KALENDA ZA KICHAWI AMBAZO HUTUMIKA KULIANGUSHA KANISA NA WACHUNGAJI|USHINDI NI KRISTO|MCH.KATEKELA

  Рет қаралды 53,961

PROMOVER TV

PROMOVER TV

4 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 80
@lilianmathayo7638
@lilianmathayo7638 Ай бұрын
Siku nikienda masumbwe lazima nifike kwa uyu mwamba barikiwa sana mtumish
@user-dk4ju6oc8i
@user-dk4ju6oc8i 4 ай бұрын
Amen and amen feeling blessed and learning a lot from kenya-Nairobi
@dusabeclaudine4276
@dusabeclaudine4276 4 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe saana tunapenda mahubiri yako.Tunaendelea kufahamu ulinwengu wa roho namna una oparate.Mungu akulunde mtumishi wa Mungu.
@peacesirajudin1801
@peacesirajudin1801 17 күн бұрын
Amen mtumishi w Jehovah laiti ungelijaliwa kuja kuhubiri n huku Mafinga tunayahitaji hayo mahubiri kwkweli
@user-cp1tc3io3w
@user-cp1tc3io3w Ай бұрын
Urakoze cane imana ikongere inkomezi
@its_keziah77
@its_keziah77 4 ай бұрын
Very deep teaching servant of God ,,am blessed
@sisterelizabethsamo
@sisterelizabethsamo 9 күн бұрын
Bwana Yesu Kristo asifiwe Mtumishi wa Mungu Aliye Hai ninaswali tafadhali Ikiwa askofu amezini na hataki ushauri wowote Wala kuachana na hao wanawake Wala hataki kusikia sauti ya Mungu Aliye Hai akimuonya haonyeki Wala hofu ya Kristo haipo ndani yake Tutafanyaje kama KIONGOZI wa kanisa
@user-ny5gc3fg8d
@user-ny5gc3fg8d Ай бұрын
Utukufu kwa YESU KRISTO
@charityezekiel3525
@charityezekiel3525 4 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu, inqhitajika ufanye semina na wachungaji...
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 4 ай бұрын
Ubarikiwe na MUNGU wambinguni Kwa baraka za mbinguni naduniani Mtumishi wa MUNGU hallelujah
@user-dk4ju6oc8i
@user-dk4ju6oc8i 4 ай бұрын
Amen and amen,, feeling blessed from kenya
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 4 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi,unatusaidia Sana kujua madhabahu ya kuzimu inavyofanya kazi
@nallymwamba1330
@nallymwamba1330 4 ай бұрын
Ohh YESU tusaidie tunapoyasikia haya.UBARIKIWE Mchungaji
@alinamark2640
@alinamark2640 4 ай бұрын
Mungu atusaidie sana.
@user-iw1yq3op8f
@user-iw1yq3op8f 4 ай бұрын
Waaaaa mungu atusaidie kwa kweli maana Dunia imeharibika sana bwana tusaidie barikiwa mtumishi wa mungu
@LuckyMountainRange-lk4iq
@LuckyMountainRange-lk4iq 4 ай бұрын
Napenda mahubiri yako sana sana nabarikiwa kutoka kenya
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 3 ай бұрын
Samweli Mwema Muri yupo?
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf 4 ай бұрын
Amen amen amen amen mtumishi mungu akubaliki akukumbuke akumbuke na watoto wako na muke wako
@robertsilington-cu4dz
@robertsilington-cu4dz 4 ай бұрын
Ubalikiwe Sana mtumishi wa Bwana kwa ujumbe wako
@user-br1yh5mr3k
@user-br1yh5mr3k 19 күн бұрын
Amina mtumishi
@Richard.S.Magoryo
@Richard.S.Magoryo 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa kazi ya mungu unayofanya,umetujuza mengi ambayo hatukujua!.
@pastormichaelkayombopendec2497
@pastormichaelkayombopendec2497 4 ай бұрын
Nimeipenda sana mtumishi kwa mahubir yko
@christianmulunga5504
@christianmulunga5504 4 ай бұрын
Amen, mbarikiwe na asante kwa neno😊🙏
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 4 ай бұрын
Amina ubarikiwe san mtumishi kwa neno zuri nashukuru nimepata kitu ubarikiwe san
@elijahwambugu8301
@elijahwambugu8301 15 күн бұрын
Ahsante kwa mufundisho
@desderykarugaba1826
@desderykarugaba1826 4 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia katika viwango vya juu sana.
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 4 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Mchungaji
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 4 ай бұрын
Bwana asifiwe hapo kwa tiktok ukweli KENYA kuna boy alikuwa kwa tiktok ,amefariki kwa ajali 😢 YESU TUSAIDIE
@user-fw9xj8kv1m
@user-fw9xj8kv1m 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana tunatazama
@christinamatai2408
@christinamatai2408 4 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana baba 🙏 🙏 🙏
@amosbuzaniye2331
@amosbuzaniye2331 2 ай бұрын
Asante mch tengeneza kns
@dankir9921
@dankir9921 4 ай бұрын
Promover kindly post full teachings kindly in Jesus Name
@its_keziah77
@its_keziah77 4 ай бұрын
Ooh kumbe ndio wanakufa sana
@catherineangaufoo2530
@catherineangaufoo2530 4 ай бұрын
Amen mtumishi.
@CherieDeDieu
@CherieDeDieu 4 ай бұрын
Endelea kusema ukweli Baba Mtumishi wala usichoke!! Kuna watumishi wengi wa Mungu wanaogopa kusema maneno unayosema wewe lakini kwa sababu umeneemeshwa sana na Yesu jamani ongea! Umekuwa wa baraka sana kwangu kibinafsi na kwa nchi yangu 🇰🇪. Barikiwa sana na ulindwe kwa Roho Mtakatifu na damu ya Yesu, Amen.
@consgmail
@consgmail 4 ай бұрын
MUNGU akubariki sana Mchungaji kwayote uliyoyaongea ..AMEN
@AshilatAbas-qe4fh
@AshilatAbas-qe4fh 4 ай бұрын
Asante sana
@upendomhagama3236
@upendomhagama3236 3 ай бұрын
Amen ubarikiwe
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 4 ай бұрын
Amen
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@sophiakilango5286
@sophiakilango5286 4 ай бұрын
Mungu atusaidie
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 4 ай бұрын
Amen Amen Ameeeeeeeeeeeeen
@janelithaSolomon
@janelithaSolomon 3 ай бұрын
Barikiwa sana
@beramjulius4479
@beramjulius4479 4 ай бұрын
Ukweli kanisa linatafutwa sana, nasi hukumu zetu ni za mwilini MUNGU atusaidie.
@AnnaMahali
@AnnaMahali 3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@jaretwekesa6355
@jaretwekesa6355 4 ай бұрын
Amen amen ameeeen
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 3 ай бұрын
Ni kweli Hata juzi Mkenya shoga alietrendi sana kwa Jina Brian Chira,aliuwawa.
@raelnangila3006
@raelnangila3006 4 ай бұрын
Ameeni
@ainekishagodwin1877
@ainekishagodwin1877 4 ай бұрын
Mungu tusaidie
@HelenKodi
@HelenKodi 4 ай бұрын
Mtumishi nakushukuru sana kwa kutufunilia Mambo ya tick tock Mungu atusaidie
@wendyawino5887
@wendyawino5887 4 ай бұрын
Oh yes
@user-sx6xb2hg3l
@user-sx6xb2hg3l 4 ай бұрын
AMEEEN
@josephmwando4151
@josephmwando4151 4 ай бұрын
Mtumishi unanena mambo mazito sana.
@AnnaMahali
@AnnaMahali 3 ай бұрын
Ameni
@user-to7ky5tl8b
@user-to7ky5tl8b 4 ай бұрын
Mchungaji bwangu ni mzee wa kanisa anazini na kuzaa na mwana make nje ya ndoa mara nyingi
@millyarapta6933
@millyarapta6933 4 ай бұрын
Hii ni ukwei kabisa ata kenya ni ivo
@brightondonatien5898
@brightondonatien5898 Ай бұрын
Kikweli mhubiri haya mnaonena yanafanyika ,ila mbona siku hizi kanisani mtu akikutwa na dzambi hawamufwatilie.vtufanye nini?
@atuganilemwakabuta2763
@atuganilemwakabuta2763 3 ай бұрын
Jamani Yesu nisaidie kukutumikia
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 4 ай бұрын
Yani nikweli kabisa ulivonena mtumishi wa Mungu,hakika ukimjua Mungu utamtolea kwa kupenda sikwa surutisho ndio maana Ibrahim n mfano wa waliowahi kutikisa mbingu kwa sadaka yake
@user-cq8nd4ek8w
@user-cq8nd4ek8w 4 ай бұрын
Kwanini, upeleke Njiwa?? Na Kazi ya Njiwa Ninini??
@user-ze2em6do8m
@user-ze2em6do8m 4 ай бұрын
Samahani mtumishi nina swali
@robertsilington-cu4dz
@robertsilington-cu4dz 4 ай бұрын
Uliza
@JeremiaShimba-cq8mq
@JeremiaShimba-cq8mq 4 ай бұрын
Amieli Barikiwa mtumishi
@zainabmohammed9917
@zainabmohammed9917 4 ай бұрын
Hii ya tiktok nayo ina ukweli wake
@alicekapusi
@alicekapusi 4 ай бұрын
Hao watu sana siku hizi ambao watakuwa tiyari kumshauri huyo mzee wa kanisa muda wote huo wanatokea wapi? Mfano kanisa dogo.
@ezron_official
@ezron_official 3 ай бұрын
🇹🇿🙏🙏
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 4 ай бұрын
Tafadhali nisaidie na namba ya katekela
@naomicharles5444
@naomicharles5444 4 ай бұрын
Mh ili la viewers wengi wanakufa imenishtua kifo cha BRIAN CHIRA
@annajotham9478
@annajotham9478 4 ай бұрын
Basi jamani huyu na awe Asikofu mkuu w Tanzania na dunia nzima kabisa kabisa
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 4 ай бұрын
Kwa sababu anaongea tu mambo ya uchawi uchawi?hana Neno anafundisha kazi za shetan
@floramongi1410
@floramongi1410 4 ай бұрын
Usipojua adui Yako anamtumia silaha gani Naina nguvu kiasi gani huwezi kupigana nae​@@chrismassawe2939
@user-qf6ti2jy6z
@user-qf6ti2jy6z 4 ай бұрын
Mtumishi sijui unachohubiri ,kwakuwa unaweka chuki ya kiimani kionyesha Uislam ni ushetani,nadhanibkwakuwa Ulikuwa Freemason hujaacha umekuwa Freemason wa hadharani kupitia madhabahu ya Kanisa yaani unafundisha kuwa kila muislamu Ana majini? Mimi nilikuwa mjinga kama wewe hapo nilipokuwa nje ya Uislamu niliaminishwa hivyo lakini sivyo kabisa uislam ni dini safi haina association na majini ninapenda Uidlamu 💯
@tusajigwengondya
@tusajigwengondya 3 ай бұрын
Kuna baadhi ya wahubiri/watenda kazi wa Mungu unadi upande walionao na kuuchafua au kupaka tope dhehebu au dini nyingine! Mtu asikie na kuamua wapi anaona ndipo Kuna Mungu
@janelithaSolomon
@janelithaSolomon 3 ай бұрын
Bado upo gizani
@goodluckjoseph3540
@goodluckjoseph3540 3 ай бұрын
Tulia wewe bado unaumwa
@samwelnaal7952
@samwelnaal7952 3 ай бұрын
Wajinga ndio waliwao😊
@faithmihafu6213
@faithmihafu6213 4 ай бұрын
Mungu atusaidie sana
@its_keziah77
@its_keziah77 4 ай бұрын
Amen
@its_keziah77
@its_keziah77 4 ай бұрын
Amen
NGUVU YA NAFSI|UKOMBOZI NA MAMLAKA YA KUZISHINDA|Mch Amiel Katekella
1:05:57
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 34 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 105 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
1:12:16
KATEKELLA TV is live  MASWALI NA MAJIBU
53:03
KATEKELLA TV
Рет қаралды 5 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 210 М.
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 34 МЛН