Aaa... hongereni sana watu wanguuu.. Hongereni bila mwishooo🌹🌹🌹🌹🎉👏👏 Mungu aendelee kuwatunza..
@remigiuskahamba74402 ай бұрын
Kazi safi
@roinusamungu7922 ай бұрын
Utunzi mzuri mno, ladha safiii Piah uimbaji mzuri na production nzuri.....Congole kwa wahusika✊🥂✊.🎇🎹🥁🎹🥁🥂
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Asante sana ndugu
@TheodoreAthanas2 ай бұрын
Umetisha aseeeh wimbo unasikilizika very softly ❤....ubarikiwe mtunzi na waimbaji🎉
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Shukrani sana
@allystidinkoswe85812 ай бұрын
Kazi nzuri mnaimba vizuri Mungu azidi kuwainuwa kwa viwango vya juu zaidi, Katika kazi hii ya utume wa uimbaji
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Tunakuehukuru saaana
@BeatusKLeon2 ай бұрын
Asanteni sana kwa wimbo mzuri sana, hongereni waimbaji mmeutendea haki utunzi huu
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Asante sana ubarikiwe
@LabanusAlex2 ай бұрын
Congratulations👏👏👏
@SyliviaMligo-oi3wo2 ай бұрын
Kazi nzur sana mtunzi pia mapewe maua yake🎉🎉🎉
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Aminaaa
@optatlymo7092 ай бұрын
Hongereni sana wapendwa kwa wimbo mzuri uliotulia.
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Asante saana
@Fortunatus_Bonn2 ай бұрын
Mziki wa catholic raha sana kuusikiliza.. chini ya mikono ya Mwita lazima nyimbo iwe 🔥 hongeren sana
@mwitaisack95822 ай бұрын
Asante sana
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Shukrani saana
@EGBERTUS-fo2ie2 ай бұрын
Weldone 🙏🙏
@justinekiboko6162 ай бұрын
Kazi nzuri Mungu awatunze kwaajili ya kuendelea kazi yake💪
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Amina na asante sana
@MartinBlasius2 ай бұрын
Muziki mutakatifu ….stay blessed Family 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Ur welcome
@geraldgandye15812 ай бұрын
Kazi nzuri sana, uimbaji umetulia sana, mpiga kinanda isack mwita hongera, mtunzi kahamba hongera sana
@waromokello2 ай бұрын
Great. Indeed where quality production is
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Thansks so much
@jessykerongo59452 ай бұрын
Nahisi nafsi yangu ikipaa mithili ya mvuke. Utungo safi kabisa
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Ubarikiwe
@bihogorakaroli96912 ай бұрын
The best singing performance and production.Pro studios the leading studio in quality and creativity. Congrats to all who participated in preparing this amazing and sweet song .
@WAKILIMSOMI-bq4pf2 ай бұрын
Mtongore nyimbo kali sana hii mzee. Pia alietunga dah! Oky anyway mwanza tunakuhtaji mkuu😂
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Asante sana
@veronicaasalile47272 ай бұрын
Nawapendaaaa 🥰🥰🥰🥰
@AlexKAudax2 ай бұрын
Beats zenu zipo unique
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Asante mkuu. Ubarikiwe sana
@irenesakwari10142 ай бұрын
Excellent work 🎉🎉
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Thanks soo much
@zengomboje88022 ай бұрын
kazi nzuri sna
@Arati8962 ай бұрын
Nzuri sana❤❤
@RestutaJoseph-nd8yt2 ай бұрын
Hongeren sana
@davidmwipopo27432 ай бұрын
Baraka zizidi kuwamiminikia. Tunashukuru kwa wimbo mzuri❤
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Asante sana
@laurentinalaurent89522 ай бұрын
🎉❤
@user-so8qj4hm6f2 ай бұрын
Waoooh wimbo mzuri mnoo hongereni dada marry nakuona ❤❤
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
💯💪💪💪💪💪
@gonsalvachristianmatembo80412 ай бұрын
Kazi ni nzuri saaana. Hongereni sana.
@bobrobert33742 ай бұрын
Hongereni kwa nzuri
@philbertmutongore5282 ай бұрын
Kazi nzuri
@evangelistamnyone28302 ай бұрын
Hakika Mungu amepaa kazi nzuri mno Mungu aendelee kuwavuvia zaidi na zaidi❤ proud of being a Catholic ❤