Amen , napokeya nguvu ya ku sapoti kazi njema ya Bwana wetu Yesu Kristu ❤❤
@samuelAgustino-gg1vv2 ай бұрын
Amina
@rebeccandambala55502 ай бұрын
Amen Apostle nimekuelewa vema
@elizajames26302 ай бұрын
asante Apostle kwa ujumbe huu nimesikiliza vyema na nimejifunza kitu kikubwa sana
@jacquelineelly66842 ай бұрын
Asante Sana Apostle kwa mafundisho haya. Mimi binafsi nimejifunza na nimeelewa vyema.
@siakiwelu32552 ай бұрын
Napokea ushindi kwa jina la Yesu
@catherinekatoto82782 ай бұрын
Mungu nisaidie nisipungukiwe na nizidi kuifanya kwa bidii katika ufalme wako ktk kuinua mikono ya watumishi wako.
@felistamushi2 ай бұрын
Amen chief
@VictorJohn-fu7chАй бұрын
Best teacher❤❤
@leticiamachibya18512 ай бұрын
🔥🔥🔥
@RobertMushi-ym9me2 ай бұрын
Amen chife
@siakiwelu32552 ай бұрын
Kila roho inayotawanya uchumi wangu kwa njia yoyote ile iniachie leo kwa Jina la Yesu
@abishaggystafford92642 ай бұрын
AMEN CHIEF 🙏🏼
@user-ce4wg5de8c2 ай бұрын
MUNGU nisaidie kutekeleza haya mafundisho in Jesus name.
@user-rc6uu2ud2j2 ай бұрын
Fire man of God
@Wamisangi2 ай бұрын
Jifunzeni kumtegemea Mungu na wala si mwanadamu. Bwana Yesu ndiye Mchungaji Mwema. Na alipokufa pazia la hekalu lilipasuka ili kila mmoja aliyempokea aweze kwa Damu yake inenayo Mema Wakati Wote kuingia Patakatifu pa Patakatifu.
@dausonphjeremiah2 ай бұрын
Efeso 4:11
@Wamisangi2 ай бұрын
@@dausonphjeremiah Wote Tuko na Roho Mtakatifu anaye ishi ndani yetu. Huo ndio msingi. Tusibadilishe kutegemezwa kuwa kutegemewa. Spiritual Maturity ndio lengo. Waefeso 4:13 usiwafanye wengine kuwa tegemzezi. Kwamba wewe ndio unashambuliwa kwa ajili/niaba yao.