Hongera sana Ndugu yangu Isack Mwita....Melod nzuri sana...piga muziki hadi Mungu ashangae......👏👏👏👏👏
@mwitaisack95829 ай бұрын
Asante sana kaka 🙏
@alistidiasimon89714 ай бұрын
Sauti nzuriiii, hongera mtani wangu, wimbo unaniweka kwenye uwepo wa Mungu
@ernestpilla91799 ай бұрын
Daaah ila mwita isack ni mtunzi hasa 🙌🙌🙌🙌 Hongereni main voice kwa kazi nzurii ,, Vocal imejaa ,,, Galaxy Studio 🎙️ 🙌🙌🙌
@lazarusmulwa61289 ай бұрын
Huu wimbo ni mtamu aiseee 💯🔥✨
@jumbenkomokomo98269 ай бұрын
Nice melody be blessed all
@octavinaalphonce68989 ай бұрын
Safi sana Mke umechagua fungus lililo jema Kuimba ni raha
@patrickorganist85546 ай бұрын
One of my favourite composers🎉🎉.....pongezi sana baba
@AmosiDeogratius9 ай бұрын
Next Project Ni Krismass🔥🔥🔥🔥Karibuni Sana The Main Voice Tumtukuze Bwana Kwa Njia Ya Uimbaji❤
@salomemlingano66049 ай бұрын
Mko vzr Sana mungu awabaliki
@sarahbest30274 ай бұрын
Wow🎉🎉🎉
@RoseMtega-rk5xhАй бұрын
Isack mwita tunza kipaji hiki ubarikiwe sana
@user-eh2nd3xr5p9 ай бұрын
Uko vizuri mwamba nawaona na dada zangu hapo dada mage na dada jeniroza mungu awatie nguvu kwa utume ulio tukuka
@rogersjustinian7788Ай бұрын
Nipo ninakesha kukimbiza kazi ya mwajiri wangu. nikiliwazwa na nyimbo kutoka youtube mara pap nakutana na hiki kitu! Loh mmenigusa mno, hongereni sana!
@waromokello2 ай бұрын
Thanks so much @MwitaIsack this is powerful and sweet song
@lucasshirima28805 ай бұрын
Safi sana
@AmosiDeogratius9 ай бұрын
I Love This Choir 😢❤❤The Main Voive❤🎉
@classicartworkanddesign.39359 ай бұрын
wimbo mtamu kweli kweli. Ni wapi tunaweza kupata nota zake?
@user-io1wv6nx4d9 ай бұрын
Hongera sana kwako mtunzi bro Mwita Isack, nimekuwa nikifuatilia nyimbo zako zote , Hakika zimetulia.
@mwitaisack95829 ай бұрын
Asante sana
@consalbakasuga36849 ай бұрын
Waoh congratulations so 🔥
@AmosiDeogratius9 ай бұрын
Na Mwita Upewe Maua Yako Hizi Melody Sio Zakutegemea😅🔥💯💯💯
@RoseMtega-rk5xh21 күн бұрын
Kubarikiwa sana
@innocentchaula81499 ай бұрын
Hongereni sana, Kaka Augustino na wenzako mmefanya jambo la kicho machoni pa Bwana
@fransiscarbrunoh68899 ай бұрын
Waoo, hongereñ sana kwa uinjilishaji wa kuimba uliyojaa sifa na utukufu kwa yeye anayetunemesha, uhai kwaajili yake 🎉❤❤❤🎉🎉🎉😊😊
@lucasshirima28809 ай бұрын
Tamu sana sanaaaaaa.....
@annalaurenti54399 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@mercywakola9 ай бұрын
Very nice 👍
@barbinamaingi90558 ай бұрын
Sweet voices. Ongera sana
@mrpcm_tz43073 ай бұрын
Ila huyu mwita isack🔥🔥🙌❤️
@olivernyakiage9549 ай бұрын
Hongera Mwita Isaack na Wana kwaya wa main voice, i really love your songs big up brother
@mwitaisack95829 ай бұрын
Thank you my sister 🙏
@lucasshirima28809 ай бұрын
Amina..Hakika Halali...
@Arati8969 ай бұрын
safi
@user-rb3dm9bc3n9 ай бұрын
Nyimbo nzuri saana ✍️✍️✍️ Mzuri Hakika Ukuu wa Mungu unazidi kuonekana kwetu
@paulinazoulanga97699 ай бұрын
👏👏👏
@SirJames0659 ай бұрын
Kweli kabisa..
@bobrobert33748 ай бұрын
❤
@elizabethmihambo19099 ай бұрын
As normal as usually, very heavy music. Much congratulations to the whole team and God bless you.
@AnthonyHaule-gl5kr9 ай бұрын
Congratulations to you all Bravo Mr Mwita it is a classical music of it's kind very pleasing Be Blessed you deserve to be called main voice.
@mwitaisack95829 ай бұрын
Thank you so much my brother
@christinaraymond19289 ай бұрын
hongera sana ticha kazi mzuriii mnooo Mungu akutunze
@mwitaisack95829 ай бұрын
Amina dadake
@mwitaisack95829 ай бұрын
Amina 🙏
@cesiliasanga64328 ай бұрын
Nzur mnoo...ila naona kama imefanana na Kiburi cha uzima...au waimbaji ni wale wale??