Muhammad Bachu KAMA HII SIO SHIRKI BASI TURUDINI TENA TUKASOME.

  Рет қаралды 65,032

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

2 жыл бұрын

Пікірлер: 262
@elumarhajj6981
@elumarhajj6981 2 жыл бұрын
JazakhAllah kheir, Umetutoa Kwa Giza,Endelea kupigana Kwa njia Allah kwa Kusimamisha Tahweed na kukataza Bidhaa na shirk ndogo ndogo..Tunakuomba Sana Utuelimishe kuhusu Ziara ya makaburi kama ni Haramu au vp
@muhidinn5648
@muhidinn5648 2 жыл бұрын
عالم الغيب فلا يظهر على غيبه أحدا إلا من ارتضى من الرسول
@zulfasalim8770
@zulfasalim8770 2 жыл бұрын
HAKUIONA HII KATIKA MSWAHAFU WAKE ANAO TUMIA
@ustadhshauri1773
@ustadhshauri1773 2 жыл бұрын
وما هو على الغيب بضنين
@abdulwahababdully3062
@abdulwahababdully3062 2 жыл бұрын
@@zulfasalim8770 fungua moyo wako utafaham usahh zaidi inshaallah
@anasmalongo3365
@anasmalongo3365 Жыл бұрын
نعم صدق الله العظيم
@binhemed7517
@binhemed7517 8 ай бұрын
Yako mambo Allah amewafunulia mitume yake kujua lkn point ni kwamba, mtume hajui mpka ajulishwe na Allah, yy hana elimu ya lolote katika Ghaib isipokuwa yale mola wke aliyomfunulia.
@hamidakeissy3235
@hamidakeissy3235 2 жыл бұрын
Sheikh nmekuelewa vzr Allah atujalie mwisho mwema !
@ahmedrehan7975
@ahmedrehan7975 2 жыл бұрын
Sheikh Muhammad Allah azidi kukupa afya njema بارك الله فيك
@saidmohammed2830
@saidmohammed2830 2 жыл бұрын
Ameeen
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Sheikh Muhammad Nasor Bachu Shukrani sana kwa kutuelimisha. Allah akuongoze na akuongezee ilmu na akulinde na kila shari ili upate kutuelimisha zaidi.
@abutafawa
@abutafawa 2 жыл бұрын
Allāh akuhifadhi akhii Muhammad Bachu.
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 2 жыл бұрын
Ahsantum sheikh Muhammad Bachu Allah akulipe kheri,akuhifadhi na akupe mwisho mwema,nipo pamoja nawe,nishaacha kwenda maulidini miaka mingi na kwenda kwenye arobaini
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 жыл бұрын
Masha Allah. Mshukuru mungu sana akhui
@mukrimhassan9448
@mukrimhassan9448 2 жыл бұрын
Maashallah sheikh muhamadi bachu Allah akulipe kheri duniani na akhra na akupe umri mrefu mwenye heri nawewe pamoja na familia yako aaamin
@salimsaleh9354
@salimsaleh9354 2 жыл бұрын
mashaallah shekh muhammad bachu unatuelimisha vizuri tunafahamu ukweli , allah awape moyo mwepesi wapenda maulidi waache shirki zao
@bellbell9294
@bellbell9294 2 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wangu kwa DARSA zuri Allah akubariki Sana
@khadijasaid5065
@khadijasaid5065 2 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi shekhe Muhammad bachu akuzidishiye ilmu zaidi inshaallah ..tunafaidika sana kusikiliza mawaedha yako mashaallah..Mungu akulinde na jicho lahasadi inshaallah..khadija said Nahdi mld kenya
@aliabdullahi9200
@aliabdullahi9200 2 жыл бұрын
Huyu kijana ameongea maneno yasio fahamika kwanza umesoma lugha ya kiarabu vizuri kabla yayeyote kaachini usome nahwi sio unapiga kelele mbeleya watu maana ya burda unajua? Umesoma mawili unajiona uko na elimu hio tafsiri Union toa rudi nao umetafsiri vile wee ukitaka tu muongo wee
@haythamali7496
@haythamali7496 2 жыл бұрын
Dah perfect shekhe inafahamika kabisa kwa ulivo chambua masha Allah
@jamaldaudimwasha5288
@jamaldaudimwasha5288 Жыл бұрын
Sheikh Bachu Allah akuhifadhi. Ila kuhusu Allah kuitwa Mungu kwa kiswahili au God kwa kiingereza nayo ni SHIRKi.
@bilalhamisi2300
@bilalhamisi2300 2 жыл бұрын
Mungu akujaze Kheir bro.... Kuna haja ya waislam kusoma
@ahmadiibrahimahmadi3513
@ahmadiibrahimahmadi3513 2 жыл бұрын
Yaaa Allah tupe Elimu yenye manufaaa, Ili iweze kuikomboa jamii kutok kweny ushirikina na kuw na itikad sahihi...
@OmarOmar-wx9zg
@OmarOmar-wx9zg 2 жыл бұрын
Ummah umepotezwa kwa muda mrefu sana baada ya kukosa Wana Wa chuoni walioshiba Tawhiid. Kwaio Tawhiid wengi hawaifahamu nafasi yake wanakwenda tu, kwa sbb babu yangu alikua anafanya hivi namimi nafanya!!!
@jamalraja417
@jamalraja417 2 жыл бұрын
Kweli kabisa hilo ndugu
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 жыл бұрын
Mohammed Bachu ndio kajaaliwa ilmu hiyo mbele ya wenye elimu? Mna shida nyiye. Msipojua maana Basi wafuateni wenye fani zao wawafundishe.
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 жыл бұрын
mtikhani wallahi
@mohdhakim8216
@mohdhakim8216 2 жыл бұрын
Vichekesho
@omadal1
@omadal1 2 жыл бұрын
sasa Mohammed Bachuu ndio mwanachuoni sio?
@alibanomary5339
@alibanomary5339 2 жыл бұрын
Ahsante sheikh Allah akuhifadhi
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 жыл бұрын
mm huwa najifunza sana nıkimsikliza huyu shekh cjui ni 7 b labda n shekh kijaba mwenzangu???? Allah akujaze kher fii dunya wal'akherah, Amiin
@hyasintayusrayusra8368
@hyasintayusrayusra8368 Жыл бұрын
Waambie wajue masha llah... Allah akuhifadhi na akulinde na hasad na fitna. Mwisho upate shahada.... Nakufananisha na shekh wangu.... Aboud rogo (rahimahuwwa)
@thefoodshaikh811
@thefoodshaikh811 Жыл бұрын
Kweli kipindi hiki tunahitaji mashekhe kama aboud
@khamismohammed2582
@khamismohammed2582 Жыл бұрын
Ila hajamfikia bado aboud rogo. Shekh aboud rogo anakosoa serikali na na walikuwa wanagonga mwamba ila washekh wetu wa znz mawaidha hayagus ktk serikal mana ukigusa huko wanaogopa ila aboud rogo ni next level
@frankchausa1330
@frankchausa1330 2 жыл бұрын
MaashaaAllah Shekh uko sawa Na tuko pamoja
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 жыл бұрын
Shukan sana Sheikh Mohammed bacho Wambie watu wa bidah
@aliysaid6917
@aliysaid6917 12 күн бұрын
جزاك الله خيرا
@yes_yes1310
@yes_yes1310 2 жыл бұрын
Masheikh siku hizi ni vijembee tu kama waimbaji wa taarab, yani kila Mtu anajiona msomi kuzidi wengine, lakin Kumbukeni Mwenyezi Mungu hapendi mwenye kujikweza, mwenyew kujifahari mbele ya wengine.
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 2 жыл бұрын
Swadaktaaa yaani siku mashaikh wengi kuchongowana au dawa wamekuwa wakutibu
@jumahatibu9240
@jumahatibu9240 2 жыл бұрын
ukikosea lazma uelekezwe ili ucje umma wa kiislamu ukapotea
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 жыл бұрын
mche allah
@abdurahimnassoro1667
@abdurahimnassoro1667 2 жыл бұрын
Kasome uondoe ujinga we unaelimishwa unasema anajikweza kaa na ujinga wako na ushirikina wa maulidi
@abdallahmzonge4455
@abdallahmzonge4455 2 жыл бұрын
hapo wala hamna vijembe wewe msikilize vizuri tu
@tamashamagoma2941
@tamashamagoma2941 2 жыл бұрын
Allah akujaze kheri
@khamzampanga4074
@khamzampanga4074 2 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi inshallah ww nimwalim
@awadhsaleh3929
@awadhsaleh3929 10 ай бұрын
Allah akuhifadhi na killa shari
@user-ik8xv2rl9f
@user-ik8xv2rl9f 2 жыл бұрын
ماشاء الله يا محمد ♥♥♥♥♥
@sein.208
@sein.208 2 жыл бұрын
Masha Allah TabarakAllah
@khamishamad5264
@khamishamad5264 2 жыл бұрын
وقل جاءالحق وزهق الباطل ان الباطل كان زهوقا
@hanafhamad2801
@hanafhamad2801 2 жыл бұрын
bachu allah akupe elimu pana zaid ya hiyo ili tuweze kunufaika inshallah
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 2 жыл бұрын
Shukran yaa sheikh muhamed
@awadhsaleh3929
@awadhsaleh3929 10 ай бұрын
احبك في الله
@abdulhafidhkilimbi3939
@abdulhafidhkilimbi3939 2 жыл бұрын
Sheikh kwa kila anae leta yasiyo fahamika na uzushi chapa elimu
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q 2 жыл бұрын
Na walio andika hayo ni waumini wa kuomba kwenye makaburi ya baadhi watu wa Ukoo wa Mtume na baadhi ya Viongozibwa nchi zao. Allahumma nsurna mina Ljahiliyn!
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 2 жыл бұрын
Yaa Rabi bilmustwafaa balighi makaaswidanaa waghfirlanaa maa madhwa Yaa waasia Al karami.
@hamadfaki2503
@hamadfaki2503 2 жыл бұрын
Sheikh Muhammad mi nakushauri litumie zaidi jina la Allah kuliko Mwenyezimungu nibora zaidi.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Mimi nakukubari Sana shekh ,M,mungu akuongezeee hikma
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 2 жыл бұрын
Kazi kubwa inahitajika kuwatanabahisha waislam watoke kwenye giza. In sha Allaah tusichoke kukumbusha hakika ukumbusha utamfaa tuu mwenye kuamini
@saidiabdallah-kv7bd
@saidiabdallah-kv7bd Жыл бұрын
Huyu mshenzi ni ktk wale walioletwa wakasomeshwa kuja kuuvunja uislamu lkn laana za mungu zinamtembelea uyu kama alivopata laana yussuf hamza
@shukranjazzakhaallahukheir1897
@shukranjazzakhaallahukheir1897 2 жыл бұрын
MashaAllah tabarakaAllahu.mungu akuhifadhi MTT WA mwenzetu
@eastzooadmin6416
@eastzooadmin6416 2 жыл бұрын
Usiache kuyazungumzia haya masaala, Allah barik 🙏🏾❤️
@OmarOmar-wx9zg
@OmarOmar-wx9zg 2 жыл бұрын
Hahahahahahahaha, walio athirika na ushirikina wana mtihani sana, Allaah awatowe kwenye genge la washirikina
@musarashidy9308
@musarashidy9308 2 жыл бұрын
Ww shekhe mm sikukufurishi bali hayo mambo kuyajua lazima uwe nafani zisizo punguza kumi nazd nah blg srf mnt ww watafsiri lugha tu siuwafate upige goti kisawa sawa
@duniaduaratv1216
@duniaduaratv1216 11 ай бұрын
Ndugu mtoto wa aliyekuwa sheikh Bachu nakuombea dua kwa maneno yako haya ukutane na sheikh Jafari Mtavassy simba wa fani za Lugha nilimsikia akifafanua hizi ibara, na aina za Ghayb na ile aya hii aya uliyoileta ya mambo matano na ile ya katika surat aljinni wallahi umefeli pakubwa ndugu.
@kavumohemedi871
@kavumohemedi871 2 жыл бұрын
Hakika Allah ndio anaeijua ghaibu yeye tu pekee..
@haydarhamad6532
@haydarhamad6532 2 жыл бұрын
Daah! sheikh Muhammad Bachu nafuatilia Sana clips zako na kwakweli nilikua nakuona mpotoshaji mkubwa kwakua unayapinga Maulid,ila kupitia clip hii nimegundua kua Maulid hayafai hata kidogo na kuanzia sasahiv naamua kuachana kabisa na Masuala ya Maulidi,Allah akupe maisha marefu yenye kheri na ww ili uzidi kutuelimisha Sheikh wetu.
@user-ik8xv2rl9f
@user-ik8xv2rl9f 2 жыл бұрын
ماشاء الله
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 2 жыл бұрын
Masha Allah,muumini wa kweli ni yule mwenye kutambua ukweli na akaufuata.
@saeedabunajash6235
@saeedabunajash6235 2 жыл бұрын
Allah akubarik
@mohammedjumakhamis8151
@mohammedjumakhamis8151 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah azid kutuongoa sote
@tamashamagoma2941
@tamashamagoma2941 2 жыл бұрын
Hilo ndio linalotakiwa, ukishaelewa , ifuate hali. Allah atuongoze sote
@angleangle8193
@angleangle8193 2 жыл бұрын
Hapa mwisho Kuna Shubha ya معية الله rekebish bba
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 2 жыл бұрын
MashALLAH
@babu2274
@babu2274 2 жыл бұрын
Allah amhifadhi shiekh wetu 😍 Muhammad bachu , Allah akulipe kheri
@jamalraja417
@jamalraja417 2 жыл бұрын
Swadakh shekh nime elew mifano yako ya taudi
@abdallahmzonge4455
@abdallahmzonge4455 2 жыл бұрын
mashallah, watu wa bidaa wanakuelewa sana illa kwa viburi vyao ndio sababu wanakupinga
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Wallahi huyu shekh yuko sahihi lakn ni vyenye dini tumeitia ushabiki ndio utaona wengne wanapinga..ssa itakuwaje sifa za mungu umpe mtume mnaleta sarakasi kwenye dini tayari mnawaigiza wakristo kumpa yesu sifa za mungu tusomeni ndugu ikiwa utaitukuza siku ya mazazi ya mtume sawa lakn usilete hoja za uongo ukadhani kambae ulimwengu umeumbwa jana unatufundisha sasa uislam kivipi yani shekh bachu mungu akujaze kheri.
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Umeongea ukweli mtupu akhi
@sharifumohamed6391
@sharifumohamed6391 Жыл бұрын
Hapana hayuko sahihii turudi nyuma kwa nabiii Musa pale alipo sema Kama yeye hayupo anaemshinda kwa elmu mungu akamwambiya kunamjawangu nenda ukasome jeee wajuwa huo aliekuwa mwalimu alifanya nn katobowa jahazi kauwa mtoto mdogo akajenga ukuta bila kulipwa majibu yake yalikujaje katobowa jahazi kwasababu Kuna mfalme atawanyanganya kamuuwa mtoto akaseme kuwa Angelika kuwatiya moton wazeeee wake na ule ukuta Pana hazina ya mayatima alijuwaje yy
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
@@sharifumohamed6391 Mfano unaoutoa hauna mashiko na topic inayojadiliwa,ulichozungumza ni kweli lkn kwenye hoja hii Haina mantik, kwahiyo watu waendelee kumshirikisha M'mungu,Yani bado unaleta ligi,duu kweli nimeamini unaweza kuwa na macho na usione,masikio na usiskie pia,weka pembeni ushabiki ndugu yangu,acha mzaha
@duniaduaratv1216
@duniaduaratv1216 11 ай бұрын
Kasome kwanza maana yeye kasema tu hapo kuna elimu nyingi hazijui ndugu sheikh huyu
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Baaraka llahu fik
@ibrahimjumakhamis3012
@ibrahimjumakhamis3012 2 жыл бұрын
Bachu mdogo Mashallah
@yusufathman2478
@yusufathman2478 2 жыл бұрын
Sheikh nakupenda kwa ajili ya Allah
@adilihassan8455
@adilihassan8455 Жыл бұрын
Kawaida,wtu wa bidaa hawapendi wtu kma hawa,wache wampinge bt kiama ndo finally
@salmafaraj6544
@salmafaraj6544 2 ай бұрын
Mimi nishawaskia wakisema kua amali za waja kwanza zinapita kwake mtume kaburini alf ndio zenda kwa mungu alf tena wanasema mtume sio km binadamu wa kawaida km cc kwakweli ni mtihani mkubwa sn kwa hawa wenzetu Allah awaongoze na ni wabishiii hee
@kheirameir6284
@kheirameir6284 Жыл бұрын
Mm simkubali zana huyu dogo mana bado yupo chini sana kielimu halafu anajifanya mjuaji sana.huna lolote,kasome kwanza
@mwadinbakar9553
@mwadinbakar9553 2 жыл бұрын
Maalim hivi wapata nini kufarakanisha Waislam?
@medimisi6930
@medimisi6930 2 жыл бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah
@dktabdurahim3896
@dktabdurahim3896 Жыл бұрын
Muhammadi bachu siyo shekhe ni mropokaji tu mana mpaka kafikiya kuwatukama viongozi wakati sisi tunakatazwa na sheriya kuwatukana watawala viongozi wetu
@ibrahimugama9635
@ibrahimugama9635 Жыл бұрын
Mashaallah
@user-pz8qr2cj4j
@user-pz8qr2cj4j 6 ай бұрын
Safisana kwaelim
@MuhamediswaleeMjenga-yn8oc
@MuhamediswaleeMjenga-yn8oc 4 ай бұрын
Lugha iliyotumika mafahimu yake si hivyo sheikhe umetafsiri masawaa
@yes_yes1310
@yes_yes1310 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂Jamani tusome kabsa,
@yussufhajj4129
@yussufhajj4129 2 жыл бұрын
Shekhe aona ni fakhri kukosoa kama yy ndio amezuia funguo za pepo na elimu yote mashallah ameimiliki yy .....fikra yko na nwenzio haiwezi kuwa sawa htta sku moja killa m2 ataingia peponi kwa jambo lake
@tugabiz4286
@tugabiz4286 2 жыл бұрын
Kama kila mtu na uelewa wake basi kusingekua na haja ya kuwa na mijadala wala kuhubiri kila mtu angekua anajisomea mwenyewe na kutulia asimsumbue mwenzake hata akikosea kwa kuwa kila mtu na uelewa wake na upeo wake.
@HawaOmary-fb6wo
@HawaOmary-fb6wo 9 ай бұрын
@@tugabiz4286 UELEWA KATIKA KUFAHAMU MAANA.YAANI KWA MFANO,"NDEGE IKARUKA"MWINGINE ANAAMINI NI MNYAMA,NA MWINGINE NI NDEGE EQUIPMENT AU AEROPLANE.
@ElMafunzoTv770
@ElMafunzoTv770 Жыл бұрын
Ukisoma utajua kasome kwanza
@awadhsaleh3929
@awadhsaleh3929 10 ай бұрын
Shekhe bachu maneno aliosema ni wazi
@pakashume725
@pakashume725 2 жыл бұрын
Unajua tatizo nini? Unawagusa!
@RamadhaniShembillu
@RamadhaniShembillu Жыл бұрын
Kuna kijana akwambia hujui lugha mbona humjibu shekhe?
@moshmlos7715
@moshmlos7715 Жыл бұрын
duh
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 жыл бұрын
Wanaongea matope wamesikiliza khutba mwanzo hadi mwisho kweli??? Ama ni kuropoka tu
@zamdinikilala5454
@zamdinikilala5454 Жыл бұрын
Wewe ni chizi namba moja kuliko machizi wote sijui hao wafuasi wako
@abdulmussa5686
@abdulmussa5686 2 жыл бұрын
Tukasome ukasome,,, wewe ndo usojua kitu,,, ukasome baleghe na ujana wakusumbua
@m-baroukjuma7164
@m-baroukjuma7164 Жыл бұрын
Acha taasub fuata hqi usipingane na qur-an akhy
@user-vx7hc3km5z
@user-vx7hc3km5z 2 жыл бұрын
Cha ajab kpi kwa mashair ya kwanza alioyasoma hahaha huyu nae nlikuaga namuona kdog afadhal ila kila cku nazid kumuona buyu2 kam mwenzie nurdeen qishk alikuja moto wakongwe wakamtuliza sas na huyu 2nakiheshm kuptia jna la bach ila panapoenda mapema2 anapotea me nipo apa kwa 7bu elm na mabshano kwa usilolijua ni kuonesha dhahir kua we ni punguan2
@pandumakame6421
@pandumakame6421 Жыл бұрын
Mashallaha
@ahmadzubeir2605
@ahmadzubeir2605 2 жыл бұрын
Msuudi na wafuasi wake maisha wataendelea kuwachukia watu wanaoitwa masufi.
@scottznz.134
@scottznz.134 2 жыл бұрын
Kwani wanao soma maulidi wote ni masufi?
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 жыл бұрын
Watu wa Allah.
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 жыл бұрын
Shida ya mashkh wao hawawatafsirii haliyomo katika vitabu vyao vya maulidi wawaimbisha tu kama wachungaji kanisani kwa kondoo wao
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 2 жыл бұрын
Una uhakika na hayo maneno yko coz utakj kuulzwa coz tunafndshwa
@aliabdullahi9200
@aliabdullahi9200 2 жыл бұрын
We jieshimu haunaheshima unanyoshea kidole kitabu cha mowlid unajua maana yamowlid ama unaongea tu
@abdurahimnassoro1667
@abdurahimnassoro1667 2 жыл бұрын
Nyie ndio mjiheshimu washirikina wakubwa mnafuata matamanio ya nafsi zenu kusoma hamtaki
@allyal-sharawymwadini3111
@allyal-sharawymwadini3111 2 жыл бұрын
Ndugu huna kitu chochote cha kuzungumza na huna mwisho Mwema kama baba yako huwezi kuwa zarau watu walikesha kwa ajili ya Allah ukaachwa tu na mdomo mrefu.
@maalimjobe7636
@maalimjobe7636 2 жыл бұрын
Baba yake kaingiaje hapa?
@MuhammadYusuf-rh7ur
@MuhammadYusuf-rh7ur Жыл бұрын
Si kila mwenye pengo aweza kula ugoro !kasome fanni wewe. Maneno meengi kaa chiriku nawatu wavivu wa kusoma kazi kusikiliza porojo kama hizi utawapata sana!
@musapoli4276
@musapoli4276 Жыл бұрын
Nenda kasome kijana bado hutoshi kabisa uwelewa wako ndio ndogo na mbovu
@yaziduhamisi4096
@yaziduhamisi4096 2 жыл бұрын
Mbona ambayo alioyajua ya ghaybu huyasemi ?we nimuongo tu
@awadhsaleh3929
@awadhsaleh3929 10 ай бұрын
Kwani albosiri hakosi
@murtalla6290
@murtalla6290 2 жыл бұрын
Kama elimu yako ingekua na faida basi usingetumia mitandao kutufariqisha waislam bali ungewatafuta masheikh ukakaa nao mukajadili masuala ya kidini maaana uislamu una taratibu zake sio kugombana mitandaoni kama manaswara hebu masheikhe kaeni chini acheni kupenda sifa za kidunia mukubaliane na mutueke sisi waumin sehem salama
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 2 жыл бұрын
Jamani Murtalla Khamis haya mambo kwa mtu alosoma dini tawhiid ndio kiini cha dini na ndio dini yenyewe na hapa kwa mwenye kuelewa hawezi kuwaacha umma ukapotea maana hao unaowaita kuwa ni masheikh hata ibilis kasoma na anajua anapoteza na wanaopoteza ni hao wanaojua kuwa tunapoteza lakin wameweka maslahi mbele, kuna wangap wanafanya shirki na wanaamini kuwa wapo sahihi? wewe ukiona unakwazika hapa kuna weng wanaona wanapata faida kwa hiyo wewe mwenyewe kama una elimu toa comment ya kumrudi sheikh kwa dalili ya Quran au sunna sio maneno th utaonekana mshabiki katika dini lakin din haina ushabiki dhidi ya uovu. Tutaitangaza tawhiid kwa njia ya mtandao maana ndio njia ya mitume wote na hao masheikh sio wakubwa kama mitume
@hamisimuhammad6225
@hamisimuhammad6225 2 жыл бұрын
Acha kumkosoa shekh kwani anachokisema nihaki
@omadal1
@omadal1 2 жыл бұрын
@@canoksancomprehensivelearn7182 Tatizo ni nikwamba wengi hawajui SHIRIKII ni nini SHIRIKII ni mlango mkubwa wataka ilimu sana, sasa tuwacheni kutumiwa ili kugawanya umma wa kislaamu. Tafauti za maoni na mitazamo zilikuwepo tangu wakati wa Maswahaba wakubwa kina OMAR, ALI na ABUBAKAR (Radhi za mola ziwafikie) lakini walikuwa wakihishimiana sio kuwitana majina ya kipotofu.
@abdurahimnassoro1667
@abdurahimnassoro1667 2 жыл бұрын
Masuala ya kuwachanganya maswahaba na hizi shirk zenu mgeacha tu maana maswahaba wenyewe hawakufanya maulidi eti nyie leo ndo mmeifanya imekuwa dini
@loganpoul
@loganpoul Жыл бұрын
Tatizo munatafsiri kitabu wakati hamuna ilmu,bachu twakujua ww Bana,
@suleimanmohommed5209
@suleimanmohommed5209 2 жыл бұрын
Naam naam Ya Fadhla tu Sheikh Muhammad usirudi nyuma juu ya haki."
@nassorhafidhharthy0933
@nassorhafidhharthy0933 2 жыл бұрын
Huyu ni ustadh si sheikh hana ilmu yakuitwa sheikh
@ramadhanirama6636
@ramadhanirama6636 2 жыл бұрын
@@nassorhafidhharthy0933 Hajui maana ya shekh
@nassorhafidhharthy0933
@nassorhafidhharthy0933 2 жыл бұрын
rama tuambie maana yake
@arjanshabani8946
@arjanshabani8946 2 жыл бұрын
Wapenda maulidi mpooo? Tunaona koment zenu hamkosi lakujibu mnazinduliwa lakini hamzinduki shaurienu minshazinduka zamaani bachu tupe mada wala usisikilize povu zao hayatoi alikilini mwaketu Bali anaushahidi hapo we unatoa povu za nini achaujinga zinduka
@abdallahkawambwa2666
@abdallahkawambwa2666 2 жыл бұрын
Wewe utakufa avipaya ndomana baba yako aliota anakimbizwa namtume nyinyi ni vibaraka wa marekan wewe hujasoma lugha njoo tukufundishe lugha
@madrasatulmujtabahschool7621
@madrasatulmujtabahschool7621 2 жыл бұрын
Mashekhe wa sasa bora uwatizame tu
@mansulesuleyman6217
@mansulesuleyman6217 2 жыл бұрын
Soma Baba soma Baba
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 жыл бұрын
Kasome Bachu weeeee. Fani za lugha Zina wenyewe. Kawaambiye wakusomeshe hao masheikh usikurupuke. Huna macho ya kuona humo. .
@mohdhakim8216
@mohdhakim8216 2 жыл бұрын
Angeshughulika na mengine tuu.
@abdulrahmanabubakar5127
@abdulrahmanabubakar5127 2 жыл бұрын
Wewe ambaye unajua fani za lugha tueleze .... Manake Bora sikukejeli Bora ni kueleze unavyofahamu
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 жыл бұрын
Kejeli ameanza yeye kwa Mambo ambayo yanahitaji elimu si kukurupuka kwa kiarabu chepesi..... Mambo mengine mpaka usomeshwe ili mtu aone ndani na siyo kukurupuka.
@abdurahimnassoro1667
@abdurahimnassoro1667 2 жыл бұрын
Sisi hatuwalazimishi kuifuata haqqi kaeni na bid,a zenu watu wa maulidi nyie waburuza makanzu
@adamjutto5849
@adamjutto5849 Жыл бұрын
Fani ipi ya lugha babu,hv kuna maneno yaliyo faswaha kuliko qur an,na yanaeleweka,hvo vishairi vya kufru nani ashinde kuvielewa
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 2 жыл бұрын
Baba Ako aliwahi kusema watu wanamuomba mtume kwa maneno haya aliyosema Al buuswir. Dah enye jamaa hata km mtu humpendio sio hivyo. Ujahili umekujaa km alivyokuwa baba Ako na taasabi. Heri baba Ako kdg alisomasoma ila taasubi ilimjaa km ww ujinga ulivyokujaa pmj na taasubi.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 жыл бұрын
Kwani elimu ya muhammad bachu una elimu zaidi ya abuuswiri?
@aliibren9524
@aliibren9524 2 жыл бұрын
Hii ni kufuru Hali ya juu.
@awadhsaleh3929
@awadhsaleh3929 10 ай бұрын
Hawa wanajiita waislamu halafu wanamtusi shekhe???
@thomasthomas0212
@thomasthomas0212 2 жыл бұрын
Akuna Dini ya kweli chini ya juwa zote ni zauongo kwani zote zipo kwa mapenzi ya ibilisi ndo yupo nyuma ya Dini zote.
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 2 жыл бұрын
Huna akili wewe
@abdurahimnassoro1667
@abdurahimnassoro1667 2 жыл бұрын
We kafiri haya ni ya waislamu yanakuhusu nini?
@abubakardarema7050
@abubakardarema7050 2 жыл бұрын
Nipo kumi Bora leo
@isaack100
@isaack100 Жыл бұрын
فلاتزكوا انفسكم هو اعلم بمن التقي.kijana wa bachu na kuuliza wale wawili walokuwa wakiadhibiwa kaburrini yule namam nayule hakuwa akijihifadhi kutokana na mkojo
@isaack100
@isaack100 Жыл бұрын
Alijuaje kuwa wana adhibiwa?
@murtalla6290
@murtalla6290 2 жыл бұрын
Ile aya iliyokuja katika surah al BAQARA basi imeswadiqiqa zama hizi yaan hawata ridhia mayahudi na manaswara mpaka tufuate milla zao...... umesema kweli yaaa ALLAH angalia mashekhe zetu walivyopotea leo hiii wameacha kuitana misikitini kuuhadili uislam bali warushiana maneno mitandaoni yaan hapa akipita qafir anajua mapungufu ya waislam SUB HABNA ALLAH 😰😥😰
@swiddiqmussa3490
@swiddiqmussa3490 2 жыл бұрын
Hivi hawa watu wabidaa hawasikii wala Hawaoni haya Jamani?
@neemafatu471
@neemafatu471 2 жыл бұрын
SUMMUM BUKUMUN GHUYUN
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 жыл бұрын
Ungeenda kuwasikia hoja zao kwanza
CHANZO CHA MAJADIDA KUMTOWA MUHAMMAD BACHU KWENYE MANHAJ YA AHLU-SUNNA WAL-JAMAA.
36:22
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 10 МЛН
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 28 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 21 МЛН
Muhammad Bachu||MANENO MABAYA YA QASSIM MAFUTA NA ABDALLAH HUMEID
52:59
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 97 М.
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA KWANZA || Muhammad Bachu || 2023.
44:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 27 М.
MADA:JEE INAFAA MIKUSANYIKO YA MAULIDI KATIKA MWEZI  WA RABILIAWAL? SH.NASSOR BACHOO NO:1:
34:47
Majibu ya kielimu kwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salam||Muhammad Bachu.
23:41
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 68 М.
Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI
36:17
shining noor
Рет қаралды 676 М.
Raddi juu ya Uongo wa Muhammad mafuta kwa Sheikh Nassor Bachu||Muhammad Bachu.
41:39
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 10 МЛН