sana baba naomba uniombee mimi na familia yangu
@SwaumuMohamed-i4s
@SwaumuMohamed-i4s 20 күн бұрын
Bwana asifiwe naitwa Sifa Rajabu nipo Moshi naomba baba unisaidie mwanangu anasumbuliwa nahenia anatakiwa upalesheni lakini pia watu wananiambia akipigwa upalesheni anakufa nainamsumbua sana naomba nasaidie pia ninamengi sanayananiumiza naumia sana naomba msada wako
@user-ql5iu4cr8x
@user-ql5iu4cr8x 4 ай бұрын
Baba naomba umsaidie na dada angu katika ndoa yake mumewe aweze kurudi nyumbani kwa mke wake naomba msaidie dada angu anaitwa rebecka magesa yuko mwanza .mkoani simiyu naomba baba msaidie
@alicenyakoa
@alicenyakoa 8 ай бұрын
Pastor naomba uniombee pia nami nipate ndoa
@DausenMateru-oe6ib
@DausenMateru-oe6ib 8 ай бұрын
Mungu awe nawe
@user-zc7dz6zi6s
@user-zc7dz6zi6s 3 ай бұрын
Nabii naomba nifungue niolewe
@johnmgalatia1939
@johnmgalatia1939 8 ай бұрын
Nniguse na mimi bwana,imani yangu kubwa kwako
@user-dx2zl1vo5s
@user-dx2zl1vo5s 4 ай бұрын
Niguswe na mm miaka13 nasumbuliwa na miguu
@mishiShabani-rt1vg
@mishiShabani-rt1vg 2 ай бұрын
Nabii naomba nieombee namim nipone uvimbe tumbo
SIRI YAFICHUKA WATOTO SABA NA MAMA YAO WAROGWA NA KUISHI MIAKA YOTE BILA KUWA NA CHOCHOTE PART-2
12:51
MAMAALIYE TESEKA MIAKA MITATU (3) KWA KANSA APONA/ALIYEMSABABISHIA AFARIKI KWA PRESHA
17:41
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 23 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 110 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 26 МЛН
TAZAMA UYU BABA ALIEPEWA MASHARTI MABAYA SANA NA MGANGA YALIVYOMSABABISHIA MATATIZO
11:46
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 33 М.
SEHEMU YA (2) KIJANA ASHUTUMIWAE KUIBA MILIONI SABA (7) NABII KIBOKO YA WACHAWI AFICHUWA UKWELI
11:29
MAPENZI YANAUMA TAZAMA HAWA VIJANA WALIOFIKIRI WAMEROGWA KUMBE NI MAPENZI NA WATABIRIWA MAKUBWA
17:02
MAAJABU YATENDEKA DADA MWENYE KANSA YA TITI APONYWA NA KIBOKO YA WACHAWI
25:10
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 27 М.
MTOTO ALIYE TOLEWA KAFALA NA BABA YAKE APATIKANA/MUME AM MSAMAHA KWA MKEWE NDOA IENDELEE
6:02
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 54 М.
MWANAMUZIKI ANGELA MAARUFU KAMA ANGELA WA KONDE GANG ABARIKIWA NA KIBOKO YA WACHAWI
6:01
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 27 М.
BABA AMTOA KAFALA MTOTO WAKE/MAMA AMTAKA MWANAE ARUDISHWE
9:48
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 104 М.
HALIMA ALIYESINGIZIWA NA BOSS WAKE KUWA  AMEIBA MILION 5 UKWELI WAFICHUKA  PART-1
15:52
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 46 М.
TAZAMA MAMA ALIYEKUWA AKIMROGA MKWEWAKE AJITOKEZA BAADA YA MAOMBI YA NABII KIBOKO YA WACHAWI
22:06
NGUVU YA AGANO NYUMA YA JINA LA UKOO
35:02
Ev. Frank Mgeni
Рет қаралды 228
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН