MUSUKUMA ALIVURUGA BUNGE" HIZO NI LAANA, LAZIMA NIKUROGE/ MTAKUFA VIBAYA"

  Рет қаралды 78,493

Uhondo TV

Uhondo TV

Жыл бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 46
@daudinassary1054
@daudinassary1054 Жыл бұрын
Kaka musukuma Iwish nkuone one day bro your the best forever Mungu akupe Miaka mingi
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Safi Msukuma nimependa mchango wa wako Umeongea pointi
@willamsigwa740
@willamsigwa740 Жыл бұрын
Good speech presented by talented mana from sukuma land keep it up
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 Жыл бұрын
Hongera sana Msukuma nimekuelewa mno na hoja zako ni za msingi mno na Serikali msipuuze ufanyieni kz
@frankilunga1447
@frankilunga1447 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu Msukuma kunasiku utakuwa mkuu wa nchi kama kutakua hamna figisu
@katoro3733
@katoro3733 Жыл бұрын
Sema jamaa Hana elimu kwabwa ila ana uelewa wakuzaliwa jamaa ila anafaa kuongoza nchi tatzo ni elimu yake tu
@charlesgasper-wo9hc
@charlesgasper-wo9hc Жыл бұрын
Hakuna binadamu anayewezakupishawanyamailibinadamu akoswepakuishi labudaTanzaniatu inashangazaDnia.
@jamesmwalilino7221
@jamesmwalilino7221 Жыл бұрын
Ahsante kwa kujitambua kwamba uko Bungeni kuwakilisha wananchi endelea kujitambua utaheshimika duniani na ahera Godbless you brother na Degree yako ya heshima waliokutunuku walipewa maono na roho Mtakatifu
@DanielOrkijape-qi4xk
@DanielOrkijape-qi4xk Жыл бұрын
Waambie ukweli kwasababu mungu atakusaidia ukiwatetea wafugaji mungu akubariki Sana msukuma
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Жыл бұрын
Wambie viongozi wa tanzania wamekoa viongozi waporaji wa aki za watu
@mnyagamasinde6860
@mnyagamasinde6860 Жыл бұрын
Msukuma unafaa Sana kwakweli mfugaji katika taifahili Hana haki
@jumamatiko1092
@jumamatiko1092 Жыл бұрын
Hongera sana msukuma
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Ukiua kwa risasi utakufa kwa risasi!, ukidhulumu, utadhulumiwa!, Hao wajue serikali hailogwi lakini wao wasidhani sheria zitawakinga, wakistaafu tu laana zinaanza kuwapekecha wote na familia zao,wala wakigeuka hawatamuona aliyewatuma!...
@lyrics_forum
@lyrics_forum Жыл бұрын
Huyu Jamaa He deserve to be a President if this Country but kwasababu ya Elimu yake ndogo hata akigombea Atapigwa figisu sana
@neziajoseph9726
@neziajoseph9726 Жыл бұрын
Duh point nondo...na kuhusu waziri mchengelwa huyo ni balaa yan mchapa kazi na ni jeshi kamili la mama
@fifo262
@fifo262 Жыл бұрын
Yn kama wasukuma woote mngekua na akili km huyu mbona mungefaulu sana
@nicomgaya889
@nicomgaya889 Жыл бұрын
Mnapenda kuitwa waheshimiwa!!
@allykarupa1411
@allykarupa1411 Жыл бұрын
Uyu Msukuma yupovizuri. Tunakuomba utusaidie nasisi Madereva tunanyanyasika?!.
@kiwangodaniel1302
@kiwangodaniel1302 Жыл бұрын
Good msukuma
@williamemanuelikitosi-rk8yr
@williamemanuelikitosi-rk8yr Жыл бұрын
Bunge la leo jumamosi
@dorahy1579
@dorahy1579 Жыл бұрын
Wambie waovu Musukuma
@alvinbenito5243
@alvinbenito5243 Жыл бұрын
Hawarogwi na mtu adhabu ni hapa hapa duniani, machozi ya watanzania 8:40 yanazidi kujaa yakifika juu yanageuka laana kwa aliewatuma na watakelezaji wa hiyo laana huo ndio ukweli.
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Жыл бұрын
Msukuma nakupatia ongera sana
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 Жыл бұрын
Kwa kweli mnakera. Can’t you be serious? Kupongezana tuu wakati wananchi hawaoni ni utapeli
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Жыл бұрын
Ndio viongozi hawa ni digilii bandia
@HeavyrainKuresoi-ke9df
@HeavyrainKuresoi-ke9df Жыл бұрын
Msukuma umeshashtukiwa uko kama magufuli. Bahati kama utapewa kukaimu hata uwaziri,,,,
@damasjoachim4451
@damasjoachim4451 Жыл бұрын
Msukuma uwe mwelewa, binadam anaweza peleka maji nyumbani kwa pipe ng'ombe wakanywa,wanyama pori wasiingiliwe kabisa, inaonyesha kabisa hujui maana ya uhifadhi
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 Жыл бұрын
TULIA TULIA ACHA HABAR ZAKO WASOMI HAMJUI LOLOTE MMEAJILIWA KWA MAKARATAS SIO AKILI WASOMI MNAZIDIWA NA DARASA LA SABA KASHEKU MSUKUMA HONGERAAAAAA SANAAAAAAAA UNAJUA
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 Жыл бұрын
Hivi hatuwezi kuongea kilichowapeleka bungeni
@JustineSasu-cg6pp
@JustineSasu-cg6pp Жыл бұрын
Nivizuri akapewa idara hiyo kuiongoza.
@ManenoMavunde
@ManenoMavunde Жыл бұрын
ninatamani sana kuwaona lusinde na Joseph musukuma ktk baraza la mawaziri. hawa jamaa wanajua sana kuwaongelea watu wenye uhitaji asnteni sana. tofauti na wale nilo waamini kua ni wasomi. kule watokapo mjitahidi kuwachagua tena a tena. ni mawazo yangu tu
@magorymara5515
@magorymara5515 Жыл бұрын
Mengne sawa mengne siyo sawa kunavijiji unakuta wanauza nyama ya Tembo mpaka unashangaa serikali iko wapi
@user-vt4uf9qx6j
@user-vt4uf9qx6j Жыл бұрын
tunajua mkikosowa mtapgwa bechi ndo maana kila ktu ndiyo
@paulkichungo579
@paulkichungo579 Жыл бұрын
Lazima nikuroge🤣🤣🤣
@kelvinjohn8532
@kelvinjohn8532 Жыл бұрын
Yaani una unajuasana tuwakilishe sana
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Жыл бұрын
Kwanini msukuma asipewe uawaziri
@benardbwakitare-wj1hr
@benardbwakitare-wj1hr Жыл бұрын
Msukuma Ninyi ni walewale tu mnaowaona watanzania kama hawana akili mnatengeneza migogoro wenyewe baadae mnajifanya wema wauni hamfahami
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Kwakweli kwa hari ilivyo Kwenye huu uongozi wa samia Kuhusu aridhi kwa watanzania wanaoishi karibu na bunga za wanyama Hawana tofauti na wakimbizi wananyanyaswa sana
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Swali je unadhani ni heri kuwacha watu wazidi kuweka makazi mbugani, je tu achane na mbuga tuongeze makazi
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
@@birianination7097 siyo kweli fuatilieni mitandao. Wanafukuzwa wanachi kwenye hifadhi Badaye wanajenga mahoteri.
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
@@anosiata8242 hoteli kwenye hifadhi ni sehemu ya uwekezaji tena mkubwa unaoingizia nchi pesa. Tuna taka maendeleo ila hatutaki miradi ya uwekezaji au
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
@@birianination7097 Unajuwa kama ni hotel za samia na kikwete?
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
@@birianination7097 pesa gani?
@JustineSasu-cg6pp
@JustineSasu-cg6pp Жыл бұрын
Nivizuri akapewa idara hiyo kuiongoza.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 130 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 39 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 590 М.
BABA YAKE HALIMA MDEE MSIBANI, ASHANGAZWA NA DKT. TULIA
6:01
Uhondo TV
Рет қаралды 14 М.