No video

MUUAJI WA WANAWAKE 42 WALIOKUTWA JALALANI AKAMATWA, MAITI ZATUPWA DAMPO’ PEMBENI YA KITUO CHA POLISI

  Рет қаралды 56,114

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 97
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Ай бұрын
Mtu mmoja anaua watu wengi kiasi hicho na hakukamatwa, kuna shida piaa kwenye jeshi la Polisi
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Kuua muda mrefu mpaka wafike watu 42 na kuwatupa dampo, tena dampo lipo jirani na kituo cha police? Yaani hata police wenyewe wasisikie harufu ya mizoga? Haiingii akilini.
@issaalfani1030
@issaalfani1030 Ай бұрын
Binafsi nimekataa huyu katolewa chambo kuwapoza wengi inawezekanaje huyu akate kate watu wengi hivyo na kuwabeba mpaka huko shimoni wakokoaji tu wako wengi ila wanapata tabu kuvuta kwa kamba kingine wanacho dai Polis ni jirani aliwezaje kuwasombelea mtu mmoja na alitumia nini kufika hapo chunguzeni kwanza vizuri
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Wewe mwenyt uhakika tupatie ukweli wako.
@josephjulio6112
@josephjulio6112 Ай бұрын
Uongo huyo sio mtu haiwezi kuua watu 42 na usalama wasijue mpaka raia wagungue
@alimau7939
@alimau7939 Ай бұрын
Hiyo film kali kweli naipa jina na The Government Killers
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Ай бұрын
Sio Kweli Apo Kuna Jambo Nyuma Ya Panzia Waseme Ukweli
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po Ай бұрын
Achana na yule mchungaji aliwafungishawatu msituni huyu mwengine thatha😊 harafu watu wanakwambia tumejifunzanni kenya shenzi kabisa watanzania tuache miamko 😅
@surusuru1994
@surusuru1994 Ай бұрын
Kabisa dugu nimbora ukose elim uwe naakili sasa wasomi wanafanya ukatili kama huhu pia kunawatoto wamebakwa nakutupwa mosituni uzury hawajafa naaza kutilia wasiwas Kenya hata yule mtoto kule bagala ena kukitu mana hapo yuma watoto walikuwa wakinunuliwa Kenya nakupotea tz jambo walibainika mapena kuwani makini sana namajirani eeda wengen wahuko huko
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Ай бұрын
​@@surusuru1994 wanausomi gani hao maskin wakubwa
@Bushman000
@Bushman000 Ай бұрын
​@@surusuru1994hiyo akili utapata bila Elimu??
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po Ай бұрын
Ifike kipindi tujitambue kwani kusoma lazma uwe na madgree vitu vingine tuvione tu sio lazma tuige wanatutamani sana tembeeni msikie mnavyosifiwa na kuwatamani the way tunavyopendana japokua sio thana😂
@victorcephas3618
@victorcephas3618 Ай бұрын
Huyo sio muuaji wakenya wanazugwa tu muuaji wakenya wanamjua vizuri.
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 Ай бұрын
Tuambie ww sasa unamjua vizuri
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Ай бұрын
​@@yahyamajidyahyahilalal-har8762usipaniki jirani. Wote tumeumia vipi awe huyu pekee na vipi watu wamaandamano wakutwe hapo pia
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n Ай бұрын
​@@yahyamajidyahyahilalal-har8762hujui kitu kula nyama nyamaza
@aminielimushi8709
@aminielimushi8709 Ай бұрын
Jamani Wakenya hamshtukii,,,gutukeni mnaangamia,,mrejeeni Mungu kwa machozi
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina Ай бұрын
kunawatu wameumbiwa roho za kikatili mnoo
@Bushman000
@Bushman000 Ай бұрын
Hiyo mili yote 42 imepatikana?? Na je kuna mwili/miili baadhi inyoonyesha imekaaa kwa huo muda wa miaka 2? Je wote 42 ni wanawake???
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 Ай бұрын
Ushaambiwa wanawake 42 tena unauriza kama wote ni wanawake mr
@rehemambilinyi9452
@rehemambilinyi9452 Ай бұрын
Hii imetengenezwa ili kumficha muuaji halisi.
@AshaHaruna-ie2iq
@AshaHaruna-ie2iq Ай бұрын
Mhh mungu isamehe Serikali ya kenya
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Ай бұрын
Jamani hii Dunia inatisha tumrudie muumba wetu naye ataturehemu
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 4 күн бұрын
Mtukamahuyu niwakunyongwatu simtu wakufunga hukumuyake nikifotu munapoteza muda kwakumzungumzia mtu kamahuyu naushahindi upo muuwaji hukumuyake nikifotu hapanakufuna aka tia hasara serekali nimtu mshezitu
@ceciliaonyango5367
@ceciliaonyango5367 Ай бұрын
Huo ni uongo mtupu mmmm
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Sema ukweli wako au muuaji ni ndugu yako. Wapo watu wenye tabia wanafurahia mtu akiteseka wakati anakufa. Ni wagonjwa wa akili
@user-sw2fi1gu4j
@user-sw2fi1gu4j Ай бұрын
Sizani kama huyo moja anaweza fanya mambo kama hayo,
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
Wapumbavu wanasemaga wakenya wanajielewa sana, wasomi sana lakini cha ajabu matukio ya kikatili ndio yanaongoza huko, kuanzia shakahola
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 Ай бұрын
Mtu anaoza wiki tu sasa miaka 2 hawajoza
@barackmoses7003
@barackmoses7003 Ай бұрын
Duh kumbe tunaishi na Shetani hapa duniani😢 hao ni police officers wanaohusika
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 Ай бұрын
Duh! Huyo jamaa hata adhabu ya kifo haimtoshi ! Sijui adhabu gani itamfaa huyu mnyama. Sijui atupwe kwenye mto wa mamba !
@qwirinishao1003
@qwirinishao1003 Ай бұрын
Unakata kiungo kimoja kimoja tuu mwisho unamalizia kichwa
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 Ай бұрын
Sio bure apo iyo miili ichunguzwe huenda kuna biashara ya viungo vya binadam yan anaua na kutoa viungo vya mwili
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Ай бұрын
Innalillah wainnah lillah rajun daaaaa binaadam wa Sasa wallah wamekuwa wanyama mnooo
@user-tl6zt6dv3c
@user-tl6zt6dv3c Ай бұрын
Uwo ndio uzuri wa kenya bahna ....wanajifanyaga wao ndio wao...aya mnachinjana sasa...
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Ай бұрын
Hapo sasa
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l Ай бұрын
Mmmh kuna mkanganuiko jalalani jmn watu 42 basi polisi imekufa 😊
@faiditv5535
@faiditv5535 Ай бұрын
Bora wakae kimya
@gsninetz5019
@gsninetz5019 Ай бұрын
Sio kweli bhna Mimi nafatiria Very nice Hiyo Serekali tu ila Auwae Kwa upanga Atakufa Kwa upanga
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Ай бұрын
Sasa kwa mfano dada mmoja aitwa josephine huyu nasikia siku ya maandamano alikuwepo na hakurudi mpaka juzi kakutwa hapo kwenye kiroba
@Bushman000
@Bushman000 Ай бұрын
Seriously,?? Kwa hii taarifa inaaonyesha huenda hao wote 42 hawakuuwawa na huyo 1..@@user-vy2bc6xg3i
@laylayl5166
@laylayl5166 Ай бұрын
Mmmhhh.dunia simama nishukee jamani jamanii hivi kwelii watuwote hao hakujua hata MTU kwelii inauma hatasijui nisemejee wallahi
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Ай бұрын
Upelelezi wa huko Kenya haupo makini asee, wee. Huyu jamaa akaendelea na mauwaji kilaini tuu. Kenya hapana m mefeli kabisa
@patrinraura1397
@patrinraura1397 Ай бұрын
Tunaomba Mamlaka husika ya Polisi Kenya ichukue hatua kali kw mhusika Hakika ni Ukatili wa kutisha Karne hii na inatia huzuni kubwa
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 Ай бұрын
Huyu umsakini wake umemponza kalipwa hela tu ajitokeze kusema ni yy lakini huu ni mchezo wa watu wakubwa wameufanya aliwezaje kuuwa na kubeba miili yy mwenyewe hadi kuitupa na akati saivi mtu ukipewa marehem mmoja tu ukamtupe unachanganyikiwa na marehem wako unapeleka mwenyewe habar police #kuuwa mtu si jambo rahisi wakenya acheni kuona watu wajinga viongozi ndio mnajua ukweli wa mauwaji hayo
@aminielimushi8709
@aminielimushi8709 Ай бұрын
Amrish puri
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Sidhani kama ni kweli kwani idadi ni kubwa angeonekana tu. Na sijui aliwabebaje wakati hana usafiri na yasemekana ni jirani na kituo cha polisi. Haiwezekani hao waliouawa wasipige kelele wakasikia. wakati wanauawa. Na inakuaje harufu kali isiwepo katika eneo hilo na watu kujiuliza?
@AbiTech96
@AbiTech96 Ай бұрын
Umefata repoter Vizuri kweli? From 🇨🇩 Sielewi kiswahili vizuri, lakini nimesikia pale wana sema kwamba nikutoka mwaka 2022, hadi July 2024, ndipo ali fanya huo uhalifu.
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
​@@AbiTech96Hata wakazi wa hiyo area hawamjui huyo ambae kakamatwa sasa huoni ajabu?
@user-ib2ew9ec3d
@user-ib2ew9ec3d Ай бұрын
Muuaji namkubali sana anamiaka Kama yangu ila kanizid kwenye kuua
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Ай бұрын
Ama kwa hakika Tanzania bado tuko vizuri mno kwenye swala la udhibiti wa uhalifu na wahalifu....ukiangalia hilo jambo la huyo mshukiwa wa mauaji utajiuliza mambo mengi mno...mojawapo ni je,inawezekanaje mtu anaua watu wote hao kwa mda huo na asigunduliwe wala kukamatwa? How...yaan nchi ilivyokubwa watu wanauliwa hovyo,yaan hata ile issue ya shakahola ni mambo ya kutia aibu idara ya polisi Kenya na national security service ya Kenya.duh 🤔🤔🤔🤔
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz Ай бұрын
Duuuh changamoto
@asumaathuman6094
@asumaathuman6094 Ай бұрын
Sio kwamba seeikali wanajua wamemuongezea mait tu wa mchongo😂😊
@mweyoms5548
@mweyoms5548 Ай бұрын
'Filamu' hii imetengenezwa kwa umahiri wa hali ya juu.Tatizo wenye 'mradi' huu wamesahau kwamba Wakenya SIO MAZUZU/MAZEZETA.Jina zuri la filamu hii nashauri iitwe 'insane scape goat'.
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg Ай бұрын
Shikamoo kenya 😊
@surusuru1994
@surusuru1994 Ай бұрын
Walah mee nimeshagaa saaaan mait chalalani tena kumi na12
@successpatience7641
@successpatience7641 Ай бұрын
Hapo mtu kauziwa kesi, ukiangalia tu mazingira unajua mtu kafinywa pumbu ikabidi akubali
@user-xx8jx6tb7d
@user-xx8jx6tb7d Ай бұрын
Duu hatar Mungu wangu
@HassanMpinda-sr5fu
@HassanMpinda-sr5fu Ай бұрын
Hao polisi w Kenya hapo makin inakuaje mtu aue watu wote hao mda mlefu asikamate hao polis nao wanatakiw wahojiw wanafanyaji kaziyao
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 Ай бұрын
Dci ni muongo huyo sio muuaji hawez ua akawa anatupa dampo kwa miaka miwili wakenya hao police waambie ukweli walete janja janja
@ZuhuraMohamed-ny1jr
@ZuhuraMohamed-ny1jr Ай бұрын
Makubwa kumbe kenya ipo km marekani😢
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk Ай бұрын
DUH HTR
@patrickchonanga7878
@patrickchonanga7878 Ай бұрын
Kuna jambo hapo jamaa kajitoa muhanga ivo mybe amehaidiwa familia yake na ukoo wake hawawezi kufa njaa sim gani zile hakuna mtu ambae anaweza kutumia mobigo za kusajilia line kwanza hazipgi zile mchongo huo
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 Ай бұрын
Safi sana
@raphaelmramba4573
@raphaelmramba4573 Ай бұрын
Serikali imeshafanya ya kwao sasa inabidi Tubalishe upepo kutoka kwenye maandamano Tumtazame huyu jamaa, Wenda ata Hizo maiti wamezobeba kwenye Nyumba ya Kuifadhia Maiti, Wahongo hao
@SaudaNodrini
@SaudaNodrini Ай бұрын
Msimu uwe Kwanza vinya pumbu apate maumizu kata mkono kàta kichwa Cha uboo apate maumizu msenge huyo
@user-ky5wu4gc9g
@user-ky5wu4gc9g Ай бұрын
Kwa hiyo kenya hakuna police wala wanajeshi inakuaje mtu mmoja auwe wenzie kama kuku serikali inamwangalia tu au wanashindwa kumpata? Mtuwache kwanza wakenya msitudanganye kuuwa mtu ni kazi nyie!mie hata chura tu siwezi muuwa labda kumtupa
@joelmhezi8039
@joelmhezi8039 Ай бұрын
Ata mimi sijasoma upelelez na elim yangu ndogo ila uyu mkuu wa upelelezi kafeli
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 Ай бұрын
Hilo jeshi ni wazembe watu 42 still alikuwa ajakamatwa
@EshaMichael-zw7zi
@EshaMichael-zw7zi Ай бұрын
Jaman
@amanmalima940
@amanmalima940 Ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@aminamaulid7371
@aminamaulid7371 Ай бұрын
Mmmmmmhhhh hai make sense
@user-ib2ew9ec3d
@user-ib2ew9ec3d Ай бұрын
Itakua wanadanganya ili watu waache kufuatilia maandamano ya ruto
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Ай бұрын
Duh inatisha sana
@maryamsaid1307
@maryamsaid1307 Ай бұрын
N urongo huo
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Sema ukweli wako.. wapo wenye tabia ya kuua bila sababu..tena wanafurahia mtu akihangaika wakati anakata roho. Watu wenye tabia hiyo huwa ni wazuri sana kwa nje, huwezi kuwadhania kabisa
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv Ай бұрын
Yaan mbona unyama mkubwa kuliko hv selikal imelala mpaka mtu anafanya unyama kiaa hik jaman naombeni akatwe kiungo kimoja baada ya kingine Ili afe talatibu akipata maumivu live Kisha achomwe moto na akijitokeza wakilia kumsaidia nae anyongwe
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Ай бұрын
Haya maafa yamenitesa sana toka nilipoangalia vile wakiopoa viloba 2 mbili mfululizo milikosa usingizi yaani kila nikifumba jicho hali inanijia kuweweseka .toka jana sijaingia youtobe wala tikitok jamani
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Ай бұрын
Mh 😢
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 Ай бұрын
Kenya kuna biashara ya Figo,moyo,damu na ovaries na hizi organs zinauzwa kwa bei kubwa mnoo nje ya nchi na njia sahihi ya kupata hizi ni kuwanunua wanafunzi wa like wa vyuo kwa ajiri ya ngono alafu unawazima na kuwaua na kuvuna organs hizo na kuitupa iyo miili.......biashara ni organs hizo
@happymrema7487
@happymrema7487 Ай бұрын
Duuu kisa nini sasa
@rahmamukhtar521
@rahmamukhtar521 Ай бұрын
Kwanini Sasa hivi😂😂😂 Nyie Wakenya nyieeee Ngoja tusubirie Report ya Wafiwa
@sadikingitu
@sadikingitu Ай бұрын
Dunia hii!
@user-ib2ew9ec3d
@user-ib2ew9ec3d Ай бұрын
Anyongwe adharan
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Hayuko peke.yake.Atakuja kuwataja wenzake kwani hana cha kupoteza. Hawa wanauza viungo vya watu km figo na mayai ya uzazi ya akina mama.Ndiyo maana wengi wao ni wa n awake.Baadaya kuwaua hutupwa mtoni kama ilivyo hapo. Fuatilia huko U.tube Kenya .Sasa wameanza kuua watoto.Biashara😢😢
@yasminmohamed604
@yasminmohamed604 Ай бұрын
Uongo mtupu? Tuambieni yupo gereza gn? Mpelekani mahakamabi
@allyabdallah1776
@allyabdallah1776 Ай бұрын
WAKUDA HAO tafuteni watoto muwadanganye
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Ай бұрын
HII INAKAAJE KUUWA NA KUTUPA JALALANI NA KWA MUDA WOTE HUO HAJAGUNDULIWA KWELI!!!!?
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Wakaazi wenyewe wa hapo hawamjui huyo mtu alokatwa .isitoshe inaambiwa anakachumba kamoja yaani ataweza kuua watu bila damu kuonekana au kelele kusikika na jirani. Kukatakata mtu hivyo kwa dakika moja sio kitu rahisi kwa mtu mmoja kufanya peke yake ati na hilo panga lenye kutu.Istoshe akatupe jirani na kituo cha Polisi yeye haogopi kwani?.Hiyo Story sio kabisaa
@samsonmwaipaja5231
@samsonmwaipaja5231 Ай бұрын
kaonewa
@LuganoAmwamsojo
@LuganoAmwamsojo Ай бұрын
😢😢😢😢
@Mlokoz_twangalatwz
@Mlokoz_twangalatwz Ай бұрын
Duh
@ElisifaJohn
@ElisifaJohn Ай бұрын
Mmmh
@furahawalter7823
@furahawalter7823 Ай бұрын
😂😂😂😂 This is bullshit
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Huyu jamaa hayupo pekeyake lazma anawenzie. Kikubwa huyu jamaa kamtupeni mto wami wenye mamba maana huko jela Hamtamnyonga mtamuweka Kisha mtamtoa tu 😢😢
@user-df1wz5xu2i
@user-df1wz5xu2i Ай бұрын
Waafrica sikuihizi wameelimika hawadanganywi kipumbavu kiasi hicho
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 24 М.
'Nilishtuka na mwili kufa ganzi nilipohukumiwa kunyongwa'
37:06
BBC News Swahili
Рет қаралды 22 М.
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10