a leader is the one who knows the way,goes the way and shows the way .this is the kind of people we need in leadership paul makonda . keep shining like a star
@LeahGyei2 күн бұрын
Wewe ni kiongozi kutoka kwa Mungu. Barikiwa sana mwanangu
@user-xk7vy4gb6g2 күн бұрын
Safi sana Mh Makonda, hongera sana unakitendea haki cheo chako 🎉🎉🎉 Mungu akulinde akupiganie uchape kazi hakika ww ni kiongozi wa kuigwa 🎉🎉
@kamogesamuel24612 күн бұрын
Barikiwa sana kwa utumishi uliotukuka na maono makubwa
@yahayampangilwa2 күн бұрын
Viongozi wazalendo kama Makonda wanatakiwa kulindwa sana.
@kwisa48992 күн бұрын
Makonda kwa hili nimekupongeza umeongea kwa hekima na uwezo wa juu sana leo unazidi kuimalika kwene uongozi, i wish siku koja yapi awe makamu wako mpo vizuri.
@section8ight1742 күн бұрын
*KuimaRika but yeah great point you’ve put across!!
@yusuphchimwala41262 күн бұрын
Uko vizur sanaaa mkuu Allah akuongoze katika utendaji wako mkuu🎉
@JudicaJoseph2 күн бұрын
Haya kama wakisema Ni siasa Ni sawa tungekuwa tunafanyiwa siasa nzuri kama hizi za vitendo Na viongozi wote nchi ingekuwa mbali Sana Na wananchi tungepona
@menelus911mene52 күн бұрын
Mhe Mkuu wa Mkoa Arusha mhe Makonda wewe ni kiongozi mbunifu sana wewe ni mlezi wa kila lika duh !!! Sijawahi kuona masha allah mungu akufanyie wepesi wakazi zako za kila siku piga kazi mhe makonda
@IlalioMbunju-hv7kw2 күн бұрын
Chapa kazi Mungu anakuona unachofanya
@nichoojr.67472 күн бұрын
Sema Kaka We NI Raisi Miaka ijayo 🙏
@shabannayopa54062 күн бұрын
Viva makonda cna neno chapa kaz, 💯 nakubal
@abasibogga47982 күн бұрын
U are the leader ofcause big up makonda
@abdallahomary5152 күн бұрын
Huyu jamaa ana vision kiukweli
@MossesMeleji2 күн бұрын
Makonda ubarikiwe sana! Songa mbele
@JudicaJoseph2 күн бұрын
Safi kaka makonda kiongozi wa mfano
@kaundasutikaunda7769Күн бұрын
Ubarikiwe sana Mh Makonda.
@Hillary_Daudi_Mrema2 күн бұрын
Big up sana Vijana tunakuelewa sana Makonda
@user-md7ug5dd9r2 күн бұрын
Mungu akubarki sana
@jerichoseth41882 күн бұрын
Bro you are my lol model in leadership
@user-nd1le6zp3e2 күн бұрын
Sema mwamba tunakuamini
@PeterNMzee2 күн бұрын
Makonda Akili kubwa sana.....heko kwake
@daudkindy80622 күн бұрын
Ishaallah Makonda utafika mbali ishaallah
@khamismtoma49022 күн бұрын
PhD ya makonda
@barakakevela245Күн бұрын
NINAKUELEWA SANA MHE MAKONDA UKO VIZURI KAKA
@Antelius-ew6it2 күн бұрын
Karibu ikilu ❤
@user-dn9lb9ct1w2 күн бұрын
Mh poul makonda hakika upo vzuri Arusha is the big city now co of u
@zakarialuhemeja4442 күн бұрын
Intelligent
@elizabethbigilwa68222 күн бұрын
Chapa kazi. Kama ulivyoacha DSM
@peterpaschal45222 күн бұрын
Mheshimiwa makonda hapo kwenye kusema au nilikosea kufanya hi biashara kuna siku nilijisemea walai maana kumsimamia mtu ambaye hajitambui ilikuwa hatari
@masakamgalla92732 күн бұрын
A man and ahalf
@DON-ERICKDANIELKINDOLE-pj8toКүн бұрын
Je mbuga ya ngorongoro haijauzwa kwa nini wamasai wanahamishwa je Watanzania wameelezwa.
@loyakanuda25212 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@samwelmkufya3694Күн бұрын
Wewe ni Rais unaesubiri kuapishwa tu brother piga kazi
@user-pi5df7qu3yКүн бұрын
Rais wangu miaka inayokuja
@lucascosmas908Күн бұрын
Sawa
@user-pw9ir4fg7xКүн бұрын
Ikulu unakaribixhwa
@masakamgalla92732 күн бұрын
Takwimu za milembe kubwa kidogo hapo chuga😂😂
@user-gv8yn9lg1i2 күн бұрын
😢😢😢😢
@vincentmhoro19522 күн бұрын
Vivo hivyo, msiwa-treat mapinzani wa kisiasa kama maadui
@evelynmwaimu-vd9jo2 күн бұрын
wamechaguliwa na nani
@kaaakwakutuliaa51792 күн бұрын
sheria ndio mbovu wewe unampaje mtubwa tra mamlaka ya kukadiliaaa hela ya serikali na anamaamuzi yote ya kufanya anachotaka na hakaguliwi
@section8ight1742 күн бұрын
*KukadiRia, tobwe wewe! Acheni kuaribu lugha nyie wa kuletwa!!